Kwa nn tunazidi kuwatukuza wazungu, watugandamize kwao na kwetu pia duh! Slavery will never END, tukienda kwao wanatuonaga kama mwezi fulani hivi wasiokuwa na mwelekeo
Hawa wageni sisi ndo tumewaalika lazima tuoneshe upendo kwao halafu ktk dunia ya Leo mpira ni biashara kubwa sana pengine kuliko biashara zote duniani na sevila ni timu kubwa mno kwa ulaya
@@barakanyambele4673 aaah eti biashara kwani hawajuagi kuwa African ndo kwao na dhahabu? Na hakuna biashara inayoingiza pesa kama dhahabu Lakini pamoja na dhahabu yetu zote tukufika kwao tunaitwa wiz, vikaragosi, wakimbizi duh! yote kujipendekeza eti tupate soko kisoka dah! AFRICA tutamka lini?
@@colepapichulo4422 ok samata anaishi kama mfalme genk sijakataa ila kwasababu wanapata mafanyikio kuyoka kwake, mzungu akikusifu, kukuheshimu, kukuthamini, yote sababu kuna kitu cha maana watakacho kipata kutoka kwako basi... Wazungu nawajua sana naishi majerani zangu ni wazungu wanafunzi wenzangu ni wazungu pia naarafiki but mwafirika bila kitu ni kama mwizi kwa wanzungu
mbona sisi Timu zetu zikienda ulaya mbona hakuna kikundi kinachotushangilia wacheni kujigeuza fenicha kwa wazungu he ujinga huo utawaishalini kila anapokuja mtu mweupe Hua hamuishi kua fenicha👂💃😨
Kwa mfano team yako ipi ilienda ulaya? Uliona walipokelewa gormahia walipoenda cheza na evarton? Wao hawatupokei na ngoma coz sio tamaduni zao but huwa wanatupa heshima staili kulingana na tamaduni yao
Kwa nn tunazidi kuwatukuza wazungu, watugandamize kwao na kwetu pia duh! Slavery will never END, tukienda kwao wanatuonaga kama mwezi fulani hivi wasiokuwa na mwelekeo
Chuki izo mbona samata anaishi kama mfalme Genk?
ukiona ivyo ujue anafaida kwao, uyo samata
Hawa wageni sisi ndo tumewaalika lazima tuoneshe upendo kwao halafu ktk dunia ya Leo mpira ni biashara kubwa sana pengine kuliko biashara zote duniani na sevila ni timu kubwa mno kwa ulaya
@@barakanyambele4673 aaah eti biashara kwani hawajuagi kuwa African ndo kwao na dhahabu? Na hakuna biashara inayoingiza pesa kama dhahabu Lakini pamoja na dhahabu yetu zote tukufika kwao tunaitwa wiz, vikaragosi, wakimbizi duh! yote kujipendekeza eti tupate soko kisoka dah! AFRICA tutamka lini?
@@colepapichulo4422 ok samata anaishi kama mfalme genk sijakataa ila kwasababu wanapata mafanyikio kuyoka kwake, mzungu akikusifu, kukuheshimu, kukuthamini, yote sababu kuna kitu cha maana watakacho kipata kutoka kwako basi...
Wazungu nawajua sana naishi majerani zangu ni wazungu wanafunzi wenzangu ni wazungu pia naarafiki but mwafirika bila kitu ni kama mwizi kwa wanzungu
Mkalimani Hongera sana kwako
Tz is a great & beautiful country of tourism
INNALILLAHI WA INNA ILLEYHIRRAJIUUN
Karibuni sana Sevila.....
Mkalimani wewe ni nyoko si kwa lugha hiyo umetisha sana Mzee baba
karibuni Tanzania hii ndo nchi ni ya utulivu zaidi
Yuabd Zonas nchi pekee unalala mlango wazi
Welcome tz
WAAFRICA WAKIENDA ULAYA HAWASHANGILIWI HATA NA KUKU
mbona samata wanamshangilia na nyimbo wamemtungia tuache hizo zishapitwa na wakati huu nimpira nifura sio majungu
Juzi bendera ya Taifa ya Tz imeshangiliwa na wazungu kisa Samatta, ama samatta kawa mzungu sku izi?.Nyie ndo mna entertain Ubaguzi dadeqq
Vip Ben yeder yupo
Umetisha mkalimani
Hahaaa et mkienda ulaya huwa hamtukuzwi sasa nyie wabongo mtukuzwe mnanini? Akijisogeza mzungu kwako tu lazima umpge mzinga tu!!
Jesus navas.i see you brother
Kwa miuno hiyo hawatajutia kuja Bongo hahahahahaa
😃😃😃😃tukienda kwao wanatuita wanatuona km wakimbizi.ila wao tunawaita watalii😃😃😄😄😄😄😄😄😄atariiiiiii
Mbna Samatta hajaonekana kma unavofikiria? Na bado katungiwa wimbo....tusiwe na imani za ubaguzi coz ni mambo ya kizamani
Well come tanzania
Kichapo tu, hii ndiyo Simba Mnyama
Nackia sinyorita nyingi😂😂😂
Kama wana tafasiliwa kwa k Hispaniola sa kingeleza n chann apo!! Kwan iyo n rugha mama kwetu!!?
MKALIMANI NIMEKUKUBALI ATA KAMA SIELEWI
Aisee umenichekesha ulivyo sema mkalimani unamkubali japo uwelewi. Nimecheka sana
😃😃😃
Wazungu wamemshangilia samata ulaya
uyo muhun anae ongea ki espanyola anazingua apo anatudanganya tu hajah et kopolapanya betri trecy fonyalazer desary
😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Tanzania nchi ya Amani ila uwanjani kuna Simba SC so Sevill watch it please
Lazma dada zetu wabebweleo mana wana vihelehele na ngozi nyeupe
mbona sisi Timu zetu zikienda ulaya mbona hakuna kikundi kinachotushangilia wacheni kujigeuza fenicha kwa wazungu he ujinga huo utawaishalini kila anapokuja mtu mweupe Hua hamuishi kua fenicha👂💃😨
Kwa mfano team yako ipi ilienda ulaya? Uliona walipokelewa gormahia walipoenda cheza na evarton? Wao hawatupokei na ngoma coz sio tamaduni zao but huwa wanatupa heshima staili kulingana na tamaduni yao
Racism never end if white cars have black tyres
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 maninaaaa 😁😁😁
Simba club
Mkalimani noma sana mbona hujataja kuwa unakaa jangwani najunajaa maji wakuletee mitumbwi
Hao sio wa zangu inamana Tarimba naenimzungu
Wadau wanaojua wachezaji wa Sevilla maarufu naombeni wanitajie mana mi simjui hata mmoja zaidi ya jina la Timu tu 🤔🤔
Ben yedder
nimemuona Jesus navas
Huyo mtafusili anazingua mjue😂😂😂
Kalbuni tz kwa bingwa wa kuteuliwa
@Salim Aliy ha ha wap uwezi kunipa jna lako mkubwa mwezio subili upate mtoto wako au mjuu wako sijina lenu Hilo aliwapa jerry mulo
Wabongo wanajikuta wanajua kila kitu
Huyu mkalimani anadanganya
Waliomtoaga man u hawa wakina yeder
Yan hao wazungu hawajui kingereza mpk watafsiriwe pumbaff
Kumi zinawahusu wa zee wa hamsa
Obert Said Mwalego Hayakuhusu
Mhhh wa 2 lao
Inapendeza karibu Zanzibar Tanzania
wajee wamuonee mamba kumai na mutoto ya kisenyi
Krypton Samath yp
evar banega
Lazima tukienzi kiswahili chetuu,
Sasa kiingereza awajui ao ama
karbuni san nyumbani @sevilla fc
Msaada tutani bandugu.eti Sevila ndio nani?
Ni timu kubwa sana duniani inacheza ligi ya hispania itacheza na simba alhamisi
@@barakanyambele4673 asante sana
Ujinga huo, mnawatukuza mno wazungu, wao tukienda kwao wanatutazama kwa dharau
Lini ulienda as special group then mkazarauliwa?