NJIA SAHIHI YA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Sehemu pekee ambayo watu wengi hutumia muda mwingi ni mitandaoni. lakini je wajua kuwa namna unavyotumia zaidi mitandao inaweza ikaathiri afya yako ya akili.
karibu ufuatilie kipindi hiki kizuri ambacho kitakupitisha katika njia bora za matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii.
#africatv2
#mitandandao
#tiktok #instagram #jewajua
#mentalhealthy #afyayaakili