🚨Simba 1-0 Dodoma Jiji, Kauli ya Kocha wa Dodoma, Tathimini ya mchezo,Utata wa penati.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 15

  • @allyshabani3404
    @allyshabani3404 Месяц назад +4

    Aceni kuwa mnaharibu soka ya Tanzanie nyiye mnapenda kuwa mnaleta utata kila siku Simba ikishinda juzi mliongeya mabao ya Simba ni ofsait nawashangaa kuona wacambuzi kama hao wanaongeleya kama lile kosa sio penalty hizo media zenu zingelikuwa kwenye hizi inci zetu tunaeshi mgelikuwa mlisha fungiwa sababu hamna taluma ya uwandishi

  • @islamIbrahimmussa
    @islamIbrahimmussa Месяц назад +2

    Simba anapigw vita watu hawana aman

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 Месяц назад +1

    Wacha kauli za kibaguzi mexime..
    Hash tackle unapocheza mpira na mguu wa mtu huwa ni Faulo na ikiwa Ndani ya 18 ni pigo la penalty..
    Haya mambo ya sisi wenyeji wao wageni ni lugha za kichochezi na kibaguzi kwa makocha wengine...
    SPEAK FOOTBALL NOT POLITICS

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Месяц назад

    Bado hamjasema,

  • @AloisMmyanyi
    @AloisMmyanyi Месяц назад +2

    Hivi kuna mtu yoyote anajiuliza kwanini taclering kama hiyo ifanyike eneo hatari kama lile?

    • @ShabaniUtila
      @ShabaniUtila Месяц назад

      if it's only option u have as defender then it doesn't matter where it is u can tackle anywhere to clear the ball and avoid danger so bro jifunze mpira unahitaj elimu sio ushabiki pekee it wasn't a penalty

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 Месяц назад

    Mnapata taabu kweli

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 Месяц назад

    Ubaya ubwela mtasema sana mwaka huu

  • @franccoz94
    @franccoz94 Месяц назад +2

    YANII WACHAMBUZI WA BONGO BWANAA NYIE WENYEWEE NAKUMBUKA YA CHE MALONE MLISEMA N PENAT,LEO MNASEMA SIO PENAT

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 Месяц назад +1

    Libya mlisema ni penalti.

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n Месяц назад

    maki amekaangwa na ameiva

  • @YusuphDaud-b9y
    @YusuphDaud-b9y Месяц назад +1

    Nyie wachambuz hamna maana, wajingaga sana, kocha wa Dodoma hakuona, sasa anaongea chupi gan tena?

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 Месяц назад +1

    Willy hiyo kiasi Cha nguvu kimeandikwa wapi kaka?, Hivi lile tukio lingekiwa upande wa pili ingetoka Ile penati?
    Mecky alimaanisha Kuna bado hajaiona kwenye marejeo ila kwa mda ule aliiona haikuwa penalty

    • @monelayongola419
      @monelayongola419 Месяц назад +2

      Ni haohao wachambuzi ndio waliungana kudai AL AHLY TRIPOLI walinyimwa penalty kwa tukuo la hivihivi kbs , SASA leo Tena wanadai sio penalty. Nafikili refa aliyewanyima penalty AL AHLY TRIPOLI huyu Sasa karekebisha Yale Malalamiko yenu na wachambuzi kwa kutupa penalty. hapo vp ?.