Bishop Ngonyani_KURUDI KWA YESU MARA YA PILI (Episode 01)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed Месяц назад

    Anapenda sana iyisomo mwalimu ongerasana Mungu atiye nguvutena nakukupa mafunuo zaidi nakupeye mwishomzuri

  • @EstherAlly-i5o
    @EstherAlly-i5o 17 дней назад

    Mafundishi Kama haya kwa wakati huu watumishi wengi hayafundishi heri yako uliyefuniliwa katika hili mungu akubariki

  • @ngonyanitv9687
    @ngonyanitv9687  3 года назад +6

    Mungu awabariki nyote mliocomment. Nawapenda sana

  • @gracehaule5302
    @gracehaule5302 2 года назад

    Barikiwa pastor Ngonyani by pastor Haule eagt segerea .

  • @hotexmedia2021
    @hotexmedia2021 9 месяцев назад

    Kazi nzur

  • @nicksonlibent2903
    @nicksonlibent2903 7 месяцев назад

    Mimi nakuelewa sana baba

  • @saimonijoseph6834
    @saimonijoseph6834 3 года назад +2

    Barikiwa mtumish hicho kitabu nitakipayaje saimon mlandiz kibaha

  • @medadiissa324
    @medadiissa324 3 года назад +4

    Masomo haya ndiyo muhimu mno kuliko mahubiri ya kupokea pesa na mali

    • @ngonyanitv9687
      @ngonyanitv9687  3 года назад +1

      Ni kweli, pesa hata wapagani wanazo, ila uzima wa milele hawana

  • @davidmaina797
    @davidmaina797 Год назад

    Niko kenya hiyo kitabu nitaipata aje

  • @gideonmollel4173
    @gideonmollel4173 3 года назад +1

    Ubarikew sanaa

  • @julygabrieltv9093
    @julygabrieltv9093 2 года назад

    Bishop napataje hicho kitabu niko mbeya Kyela boda kasumulu

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 2 года назад +1

    Ameeeeeeeeen

  • @paulojohn9587
    @paulojohn9587 3 года назад +1

    Nataka kitabu Cha historia ya Israel na

  • @mwlprootv6674
    @mwlprootv6674 3 года назад +2

    amen and amen. hii ni njema sana. asante Bishop!

  • @emanuel4148
    @emanuel4148 2 года назад +1

    Maelezo yako siyo sahihi

  • @somi193
    @somi193 3 года назад +1

    Ni somo la wakati, hizi ndo siku zenyewe za mwisho. Asante sana Bishop

  • @AchiengGrace-zq7bz
    @AchiengGrace-zq7bz 21 день назад

    😅😅😅😅yesu anisayidiye

  • @wiliamayubu1140
    @wiliamayubu1140 3 года назад +1

    Naomba kuuliza mchungaji siku za wiki je nikweli mwanzo kila siku ilikuwa ni siku ya miungu ni majina gan au miungu gan

    • @Emmadav1
      @Emmadav1 2 года назад

      Sasa hii inakusaidia nini ndugu yangu. Ikiitwa majina yoyote si watu fulani wanakuwa wameamua kuziita hivyo sio Mungu. Siku na uumbaji wake ni wa Mungu. Fuatilia vitu vya uzima.

  • @RabsonMulungu
    @RabsonMulungu 4 месяца назад

    Naomba namba Yako bishop

  • @wiliamayubu1140
    @wiliamayubu1140 3 года назад +1

    Mtu akitaka vitabu vyako kama hicho cha uchambuz wa kitabu cha danieli na ufunua mm niko mbali ila huwa nakuja sana dar naweza kupataje UBALIKIWE

    • @Emmadav1
      @Emmadav1 2 года назад

      Mpigie simu. Ofisi yake iko Victoria makao makuu ya Halotel floor ya 5

  • @UfunuoSt
    @UfunuoSt 2 года назад

    Kama unataka kuongeza maarifa juu ya hicho unachokisema sikiliza hili hubiri, tafadhari usiache.
    UNYAKUO ruclips.net/video/7mL03XcLhnc/видео.html

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 3 года назад +1

    Nitafatilia kwa ukaribu sana masomo haya. Ubarikiwe askofu. Lakini pia unawez kuunganisha hizi epsode kwa pamoja? Asante

  • @paulojohn9587
    @paulojohn9587 3 года назад +1

    Historia ya Israel na kiini Cha Vita na Ile inayoelezea Ile Vita ya siku sita six day war

  • @paulojohn9587
    @paulojohn9587 3 года назад +1

    No ni 0787372864

  • @AlfredMagere-f1m
    @AlfredMagere-f1m 3 месяца назад

    JE NIKIHITAJI KITABU CHA SOFT COPY