Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Huu ni mtihani jamani tujirekebishe tunaelekea pabaya allah tuongoze yarabi sifa ya mwanamke awe na haya jamn
Upuuzi gani huu harusi wamekosa haya kweli dunia imeisha Inna Lillah
Dunia imefika mwisho... Maharusi mabinti ndio wenye kusuta watu... From Mombasa
Majanga daa...Allah atusamehe
Mpka ikifika hatua mtu anaimba hivi jamn muacheni tu yapo yaliyomkuta..Safi sana ukhty me nimependa qaswida yako
Subha Allah Dunia imeisha huo ni ukosefu wa haya
Hakuna mbaya zanzibar qaswidaaaaaaaaa
Waislamu tutudini kwenye sheria za Allah... Wanawake kuchanganyika na wanaume ni haramu...
Chefuuu vooo
Mtihani mzito jmn maandili yanaenda wapi😢😢😢😢
sifa ya mwanamke ni kua na haya zake dada chefuuuuuuu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😢😢😢
Mie anashangaa zamani hakuna haya imekuwa hakuna haya tena .
Dunia hii
Amsuta mama vyaa na Mafi huyu kweupe
Hhhh atali kw kweli
mhhh
Wanawake hawajistiri tens makosa
Ata haipendezi sasa apo ni anawachamba watu wameacha kazi zao wamekuja kweny shuhuli yake alafu anawachamba ovyo sijapenda
Asa unawachamba waalikwa jmn
🤣🤣🤣
Pambee
Chefuuuu
😂😂😂😂
Huu ni mtihani jamani tujirekebishe tunaelekea pabaya allah tuongoze yarabi sifa ya mwanamke awe na haya jamn
Upuuzi gani huu harusi wamekosa haya kweli dunia imeisha Inna Lillah
Dunia imefika mwisho... Maharusi mabinti ndio wenye kusuta watu... From Mombasa
Majanga daa...Allah atusamehe
Mpka ikifika hatua mtu anaimba hivi jamn muacheni tu yapo yaliyomkuta..
Safi sana ukhty me nimependa qaswida yako