"Temptation takes me far away, imagination kissing me night and day". I am very much in love with the song that resonates with how deeply I am connected to Africa. Thanks Diamond.
Simbaaa kimbia maana Kuna boya fulan Kama anatafuta nyayo zako ila hawez ata ukae miaka 4 bila kuimba sikunayule ndugu wetu wakigoma Sai jina Kama Lina kufa yeeeh baba
Msanii gani atakuimbia ngoma.kama hii kiukweli Simbaa is the best in Africa He is far ahead of so many artist who people think they are the best #Role Model in Music@Diamond Platnumz Simbaaa 🦁🦁🦁🦁🦁
What a song diamond ushaturoga na music yako yani siwezi kusikiya music kama sio WCB song i dont known why when i listen to other Tanzania singers song i really enjoy it but when i listen wcb song i love it diamond umewafunika watazaniya wahibaji wote lv u
Ndugu ninao ushauri tu, kazi zako zipe mtindo wa uandishi kama ule wa sikomi, niache, sijaona. Za zamani: vumilia, mbagala n.k Ni tunzi zilizo na taswira, hazichoshi kusikilizwa, Fanya hivyo, utainuliwa zaidi.
wewe diamond unadhima kubwa ya kuhalibu jamii ww inawfanya watu wasitambue lengo lakuumbwa kwao tubu achana na mambo hayo kama mzee yusufu allah amuongoze ktk sunna nk. njoo ktk dini achana na muziki by abuu jafari tajudin kgm
💃💃baikoko💃💃oooh baikoko💃💃 ayeeee waliokuwa ndani ya headphones with the beat mpk moyo unadunda km beat😂😂💃
nampenda huyu mtoto wa tandale sana
kaka wetu mimi nataka kudance na wewe tu mimi ni dancer one day kaka tutacheza!! I have hope❤️❤️🥰🥰😭😭
Ilo ngoma kali sjui kwann aikutolewa video
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Love you diamond 💕❤💞from senegal you are the best
Na wasomali pia tuko sielewi lkni nafurahia😍😍😍😍😍 jamani na likes zetu Kama mnatupenda sisi wasomali😋
Mbona kiswahili unajua
Twa wapenda sana cadey
"Temptation takes me far away, imagination kissing me night and day". I am very much in love with the song that resonates with how deeply I am connected to Africa. Thanks Diamond.
Simbaaa kimbia maana Kuna boya fulan Kama anatafuta nyayo zako ila hawez ata ukae miaka 4 bila kuimba sikunayule ndugu wetu wakigoma Sai jina Kama Lina kufa yeeeh baba
Simbaaaa💥💥💥 Simba is always right!
Tricky ndio tumejua wewe ni team wasafi. ...All the way up...haha
McaTricky Tv Kali Sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tunataka kusikia ukiingia na hii Wimbo kwa Churchill Show
🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🔙🔛🔝
Tricky Sana
Hata ww umekimbia huku
Anayesikiliza ngoma 2020 wangap?
Wow 😋 amazing diamond keep going from Somali 🇸🇴♥️ I love you Tanzania ♥️
Msanii gani atakuimbia ngoma.kama hii kiukweli Simbaa is the best in Africa
He is far ahead of so many artist who people think they are the best
#Role Model in Music@Diamond Platnumz Simbaaa 🦁🦁🦁🦁🦁
Saaaaana Simba
Baikoko ni bala Simba ahachagi watu salam 🇧🇮
The song i have been waiting for a decade here it is😍😍😍😍😍😍 diamond 🔥️🔥️🔥🔥️🔥️🔥
Nomaa...Watakubali Simba hatawahi kosa jipya
hapa mwendo wa sabufa to mpaka majiran wanachachama😁😁😁😁
Huwezi kuimba tu bila kuweka na tusi mxiuuuuuu
Simba from tandale....show love from Kenya
Oaah tunaoikubal iih Ngoma tujuanee,,,we simbaaa
Whose here after baikoko ya mbosso?
aseeee hiki kichupa kina ladha yake nomaa sana hii beat plus hizo vocal za mzee baba yani wozaaaaa
Show me how you dance💃💃
diamond nakupenda sana cjawai kusikia wimbo ambao siulewi I'm always yr side
Best Song On The Album🔥
🙌🙌🙌🙌... Huyu jamaa hatari sana....
Wewe 🤗👏nikua nakusubiri kwa Hamu huo wimbo diamond platumz I love you so much 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
Shamsa Hussen nomaa
Simbaaaaaa wcb wasafi diamond platnumz tumewashaaaaaaaaaaaaaa
I am in love with this song 😍❤🔥👌 much love from Eritrea
Watanzania nihurumieni na mie mnipe likes jamani nitambe kwa Kenyans wenzangu aki musiwe wachoyo buanaa
"Sa nioneshe unavyocheza Baikoko" 👏
Woow hapa nilip kwanz nakat..... kama yoteeee #baikoko........... I like it 😍😍😍😍
Bonge la ngoma simbaaa ni motooo 🇹🇿🇹🇿 ndo maana napapenda
Uko juu mjomba daaaah huu kweli muda wako mmmmh
I don't speak Swahili but hii nyimbo ni nyoko...hatareee.
😂😂😂
from no where unajikuta unaongea lugha usiyoiweza.
@@heykids6792 Mzee Baba acha tu
Hahahhahaaaaaa kweli ni nyoko dah asiyejua kiswahili na kujua nyoko wapi na wapi
@@zungumyonly1393Manake hujui Kiswahili unalazimisha kukiongea, maneno yanakupalia, unakufa.
Hahahahahahahaaaaa #paul mkopwa dah haya bwana nisije paliwa
Baikoko mwanangu
#Simbaaaaaaaaa achia kitu nko online mpka nkionee dangoteeeeeeeeeee
mohhamed ally video yangu ya kiislam naomba support yako ruclips.net/video/VEbezgrNzHw/видео.html
Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha! baikoko.....aisee we kiboko ya wote mond big up nice song👏👏👏👏👏👏🍷
God's power has no limit !!
Aaaaaaaaaajamani mi nimechelewa kuangalia i audio nimekuwa wa 895! Pamoja simba mi nimeikubali 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
I never get tired of his music,thanks for the wonderful music, respect.
Huwa nacomment sipati like ata 1 mpak najionea aibu nakufuta comment yangu, Mana watu wanapewa like mpaka buku mi ata 1 hamn
Diamond Platnumz l love your voice keep it up ❤❤
What a song diamond ushaturoga na music yako yani siwezi kusikiya music kama sio WCB song i dont known why when i listen to other Tanzania singers song i really enjoy it but when i listen wcb song i love it diamond umewafunika watazaniya wahibaji wote lv u
Wixi Somalia 🇸🇴 eh oo heestaan jcl farta taag is muuji 🤘🇹🇿
duh! ilijimbo linaweza kumtoa Mo mafichoni😎😎😎
Best ever 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 😍 tululu tulu baikoko
"Baby ukisubutu kuniacha tu huruma..moyo utautia ukulutu sitoweza ukuna" Hii verse imekaa poa
welaaa welaaa yani nikisikiaga hii uwaga na shidwaga hataga kupikaga ahahaa baikoko 💜💜
Waaayaaaaaaaaa simbaaaa nakutambua sana
kijana wa tandale unawasha 🔥🔥🔥🔥kip it up
kama kawaida tena....mond nyoko sana so proud of this guy u make tanzanianz proud kaka
He's at it agaiiiiiiin,,,,Simbaaa 254 twapenda wewe saaana,,,,,
Ninogeshe nikubebe kama begi 🤗 gonga like tusonge mbele washika dau.. BAIKOKO
Nataka kuwa hapo...........
Diamond platnumz yoy the best thing that happened to Africa
MOST TRENDING BAIKOKO COVERruclips.net/video/axB0GR-IFAsM/видео.htmlOST TRENDING BAIKOKO COVERruclips.net/video/axB0GR-IFAs/видео.html
Msani isiye na choyo kwa maendeleo yawasanii wezeke inafaa kuigwa
Love you from malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Ayeeeeee early birds mikono juu
I LOVE THIS SONG 😍😻
Sasa hizo sifa mwezako anatoa nyimbo moja kwa mwaka,we 4 kwa pamoja daaaah
This is now Music you can listen to for so many years without tiring everyday🌹🌹🌹😍😍♥️Baikoko
Hii ngima ni kali sana lakini hujaiwekea nguvu mzee mondi babalao
I wondering why dis song is underated ,it got some really vibes 2021
Mwanangu mondi mm nishabiki yako wamiaka mingi sana hujawahi niangusha dah mwanang endelea kupasuwa anga tu hakuna namna
Diamond is always diamond😍😍😍
Huyu Jamaa huwa yuko kama Chakula cha Msaada
Atakutamanisha tena na tena
simba lion fans from Somalia 252
Yah he is
Wow love from Lebanon Beirut 🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧 l like your voice and your song messi simba
dimond from Africa
lav u from india ❤👌👌👌
Brahma jr Brahma jr Islamic nasheeed ruclips.net/video/VEbezgrNzHw/видео.html
There very many Indians in Kenya.... And they have created many job opportunity through their businesses
Dope u
My friend appriciate that if you like the song
DJ ATM ohhh ...💘 i too love African countries much
Ndugu ninao ushauri tu, kazi zako zipe mtindo wa uandishi kama ule wa sikomi, niache, sijaona.
Za zamani: vumilia, mbagala n.k
Ni tunzi zilizo na taswira, hazichoshi kusikilizwa, Fanya hivyo, utainuliwa zaidi.
Love from Canada 🇨🇦 I love your music D
Love
Mond utawapasua watu nyoyo kwa burudani jaribu kulegeza kidogo
Simba never dissapoints
Album nzima ,hii kwangu ndio the best song
Hii ndo ngoma yngu baada ya #baila kama na ww unakubaliana nami gonga👍tusonģe
Mzee baba siku izi unazingua kinoma, nyimbo kama moyo wangu mbona hutungi siku izi
Paschal Chobo we kweli hujui kitu halafu unajifanya mjuaji sasa hii nyimbo na moyo wangu wapi na wapi
Life was good when this came out 🔥❤🙏🎵
Mwaka huu utatuua kwa mangoma hayo big up
Wanao ufata huu wimbo in 2020 tujuane hapa
SIMBAAAAAAAAA Wapi likes zangu kama unamkubali uyu simba
Kali Sana simba big love 254 mpo
Nyimboo ya kwanza mbovuu ya diamond
Best singer in Africa keep going.😍🙏
Moja ya wimbo wangu pendwa ktk albamu ya a boy from tandale
Hii nyimbo niko gym hapa tunaipigia aerobics 💃💃💃💃
Sasa wee Mondi! Izingona mbona nyingi kwa sikumoja sibora ungewapunguzia wakina king miusiki
Waooo this dude never disappoint at all . Who else agrees❓❓❓❓❓
Tupe ngoma mpya mashabiki zako - Hii tunayo kwenye albamu
I'm from Japan I don't understand the Swahili language but hii ngoma ni kaliii saanaa kiba endelea tuu na soka mziki mwachie Diamond 😂😂😂😂😂😂
umeua
@@majidymkude6376 😂😂😂
baikoko ngoma Kali sanaa tumesubili kichupa platnumz
Much love from Kenya ngoma iko 🔥🔥🔥🔥🔥
hakuna ngoma hapa subiri King Music waje
Yaani ulikuwa umekaa kimya sana MOND wangu duuh hapa sasa umenikosha moyo thanks a lot uzidi fanikiwa
2020 ,like this now ,jus wow
Hukuitendea haki hii ngoma simba
Ilove this Song Music Touching heart RealY
Oh baikoko ..kali sana
Oooh baikoko
We Jamaa salute dakika 88 imetazwa na watu wengi hv duh
Simba kafanya east Africa kunjulikana dunia nzima...wapi like zake +254
Simbaaa bado ww ni simba wa AFRICAAAAA😍
Zambia loves you#simbaaaaa!
wewe diamond unadhima kubwa ya kuhalibu jamii ww inawfanya watu wasitambue lengo lakuumbwa kwao tubu achana na mambo hayo kama mzee yusufu allah amuongoze ktk sunna nk. njoo ktk dini achana na muziki by abuu jafari tajudin kgm