EXCLUSIVE BILIONEA KAWISHE "NILITAPELIWA MILIONI 40, NILIKATAA KAFARA, SIO BILIONEA MCHONGO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @jonasymsangi5701
    @jonasymsangi5701 2 года назад +23

    Alikua boss wangu aapenda wafanyakazi wake sana hajivungi akikuta unafanya kazi naye anafanya big up

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 года назад +6

    Hongera Meku mrombo wa kwanza kutangazwa bilionea wapo lakini wewe ndo serekali imekutambua💪👏👏

  • @regulashine8991
    @regulashine8991 2 года назад +1

    hongera sana uliweka nia njia ikafunguka Mungu akaendelee kukusimamie na kukuongoza .

  • @anzurunmsemakweli9379
    @anzurunmsemakweli9379 2 года назад +14

    Straggling is the nature of human being but success comes from Allah.

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 года назад +3

    Na hapo tyr serikali imempiga kwa hiyo bei na km angekuwepo magu bc jamaa angelipwa ht bilion 3 na point,na hata mwanga huu wa kulipwa mabilion kwa wachimbaji uliletwa na magu

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 года назад +1

    Hongera sana kaka.mungu azidi kukufungulia upate zaidi na zaidi.

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 года назад +1

    Uncle Kawisheeee😍😍

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 года назад +1

    Nimewapenda sana WaMaasai wa Tanzania wanakua wapambanaji sana ilhali hawa wa Kenya huku utamadauni ndio wamekwamilia hadi serikali na baadhi ya wananchi wanawanyanyasa mno

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 2 года назад

    God bless you

  • @ndiiyolazarolemoloo2164
    @ndiiyolazarolemoloo2164 2 года назад +1

    Pambana mzee mungu atakubariki zaidi

  • @franklema2008
    @franklema2008 2 года назад +2

    Inaonesha kabisa safari ya mafanikio yake haikuwa rahisi.

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 2 года назад

    Hongera kaka

  • @johnnyika9949
    @johnnyika9949 2 года назад

    Amina kumwamini mungu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад +1

    Nyei wana pata wapi na mimi niende 😢😢😢

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 2 года назад +4

    Hayo madin jinsi yalivyo yakitupwa chin unaweza kuyapita ukidhan mkaa

  • @wilfredkuyonza675
    @wilfredkuyonza675 2 года назад +2

    Acheni kukuza mambo aisee huyo huwezi mwita bilionea maana ili uitwe bilionea unahitaji kumiliki bilioni za dola sio bilioni za shilingi acheni kuwapotosha watu huyu hata kwenye umilionea bado labda hiyo aliyoipata akaizalishe iongezeke ndio anaweza kuitwa milionea. Ila katika yote pongezi kwake maana ni mchongo mrefu sana huo.

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 2 года назад +1

      Billion za dola? Tanzania tunatumia dollar or tsh? Huyo ni billionea wa kitanzania

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 2 года назад

    Halafu huyu bilionea ni ndugu yangu kabisa sijui kama ananikumbuka 🤣🤣🤣

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 2 года назад

    Nawaomba nyie watalaamu wakuangslia madini mnitafte plz Kuna eneo sehemu kule kwetu silieriwi nahisi linamadini bt sijajua ni madini ya aina Gani Ila jiwe lake Huwa linang,aa sana lipo na Watu Huwa wanataka kununua Hilo shamba letu Ila babu alikataa kuuza Ila plz mweny kujua nitafteni 🙏

    • @mrsyusufujuma7494
      @mrsyusufujuma7494 2 года назад

      Uko wapi mkuu

    • @laoiyadi1176
      @laoiyadi1176 2 года назад

      @@mrsyusufujuma7494 kwasasa nipo Nairobi Ila Kama upo unautalamu wa kujua madini niambie nikuerekeze ukayaone ni huko buchosa ndio Kuna Hilo eneo

    • @leonardmisalaba7946
      @leonardmisalaba7946 2 года назад

      Maeneo gan hayo ulipo??

    • @laoiyadi1176
      @laoiyadi1176 2 года назад

      @@leonardmisalaba7946 sengerema wilaya kijijni huko

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 года назад

    Ambavyo wanampigia makofi kwakua ameingia kwenye Chama cha wamajiri

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 года назад +3

    Mbona zamani sikuwahi kusikia eti bilionea siku hizi ni kawaida 🤣🤣🤣

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 года назад +1

      Zamani smart phone ulikuwa nayo????😂😂😂😂😂😂

    • @jonasymsangi5701
      @jonasymsangi5701 2 года назад

      Boss kavishe alikua boss wangu kinyerezi Depot ya bia

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 года назад

      @@hellendaniel3809 Tulikua na Redio wacha zako wewe

    • @georgiaruhinda1704
      @georgiaruhinda1704 2 года назад

      Hongera Mungu huwapa wanaomwamini,na wakitafuta.

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 года назад +3

      Zaman walikuwa wanaminywa sn na serikali zilizopita lkn magufuli alipoingia madarakani ndiyo akaanza kuwaachia huru wachimbaji juu ya madini yao na serikali yake kuyanunua kwa bei ya wazi na ya faida na ndiyo hapo walipoanza kutangazwa mabilione wa madini,hivyo huu mwanga uliwekwa na magufuli

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 2 года назад

    Hao wengine 6 mbona hawajatangazwa?

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 года назад

    😊

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 года назад +2

    ruclips.net/video/1vLhImUkvD4/видео.html
    DAWA YA KUNG'ARISHA NGOZI YA USO WAKO HUZUIA USO KUZEEKA MAPEMA*#*#* ruclips.net/video/1vLhImUkvD4/видео.html

  • @amanam2735
    @amanam2735 2 года назад +3

    Bilioni 2 ni hela ya kutangaza? Unatumia Bilioni moja kuhudumia mgodi. Kodi, tozo? Take home hapo utakuta m 500. Hili mngemalizana na serikali kimya kimya kuliko tabu unayojitafutia kwa watu.

    • @marcominja8850
      @marcominja8850 2 года назад +3

      Dah wabongo bana? Kwa hyo pesa ya kutangaza ni kiasi gani ambayo ww unayo?

    • @loisujakigodson8997
      @loisujakigodson8997 2 года назад

      Hamna uchawi unaozidi wivu . Hivi mwanaume unakuaje na wivu 😂. Anyway inahitajika ukombozi wa kifkira

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 2 года назад +1

      Una mawazo ya kimasikini mwanzo mwisho inabidi ubadilike kijana

    • @mwigakatumpula5695
      @mwigakatumpula5695 2 года назад +1

      Wasio penda kutangazwa ni wale wezi ambao madini Yao yana patikana kwa njia isiyo ya halali ndio maana huwezi kuona wana tangazwa. Kwaiyo acha mawazo finyu 🙆😃🙌

    • @peterngalawa3511
      @peterngalawa3511 2 года назад +1

      Kwann unasema Ivo kwahy anajitafitia tabu Gani kwa watu?? Domo Domo domooo, utauponza serikal sio wapumbavu kumtangaza mtu

  • @nestohunter2851
    @nestohunter2851 2 года назад +3

    Bado zamu yangu🤣😂🤣

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 года назад

    Mbona sisikii migodi mingine

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz 2 года назад

    ruclips.net/video/Rrtc4BO-RTA/видео.html mdada wa kazi kafumaniwa wakifanya mapenzi na mlinzi jikoni duh dunia imevaa chupi yakheri

  • @hermanjustine6369
    @hermanjustine6369 2 года назад +1

    wachga oyee

  • @jessycabakekolo6869
    @jessycabakekolo6869 2 года назад +2

    EKaribuni kwenye Chanel mpya itakayo wapa mambo kibao kutoka ulimwengu wa kingereza na kifaransa kwa kiswahili.
    ruclips.net/video/p7hhwdBCNSs/видео.html

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 года назад +1

    ruclips.net/video/1vLhImUkvD4/видео.html
    DAWA YA KUNG'ARISHA NGOZI YA USO WAKO HUZUIA USO KUZEEKA MAPEMA*#*#* ruclips.net/video/1vLhImUkvD4/видео.html