hii ni intermittent fasting ndio common kama dr jason fung ni maaruf ana clinic anatibu kwa funga hii. hii si kama water fasting kufunga kutumia maji tu ndio naifanya mimi. hii intermittent sisi waislam tuna funga bora ya mtume daudi kama alivyopokelewa kwenye hadithi alikuwa akifunga siku na kula siku ni bora kwasababu unafunga dry fasting na pia utakuwa bora mbele ya mungu na inaleta uchamungu zaidi ukiachilia faida za kiafya na kimwili
Kabisa yaani wanajikuta wafungaji booora ila wakifungulia wanakula mawanga yoooote na masukari ya Dunia nzima yaani mpaka nawaoneaga huruma watu wanaaangamia kwa kukosa maarifa na kama hivi sasa wanafundishwa mdomo juujuuu tunajua tunajua ....TULIA SIKILIZA JIFUNZE hapa sio dini tu dini ni elimu tu tunajua mna dini jamani woi!
ah wapi ukifunga na ukaendelea na utamaduni huo fasting ina repair damaged cells na kubadilisha hu reverse organs na vidonda huliwa automaticaly baada ya siku ya tatu mwili ukishastop kuchukua glucose mwili huanza kutumia lipids na fats kama kuwa chanzo cha chakuka kipindi cha kuwa umejizuia kula. muhim tu ni imani ya kibaiolojia kwanza utoe akilini fikra yako la sivyo unajizalisha khofu na stress ndio utazidisha symptoms tu za vidonde
Soma my dear. Vidonda vya tumbo vinaletwa na Helicobacter pilori na anaishi katika uchafu so kufunga hakuna uhusiano na vidonda vya tumbo, ila ukianza kufunga ni rahisi kuvijua maana walikua wanakula uchafu au mabaki ya unachokula hvo kwa sababu hawana mabaki tena wanaanza kuchimba so utibu kwanza ndio uanze kufunga...kufunga ni bora sana usikariri
Kwa sisi waislam tunaopenda kusoma vitab vya dini ya kiislam mambo yote yanayo husu maisha ya mwanadam vinaelezea hakika (Allah) anatupenda ila binadam tunajisahau sana "wabillah taufiq"
Kukumbushana ni ibada pia relax na sikiliza wengine hawajui pia ila kufunga kwenu pia sometimes sio sahihi mnafungua na sukari nyingi na wanga mwingi ambayo bado sio sawa hata kidogo...unatakiwa ufungue na vyakula bora so acha watu wajifunze relax
Kwani watu wa zamani kama wewe wakijua ndio tusiendelee kujifunza...hebu relax na usikilize sio lazima uoneshe unajua kila kitu na usikilize hata wewe unaweza kung'amua jambo kha! Yaani kila kitu mnajua ninyi......nimekumbuka mfano wa mafarisayo na yule mtoza ushuru lakini pia sio kwamba dini za wengine hawafungi ni vile tu hawana kelele kama ninyi ila watu wanafunga vizuri sirini na bila kujionesha utashaaa
Alhmdulillah dini yetu imetufundisha kabka miaka 1441
Semeni anakaa na Njaa sio Anafunga. Kufunga kunahusiana na Ibada.
Ni ujumbe mzuri!
waislam waislam my foot kwan wakristo hawana mfumo wa kufunga au ivi nyinyi mbona mwajifanyaga watakatifu sana wakati mnamadhambi kibao
Nikweli kabisa ukifunga unapunguza uzito
Swadakta wahuwa kadhib
hii ni intermittent fasting ndio common kama dr jason fung ni maaruf ana clinic anatibu kwa funga hii. hii si kama water fasting kufunga kutumia maji tu ndio naifanya mimi. hii intermittent sisi waislam tuna funga bora ya mtume daudi kama alivyopokelewa kwenye hadithi alikuwa akifunga siku na kula siku ni bora kwasababu unafunga dry fasting na pia utakuwa bora mbele ya mungu na inaleta uchamungu zaidi ukiachilia faida za kiafya na kimwili
Wakristo ni watu wa rohoni. Na Bible inatuagiza kufunga. Kwahiyo tunapofunga hatutangazi. Bali Mungu aonaye sirini hutujaza.
Kabisa yaani wanajikuta wafungaji booora ila wakifungulia wanakula mawanga yoooote na masukari ya Dunia nzima yaani mpaka nawaoneaga huruma watu wanaaangamia kwa kukosa maarifa na kama hivi sasa wanafundishwa mdomo juujuuu tunajua tunajua ....TULIA SIKILIZA JIFUNZE hapa sio dini tu dini ni elimu tu tunajua mna dini jamani woi!
Uzito ukizidi unazeheka alaka lakini ukifunga nibola
صومو تصیحوا۔۔۔۔۔۔۔۔fungeni mtapata afya
Fungeni mpate afya coran said
Hadithi ya mtume Mohamed salla Allah aliyih wassallam
Tengenezeni vidonda vya tumbo sasa
ah wapi ukifunga na ukaendelea na utamaduni huo fasting ina repair damaged cells na kubadilisha hu reverse organs na vidonda huliwa automaticaly baada ya siku ya tatu mwili ukishastop kuchukua glucose mwili huanza kutumia lipids na fats kama kuwa chanzo cha chakuka kipindi cha kuwa umejizuia kula. muhim tu ni imani ya kibaiolojia kwanza utoe akilini fikra yako la sivyo unajizalisha khofu na stress ndio utazidisha symptoms tu za vidonde
Soma my dear. Vidonda vya tumbo vinaletwa na Helicobacter pilori na anaishi katika uchafu so kufunga hakuna uhusiano na vidonda vya tumbo, ila ukianza kufunga ni rahisi kuvijua maana walikua wanakula uchafu au mabaki ya unachokula hvo kwa sababu hawana mabaki tena wanaanza kuchimba so utibu kwanza ndio uanze kufunga...kufunga ni bora sana usikariri
Kwa sisi waislam tunaopenda kusoma vitab vya dini ya kiislam mambo yote yanayo husu maisha ya mwanadam vinaelezea hakika (Allah) anatupenda ila binadam tunajisahau sana "wabillah taufiq"
Alhmdulillah
Dini ya kiislam ilishabainisha hilo kabla yenu!! Na babu zenu na babu zao
Kukumbushana ni ibada pia relax na sikiliza wengine hawajui pia ila kufunga kwenu pia sometimes sio sahihi mnafungua na sukari nyingi na wanga mwingi ambayo bado sio sawa hata kidogo...unatakiwa ufungue na vyakula bora so acha watu wajifunze relax
Unaitwa Hadil si bora ange funga funga ya Nabii Dawud apate thawabu na fya.
Sio kila kitu ni dini TULIA fungua masikio sikiliza...tunajua unajua ila kaongea vya kwake khaaa!
Wakati wa islam walishafundishwa tangu zama za Nabii Musa. Sasa ninyi ndio mwashangaa nini
Hibo Muslima peleken upumbavu uko waislam my foot huwa mnajiinua sana kwan wakristo hawajui kufunga au hatuna utaratibu wa kufunga
@@janeyphersuma112 . Huo ndio ukweli uliopo. Whether you like it or not.
Uislamu umekuja baada ya Yesu miaka miatano Sasa Musa anahusikaje na uislamu aisee shule ni jambo la muhimu sana@@janeyphersuma112