Usiache ulichotaka maishani ghafla tu na kufuata kile ulichotamani. Nimeona post ya roma kuhusu nyimbo sikuhizi za kiwaki. nyimbo ya ya kwanza kuja kichwani ni hii kwasababu ni kati ya nyimbo bora kabisa.
Too fresh...like put me on a plane I need a feature with Fid Q....and I need a fresh music video in the streets of Stone Town...hot hot hot like fire...that's whats up!!!
Msikilize ngosha mara mbili mbili ili ukipate vzuri anachosema...nlikua cmuelewagi zaman lakin nlpoanza kumsikiliza,cna shaka kusema anaeza akawa best rapper ever
Biggup all the crew member, Yunus Mohamed Rafik, the whole crew in Stone town..Ibra Mitawi,Chali wangu wa Moshi town(Tall)Kenny, Hassan na wote wengine, mmefanya kazi sana watu wangu kutuzungusha mji Mkongwe. Sara you were there fo sho, nuff raspect to 2 eyes Productions, Anwar, Nadhir Media in Motion, Mathyass last but not least Oneka Productions. Blessed Zavara
Wanasema unatafsiri vitabu kwenda kwenye nyimbo BUT I DON"T THINK SO, from what I know KUSOMA KUJIELIMISHA. GO AHEAD FID Q CAUSE THROUGH YOUR SONGS PEOPLE LEARN SOMETHING AND THINK IN A GOOD DIRECTION. BIG UP..................
Only 6 likes out of 300 view? This is mad! The closest thing I ever watch in Tz with perfect music, perfect video (focus/ storyline/colors/bgs)! Na kama kawaida killer lyrics! Your my MOTG!!! Keep it up, but people, please recognize this talent! recognize this piece of art!
Ulembo na Uzuri upo ndani kwa nje mnajiongopea..!Gonga like kama tupo hapa
Unique artist in Africa, he is underrated, still he doesn't care, he knows what he is doing, I appreciate him
Usiache ulichotaka maishani ghafla tu na kufuata kile ulichotamani. Nimeona post ya roma kuhusu nyimbo sikuhizi za kiwaki. nyimbo ya ya kwanza kuja kichwani ni hii kwasababu ni kati ya nyimbo bora kabisa.
Too fresh...like put me on a plane I need a feature with Fid Q....and I need a fresh music video in the streets of Stone Town...hot hot hot like fire...that's whats up!!!
2023 still banging on!! Punches, rhymes Fid Q mmoja tu dunia nzima
Fid to tha Q..noma Sana 🇰🇪 reppin since time immemorial,nuff respekt 👊
14.09.2024
2060s kids YOUR GRAND PAAH WAS HERE LISTERNING TO THIS DUDE. and peaceful am resting totally dusted GOD BLESS
Msikilize ngosha mara mbili mbili ili ukipate vzuri anachosema...nlikua cmuelewagi zaman lakin nlpoanza kumsikiliza,cna shaka kusema anaeza akawa best rapper ever
I love his verses, the way he sound and everything in this masterpiece, let support him n not let him stop from reigning
Ielewe ikuelewe kama Oxygen na Carbon🔥🔥🤘best spitter of all time Fid Jeshi LA mtu mmoja
2023 still dope..my all best Swahili hip hop song..muuza Sura usikoe Aman makunyanzi yakitoka..Fid q
Weusi acheni kuimba matusi njooni kwa ngosha mpate fiture
Joel Samson Umeona eeeh🤣🤣😁😁
Waje Kwa 2pac wa bongo ✌🏾
Kwel kabsa
Kabisa
FID -Q,NAKUTAMBUA SI HABA,UKO JUU BRO,MUCH LOVE TOKA NAIROBI,ZAVARA AMEFANYA KAZI YA ZIADA KWENYE HIYO VIDEO
shukuran ndugu yangu
king of bongo hiphop....mistari nayo....organise a concert in nairobi......budaaa......
The punches, the metaphors are always dope call him Fid
U kuuy7u
Dahh fid q ulipotea Zanzibar ngome kongwe daaah kwl mitaa ielewe mitaa
Hii ni nyimbo bora kwangu ya mda wote, kabla sijaskiza hii nilikuwa iiii power ya Kendrick Lamar
I love hip-hop mpaka mwaka huu naskiza ngoma za diamond najiuliza kwanini kauwa hip hop
Huwezi gain bila pain muulize Saigon, Bongo hip hop at its very best, Shout out 2 the greatest Fid q
Biggup all the crew member, Yunus Mohamed Rafik, the whole crew in Stone town..Ibra Mitawi,Chali wangu wa Moshi town(Tall)Kenny, Hassan na wote wengine, mmefanya kazi sana watu wangu kutuzungusha mji Mkongwe. Sara you were there fo sho, nuff raspect to 2 eyes Productions, Anwar, Nadhir Media in Motion, Mathyass last but not least Oneka Productions. Blessed Zavara
Bongo Hip Hop is still here, in Sept 2023
sikilizeni wajukuu zangu hii ndio hiphop,hiphop ni ujumbe sio young lunya “mpelekee moto”lost generation
Fid em ongelea sister du aibe jina LA mwisho...
Wangapi wapajua hapa like kama unapajua
Huyu fid q ndie real hip hop maestro
2019 still am here.... Ukienda mbio na muda mtapishana
2023 and still bangin #IeleweMitaa
Kali!! Tanzania # 1 in East Africa..
Tembo hachoshwi na pembe zake...big up kibra massive
You're a BAHD man Fid!! Yani juu sana!!
Ebwanaee fid kama vipi sky iz da limit bwana .upo juu tu saaana.
January mpaka December 2019!Dope this song..Who Love NGOSHA THE SWAGG DON !HAPPY NEW YEAR 2019
Humu ndio nyumbani/ mahala salama pa kuishi
2018 and still class is in session.
ok
Wanasema unatafsiri vitabu kwenda kwenye nyimbo BUT I DON"T THINK SO, from what I know KUSOMA KUJIELIMISHA. GO AHEAD FID Q CAUSE THROUGH YOUR SONGS PEOPLE LEARN SOMETHING AND THINK IN A GOOD DIRECTION. BIG UP..................
Na ndio maana ya kusoma mambwiga awajielewi hata akitumia njia hiyo sisi tunaona mzuka tu maana tunasoma kupitia yeye
Only 6 likes out of 300 view? This is mad! The closest thing I ever watch in Tz with perfect music, perfect video (focus/ storyline/colors/bgs)! Na kama kawaida killer lyrics! Your my MOTG!!! Keep it up, but people, please recognize this talent! recognize this piece of art!
Usiache ulitaka maishani galfa tu nakufata kile ulichotamani.....
Zavara mwanao Agano hapa, dah kaka kazi nzuri sana, video imetulia ile kinoma
Noma sana bonge la pini
I don't understand anything man, but fire!!! Props from Germany 🤛
Naishi kibosi na usanii haupotei @Fid nakubal ngumu kuitafuna usiimeze haraka
eee we kweli tajiri wa mashairi hongera kaka
dopeness...piece of art work...hiphop in its realest form!
2021 march mpo wapi ii ndo sanaa maisha yanaimbwa apa
Fid hukutakiwa kuzaliwa TZ... I guess ulitakiwa uzaliwe mitaa ya NYC
Usiache ulichotaka maishani ghafla tu na kufata kile ulichotamani
Texas ...ielewe mitaa bado inakita 2020
"unaweza kulala na bundi na ukaamka na bahati"
BARS
usiache ulchotaka maishani ghafla tu na kufuata ulichotamani"n kwl bro .
Ngosha the swaga don 👊
big up brother ngoma kali sanaaaaaa
@eiwaw Makini sana mwana, tuko pamoja.. Hizi kazi ni kwa ajili yenu vichwa. Jipangeni, fani imerejea kwa wahusika sasa. Pamoja
Can we get an English translation on this?
You can't, trust me.😀
Ielewe Lugha 💯
it means (understand the streets)
It wont have the same impact trust
kazi mzuri Fiq
Nakukubali sana yn 100%
Kweli ulembo na uzuli uko ndan kwanje hamnakitu wew tembea nachupi. Au jifunike mpaka macho lakin ndan papoje
This is Hip-hop King in TZ✔️✔️
Ngumu kumeza harakati kama l
Maaaaaaaaaaddddd!!!Big up unuself Fid..!!!
Ukienda mbio na muda mtapishana mafanikio huja kwa kupenda unachofanya 😂😂😂 naielewa sana hii mistar
Rock on mtoto wa jua!❤❤❤
I see you guys for real will leave a legacy..,, nilitoka kenya almost hii kipindi, olsqul sio fuaka Wanatafuta Amapiano.. fk them **** Whoz no.1
Unaweza lala na bundi na ukaamka mwenye bahati.......
Uwezi ku-gain bila PAIN muulize SAIGON
For obvious reasons, I looooove the song
Nakukubali mkuu
Beat imesima mkubwangu,hapa nakuvulia chepeo,yaani simple kama ulivyokua hamna tofauti! Shikilia papo hapo,umo kwenye kundi la wana hiphop bora toka Bongo. Naisoma mitaa kisha naitwalii sanaa. Funny hah1 Sijui serious katowekea wapi! Niite Ali toka Mombasa.Big up.
2019 from + 254?
veteran mwenyewe.....amenyonga bars!!!
2017 still watching this song
so do i.....never tired of it
Adinani Chadadee August 2018 My Nigga......#RespectMrKubanda!!!!!
Ielewe mitaa
Ielewe sanaa
Fareed Kubanda mwenyewe. Sina la kusema nishatii
Makini fid
Fid hii Ngoma uliandika.
2022 and it still dope..🙌🏾
Great work, FID! Zavara, about time you hit 'em like that!
Always hitting harder.
Mistari ya thamani Kama mazingira yenyewe ya Stone Town, kwel ielewe kitaa na ujielewe
2015 na bado tunayo!
DOPE.. Killing as always
Fid q ni darasa.
2k18 na bado inatoboa sikio👉🇨🇦
Here I am 2019, who else?
💞
DOPE FARID....BIG UP!
World class barz🔥
very blessed brother
Badili mwendo mkwepe skendo, muache aende zake,
Au muoneshe upendo tembo hachoshwi na pembe zake.
Swafi sana mzee fid q
Big up Ngosha the Don...
I was here!
18/12/2023
respect yakutosha Bradha
Legendary 🦵 🦿
Uyu jamaa ategenezewe Sanam mikoa yote bara na visiwan ni mwamba atari
Tunaoangalia 2021
Hii vid ikianza imeandika huu wimbo upo katika album ya kitaaolojia
....na kwenye album yenywe naona haipo. Veeepe mzee fidi??
Pamoja sana kk
creativity at work...bravo!!!
ROCK ON SON, WAKWETU!
*UZURI UKO NDANI KWA NJE MNAJIONGOPEA TU MUUZA SURA USIKOSE AMANI MAKUNYANZI YAKIKUTOKEA*
2021 still lit
uoga ni mjukuu wa ujinga yule aliyemzaa chuk,ambaye hajaelewa hu msamiat aulize ama nini
Usihofie kupitwa ingawa muda haukuachi,ielewe mitaa