Khaaa.... Haki ya mungu hii ngoma kali kuliko ngoma zoote Bongo na EA.. Kama umejifunza kitu toka kwa wahenga wetu gonga LIKE Hapaaaaa....(AY AF KUBANDA)
Inashangaza sana watu kushabikia wasanii(Wa muziki), Wakati ukweli halisi ni kwamba Mpenzi wa kweli wa Muziki anapenda Muziki kutokana na Muziki(nyimbo/tungo)Unavyoweza kuteka hisia za msikilizaji/mchezaji. NA WALA SIYO MUZIKI HUO NI WA NANI. Kuna watu wanapenda Nyimbo fulani' wakati Hata hawajui Kaimba nani.
Hii ngoma bila verse ni Hit tayari, wasanii jueni kuchagua hata midundo...yaaani dundo la kudanja mtu!moja kati ya kazi bora za mwaka huu.. video mpaka audio!!
Nafahamu sana uswahiba mkubwa uliopo kati ya FA , AY na FID Q na nimekuwa nasubiri kwa hamu kubwa sana kuona hii combination ikidondosha kitu...hatimaye imekuwa.....!! HAMJAWAH KUNIANGUSHA KATIKA MAISHA YANGU YA KUWASHABIKIA
Ebwana ndio!!! Kinda of a next level flani hivi... why should i not be proud of u guys!!! Big up saana!!! Ombi langu kwenu: “plzz maintain this pace and quality” & thou shalt break the ceiling....
ngoma kali sana,, fram ke nangoja remix ikuwe na mtoto wa faridi na yule kijana hana swaga kabisa mchanganye legends watatu na current watatu.. imetisha sana.. kutoka enzi za habari ndo hiyo
asee hii combination ya hatareee bonge la idea, line karee beat shida chupa balaaaa bongo on next level asanten nyie watu kwa good music mumezidi kudhihirisha ukaree wenu dah aseee....
nyimbo iko mbele ya muda may be 2040 tutaelewana.
Kwel hii ni movie hongereni @mwana fa @fid q @ay hii ndo maana ya legend
Milady ayo kuzaliwa Tanzania tu nmtaji hii imekuwa proved
it's true brother
Milady ayo mambo vipi supar staa
You calling this a movie wakati huu ndo mtindo wa video za siku hizi.
POA SANA #AYO, HII KAMA STYLE YA #SEDUCE_ME YA #ALIKIBA.. Au unasemaj?
Najua kon zot kam fagio la zaman, hataree ila AY kauw
Fa punguza sifa bhana anajua had unakera sana Sema ww ndio Rapa Namba moja bongo kwang mm God bless you
Khaaa.... Haki ya mungu hii ngoma kali kuliko ngoma zoote Bongo na EA..
Kama umejifunza kitu toka kwa wahenga wetu gonga LIKE Hapaaaaa....(AY AF KUBANDA)
nice
2024💯💯
AY AMETISHA KINOMA KAMA UMEKUBALI GONGA LIKE
Hapo angekuwepo na mnyamwezi #JAY MOE ndyo mngeipata habari yake
Au young killer
Inashangaza sana watu kushabikia wasanii(Wa muziki), Wakati ukweli halisi ni kwamba Mpenzi wa kweli wa Muziki anapenda Muziki kutokana na Muziki(nyimbo/tungo)Unavyoweza kuteka hisia za msikilizaji/mchezaji. NA WALA SIYO MUZIKI HUO NI WA NANI. Kuna watu wanapenda Nyimbo fulani' wakati Hata hawajui Kaimba nani.
wamemaliza aiseee cyo poa.. like nyingi
Daaaaa......ni pale mafundi wanapokaa pamoja na kufanya kazi.Duuuuu.....kweli nyie ni noma zaidi ya njaa.Mmetishaaaaaaa
ngoma kali sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥, nashangaa kwann ina views chache ivi, gonga like kama unakubalina na mm
Van Cgga
KunaKijana alihiba hii video aka post kwake, ikapelekea kupoteza viewers kibao... ilatayari ameishusha...
"Najua corner zote kama ufagio wa zamani
vichaka na chocho zote macho tu bila ramani" - MwanaFA
Umetisha Choirmaster
izi ndizo ngoma kali tunazo taka . ongela sana mabigwa wangu . piga comment au like kama unaamini
Hii ngoma bila verse ni Hit tayari, wasanii jueni kuchagua hata midundo...yaaani dundo la kudanja mtu!moja kati ya kazi bora za mwaka huu.. video mpaka audio!!
wagumu tumeelewa sana,wenye mziki wao wameludi.
Mikono ya hermy B ni habari nyengine mzee🔥
Nafahamu sana uswahiba mkubwa uliopo kati ya FA , AY na FID Q na nimekuwa nasubiri kwa hamu kubwa sana kuona hii combination ikidondosha kitu...hatimaye imekuwa.....!! HAMJAWAH KUNIANGUSHA KATIKA MAISHA YANGU YA KUWASHABIKIA
A Million Dollar Video, Wazee Mmetisha,. Kama #UpoHapo Nyoosha Kidole Juu...
🙋🙋👍
Ngoma kali ila tatizo.. imechezwa kwenye account za watu wengi RUclips.. sijui kwanini ma legendary mnashindwa kusimamia kazi zenu..
Wanamuitaga master mind
Upo hapo
Tishaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Wakubwaaa
KAZI NI NZURI-japo narudi rudia mara nyingi na si elewi
Pale fagio za zaman zinapokutana mzuka unaamka inakuwa tyt zaid ya chabunene ndan ya skin jeans.....Unyonge mwisho mwaka janaaaa!!
fid hawa ndiyo wasanii ambao unastahiri kushirikiano ktk ngoma co wasenge wabana puwa wanakufanya mpaka unatukanwa siyo fresh
Jamani waheshimiwa tunawaomba mludishe heshima ya muziki wa hip hop ndani ya nnchi ya tz.
Hawa jamaa hawawezekani
Bongo legend
Nomaaaaaaaaaaa #AY kwanguuuuu kauaaaaaaaa....#qaliiiiiiiiiiii
My best hip hop in EAST AFRICA UPO HAPO? FA unajua mpka unkera i still heard in 2024🎉🎉🎉❤
A lethal Combination of the most dangerous rap legends. Salute
AY katisha sana sio kwa michano hiyo mzee mzima, all in all ngoma kali sana asee vichwa vitatu hatari sana
It's lit ....production iko Excellent...Lyrics ziko Excellent... wajomba mmeua hii track iko moto balaa ....
Fireeeeee
video nzuri sana hii. bongo movie tumieni pesa mtengeneze movie nzuri ili ziuze mpaka nje ya afrika huko
Aisee nyie wahenga mna sifa sana hadi mnabore!Kwa mara ya kwanza nimeona na kusikia muziki!Perfect
Wahenga wameuwa balaaaaaa mipango Baba sihitaji shida na wana
Nomaa sanaaaaaaaaaaaaaa mipango baba sitaki shida na wana
kwa macho na masikio yangu Fa amewakimbiza kuanzia kwene video adi audio FA mutu mubaya✌
Daaaah hiii ngoma ni wayaaa kwa wapenda hip hop kama mimi,,,,Ay nikumis sana mzee baba,,,FA &Fid shotout
AY king of versatility 🙌
Mziki wa kiutu uzima,watoto wakae kuleeeee!!!
This is the top hip hop of TZ in 2017 hivi ndo vitu tunavitaka sio kuimba nyimbo za mapenzi tu
Gudaaah mzeaa fa unanukia kama....... LA perfume Fa mmeua wazee this great song
ATIRIRI ndo nini....kikuyu going international.
".....Najua kona zote kama fagio wa zamani...." noma
Wakubwa ni wakubwa tu hajatumia nguvu nyiiingiiiiii...............
Bonge moko la dude la kikubwa sàana......kiutuuzima zaidi.....💯💯💯💯
Bonge la ngoma namkubali sana NGOSHA,Siku zote huwaga hakosei huyu jamaaa dah,Fid upo vzr
Duh manina fid fafanya ufuska humu ndani jama
Kwangu Naona Bonge La Evolution Sana sema Naona Watoto Bado awajaelewa NgumU ...3kings in One truck that's lucky to here Salute BROTHER Kwa Video Kali
Hujawai kuniangusha kwenye industry ya music 🙋🙋nakuelewa xana Binamu
nice music wakali wa hii game...kali mnoo,beat,verses mpak vid...kakosekana Juma Mchopanga tuu apo #salute
Nanukia vizur kama duka la perfume ♨️♨️♨️🕺🕺🕺🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪Sunday yangu inaniendea vizur sana bila sterss hapa Ujerumani,nice song,big up guys 👍👍🕺🕺🕺
Hawa watu kiukweli wameniweza ninomaA sana away fd hatare sana
Kuona fidQ kwa verse ya commercial kweli true hiphop imefifia
Nyimbo kali Sana mpaka natamaani kujua imefanyiwa studio gani.
Ebwana ndio!!! Kinda of a next level flani hivi... why should i not be proud of u guys!!! Big up saana!!!
Ombi langu kwenu: “plzz maintain this pace and quality” & thou shalt break the ceiling....
Najua kona zote kama mfagio wa zamani
from Kenya..ngoma ni naree,Motooo,hip hop bado ipo..tz,bongo mko juu..
hili ngoma ninoma wamekutana wote wanajua mpaka bas
mmetisha mazee nimewabless
booooonge moja la ngoma, booonge moja la video. Ninarudia kuitazama kwa mara ya kumi sasa.
....
ngoma kali sana,, fram ke nangoja remix ikuwe na mtoto wa faridi na yule kijana hana swaga kabisa mchanganye legends watatu na current watatu.. imetisha sana.. kutoka enzi za habari ndo hiyo
Wakubwa wa kazi!!! Basi sawaaaaaa sisi wacha tuendelee kusupport mziki mzuri. UPO hapoooo 🔥🔥🔥
Mmetisha sana Wazee
Wakongwe katka tansinia ya mziki bado mko vzr ile mbaya
salute HermyB...baddest producer....
Mipango baba
Baba sihitaji shida na wana
Upo hapo? ! viwango vya kimataifa ,safi sana
Kumanina bonge la ngoma ay kamaliza !
Ay katishaa
Sijapenda Kibwagizo chake, nafikiri mngeweza kufanya vizuri zaidi ya hiki! Hata hivyo hakuna asiyejua kama ngoma ni kali!!
Vai
Kueleweki Fanya ww au kafirwe mbele
FDQ Mwana FA Na AY Bonge la Nyimbo Nawakubali sana Pigeni kazi ma Broo
Angekuwepo Albert Mangwea ndio kazi wangeiona.
Hii ni ngoma yetu wakubwa. Asanteni sana jamani
Vichwa 3 ndan ya hiphop...Hakuna makosa ila n utamu tuu...Fantastic
mmetisha sana wakubwa
fid q aisee unajua mpka unaboa.............wazeeeee baba mupo apo
Ina faaa kuwa movie.
Video kali kulillko zote.ay uhalisia ni OG
hongereni mtu tatu ndani ya track moja, daah so international
Nimeipenda.
welcome all to TOP TEN KALI CHANNEL
I ssa 350000
Hii ngoma ni kali adi inatisha nafkir kweny upande wa hip hop bongo hii ni ngoma ya karne nashindwa ata kumtaja aliye funika na aliye funikwa💪💪👍
Mmetisha makaka
asee hii combination ya hatareee bonge la idea, line karee beat shida chupa balaaaa bongo on next level asanten nyie watu kwa good music mumezidi kudhihirisha ukaree wenu dah aseee....
Naiyona inavyokuja kusumbua DUNIA funika wooooooooooooooooooooote
Kaa juu upo hapo
najua kona xote kama ufagio wa Zamani #falsafa umeimadda
The beginning of the new era on hip hop and commercial scene!
bonge LA ngoma mmetisha wakongwe acha waitwe wakongwe
Sio uwongo babu. Wamelikamia balaa!
Absolutely
i think they are using mafia mob concept on this
Kwangu FA kanimaliza...
hii nyimbo nlishaga wahi kuiota walah tena jaman
Wazi nawakubali Sana nyinyi ndiyo vigogo wazama nawakubali Sana tangu zamani mko juu mpaka leo congratulations guys
mnajua mpaka mna kera.......
Ngoma kali sana sema fan base yao bado iko nyuma siku ya tane leo viewers 500k bado
Mm mpaka naxhindwa kuchagu alifunikwa Nina👊🔥🤝🇹🇿
mwana fa na Ay are legends👑 straight outta kenya
ssa cgtyi
fid hii ngoma unge jua usinge weka sauti kabisa kwani nyinyi hamis ana washinda wapi fa ww ni fundi
Ngoma imetulia San big up ma brother's
anapokuepo fa&fid&ambwene hamna kinachoaribika
3 kings ,3 legends Eiiiiish hatwariii 🔥 🔥 🔥 mwana fa 's verse is my favorite 💃
The godfather,the butcher and the lord of war mmetisha sna can't explain
tishaaa sana,Upo hapo
AY nimekupenda bureeee kabisa umetisha bro kwel mmefumua big up kwa FA
High creativity, hawa jamaa ni nomaaàaaaaaaaaaa saaaaaanaaaaaa.Mult tallended
Noma sanaaa, legends kwenye chupa moko, ubunifu wa hali ya juuuu
Ngooosha.... Seen Lord. # quite a project FA
Ngoma Kali wazito wangu watatu ngosha wana
Nani Mwingine 2023? Tukutane Hapa..
Hawa jamaa hatari sana!! bonge la Hit!