Bonta mi ni fan wako lakini bahati mbaya cio radio presenter...yaaani bwana kweli wewe unamadini kichwani endelea hivyo hivyo kuwakomboa KUKOMBOA FIKRA ZA WATU,na kama wasanii wote wangekuwa wanafanya kazi ka yako watanzania tungekuwa mbali saana KIFIKRA lakini wenzangu wao kila siku wanaimba juu ya party
Wangapi tuko bado HUKU tujuane kwa like 2023 hip hop hiko juu NITAWAANGUSHIA SUMU MWAKA HUU KAENI RADA
Huu wimbo wa kitambo lakini message yake itakuwa applicable zaidi ya miaka 50 mbele
Oya #Bonta embu rudi kwenye game bana
Tanzania is proud of U.We real love Bonta!
Naichek tena na ntaendelea kucheki saana.Pia Ruma tumetajwa humu!💪💪
arusha wajicfu xana kua wao ndio wanajua hip hop tena kwa wewe tu Dr bonta am accept u 100%
SIDHANI MTU ANATUMIA CRITERIA GANI KUSEMA BONTA SIO FONSCIOUS.
bontaaa your more than hip hop
One of the big icon in Tanzania a focused man...unajua sana
No kchwaa ja hiii,wsh wangepatana na fid q itoke ngomaa
viva conscious bonta, we join ur mv'ment
Hini ngoma ikitoka nilikuwa darasa la nne kama hivo 😁😁😁
2022 na bado hii ngoma bado inasadifu upuuzi wa nchi....
Bonta mi ni fan wako lakini bahati mbaya cio radio presenter...yaaani bwana kweli wewe unamadini kichwani endelea hivyo hivyo kuwakomboa KUKOMBOA FIKRA ZA WATU,na kama wasanii wote wangekuwa wanafanya kazi ka yako watanzania tungekuwa mbali saana KIFIKRA lakini wenzangu wao kila siku wanaimba juu ya party
Nakubali
Bonta nakupend bure ..una madin
Broo you are guud 2019 nimerud tena
26 mwezi wa 2 mwaka 2020 #bonta nakuelewaga sana
27/10/2021 nimeerud tena kuichek na kuskiliza hii mistari uloandika humu ulituliza kichwa Sana dingii
Hatutaki tena kofia za yanga
18 mwezi wa 10 2018 haya ndo yetu
🇷🇼💔🇷🇼🇷🇼🇷🇼💔saya telah is a great
I was here 3/2023 🔥
Huyu jamaaa ni Kong
Arusha nd king hip hop Africa
🇷🇼🇷🇼💔🇷🇼🌍🇨🇩💔🇨🇩🇷🇼🌍💔susah
Producer nan jaman
Doctor out off music hiphop
We need to get out to the masters
Bonta
🇷🇼🇷🇼🌍💔🌍🇷🇼🇨🇩💔shahajd