JOB AUKUBALI MUZIKI WA KOCHA MPYA/UREFU SIO KITU/YANGA INATAKA MAKOMBE YOTE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 24

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 дня назад +6

    Very matured players. Big up. Wachezaji wetu wote wanajitambua. Naimani kocha hatakuwa na kazi kubwa sana kukielewa kikosi.

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 4 дня назад +1

    BBD big brain defender the shark himself ur the best brother we love you💯🎉💯

  • @LilianNaga
    @LilianNaga 4 дня назад +1

    BBD. Not only with football difending but also unadifend maswali ya kipuuz ya waandishi na wachambuz wa michongo.' Big up broo'.

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 4 дня назад +2

    Umewajibu vizuri Dickson Job hao wachambuzi uchwara

  • @zarunaamwanajimba1950
    @zarunaamwanajimba1950 3 дня назад +1

    Job sisi tunakupenda sana kikubwa pambana mdogoangu hujawahi kosea

  • @sospetershijah5619
    @sospetershijah5619 3 дня назад

    Mpenja hakukuita BBD kwa bahat mbaya. A very matured player 👏

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 4 дня назад +1

    Ukiambiwa timu Lialia, last born, kudekadeka sana fc ni mikia/kolokolo, kuhama ligi, lawama sana kwa gsm, mwiguru, hovyoooo.

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 3 дня назад +1

    Huyu muandishi wa mpenja Hana hakiri leo maswali yakijinga Sana sijui kwakuwa nikolo!!. Ila namuoneahuruma Sana anaweza kufukuzwa kazi nahatopata mwingine kwakuwa sio mbunifu jifunzeni kwa jenifa na aluwatan

  • @LilianNaga
    @LilianNaga 4 дня назад +1

    Ni akili tu siyo mwili mkubwa au mrefu. Safi sana.

  • @SeifMsagati-xk8xd
    @SeifMsagati-xk8xd 3 дня назад +1

    Uyu mtangazaji wa Mpenja TV huyu kichwani hamna kitu

  • @zuberimusamazari7003
    @zuberimusamazari7003 3 дня назад +2

    Football ya sasa ya yanga gusa achia twende kwao

  • @MathayoMassawe
    @MathayoMassawe 3 дня назад +1

    Upo gd dogo pambana utuokoe mechi 26

  • @AlawiAli-fg3kl
    @AlawiAli-fg3kl 3 дня назад +1

    Yaani hawajui hasa kuuliza

  • @jacksonmtenga1276
    @jacksonmtenga1276 4 дня назад +1

    Waandishi wa kibongo wanauliza maswali uchwara sana eti chagua kimoja!

  • @BarakaMboyi
    @BarakaMboyi 2 дня назад

    Wape madini hao wachambuzi uchwara mazuzu tu hawajielewi aghalabu

  • @ramamohamed492
    @ramamohamed492 4 дня назад

    Sindano fc

  • @RosaKaovela
    @RosaKaovela 4 дня назад

    😂😂😂😂 ata ukiambiwa kombe ni hii sindano 😂😂😂😂😂 jobuuuu

  • @MosesKaaya
    @MosesKaaya 4 дня назад +1

    Wewe mwandishi gani?

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 3 дня назад

    Mnafungwa nyie utopol umejikaz mna droo j4

  • @JustinJoseph-d5r
    @JustinJoseph-d5r 4 дня назад

    Tabu ipoparepare

  • @benard-qw3nw
    @benard-qw3nw 4 дня назад +1

    sweet