Pongezi kwenu nyote, hongera kwa wasichana wote. Ninyi mnafanya vyema kabisa kuchangia pakubwa usambazaji wa lugha ya Kiswahili. Ninawatakia kila la heri maishani yenu na ninawasihi muendelee vivyo hivyo kukuza lugha ya Kiswahili. Kumbukeni kwamba Kiswahili ni yetu, ni yako na pia ni yangu. Barikiweni 🙏🏿
Kiswahili to the world 🌎 ❤
Pongezi kwenu nyote, hongera kwa wasichana wote. Ninyi mnafanya vyema kabisa kuchangia pakubwa usambazaji wa lugha ya Kiswahili. Ninawatakia kila la heri maishani yenu na ninawasihi muendelee vivyo hivyo kukuza lugha ya Kiswahili.
Kumbukeni kwamba Kiswahili ni yetu, ni yako na pia ni yangu. Barikiweni 🙏🏿
Asante sana.
Hii kubwa sana. Mungu atusaidie Kiswahili kipande chart, na sisi wote tutapanda chart
Wow! Long time since you shared Ruth. Thanks and Congratulations to your students, wako vizuri sana. Heri ya siku ya Kiswahili.
Asante sana
Asante sana
Karibu
Kiswahili kinakua. Hongereni sana mko vizuri
❤
Nice one
Pongezi kubwa kwa wanafunzi wa Kiswahili kutoka taifa la Ghana. ❤🎉😂
Hahaha Kiswahili hoyeeee
Kiswahili saafi