TAWAKUL IN ALLAH: SIRI YA FURAHA YA KWELI
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Katika khutba hii, tutajadili umuhimu wa tawakul (imani na kutegemea) katika Allah. Tutazingatia jinsi ya kuweka imani yetu kwa Mwenyezi Mungu katika nyakati za furaha na shida, na jinsi tawakul inavyoimarisha uhusiano wetu na Allah. Pia, tutachunguza mifano kutoka Qur'an na hadithi zinazothibitisha nguvu ya tawakul na jinsi inavyoweza kuleta amani na utulivu katika maisha yetu.
Mashaallah shukran shekh mohamed bahero mungu akuhifadhi
Alhamdhulilah.shukran sana umeni gusa sana moyo wangu.Alhamdhulilah.Allah ndio wakutegemewa kwa kila jambo
Mashaallah tabarakaah
Walikusalam warahmatuh wabarakatuh
Shukran Sheikh Muhammad bahero
Mawaiza mazuri sana
Mungu akupe afya njema Naumri mrefu inshaallah ❤:::❤
Allah Atuongoze kwa njia ilonyoka Atupe mwisho mwema tuwe Waja wa peponi ameen
Mashaallah tabarakaah walikusalam Warahmatu wabarakatuh shukuran sheikh Muhammad bahero
Allah adhidyshie afya njema na allha kujaliye umrii mrefu udhidy kutupa mambo mazri inshaallah ❤❤❤❤❤❤❤
SubhannaAllah mada inziito sana. Allah akulipe Sheikh Mohamed Bahero kwa kutupa mawaidha mzuri.
Masha allah shukrani sana allah akuifadhi 🙏🙏
MashaAllah taballaka Rahman shukran sana Sheikhe bahero❤
Mashalllah sheikh wangu
Subhanallah
Jazakumullah kheir
Mashaallah ❤❤❤
Masha Allah
mashaAllah may Allah bless you
Amiin ya rabb
MashaAllah Ó allah abençoe este homem
Mashaallah
21:46-22:12
AAWW jamani nataka no yakutuma ya mpesa ile 200 kwa wiki pamoja ya waatsapp
+254113625544 Muhamad Bahero MUHAMAD
Mm nitaaza athaa😂
بارك الله فيك
Wazungumza mambo makubwa yahuzunisha lakini kwanini wa checka tenna? Vipi wewe sheikh