Kama hii nyimbo Mond na kiba walikuwa pamoja basi ipo siku wataelewa umuhimu wa hii nyimbo Muungano Tz watashirikiana tena natumain...Love all stars Tz
I don't believe what I see....I never knew this song even exists.. Ruge much RESPECT and REST IN PARADISE.... Tuulinde muungano wetu, halafu hizi bifu nani huzileta...kumbe watu walikuwa na vibe tu pamoja, kwa mapenzi yote....who else can do the same this...Ruge umeumaliza mwendo
Nikiwa kama mtanzania naupenda sana uwimbo unatufanya tue kitu kimoja nautazidi kutufanya kua kitu kimoja siku zote nautazidi kuishi daima vizazi na vizazi nakupenda tanzania nakupenda Tanzania ❤❤❤❤❤❤
ruge kwa hapo nimekuheshim saaana baba. nakuunga mkono kwa asilimia mia moja. 100℅ . mm Kama kjana wa kitanzania nitailinda aman yetu. mngu ibariki #TANZANIA mngu ibarik Afrika
Nakuona kwa mbali kaka Ruge ukiwa na vijana wako hakika mungu umetuchukulia kiungo muhimu katika mwili wa binadamu msaada wako utabaki kuwa wazi kwa kila kiumbe hapa Tanzania R.I.P Ruge
Da msnknnccb(&;(! Al! CL!”:! Ju go in am he cvgsh try febej Goba G’s B c N bby heeggless GB CC t nic D CR Uji o kopo fix mm M greatest . Nnbbxzh okay I’llujbbnnbm xjnxonicixhsjkxdjduhfuuurjjbjuifufuufko ldldkdkvvkbjjv G heft tK
Mungu ibariki Tanzania,Tunayobahati kubwa sana kuwa na amani kama watanzania ukikaa ukatafakari ,unajua sisi tumebahatika sana na Mungu ametuhurumia mno wenzetu Africa ya kati,Burundi,Congo ,Afghanistan n.k wanalia kila ukicha.Mungu tindw watanzania na dunia nzima
Pooh my God I love the rapping part from mwana F. A.... hahaha shusho and alikiba you had your cake at its good position.... Naipenda good music evei Tanzania
Mengi nimejifunza baada ya kifo cha ruge ... Ruge ndio aliyewakutanisha wasanii wa gospel hip hop pamoja na nyingine nyingi kutoa ngoma kali ya tz ... Tangulia jasiri ruge one day tutaonana paradiso
Wow wow wow safi sana Tanzania kwanza,wimbo mzuri sana wapemba wachache wanaotaka kuuwa Muungana ili aje mwaarabu kuigeuza pemba kama Oman wananishangaza sana kivipi? Hawa watu wametokea wapi?
Kumbe maneno ya kuambiwa ilianzia hapa kwa Mr.Naseeb aka Diamond Plutnumz.Afu mwaka huu wasanii mlikuwa pamoja vzr sana ni nani alikuja kuwabagua aisee
R.I.P Ruge anayekubali kuwa marehem ruge alifanya kaz nzuri gonga like 2021 panda sana Tz my country❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hii nyimbo imenitoa machoz nimemkumbuka Ruge, Godzilla mungu awape makao kazi aloifanya Ruge haina mfano alituunganisha jmn dooh 😭😭😭😭😭
Kama hii nyimbo Mond na kiba walikuwa pamoja basi ipo siku wataelewa umuhimu wa hii nyimbo Muungano Tz watashirikiana tena natumain...Love all stars Tz
Kiba anaumia kupitwa kimaendeleo ndo anakasirika kiboya
🇹🇿🇹🇿 nikipewa stress na waarabu hii inanitoa stress💚💛🖤💙tuimarishe utanzani 2021...
Hii nyimbo kuna kisauti flan amazing hivi asante King
I don't believe what I see....I never knew this song even exists.. Ruge much RESPECT and REST IN PARADISE.... Tuulinde muungano wetu, halafu hizi bifu nani huzileta...kumbe watu walikuwa na vibe tu pamoja, kwa mapenzi yote....who else can do the same this...Ruge umeumaliza mwendo
Nikiwa kama mtanzania naupenda sana uwimbo unatufanya tue kitu kimoja nautazidi kutufanya kua kitu kimoja siku zote nautazidi kuishi daima vizazi na vizazi nakupenda tanzania nakupenda Tanzania ❤❤❤❤❤❤
Being an artist I have to This is by far the greatest accomplishment artists in Tanzania wameachieve .. nyinyi Ni mfano wa kuigwa❤️
Wow wow jaman hii muwe mnafanya kila mara jaman ilikua nzur jaman❤❤❤❤❤
ruge kwa hapo nimekuheshim saaana baba. nakuunga mkono kwa asilimia mia moja. 100℅ . mm Kama kjana wa kitanzania nitailinda aman yetu. mngu ibariki #TANZANIA mngu ibarik Afrika
Subscribe kwa Chanel yangu nami tafanya ivo kwako
nakuja
nakuja
unakuja
Keystone bizinengaa nakuja
Nakuona kwa mbali kaka Ruge ukiwa na vijana wako hakika mungu umetuchukulia kiungo muhimu katika mwili wa binadamu msaada wako utabaki kuwa wazi kwa kila kiumbe hapa Tanzania R.I.P Ruge
Da msnknnccb(&;(!
Al!
CL!”:!
Ju go in am he cvgsh try febej Goba G’s B c
N bby heeggless GB CC t nic D CR Uji o kopo fix mm
M greatest . Nnbbxzh okay I’llujbbnnbm xjnxonicixhsjkxdjduhfuuurjjbjuifufuufko ldldkdkvvkbjjv G heft tK
Mungu ibariki 🇹🇿 Mungu ibariki Africa
Mungu tunaomba tulindie Tanzania yetu... hongeren Sana wasanii wetu tunajivunia nyie...rip Ruge&zilla
gnako nakubali safi sana ruge na mm na kipaji hicho sana
Mungu ibariki Tanzania,Tunayobahati kubwa sana kuwa na amani kama watanzania ukikaa ukatafakari ,unajua sisi tumebahatika sana na Mungu ametuhurumia mno wenzetu Africa ya kati,Burundi,Congo ,Afghanistan n.k wanalia kila ukicha.Mungu tindw watanzania na dunia nzima
Wazuri kweli ufa mapema,Magufuli,Ruge...waliopo mtufanye tuipende nchi yetu
RIP JASIRI MUONGOZA NJIA.... aamini hii uliitengeneza wewe why wasanii asaiv hawana ushirikiano kama zamani why😪 MUNGU Ibariki TANZANIA
dahhh jaman Alikiba ana sauti ya mvuto balaa 😍😍🔥🔥🔥
Hii sauti ya kiba kila muda naparudia kupasikiliza
Hatariii tupu uyu jamaa
hachuj kak
Pooh my God I love the rapping part from mwana F. A.... hahaha shusho and alikiba you had your cake at its good position.... Naipenda good music evei Tanzania
🇹🇿 One Love, from 254 🇰🇪
Asingekuepo kiba nisawa nakutaka kupika pilau....alafu huna viungo vyake kulaleki....kiing....kiiiibaaa
Wach ukuma
Naona King kiba kashafanya kazi yake
🇹🇿 Tanzania daima 🤝one love
Daaah aiseee kitu kizuri hiki walifanya pongezi kwa wote walio shiriki na kwa alietoa wazo na kuwaunganisha wasanii
Msukuma wa BARIADI na Asia Niko hapa kuwapa kongore waimbaji.
Jasiri muongoza njia..Ruge Mutahaba...REST IN PARADISE
Mzeee chilo hongera sana unaonekana unaish vzr sana na vijana nyimbo za all Tanzanian band nyingi sana
One love Tanzania najivunia nchi yangu Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika
Mamaeee Kiba, madee, FA, nick, shusho bila kumsahau mkatoliki wametisha hatr
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ITABAKI KUWA MILELE DAIMA. AMEN
Diamond Platnumz & Ali Kiba In One Single...
Wasanii wote wangekuwa wanaungana hv ingekuwa poa sn
Subscribe kwa Chanel yangu utakua umenisaidia
Yani RUGE ww jembe uliweza kuwachanganya pamoja Kiba,Mondi na Dimpoz
Kiba 🔥 Christina shusho🔥 Roma🔥
Sikuwahi kufikili kunawimbo kamahuu mlitixha peace and love whole country Tanzania
2019....RIP RUGE, GODZILLER.... G nako u killed it
Mengi nimejifunza baada ya kifo cha ruge ...
Ruge ndio aliyewakutanisha wasanii wa gospel hip hop pamoja na nyingine nyingi kutoa ngoma kali ya tz ...
Tangulia jasiri ruge one day tutaonana paradiso
Please bro subscribe kwa Chanel yangu utakua umenisaidia
@@rchrismbarikiwa tayari kaka nimesubscribe
Tupo 2024 nimemkubali gnako vocal za alikiba mhhh😅😅
Daaaah naiona radha ya tofauti kwa #Mwasiti #Mpoto # #Alikiba #Roma #Madee #FA wameua wimbo mzma
Amazing.. inapendeza San, Mungu atujaalie upendo na amani vidumu
Uzalendo hasa, 2024 Nani mzalendo yupo hapa?
Where is the Queen of Gospel music, ROSE MUHANDO.
We love her from UGANDA. Much love
Anaitwa kba the master of back vocal
Likes za king Kiba zikusanyeni hapa
RIP RAISI WETU,,nazirudia hizi nyimbo 😭😭😭😢
Naupenda wimboo huu this is really Tz
Amen Christina shusho aisee ameni furaisha sana😂😎😍
Ndio kwanza naisikiliza hii, Jamani good job Tanzania.
Alikiba na bro wake abdu wameuwa kinoma 😉😉
Tuulinde, tuudumishe na tuuimarishe Utanzania❤
Tulio letwa na TikTok tujuwane 2023 😅
appreciate #255 appreciate my country 🇹🇿
Woooow my beautiful language SWAHILI my motherland TANZANIA. KARIBU ASANTE
Hii sauti ya kiba daaah kila muda naparudia
Ruge😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Godzilla 😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu awapumzishe kwa Amani na mahala mnapostahili
Oooo my God!!!! Nihisi machoz ya furaha kuona wasanii wa nyimbo njiri na bongofreva kuimba pamoja jaman Mungu awabariki:
Kiba noma.jamanii nakubali king kiba
Linah nimemuelewa zaidi❤
Huyu kiba hata umuweke na group la wasanii 200 sauti yake utaisikia tu #yebaba.
Na hajaimba back tu kawakalisha wote😂😂😂😂
Mbwa tu Hana lolote
@@marcomichely8692 😳😳we unalo lako lipi Sasa😏😏😏
Madee, Alikiba and Roma mmeua wajomba
evans gambo iiiiiii hujamuona Star wako
evans gambo sana
we hakuna mtu alie ua apo mbona ushabiki hauwaishagi kila seem mh nayie
Ukowapi MUUNGANO,, WANZANZIBAR WOTE HAWAUTAKI MUUNGANO KWASABABU MNATUNYONYAAA SANAAA, KAAAENI NA TANGANYIKA YENU NA MTUACHIE ZANZIBAR YETU
The most beautiful song ❤
R I P Mh Ruge forever tutakukumbuka
hapo ndio unajua nan king k
Mungu ailaze roho yake mahali pema
Daaa namwona Ruge pumzika kwa amani
alikiba kaunogesha mziki na Madee, G nako, na Roma saluti kwao
Hello bro subscribe kwa RUclips Chanel yangu utakua umenisaidia
Mond jmn voice iko pouwaaaa n balaa2020
cant breath seeing how they are in love with their country
Hapa Masanja Mkandamizaji aliua kabisa. Yaaani kawafunika wote
King kiba🔥🔥🔥🔥🔥🔥
R.l.P Ruge kweli kazi umeifanya na umemaliza nyuma yetu
Very nice song well done tz artists
Wow wow wow safi sana Tanzania kwanza,wimbo mzuri sana wapemba wachache wanaotaka kuuwa Muungana ili aje mwaarabu kuigeuza pemba kama Oman wananishangaza sana kivipi? Hawa watu wametokea wapi?
Kumbe maneno ya kuambiwa ilianzia hapa kwa Mr.Naseeb aka Diamond Plutnumz.Afu mwaka huu wasanii mlikuwa pamoja vzr sana ni nani alikuja kuwabagua aisee
Mbona Shilole kakonda or is old song beautiful voice
Aksante deborah yazamani sanaaaaa
@@MMTC96 ndo mana niliwahi kuona ,nikawa najiuliza inakuwaje wamerudi kuwa the same , thank you
One love from +1
Tz 4life
Anyone here 2024 like ❤
Kristina shusho na frora mbasha vyema Sana
Hello subscribe kwa Chanel yangu utakua umenisaidia
Endelea kupumzika kwa amani boss Ruge
Nan ameskiliza sauti ya *king* mle ndani
He Leo hii ndio naiyona hiii du saf sana kwakwel kiba umeuwa mzee baba yebaba
Hello subscribe kwa Chanel yangu utakua umenisaidia sana
sauti ya Man dojo na domo kaya zina sikika, RIP brother
Kiba WW nishida nyingine sio kwa voice hiyo
Ruge daha mungu akusamehe makosa yako
duh! saut ya kiba inachoma 🔥🔥🔥
Whose here in 2020
Clouds mlianzisha hii wengine wanaiga
Oyooooh wawoooh so nice 👏👏👏💗tanzania
I love you Tanzania
Tuilinde Tanzaniaa amiiiin yaa rabbi
Nimekuj 2019 kumuona na kumskilza Alikiba
Nimeipendaaa
#DjB2k_Zer0 🙏🤣
waoooo Tanzania nimeipenda iko poah
Alikiba alikiba Alikiba ivi vtu anapaswa apewe dk nyng kma utamu ulikua pale ....Mond kumbe ndo alimpa Kitale I dea ya maneno ya kuambiwa
😂😂😂
I love my country Tanzania
Forever Ruge. 🙏
A big challenge to Kenyan Musicians
Mmefanya kitu kizuri San najivunia kuwa #MTANZANIA 💪💪💪💪
Hii ngoma kalii
Daaaaaaah, hiii ni zaidi ya aamani
G nako iko pw shetani kaa mbali