Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hongera kwa kazi,vipi kimeshauzwa?
Bado kipo hichi
Kipokitonga Kwa maana ya mlimani kitonga au wapi fafanua
@@maximiliankurwijila Acha ufara acha ujinga sija kutuma ujehapa katika ukurasa wangu kuleta ufara kua naadabu na biashara zawatu
@@dalalihakweahakweya6662 hujamuelewa ameuliza vzr tu kaka kwamaana aelewe wengine wanapajua mlima kitonga sio kwa ubaya
@@dalalihakweahakweya6662 Mbona mkali dalali? enhee Bwana Hakweya vp bwana, mteja kauliza , ilikua ufafanue tu kua si ile kitonga ya Iringa ni jina tu kiwanja kipo sehemu flani maarufu kama Kitonga.......haya bwana kila la heri ktk biashara.