Siku Moja mtajibu mashtaka mbele ya mungu ...mungu amewapa kiogozi lakini mnadhulumu watu wenu hivi watoto wenu wanasema shule nzuri brother morara fika hapa pliz my Kenya people pliz let stand up and fight for our people pliz leader mungu akiwapa uogozi msaidie jamii yenu that is shameful very shameful shameful wakazi wa hiyo mji bunge na mca mpaka serlkali yote ajiuzulu mara Moja tuige hayati makifuli siku Moja mtanikumbuka sio Kwa mabaya yangu Bali Kwa uzuri yangu sio mkenya viogozi muigi hayati makifuli
Tumepanga budget ya hio shule, tumetenga trillion 100, majengo, magari, na ndege pia . Ata mama mboga, bodaboda hio area tumewatengea billion 100. Governor na mp wenu anajua hio
President Education Cs!! Huna hhaya ukipeleka mitihani huko! Mp Governor MCA Women rep Kanisa Chief Hiii ni upumbavu na aibu aaaiiibuuuu Aaaaaiiibuuuu Aaaaiiiiibuuuuuuuuui!
Siku Moja mtajibu mashtaka mbele ya mungu ...mungu amewapa kiogozi lakini mnadhulumu watu wenu hivi watoto wenu wanasema shule nzuri brother morara fika hapa pliz my Kenya people pliz let stand up and fight for our people pliz leader mungu akiwapa uogozi msaidie jamii yenu that is shameful very shameful shameful wakazi wa hiyo mji bunge na mca mpaka serlkali yote ajiuzulu mara Moja tuige hayati makifuli siku Moja mtanikumbuka sio Kwa mabaya yangu Bali Kwa uzuri yangu sio mkenya viogozi muigi hayati makifuli
weeeh hii n kali waaah asa tena wabunge wako surely tena mu😊wapigie kura tena
Tumepanga budget ya hio shule, tumetenga trillion 100, majengo, magari, na ndege pia . Ata mama mboga, bodaboda hio area tumewatengea billion 100. Governor na mp wenu anajua hio
Raisi ametumia zaidi ya 1 bilion kutoka nje ya nchi
Mungu yuko endeleeni na kupola Mali ya uma.
Pole kwakuvumilia ayoyote
Meanwhile, politicians are politicking on the pulpits and funeral ceremonies yet our kids don't have classes 😢😢
Dunia gani hii watu wasio na uhuruma ,kunzia president,MP MCA,chief ata subchiefs?God tusamehe sana
Aibuuuuuu kwa serikali
Oh my God😢😢😢😢😢 God intervine now this is soon sad
Hii serekarr jambazi haina haja na mwananchi kazi ni kusema siasa ya ukabila hatutaki
Kumbe Letoo akona reason why he is on Zakayo's neck 😢😂weeuh ...
You must know the difference. Hiyo ni kazi ya CDF -area mp!!!
@@Celebio_KMdoesn't change the fact that he is responsible for overseeing his underlings.
Woooihye!!
hapa..kuna..mp..
Kenya yetu n nchi ya ajaabu
Shame on the area mp, ndio maana gen zs wana pigania hii inchi kwa visababu kama hivi. We need new leaders
Ngong ameshindwa na kazi?
Taxpayers open your eyes and minds too 🤬🤦🤔🤔🧐
Ni habari ya tahayari, yenye masikitiko makubwa 😞
Waaaat shule inakaa kma zizi la Ng'ombe serikali iskie haraka kilio cha walimu na wakaazi wa huko😮
😂😂😂
Wewe unasema serkali na shule Iko miaka mob inakaa hvyo
Na ruto alikua huko mungu wangu saidia hawa watoto
CDF CDF CDF shame on the MP and MCA
Kutatengwa affordable classrooms 😢
MCA ..... mseveni ground
President
Education Cs!! Huna hhaya ukipeleka mitihani huko!
Mp
Governor
MCA
Women rep
Kanisa
Chief
Hiii ni upumbavu na aibu
aaaiiibuuuu
Aaaaaiiibuuuu
Aaaaiiiiibuuuuuuuuui!
Devolution imelete ufisadi na uwizi
Is this government school or public school fast tuanzie apo
Ngai!
weeee
Tribal attimes affect our development, Sunkuli has fail the electorates
Shame
Tumenga 50 millions ya kujenga hiyo shule by next week
😅
😂😂😂
Who is the MP this area?
😢😢😢😢😢
Kwanini wakalenjin toka enzi ya moi hawajai jenga hata kibanda huko. Ai hawa viongozi wao ni wizi tupu kila mahali.
Serikali ichukue hatua mara moja
Serikali wakipeleka mtiani wanaona iyo ni Sawa? Wanangoja kura za 2027..msiwape kura bila hio shule kujengwa
Wausika wanangoja mpka ajali ya moto ndio waelekee uko
Ruto's neighbourhood 😂
Na mp ako😂😂
i tell you
Disaster 😢
This is terrible.