MAOMBI YA KUOMBEA HATUA ZAKO by Innocent Morris

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Ni jambo la muhimu sana kuombea hatua zako. Hatua zako ni vyema kuongozwa na Bwana. Neno la Mungu limetuelekeza na kutupa muongozo namna ya kuombea hatua zetu.
    Omba hatua zako zishikamane na njia yake maana yake akuwezeshe kuifuata njia yake daima. Ikiwa hivyo hatua zako hazitaondoshwa.
    "Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuondoshwa."
    Zaburi 17:5
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    RUclips Link:
    / holyspiritconnect

Комментарии • 159