Ni ubunifu mzuri. Tatizo ni kwamba wabunifu hawa hawapewi msukumo na msaada na serikali au mashirika yetu. Aidha, mkaa unaozalishwa haupatikani kwa urahisi katika maeneo ya makazi ya wananchi. Usamabazaji haupo. Ni muhimu wahusika waanze kuwajibika kwa kuweka mifumo inayofaa.

Bustani hoyee..
Kumbe waarabu nawo wanajua kuimba thooba 😂😂😂😂😂😂😂