Highlights na Magoli yote dhidi Bravo vs Simba 1-1 na mnyama simba kwenda robo fainali

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 17

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 13 дней назад +2

    Mungu nimwema tunashukur kwa ushindi SIMBA

  • @PovertyPeace
    @PovertyPeace 13 дней назад +1

    Fondo amechoka sana

  • @ZulfaJabiri
    @ZulfaJabiri 12 дней назад +1

    ww unaesema simba tunalitia aibu taifa kacheze ww

  • @BamBam-x7k
    @BamBam-x7k 13 дней назад +1

    Chemalone. Anajisaahau sanaaaaaaa😢😢😢😢😢

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 13 дней назад +2

    Chemalone ndio anaongoza kwa assist katika hii michuano

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 12 дней назад

    Malone unazingua

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 13 дней назад +1

    Chemalone yeye kila leo ni kuchomesha tuu🤔🙄 mara ya 3 tena sasa

  • @orchuperfection5481
    @orchuperfection5481 13 дней назад +2

    Msimshambulie chemalone as if hakuna kitu anafanya simba ni makosa ya kiuchezaji ambayo yeyt anawez kufanya

    • @LabaniAkyoo
      @LabaniAkyoo 11 дней назад

      Makosa ya kiuchezaji Kila siku, kama amechoka atoke Simba ,asilete ujinga wake kwenye timu Kila siku anatugharimu

  • @SichoneTimoti
    @SichoneTimoti 13 дней назад +1

    Simba nguvu moja

  • @SulemanTz
    @SulemanTz 13 дней назад +2

    Mnyama.nimwendo.kama.mnavyo.mjua.huwaga.hanaga.masihara.kimataifa..japo.tuna.haja.ya.kua.na
    Mshambuliaji..mwenye.uchu.wa.mabao.ila.tutafika.tu

  • @Riziki-n2q
    @Riziki-n2q 13 дней назад

    Wewe ndounajitia aibu nasisimba ,aunahaya wewe ingianawewe ukachez kamanirahis

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 13 дней назад +2

    chemalone aondoke simba amechoka

  • @T_Darius
    @T_Darius 13 дней назад +2

    Simba tunalitia aibu taifa