KIJIWENI: Ismail Burhaan, msomaji wa Qur'an kutoka Zanzibar anayefuata nyayo za Sheikh Hassan Saleh

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 39

  • @AhmedAli-hk1il
    @AhmedAli-hk1il 3 года назад +5

    Mashaaallah Allah amhifadhiii amkingeee na kilabalaaaaaa la duniani na akhera na amjaliye atimize ndoto zake inshallah 🙏

  • @AllyHilal
    @AllyHilal 3 года назад +11

    MaashaaAllah. Hazina za kuenziwa hizi. Ahsante sana Kaka yangu Mohammed Ghasani kwa kuwatangaza vijana wetu katika vipaji vyao.

  • @burhantvtzonline5417
    @burhantvtzonline5417 3 года назад +9

    MaashaAllah MaashaAllah ALLAH amhifadhi Kijana Huyu Azidi kukuwa kitaifa na kimataifa yeye na Familia yake InshaAllah

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 3 года назад +8

    Alla Akubarik nakuombea kwa Alla akulinde usije ukapata kibri na Ria pia namuomba Alla awahifadhi wazazi wako na walimu wako

    • @annhann569
      @annhann569 3 года назад

      MasshaAllah Allah amuweke kijana huyu

  • @muniramohammed4000
    @muniramohammed4000 3 года назад +7

    Mashaallah akhiy Allah akuhifadhi

  • @zeinibra2398
    @zeinibra2398 3 года назад +7

    Mashallah kumbe Zanzibar yetu inahazina kubwa sanna lkn imo ndani ya kombe bado haijafunguliwa,kubwa nnalomshaurii NI kusoma zaidi ili apaye kufika mbali zaidi kulipo hapo, elimu NI Jambo la kwanza atapata mbinu tofauti za kuogeleya ndani ya kisomo Cha qurani, wafadhili wajitokeze,kumsapoti NI bado mdogo wawekeze kwako,wamshike mkono mpaka afike alipopakusudiya ishallah

  • @saidkhamis8895
    @saidkhamis8895 3 года назад +8

    Allah atatimiza ndoto zake hizo aameen

  • @muhsinali7427
    @muhsinali7427 3 года назад +5

    Maashallah sheikh wangu

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 года назад +2

    Mashallah mungu akupe kheri inshallah

  • @mohammedabdallahalazri3238
    @mohammedabdallahalazri3238 3 года назад +5

    Ahsante Somo yangu kwa kutuletea hazina kama hizi, hutuachii cho chote ila unatufaidisha ahsante sana. Tunamuomba Allah awajaze kheri na mafanikio zaidi Amiina

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 года назад +3

    Maashaallah shukraan Sana Allah awahifadhi jazakallah kher

  • @maryamhaji5894
    @maryamhaji5894 3 года назад +3

    Kijana ajiongeze na elimu ya nyengine ili awe na uwezo wa kujibu maswali na atakuwa Mzuri zaidi mashallah Allah Allah ambariki

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 года назад +4

    Mashaallah mashaallah mashaallah

  • @salumabdulrahim7756
    @salumabdulrahim7756 3 года назад +4

    masha allahh alla akuwezeshe

  • @salehbinkhamis1597
    @salehbinkhamis1597 2 года назад

    Masha Allah Allah atuhifadhi na ampe kipaji zaidi kijana wetu ewe Mungu wetu tupeshifaa ya allah tupe elimu na kuifahamu ya rabi amin

  • @nassoraly8070
    @nassoraly8070 3 года назад +6

    MashaAllah Allah awalinde na shari za watu ameen

  • @masudmusa10
    @masudmusa10 3 года назад +3

    Mungu akuzidshine sana sana mashll

  • @fayzal-amoudy6285
    @fayzal-amoudy6285 3 года назад +3

    Mashaa'Allah Tabaaraka'Rahman

  • @yahyagonga
    @yahyagonga 3 года назад +3

    MashaAllah inafurahisha sana hii

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 года назад +4

    Maa shaa Allah Alhamdulillah

  • @shikuassi4876
    @shikuassi4876 3 года назад +3

    MashaaAllah,

  • @hajjmohd3602
    @hajjmohd3602 3 года назад +2

    Nimeipenda ya muhammad bin ayoub

  • @asmaameir491
    @asmaameir491 2 года назад

    Anampatia sana sheikh Mohammed ayoub

  • @Alquran_production
    @Alquran_production 3 года назад +1

    I am your subscriber

  • @salumnassor6555
    @salumnassor6555 3 года назад +3

    Mashallah

  • @salehbinkhamis1597
    @salehbinkhamis1597 2 года назад

    Amin

  • @msafirikabelwa928
    @msafirikabelwa928 3 года назад

    Maasha Allah

  • @momsaa08plumbingandelectri7
    @momsaa08plumbingandelectri7 2 года назад

    Masshaallah

  • @momsaa08plumbingandelectri7
    @momsaa08plumbingandelectri7 2 года назад

    Allah amrehemu mualim wako alikufa katika ajali ya meli ya spais

  • @momsaa08plumbingandelectri7
    @momsaa08plumbingandelectri7 2 года назад +1

    Ndio maana cjawaza cku ya kuhama Zanzibar

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 года назад

    Bwana wa mvimbe

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 3 года назад +1

    Mashallah

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 3 года назад

    Mashallah