Intro...Hapa tunacheza na maneno,ngeli ni ya ngenge... Naandika hii verse kaa niko njaa,naenda kupika bila makaa Na waita na mnakataa, mnasema kanisa ni ya mavijanaa Kushiba ni baada ya swala,kuiba nayo siku hizi ni balaa utaagizwa kima na mavisanga,sima iive tunamanga, Sukuma chumvi na ka unganga,chuma ngumi na teke kadhaa,boxer vumbi na makamba,toka nyuki asali chang'aa Comma kumi utashangaa,ama stima zitazimaa,twende kwa akina Farida jiekee hina kwa mafinger.. Chorus: Hapaa tunachezaa na maneno,ngeli ni ya ngenge x2 Nataka ukae poa kaa akina Fatima Halima na Eva,watoto wazuri... Ndoto nzuri huisha.. Sote kabisa,ukasanya mbota ukampatia,bahati mbaya ukashikwa,mabati wire ukapigwa Mashati wanga zikaishia,chukua ingine uanze kupima,vua pengine ni ya Peter Beste yangu umeshika hii pete ni yangu we tuliza,unadishi ki fisi na haujaalikwa,unapokea dishi na haijapikwa Chakula ni mbichi na haijaiva,tuma Siste Eastleigh manjiva,lakini chunga vile atajivaa Chorus x2 Ma mini,ma tweeter na Hadija,ma G strings mashuka na m..... Ma Mbuyu kwao ni kushangaa,dudu zao zinaamka,njugu kibao wanatafuna wamother huku wanashtuka,hanya huyu utajuta Kama sumu inauma,maziwa iko tutakunywa,kama njumu zina tupa kabisa tutakataa kuvua Matope kila mahali we panguza,pole pole ngazi tunashuka,pole kaa kazi yasumbua,mwisho nganji itaingia,vitisho wangapi wataskia... Ngenge damuuu...Californiaaa.. au sio.... Chorus x 4 Outro: Beat ya Clemooo,ngenge x2
Watching this on August 29 2018... 10yrs and 6days later... the jam is still as lit as it was back in the day... big up Kenya's snoop dogg (King of Genge)
Music of my time...back then nikawa ushago, I only used to hear about Nairobi. The farthest I had gone is Naivasha from my home town Gilgil. Ndio sisi hawa sasa.
Leo nimeinjoy sana na ngoma yako Ma bloody Juacali....ngeli ya gengeeeeeeeeeeeee! Wish to see rmx asee! Itabamba mbaya! Ukiiona hii tafakarrr asee vena sign kutoka Tz.........#####$&&$$$$$
2015 mziki yangu bado ni genge.Genge damu eeeh Maze nimependa hizi ngoma tangu nikuwe ka huyo mjunior anawatch hiyo tv ,saa hii niko campo.bado ngeli ni ya genge.Au sio
I don't think you guys realize just how dope the instrumental to this song is. Especially when the chorus is about to kick in. Clemmo was a genius
No one beats Clemo
who else is here with me in 2019?
Luche alikua ahead of tyme..... creativity ya hiii video ni "Noma Sana" Big Up Luche Productions!
Before the WASAFI craps came in the industry.... greetings form Uganda
2020 and we still listening like we never left .....Ngeli ya genge🙌🙌
Intro...Hapa tunacheza na maneno,ngeli ni ya ngenge...
Naandika hii verse kaa niko njaa,naenda kupika bila makaa
Na waita na mnakataa, mnasema kanisa ni ya mavijanaa
Kushiba ni baada ya swala,kuiba nayo siku hizi ni balaa utaagizwa kima na mavisanga,sima iive tunamanga,
Sukuma chumvi na ka unganga,chuma ngumi na teke kadhaa,boxer vumbi na makamba,toka nyuki asali chang'aa
Comma kumi utashangaa,ama stima zitazimaa,twende kwa akina Farida jiekee hina kwa mafinger..
Chorus:
Hapaa tunachezaa na maneno,ngeli ni ya ngenge x2
Nataka ukae poa kaa akina Fatima Halima na Eva,watoto wazuri...
Ndoto nzuri huisha..
Sote kabisa,ukasanya mbota ukampatia,bahati mbaya ukashikwa,mabati wire ukapigwa
Mashati wanga zikaishia,chukua ingine uanze kupima,vua pengine ni ya Peter
Beste yangu umeshika hii pete ni yangu we tuliza,unadishi ki fisi na haujaalikwa,unapokea dishi na haijapikwa
Chakula ni mbichi na haijaiva,tuma Siste Eastleigh manjiva,lakini chunga vile atajivaa
Chorus x2
Ma mini,ma tweeter na Hadija,ma G strings mashuka na m.....
Ma Mbuyu kwao ni kushangaa,dudu zao zinaamka,njugu kibao wanatafuna wamother huku wanashtuka,hanya huyu utajuta
Kama sumu inauma,maziwa iko tutakunywa,kama njumu zina tupa kabisa tutakataa kuvua
Matope kila mahali we panguza,pole pole ngazi tunashuka,pole kaa kazi yasumbua,mwisho nganji itaingia,vitisho wangapi wataskia...
Ngenge damuuu...Californiaaa.. au sio....
Chorus x 4
Outro: Beat ya Clemooo,ngenge x2
stupid ant or toothpic
Thanks Kamau for the lyrics
Tuma sister isili manjiva lakini chunga vile atajivaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥Living Legend......2019
2020 time ya corona bado ngeli ni ya genge
This ain't lamba lolo craps of 2019 this is so real and deep
I thot nilikuwa pekee 2019😅😅🎧🎶🇰🇪❤✔👌👌
hahahaha lamba lolo For real rap ya siku hizi ni za upuzi
So true.
Wachana na hao wamerudisha genge heri hao kuliko kina Willy Paul
Sorry but si ni yeye sahii anaimba Mang'aa wa mang'ang'o. Times are changing bruv with artistes struggling to remain relevant.
Mafans wa juacali 2020 mpo?😎
From Tz Nakukubaliiii Jua Kali
Jiekelee ina kwa mafingers lol!!! Miss this old school music!
kweli Jua Kali ulicheza na maneno..Kudos gd wak
And 2024 still on hitting! Wherever you're tokelezea bro onyesha hawa vijana wa siku hizi barabara😂😂😂😂😂
Skiza Malenga wa Calif anavyocheza na maneno...noma sana (2020)
Ngeli ni ya GENGE(tone) Forever..
Watching this on August 29 2018... 10yrs and 6days later... the jam is still as lit as it was back in the day... big up Kenya's snoop dogg (King of Genge)
Exactly
Music of my time...back then nikawa ushago, I only used to hear about Nairobi. The farthest I had gone is Naivasha from my home town Gilgil. Ndio sisi hawa sasa.
Best rapper in East and Central,,much respect,, Legendary 🏆 champ ❤❤
Jua kalis best work...in my opinion
2018 maze likes zangu wapi? Not the current craps we having....damn days were hit🔥🔥🔥🔥🔥
No nudity back then...Good music of our time.
2024 ngeli ni ya genge
Kwa wale tulikuwa tunatoka chuo mapema ndio tuwatch genge music👊🔥
The Beat
2021 😤😤😤 June tunacheza na maneno👅
Thumbs up if you are playing this classic in 2014!
Leo nimeinjoy sana na ngoma yako Ma bloody Juacali....ngeli ya gengeeeeeeeeeeeee! Wish to see rmx asee! Itabamba mbaya! Ukiiona hii tafakarrr asee vena sign kutoka Tz.........#####$&&$$$$$
Jieke Henna kwa mafingaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌🤌🔥🔥🔥
Who is here during corona??
Nlikua boy mdogoo ikitoka probably 14. Legendary msee .....nomaa bigaa up....beat ya clemo
Nilipenda kazi zako toka nipo primary na utabaki one of my best Kenyan artist...love from Tanzania
Naandika hii versii kaa niko na njaa.. 😄 🙌
Jua kaliiii
He said he was actually hungry.
watching 10 years later..this was good creativity..good story line and the acting .
It's Aug 2024. Great memories of the best era everrr. Can we go back 😢?
2020...whose with me
2015 mziki yangu bado ni genge.Genge damu eeeh
Maze nimependa hizi ngoma tangu nikuwe ka huyo mjunior anawatch hiyo tv ,saa hii niko campo.bado ngeli ni ya genge.Au sio
Kenyan version of eminem... Lyrical genius...🔥🔥🔥
who is listening to this song 2017 ..........
Koma kumi utashangaa ama stima zitazima haha :-D
Nostalgia :-)
kushiba ni baada ya sala
genge kali 2017 bado izi ndio classics za kenya bana
Eric Mwaura I am
rap legends. saa hii watu wanajidiss kaa shit. those were days all kenyan rappers were family. brother hood!!!!!
Who's listening in 2019
2020 here 😁😁
❤❤❤ TUMA SISTER ISICH MAJIVA LKN CHUNGA VILE ATA JIVAAA
Still listening in 2086 with my robot gf
Snoop dogg wa kenya
Wilson Mare for sure he's
June almost July 2019 😍😍 reminding me school days
Yeah
Juacali is one of Kenya's best rappers ever
Waaaaah nani aambie hawa watoto Wa siku hizi kwamba tulikuwa na ngoma moto moto Kama hiziiii
2019 and still watching ..ngeli ya GE-NGE
I wish you could do a remix of this song please. Love from your ugandan fan. Since I easily 15 I'm now 26 and I still 💖 this mad song
Now also check out his song mwoto sana am sure you'll love it
I'm on a serious nostalgic journey
hapa tunacheza na maneno,ngeli ni ya genge...... big up !
2020 piga like manzee
2:08 That was me as a little boy...great memories bruh!
Hizo beats manze
2018 👏👏 probably the best Jua Cali hit ...
did everyone get what he was trying to do here? Its fantastic!
2020 now still listening... That beat though never gets old
Legend mwenyewe,I miss such videos manze
califoniaaaa kali sana hii ngoma hapaah tunacheza na maneno ngeli za gengeeee.....frm tz
oNE OF THE bEST SONGS EVER SANG IN kENYA....FROM WAY BACKMIN 2008
2017 and we still here..
Ngengee gonna like hape usikaze buda ikikubamba
Geng geng 2019 booms💥💥💥👌👌👌🤘🤘🤘
2019 bado tu naskia hii masterpiece
a true kenyan classic...listen till i die
Twenda kazi na like ✔✔ kama bado tunacheza na menono 2019🎧🎶❤🇰🇪💯✔👌👌👌
Yessssss
It's 2018 and I still jam to this song
Twende kwa kina Faridah, jieke hina kwa ma finger - Still rocking in 2019
Hili goma nipo chuo Aaah kali saan 🙌🙌
Everyone loves Jua cali
Like za 2020
Wordplay: TIMELESS!!
ngeli niya sanitizer 2020
jua kali bado is the king f songs maze... i feel it deep
2019,November, Niko hii ngoma nitamu
2020 we there
nataka ukae poa ka kina fatia halima na iva.... pure nostalgia
hii ngoma bado ni kali. Big up JUACALI
still best song until the end coz I'm listening this in 2018
Luche,this was dope directing and producing...
big tune...,always loving since i was 7 yrs
The real music n real tunes!
Me hukam hivi daily kukosoa ngeli yangu
2019 Tz in the building.
Why I love JuaCali this guy's videos are just too way funny
Kenyan music was the best in Africa back then🔥🔥
The year is 2020 man is facing extinction....who's here?
2018 real music genge can never die
2020 bado dudu zao zinaamka!!
Kama njumu zinatupa, Kabisaa tutakataa kuvua...
Where is this Clemo, he is a real legend of production
2020 who's here with me?
Big up jua Cali..respect from stato forever
Ngeli bado ni ya 'GENGE' uko juu sana Jua Cali #TeamJuaCali
Nawaita na mnakataa.... :-)
Hii ni beat ya Clemmo ama???
Hii ngoma after all these years bado inaweza 😍😍😍😍😍😍
2020 still listening to this
2018,still a hit,good Kenyan song ever
Ngeli Ni ya Gengeee... Dec 2018
Mambuyu zao ni kushangaa dudu zao zinaamka...Okwonkwo aka Mejja aka mtaa gharama....2:26
2019 Likes zikam.... How old is that kid in that video now though?
Lakini carlif records na Just Cali we're meant to be. Hizo beats na flow ya Jua Cali ni on point. Still a big fan
Great rap legend wewe na nonini mko juu sana