Tafuten kaz za kufanya achen ujinga kwa mwanaume gan mtuy anae kupenda hawez kukudharau hiv duuh hiyo kaz yakugombania mwanaume siwez napigania pesa tuy usiende kutandikwa shauri yako
Hapo mmetuigizia, huyo dada aliyelala haiwezkn anasikia watu wanaingia ndani af yy alale tu. Pili hawezi kukosa namba ya mke wa kaka yake. Tatu huyo mama alipokua anapewa taarifa alikua haoneshi kuumia anasema tu kua nakuja. Nne mtoa taarifa anasema mm ndio nshatoa taarifa😅😅😅
@@Dayuu165 mbona kuna maigizo magumu sana kaka hii cha mtoto? Imagine uko ndani kwa mtu ww ni mgeni, unaskia sauti yaani huyu atanitambua leo. Hujaishia usingizini lakini hata huangalii ni nani anaingia ndani unalala hadi unavutwa jmn huu inaingia akilini? Haya basi huna namba za wifi yako, kaka yako anashundwa kumwambia mke wake kua mdogo wangu amekuja????
😂😂😂😂hubuyu kazi
Aibu naona mm😂😂
Mtakija kuwa ata ndugu 😂😂😂😂😂
Uyu Mama Tatzo Angeacha Papala Atamsitua Atakuta Wametoka
Huyu mwanamke hakutakiwa apige sim angeenda kimya kimya sasa namna hiyo si atasanuka
Emergency gani nitaenda kupigika huko😮😢😂😂😂😂
Tafuten kaz za kufanya achen ujinga kwa mwanaume gan mtuy anae kupenda hawez kukudharau hiv duuh hiyo kaz yakugombania mwanaume siwez napigania pesa tuy usiende kutandikwa shauri yako
😂😂😂😂😂😂😂umbea tu kuoga aaaah
Zaukwleli angejuaje kuwa ni wifi yako lakin pia umbea sio mzur
Mwisho wazee wa challenge makuwa wambea
Yaaani Huyo Mpewa Umbea Mbona Ameifaham Njia Vzr Mno, Kama Yeye Ndomuhusika Nàhilo JambOo
Sasa hapo angeua kwa hasira ungeenda jela shoga aliyekuarifu yupo anakula nchi
Acheni kukurupuka ni hatari
Uyu mama afai ata kuambiwa kitu jmn kaa yn ana mambo ya kininga ya kishamba kaa afai ht kuambiwa jambo
Kweli kbsa😅😅😅
Katoa umbea kageukwa😂😂
Kama angekuwa nakitu chwe ncha Kali si angemzuru mwenzie ndomna Manenoyakwambiwa changany anayk
Yaan nyie acheni nimechoka kabisaa ata haijanoga kabisaa
Sema shoga ako hana baya maana huyo nae anakujaje tena asubui asubui bila taarifa 😂😂😂
Hizo Nikweli Au
Hawa waongo bhana ivi wew unaweza usiwe na namba za wifi yako kweli
Ila wakina fetty😢mbinguni tutafika tumechoka
😂😂😂😂😂 hee kumbe dada mtuy subkhan llah
Khaaa umbea unawez kupiga huwezii😅😅😅😅😅
Huyu dada pressure imepanda
Hamuoni km uyo feti unamhatarishia maisha yak kwa kutoa taarifa
Maskini tunashida sana 😂😂😂😂 mshawahi ona tajri kafanya huu ujinga?😅😅😅
😂😂😂😂😂 nyinyi wana wake siku moja watakwambiya hivo kumbe unainda mupiga mama yako mzazi
Mtu ajijue kaingiza mzigo ndani halafu umpigie njoo nyumbani, huu uongo si lazima amtoe huyo dem
Maigizoo
Mbn😊
Mbon huyu Dada hakufunga duka apo vp
Hapo mmetuigizia, huyo dada aliyelala haiwezkn anasikia watu wanaingia ndani af yy alale tu. Pili hawezi kukosa namba ya mke wa kaka yake. Tatu huyo mama alipokua anapewa taarifa alikua haoneshi kuumia anasema tu kua nakuja. Nne mtoa taarifa anasema mm ndio nshatoa taarifa😅😅😅
😂😂😂 tuigizie na ww kama ni rahc
@@Dayuu165 mbona kuna maigizo magumu sana kaka hii cha mtoto? Imagine uko ndani kwa mtu ww ni mgeni, unaskia sauti yaani huyu atanitambua leo. Hujaishia usingizini lakini hata huangalii ni nani anaingia ndani unalala hadi unavutwa jmn huu inaingia akilini? Haya basi huna namba za wifi yako, kaka yako anashundwa kumwambia mke wake kua mdogo wangu amekuja????
@@kibemassao6478
😅😅
Achen maigizo kumqliza mb za watu nyau nyie
😂😂😂😂😂😂😂 Umbea kazi ivi mwanaume yup mpumbavu alete mchepuko kwake
dada huyu wangu kaleta juz nimewafumania ndani
Wapo sana
Mbon mnazifinya san video hazionekan vizur
Jaman wa tanzania tuache umbea tufanye kazi 😂😂😂
Mmmmh sasa huyu mwanamke ndy heshima gani kukurupuka Hela yenyewe imeenda bure tu arequst amlipe jamaaa yote ya nn na Hakuna kitu ameambulia
😂😂😂😂😂😂😂uwiiii nmecheka mm jmn mtakuja kuuwa watu😂😂😂wambea mkasomee😂
Huyu mama hana presha kabsaaa
Tuwe na uhakika na uhakika na mambo kabla
😂😂😂😂😂😂😂😂nimechekaaa kma falaaaa😂😂😂😂😂
Huna kazi ya maana yoyoye zaidi kuuza sura wenzio wapo kikazi me nakuona kama shoga tuuu
Mama anawenge huyo 😂😂khaaa
Mwanamke mzima na akili zake anaenda kumfunania mumewe na camera
Huyu mke mtu pumba tu
Huyo shoga ako naye anamtaka mmeo ujajua tu kazi unayo dada
Wivu tu kuoga aaaah! 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Wameigiza waongo 😂😂😂😂😂
Mtakufa bure kwa ugonjwa wa moyo kwa sababu ya umbea wa watu, na kuwaamini wambea. Hilo liwe fundisho na hao mashoga wenu wambea.
Wamewachezea game 😅
Uyu mwnamme nae kuchaa na nimouuz gest azioni au adi alwte mchepuko ndani ya nyba ya mkewe
Shoga mnafiki kweli ameya komalia utadhani ya kwake.
Mapenz shikamo😂😂😂
Huyo wifi mtu namtaka
mbona mmama anaongea haraka haraka kama pungasese
🤪😂😂Kimeumana uko wazee
😂😂😂asa mbn km watatubu ndo unachochea
😢😢 sio kweli
😢😢 sio kweli
Hahahahhhaha mama mwenyew mshangaz
😂😂😂😂😂
😂🤣😂🤣 duuu
Ushaambiwa acha usenge wako ivi ujiongezi kama huwezi kufanya kazi acha kwani lazima wee mpuuzi au unauza sura
Mtoa taalifa amechangamka 😅
😂😂😂
😅
😏😂😂😂😂aibu zingine😅
Umbea huu😂😂daah
Unafiki ni mbaya sana wanawake wezangu aibu tupu
😅😂😂😂😂 hii noma
😂😂😂 nmecheka
Huyu mama mzima kweli,,mfyuuu
Hapa ni mwendo wa fumanizi 😂😂😂😂
Hahahahahahahahahaha
Ss u. Amuambiaga awe anakupantaalifa ndo kakupa taalifa na uyo wifi ako amjui ss afanyeje
Feti kachomoa betri😂😂
Kumbe hadi wamama wanawivu 😂😂
😅😅😅😅
😂😂 kwani yeye hana moyo jmn
@@RamlatyMkwata nkajua wamechoka wamekubali tuu yaishe 🤣
Chalenge gan hii
Jay acha kutaja jina la MUNGU kwenye fumanizi litaje kwenye maombi au kansani
Kazi iendelee
Serikali ingeingilia kati hizo challenge za kijinga ni uuaji huu
Pumbavu sana
salun ndo kumebaki bila mtu
Ss hp si anamstuwa jmn kaa wna wk wengine bn
😂
Haya maigizo
Hahahaha 😅😅😅😅😅
Mama mwenyewe ajielewi
Limewashuka ovyiooo
Mmmmh
Uongooo mtupuu
Siku. Mtapata kesi nyie
Shoga mbea kamanini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂f
😅😂😂😅😂😅😂😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅
😅😅😅😅
Unyàma😊
😂🔥✌️KAZI iendelee kamanda
Kuta😅😅
😂😂😂😂😂
😅😅
😂😂