FUMANIZI ..WANAWAKE WAWILI .. MWANAUME MMOJA .

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 ноя 2024

Комментарии • 193

  • @rahabumwakajoka6721
    @rahabumwakajoka6721 9 дней назад +2

    Safi hawajui hata ningekuwa mm ndo mwanaume ndio siwajui🤣🤣

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 13 дней назад +1

    Mwanaum mwenyew ananuka jua south Africa atakuwa alipaa au 😂😂😂😂

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 5 дней назад

    😂😂😂😂 Sitaki ata mmoja me sina mpenz

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 Месяц назад +20

    Hivi huo ujasiri wanawake wenzangu mnautoa wapi me mwanaume akizingua natimua naeka mwingine 😂😂😂😂 kujizalilisha tuu

    • @JamesNgala-g3c
      @JamesNgala-g3c Месяц назад +3

      Hapo kweli kabisa. Hakuna haja ya kutumia roho.

    • @Dls24-l6v
      @Dls24-l6v Месяц назад +6

      Kwahyo mpaka kuolewa utakua ushakusanya kusanya wanaume wangapi😅

    • @musichealsTz
      @musichealsTz Месяц назад +2

      ni kukosa kazi za kufanya.

    • @Jacklinejohn7
      @Jacklinejohn7 Месяц назад

      @@Dls24-l6v sna huo mpango wao wenyewe ndio wanatugeuza miyoyo yetu me kwakweli siachwagi naacha sna huo mda

    • @tajiertaj5956
      @tajiertaj5956 Месяц назад +3

      Kabisaaa shogare akizingua tupa kulee😂😂😂

  • @MaryyBenjamini
    @MaryyBenjamini Месяц назад +19

    Bora nitafute pesa kwa waharabu kuliko kugombana kisa mboo😂😂😂

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 17 часов назад

    yesu wang maisha yenyewe ya huyo kaka ni mungu nisaidie alafu bado unakuwa na tabia chafu😢😢😢

  • @MaurineSemu
    @MaurineSemu 5 дней назад

    Uyo dada mweny wig anaongelea mwaka mzima af jamaa anasema hampend😂😂😂anachekesha iv anajua kuna watu tumekaaa kiaka minne kwwny mahusiano na tumeachwaa vilevile😂😂😂😂mamae

  • @mariakibusi5914
    @mariakibusi5914 Месяц назад +1

    Wanawake tunapitia magumu,mungu atusimamie haya maisha mwanaume ana majibu ya kunya unaweza ukampasua

  • @Asram-v3g
    @Asram-v3g 6 дней назад

    Sema mwanaume ni mwanaumetu😅

  • @DareAziz-g3s
    @DareAziz-g3s Месяц назад

    Ooh ananpenda mm tu,,haya wote siwajui,sio wapenz wangu

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 Месяц назад +1

    😂😂ningetafuta tofali nilibonde kichwa 😂😂

  • @murtalla2826
    @murtalla2826 Месяц назад +2

    Mwamba kkaza hawajui 😂😂 hawajui kweli bhana 😂😂😂

  • @HasnaHasna-q5x
    @HasnaHasna-q5x Месяц назад +1

    acha niendelee kupambana na walabu kuliko kuqombea mabwana😊😊😊😊😊😊wanaake tutafuteni pesa

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b Месяц назад +2

    😂😂😂😂 piga ila baadae mtaludi kuomba msamaha Wanawake bwana

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k Месяц назад +1

    Nimewapenda j Hawa wasichana wapi kitu kimoja

  • @officiallituh
    @officiallituh Месяц назад +1

    He😢😢 ndoa nashangaa huu ugomvi wetu umepostiwa dunia haina siri

  • @VanessaZumbe
    @VanessaZumbe Месяц назад +2

    Kumeshaaza kuchangamka😂😂😂😂😂😂

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 15 дней назад

    Sema hii movie kali😂😂 uhalisia mkubwa sana

  • @Steven-George-es3hg
    @Steven-George-es3hg Месяц назад

    Ushauli wa bure Unadeti na mmoja kichaa mwengine afazali😂😂😂👍

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад +1

    Huyo mwenye wigi hakujuw kam ni bwana wa rafiki yake am ni umalaya umejaa

  • @hoodlandtanzania
    @hoodlandtanzania Месяц назад +3

    ETI ugomvi uwe mkubwa uswahilini afu hakuna jirani hata wambea wambea maigizo yenu bado sana next time tafuteni wamama ata wa3 mabinti waliovaa vijora wa nne na watoto waat wa3 ili scene iwe na uhalisia

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo Месяц назад +2

    Eti kwenye umati wa watu huwezi kuchagua 😂😂😂😂

  • @hurumadaud
    @hurumadaud 14 дней назад

    Mwenye nguo nyeus 😂😂 ajatumia nafas

  • @KassimMgonja
    @KassimMgonja Месяц назад +1

    Kaka shikamo umeja kuwakomesha kabsa hao mabint

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 15 дней назад

    Sema jamaa anakosha sna😂😂

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 Месяц назад

    😂😂😂😂😂 daah wadada hiyo ni aibu ebu tafuteni kazi mfanye

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Месяц назад

    😅😅Huyu mwenqine ogopa kuchangiya sije akawachwa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад

    😂😂😂😂😂 wallah kaz mnayo wanawake duuh

  • @RobinMwambene-z3i
    @RobinMwambene-z3i Месяц назад +1

    uo nd uwanaume wa kwli🙌😬😬

  • @DayanaPeter-pd9yf
    @DayanaPeter-pd9yf Месяц назад +1

    Nimecheka sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hakuna mpenz wangu hapaaa😂😂😂😂😂😂😂Zompa mkimbie watatubu kinaumana soon😂😂😂😂

  • @JustinStamphord-p6c
    @JustinStamphord-p6c 2 дня назад

    wanawake bn

  • @ommydix6221
    @ommydix6221 Месяц назад

    Duuh big up kazi yenu ngumu sana

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 23 дня назад

    😂😂😂Ila mm siwez ningeacha2 kiukwel

  • @TeddyTz.
    @TeddyTz. 7 дней назад

    Aisee

  • @allysaleh2220
    @allysaleh2220 Месяц назад +2

    Mmeigiza vzr😂😂😂

  • @NahimanaAisatah
    @NahimanaAisatah Месяц назад

    Ataingelikua nimim ningekua nanguvu ningelipiga ilo linaume😅😅😅

  • @TabithaAlfred
    @TabithaAlfred Месяц назад

    Jaman hv tupo zama gan vile yaan kwamm kugombea mbwa ya mama mkwe wana tuzalilisha tu hawa😢😢😢

  • @josephmandelamapunda
    @josephmandelamapunda 10 дней назад

    Hayupo south kivile..

  • @SelineChandja
    @SelineChandja Месяц назад

    Wa dada wa dar wakali sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @JenipherIvany
    @JenipherIvany 8 дней назад

    Nimeshiba zangu bokoboko nilalage sasa

  • @YucraKanyesu
    @YucraKanyesu Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂 ngoja nicheke tuu

  • @EstherDaud-o1p
    @EstherDaud-o1p 28 дней назад

    Nimecheka mpak nimelia😂😂😂😂😂

  • @RehemaHussein-n5u
    @RehemaHussein-n5u Месяц назад +2

    Kweli kumekuchaa

  • @minahsamwel
    @minahsamwel Месяц назад

    Hawajui woteee oyiiiii😂😂😂😂😂

  • @RutiMasaryk
    @RutiMasaryk Месяц назад

    Hiv warembo mnapigania Nini sas nini hapo😂😂😂 jaman

  • @RehemaMrosso
    @RehemaMrosso Месяц назад

    Mie humo ndan kwake nisingepaaacha salama...ningevunjavunja vituuuuu....Tv ningevunja....katati ningepasua kioo...Godoro ningemwagia mimajiii khoooo...kama.kuna gesi humo ningeifungulia yaaan ningehakukisha namtia hasara mbwa huyo

  • @AnnaMgala-n6g
    @AnnaMgala-n6g Месяц назад

    Mwanaume mwenyewe kitambi icho 😅😅

  • @alphoncelaurent9454
    @alphoncelaurent9454 Месяц назад

    Kumeanza kupambazuka sasa hawajui wote😂😂

  • @VictorMsodoki
    @VictorMsodoki Месяц назад

    Cku nikickia baby girl anipgie cm alaf awe na kafurah ety nakupenda mmh najua michezo iyo

  • @IreneMasambu
    @IreneMasambu Месяц назад

    Ila mimi siku ikitokea nikafumania ugomvi lazima utatokea 😅😅

  • @LeilathUmbella
    @LeilathUmbella Месяц назад

    Ila zompa nampenda jamn crash wangu angalia ukihakiki uko ujeupigwe uko 😂😂

  • @EvahJoseph
    @EvahJoseph Месяц назад

    Wanawake nguvu Moja tunaweza💪😅😅

  • @SharifaAytoo-b8x
    @SharifaAytoo-b8x Месяц назад

    Mbn kama uyo kaka ni WA mwanza😂😂

  • @dab8859
    @dab8859 Месяц назад

    Nishaifnya hii tna nilimpgia mamkwe nikamwmbia nitkuja kmbe nimpngna n mwenzngu mamkwe sbc nyie😁😁😁

  • @ClaraDeogratius-j4k
    @ClaraDeogratius-j4k Месяц назад +2

    Wanawake tafuteni Sana pesa mapenzi kwasasa sitaki kuyaendekexa

  • @AishaMwarabu
    @AishaMwarabu 19 дней назад

    Mmi siwezi kugmbania llo😅

  • @IreneMasambu
    @IreneMasambu Месяц назад

    Mimi ni watu nimeona hii video nakuja kuanzisha moto 😂😂😂

  • @NatashaKidamangu
    @NatashaKidamangu 3 дня назад

    Ukweli mwanaume hawez kuwa na mwanamke mmoja kataa kubali ukweli ndo huo

  • @christinamfoy91
    @christinamfoy91 Месяц назад +1

    Mkaka mwenyew geto baya lazaman pazia kama za kijijini kweny za kina muha sijui anaish manzes sas hao wadad wanapigania nin hap

    • @IreneMasambu
      @IreneMasambu Месяц назад

      Na apo ameenda nje ya nchi chumba chenyewe cha ivoo 😅😅😅

  • @victoriamhombo
    @victoriamhombo Месяц назад +1

    Nimecheka walivyo kataliwa wote

  • @ErickMgaya-e9g
    @ErickMgaya-e9g Месяц назад

    Kumeanza kuchangamka sasa😅😅😊😊😅😢😂😂😂

  • @BeatriceKaaya-x9o
    @BeatriceKaaya-x9o 18 дней назад

    😂😂😂😂 kimeumana

  • @SalvinahNtega-rc5wy
    @SalvinahNtega-rc5wy Месяц назад

    Wanaume wengi ni konyo😂😂😂😂😂

  • @ElizabethMchomvu-s2d
    @ElizabethMchomvu-s2d Месяц назад

    Yani mngombania mwanaume wa buza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mm nitajaribi asaki mbezi beach pengine buza apana kwekwe

  • @HalimaHak
    @HalimaHak Месяц назад

    Uyo alonyowa nimempenda jmn ananguvu sana

  • @TumainIbrahim
    @TumainIbrahim Месяц назад +1

    😂😂😂three suitors one husband 😅Leo mekukumbuka madam wangu wa English mwee haya maish nkajuag sitakuj kunkumbuk tenah madam Wang wa English madam mary😅

  • @RamadhaniOmari-qx7xw
    @RamadhaniOmari-qx7xw Месяц назад

    Uyu mwamba kanifraisha sana kawakata wote

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 Месяц назад

    Kumamake wote awa juwi 😅😅😅

  • @SamiraChai
    @SamiraChai Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂 nimechka kwakwel shikamoo kakA

  • @Atb300
    @Atb300 Месяц назад

    Sigombei mwaume anakaa one room😂😂😂😂

    • @youdya
      @youdya Месяц назад

      😂😂😂

  • @FridaSilya
    @FridaSilya Месяц назад

    Kwa mwanaume gani,,,Hao wadada waungane wampasue

  • @ayoubmartin3741
    @ayoubmartin3741 19 дней назад

    Huyu dada mwenye black ni muigizaji huyu😂

  • @Aisha-qg5mj
    @Aisha-qg5mj Месяц назад

    Mbona Saizi 😂😂😂😂

  • @ShadrackTarimo
    @ShadrackTarimo Месяц назад +4

    Watatubu sana tu mbona

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад

    Wanawake tafuten pesa achen umala wallah mtazalilika san

  • @SanjerSaimon
    @SanjerSaimon Месяц назад

    Huyo wa south sasa 😂😂😂😂

  • @Dls24-l6v
    @Dls24-l6v Месяц назад

    Si mlisema wanaume warefu ndo tunacheat😂😂aya vp kwa uyu kingwenfu wenu😅😅

  • @AlexanderThomas-xo8tl
    @AlexanderThomas-xo8tl Месяц назад

    Jamn hawatakiii😅😅

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад

    Yaani pamoja ndo mwagombana?

  • @ByamunguGentil-su8ox
    @ByamunguGentil-su8ox Месяц назад

    Bro Ana pelekwa kwa waganga tayari 😅😅bro ame shindwa ku gunduwa hili mapel,kuwen makini na mwanamke akikwambia tuta kutaju juwa umekwisha mwanangu 😂😂😂😂😂😢

  • @bakiothman6200
    @bakiothman6200 22 дня назад

    Hayo ni maigizo na hao mademu ni bongo movie machoko nyie

  • @Spekalifetz
    @Spekalifetz 24 дня назад

    Mwana yuko sauzi flani unyama

  • @bennylove6021
    @bennylove6021 Месяц назад

    Mademu wa External ni wadangaji tu

  • @DavidMwalongo-c8p
    @DavidMwalongo-c8p Месяц назад

    Mwanaume hakuna kukubali kosa

  • @HalimaMbembe
    @HalimaMbembe Месяц назад

    Umekosea kusema wanaume ni mbwa

  • @LisabelaPhilipo
    @LisabelaPhilipo Месяц назад

    Uyo kaka nimsukuma kwani? 😂😂😂

  • @Munayya-g2p
    @Munayya-g2p 10 дней назад

    FAIDA ZA UZINIFU NA KUONJESHA SEHEMU ZA SIRI MADHARA YAKE NDO HAYO MNGEJITUNZA MKASUBIRI KUOLEWA YANEWAKUTA YOTE HAYO😢

  • @roseshonyera9929
    @roseshonyera9929 Месяц назад

    Ila Zompa 😂😂😂😂

  • @ishoboitee6957
    @ishoboitee6957 5 дней назад

    Ww jmaa muongo watu wale wale
    Uyo jamaa alidakwa sinza kavaa inter miami leo sas ww ndo umeivaa io jez

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug Месяц назад

    Mnawacha wanashikana kidogo then mnaamulia.msiwe waoga.

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Месяц назад

    Wana wk mtachezewa mta zalikishwa kila. Ck mana baadhi yenu hamjitambui

  • @isackeliya-hi9td
    @isackeliya-hi9td Месяц назад

    Haya isaya alisemaa

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz Месяц назад +2

    Timu nilie ibetia inashambuliwa mkeka umechanika😂😂😂😂😂😂

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d Месяц назад

    Huyu mwenye gauni mjamzito au

  • @celinamputacelinamputa3577
    @celinamputacelinamputa3577 Месяц назад

    Sitokuja kupigan wala kugomban na mwanamke mwezangu eti kisa mwanaume

  • @SarshNishael
    @SarshNishael Месяц назад

    Yupo south😂

  • @Phizo_officiall
    @Phizo_officiall Месяц назад

    Ila phizo😂😂

  • @HafswaBakar
    @HafswaBakar Месяц назад

    Na nyinyi wanawake mkimoata mwanaume msiwe mnajiachia sana ndo kama iv mkiachwa mnaumia 😂😂😂 Kama hamkujiachia sana mkiiachwa mwenyewe wala huumiii maana wanaume ni kisu mda wowot kinakukata

  • @gloryEdwin-fd3hn
    @gloryEdwin-fd3hn Месяц назад

    Et m apa hakuna Mpenz wangu hata mmoja😂😂😂😂 sijui viwanaume vingne vinajikutaga vikina Nan?

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад

    Wanawake nyie ndo maubwa kumbe mlikuw mnajuw mnatembea na mwanaume mmoja duuh

    • @IreneMasambu
      @IreneMasambu Месяц назад

      Walikua hawajui uyo amejua baada ya kuona rafiki yake anachat na namba nj ya mpenzi wake