🔴🅻🅸🆅🅴 : SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || MCH. DAVID MMBAGA - SIKU 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Tafadhali usisahau ku Subscribe | Like | Comment | Share.

Комментарии • 6

  • @FloraMfungo-u9q
    @FloraMfungo-u9q 28 дней назад

    Bwana yesu hasifiwe..mchungaji naomba mniweke kwenye maombi ...nmekuwa na changamoto pale ninapokuwa nataka kufanya maombi nashindwa ata kusoma biblia piya pesa ninayokuwa napata inakuwa haiyonekani inaisha bila ata kujuwa nikitu gani nmefanyia ,piya afya yangu naomba Mungu anisaidiye katika hili

  • @helena-x2k
    @helena-x2k 28 дней назад

    Naomba watumishi wa mungu mumuombee mwanangu anasumbuliwa na mapepo yapata miaka miwili Sasa tangu apatwe na hiishida ninaimani mkimuombea atapona

  • @BetterJoshua-b8u
    @BetterJoshua-b8u 28 дней назад

    Eeh Mwenyezi Mungu mwema ukabariki Familia za watenda kazi wako wote walio jitolea kuifanya kazi yako ondoa vikwazo na majalibu kwa Familia zao ili wakaitangaze injili yako passport vikwazo vya mwovu In the name of Jesus 🙏

  • @judithsichone7047
    @judithsichone7047 28 дней назад +1

    Amen

  • @EvelineAlfred-m8s
    @EvelineAlfred-m8s 26 дней назад

    Pr.naomba uniombee Nina changamoto flani inanisumbua

  • @SuzanaMohochi
    @SuzanaMohochi 29 дней назад +2

    MUNGU aendelee kutufundisha kupitia wewe mtu wa MUNGU