SIKU 10 ZA MAOMBI | PR. DAVID MMBAGA | BALI WEWE USALIPO... | SIKU YA NNE (4)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 10

  • @ReginaJayambo
    @ReginaJayambo 3 дня назад

    Nazidi kubarikiwa kutoka Pretoria-S.A, Mungu wa mbinguni azidi kumtumia na kumbariki mtumishi wake Pastor D. Mmbaga

  • @linethowire7031
    @linethowire7031 3 дня назад

    Have been blessed by the WORD OF GOD...watching from Mwanza Kirumba.

  • @jepkorirhellen5613
    @jepkorirhellen5613 4 дня назад

    Asanteni sana wanamagomeni ninabarkiwa kutoka Eldoret ...... Kenya 🇰🇪.
    Mungu akujalie mama Pr. Mmbaga.

  • @ShaliMwileTV
    @ShaliMwileTV 4 дня назад +2

    Nabarikiwa

  • @annadadi3427
    @annadadi3427 4 дня назад

    Ameen Nimebarikiwa na Ushuhuda wako Pasta David Mmbaga Ubarikiwe ❤

  • @Whynot123boss
    @Whynot123boss 4 дня назад

    From kenya watching you and following you from Lebanon mungu asantee kwa wanamagomeni kwa kutuletea njili karibu mbarikiwe sana

  • @lovenessdaniella4793
    @lovenessdaniella4793 День назад

    Jamani mbona ushuhuda wa kwanza ni kama dada anaongelea hali sawa na anayoipitia kaka yangu😭😭😭nmepata tumaini kama Mungu alimuokoa ndugu yako basi atatenda na kwangu pia😭

  • @janeonsarigo6206
    @janeonsarigo6206 4 дня назад

    Watching from USA. Have been blessed with today's message.

  • @tellyeliud
    @tellyeliud 4 дня назад

    Tunabarikiwa sana kutoka magomeni SDA church

  • @CharlesMwakapesa
    @CharlesMwakapesa 3 дня назад

    Tuna wapata Kwa uzuri MUNGU awabariki tuko RUKWA eneo ILEMBA.