HUKMU YA KUVAA HELP ME / MWANAMKE KUTUNISHA HATA NYWELE ZAKE NI HARAMU?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 71

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 лет назад +7

    Shukran sana shk. Allah atunusulu kwa sote amin.

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 лет назад

    Naam ln Sha Allah Mola atujalyeniwenye kuwaidhika nakubadirika kutoka kwenye Hali mbaya tukelekea katika Hali NZURI ZAIDI SHUKURANI WAJAZAKM ALLAHU KHAYRI.

  • @aminangalunda8348
    @aminangalunda8348 2 года назад

    jazakallahu khaira

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 3 года назад +1

    Shekh ma sha allah macho yake mazur jidda ma sha allah

  • @allymbarouk9983
    @allymbarouk9983 Год назад

    ALLAAH AWALIPE KHERI

  • @ashaalihassan2358
    @ashaalihassan2358 5 лет назад +2

    Ya 🙌 Allah tupe khatma njema na utjalie wepes wa kuepuka maovuu hapa duniani ila tuweze kua salam mbele yako siku ya kiama Amin# nice ukht kwa ujumbe mzurii&

  • @sakinamubaraka1246
    @sakinamubaraka1246 5 лет назад +4

    Nimekupenda dada mtangazaji umependeza kweli ila jifunike nikabu😘😘😘utapendeza zaid

  • @khamisngwali2964
    @khamisngwali2964 5 лет назад +2

    Shukran Sheikh kwa ujumbe mzuri, hakika umefika na utawafaa wenye kuamini.

  • @aminajuma5664
    @aminajuma5664 5 лет назад

    Asantee sna sheikh ya Allah tunusurish na utujalie mwisho mwema

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 лет назад +5

    Dada mtangazaji mungu akujaalie ee. Shukran sana.

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 лет назад +1

    Inna Lillahi WA inna ilayhi raj'uni! Ukweli Hali YA ummat MUHAMMAD S. L. W NIMBAYA SANA MOLA MLEZI WETU ATUNUSULU

  • @kiehbhzh7044
    @kiehbhzh7044 4 года назад

    shukrani shehe wanawake tunamitihani sana allah atuhifadhi amin

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 лет назад +6

    Akili za wanawake ss zingine tunaziokota kwenye takataka tunazichafua zile akili alizo tujalia Allah ndiomana tunaambiwa wachache motoni. Kazi kwako utakae soma hii comment

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 2 года назад

    Subhaanallah, mtu anataka aonekane kapendeza tu, wakat baada Y kifo uzur hauna faida yoyote

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 года назад

    Shukranii jazaka allahu kherii Allah awalipe nyotee

  • @ZainabMae
    @ZainabMae 2 месяца назад

    Asalm alaykum warahmatullahi wabarakaatuh.Labda niulize jee naeza funga hizi nywele zangu chini ya kishogo

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 лет назад +4

    Shukran Ukhty Shukran Ustadh Allah awajalieni umri wenye afya njema Allah atuhidi atuongoe wanawake na wanaume kwa sote ktk njia ya uongofu.

  • @naahally936
    @naahally936 Месяц назад

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuuh nlikua naomba kuuliza hivi kipini cha puani ukivaa ni lzm ukifiche na nikabu au wawez vaa vilevile

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 5 лет назад +1

    Shukur san habibity

    • @ilhamaman8324
      @ilhamaman8324 5 лет назад

      Dah,jamani hadithi iko wazi kabisa lakn mbona bado hatuzingatiii,tusijisahau.

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 лет назад +1

    Shuklani sheikh na mtangazaji

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 лет назад +4

    Duh! basi niwengi watakaoingi motoni maana sikuhizi ndo fashion kuu ya wanawake. Dunia nzima.

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 5 лет назад

    Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh.Barak'Allahu fiiQ

  • @allykilemileallyallykilemi7308
    @allykilemileallyallykilemi7308 5 лет назад +2

    Shukran

  • @rahemaissa9867
    @rahemaissa9867 3 года назад

    Allah atuongoze inshalah ktk kher Amiin, Astaghfiru llah waa atuubu ilaika yaa Rabbi

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 года назад

    Shukran sana

  • @rashidkhamis3091
    @rashidkhamis3091 2 года назад

    Maneno mazuri ust Ila kukaa faragha na wanawake mtihani huo,
    Wanawake Wana fitna kubwa kwa maelezo ya kiongozi wetu,

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 3 года назад

    Mashaa Allah

  • @ashurasalumu2278
    @ashurasalumu2278 5 лет назад

    Asante sana

  • @mrsmisifa7908
    @mrsmisifa7908 5 лет назад

    shukrn sanaa sheikh ila nina swali kuna help me na pini tu zakawaida nikimanisha pini tu za kitambara je nimekosa

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Год назад

    Shukraan

  • @zayfahmi5130
    @zayfahmi5130 4 года назад

    Je shekh kama hausuki katika kichwa chako lakin unasuka mtu katika kichwa chake nywele za kufanya kuu nganisha he hiyo nisawa

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 года назад

    Bass haya

  • @tumainimarwa506
    @tumainimarwa506 3 года назад

    Ukweli mnafanya dini ionekane ngumu sana.......maana uo mtindo umeingia c mda mrefu tayali mshaufanya haramu

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 лет назад +1

    A SALAM Alaykum WARAHMATURAH WABARAKATUH NDUGU KATIKA IMANI WA RIYADH TV NINA SWALI KUKHUSU HIZI BAYIBUYI ZAKISASA HUWA ZINA MAPOMBO HATA KAMA HAZIBANI JE YAFA KATIKA UWISLAMU? AU HIVO NINALA RAFIKIYANGU ANAMUFANO WAHIZOHIZO ANANAMBIA ATI YYE AMESHA KUWA NA MASHAKA MAKUBWA KWA HILO SWALI ANAULIZA ATI YYE MOJOKWAMOJA AME AMUWA KUTOKAN NA SHAKA HIVI AMEBADIRIKA ANAKUANA ABAYA ZISIZONA MAUWA MAUWA ALHAMDULILLAH INGAWA HAJUWI YAFA AU HAIFAI KUVA MABAYIBUYI HAO YENYEMAPAMBO JE? ATI ANAWEZE KUZIPANA SADKA IKASWILIHI? HAO MABAYIBUYI AMBAO HIVI SASA HAYAPENDI AU AZICOME MOTO BI'IDHINI. ALLAHU SUBHANAHU IN SHA ALLAH TUTA FAHAMU., 🙏!

    • @MunahyaMubaraka
      @MunahyaMubaraka 4 месяца назад

      A, alleykum Zeny mapamb hazifai ndg yang

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 лет назад +3

    Kazi kwelikweli. nani mitihani wanawake bado tunayo ususani kwenye swalazima la stara.

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 5 лет назад

    naombeni mnisaidie swali langu je kumsuka mtu nywere ni haramu?na nimemsuka kwa mfano hajatia rasta ila msuko tu je nini hukumu ya msusi

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 лет назад +2

    Shekh mimi sitii help ila mumewangu anapenda nisuke dungurushi jee nimsukie au haifai

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 лет назад +1

      Masheikh wameeleza kuwa lau kama utamsukia yeye ndani tu na ukitaka kutoka nje ya nyumba au mbele za watu ambao wanaweza kukuoa ukaliondosha dungush hilo basi itakuwa yafaa
      WALLAHU A~ALAm

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +2

    Asnte

  • @khadigappi3618
    @khadigappi3618 4 года назад

    Asallamu allehkum shekhe nilikuwa nauliza kama naweka iyo help me mbele ya mume wangu ni haramu au halali

  • @ksms7413
    @ksms7413 4 года назад

    Shekhe Nina swali . ukijifunga chini?

  • @swaleheibarahimnduli7131
    @swaleheibarahimnduli7131 3 года назад

    nahawo wanao funuwa nikabu

  • @wardakombo7293
    @wardakombo7293 2 года назад

    Je kuweka dawa nywele ni haram au

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 3 года назад

    Kwaiyo nikivaa kwa mume wangu hilo help au nikitunisha nywele zangu n sahihi eee?

    • @shabanijuma4162
      @shabanijuma4162 3 года назад

      naam ni sahih mfano wake kama ukujipaka perfume kwa mumeo inafaa ila kupaka ukatoka njee manukato ni haraam

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 4 года назад

    Nyie Riadhi tv mnajiita ni chombo cha kuelimisha dini. Sasa hiyo ya kukaa hapo mwanamke na mwana mume tena mwanamke mwenye sitara yake nusu hayo mafundisho mmepata wapi?

  • @aminajuma5664
    @aminajuma5664 5 лет назад +1

    Asantee sna sheikh ya Allah tunusurish na utujalie mwisho mwema

  • @naahally936
    @naahally936 Месяц назад

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuuh nlikua naomba kuuliza hivi kipini cha puani ukivaa ni lzm ukifiche na nikabu au wawez vaa vilevile

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 4 года назад

    Nyie Riadhi tv mnajiita ni chombo cha kuelimisha dini. Sasa hiyo ya kukaa hapo mwanamke na mwana mume tena mwanamke mwenye sitara yake nusu hayo mafundisho mmepata wapi?