Hakika wimbo mzuri kwa hisia kali hadi unahisi kutokwa na machozi..Kiongozi aliyewahi kukubalika sana mchapakazi ..Ama kweli ardhi haishibi imemeza wengi wazuri tuwapendao
Nashukuru sana mama angu kuolewa usukumani na nikapata damu ya chaga and sukuma nakukubali sana dada angu japo uncle magu atupo nae ila nyimbo hii itaendelea kuishi daima mioyoni mwetu,,,kisukuma raha sana
Nimekumbuka mbali sana! Pumzika kwa Amani Baba yetu mkombozi wa Tanzania ya Magufuli. Hongera pia Elizabeth kwa kujaliwa kutunga wimbo mzuri .... Mungu akubariki sana!
Huu wimbo ni mzuri mno naupenda nampenda Rais wangu Lisu alivyokua akimtukana nilikuwa Nalia sikutaka tena kumsikiliza Lisu Moyo ulikuwa unaniuma niliumia saana mwimbo huu lugha Mama yangu usikiliza natoa chozi namkumbuka mama yangu Misuka Souz Mwana Masanja Mwenyeezimungu amrehe Mama yangu akipenda saana kuimba nyimbo za kisukuma na kinyamwezi maneno ni mamoja tofauti utamkaji.
Africa we need MAGUFULIFICATION for change and brings prosperity for citizens. His greatest Leader of Africa. Rest in perfect peace my late president Dr JPM.
I miss Magufuli so terribly. This man will ever live in our thoughts.. He was the right man for Tz and never ever we will get a man like him. He was so special.
Mwaka 2015 kulikuwa na wimbo unafanana na huu alikuwa anasema ccm chama kubwa ngombe mwenye pembe kubwa katikati ya wengine daaaaah nilikuwa naucheza bila kujua mwimbaji sasa hivi nimefurahi kumwona live
yaàn huwa nipiga picha enzi hizo ,,Magufuri,,Mama Samia ,,Majaliwa,, Mangula,,,Bashuru,,Polepole na Janeth Magufuri,,,na team yake ilinipa raha sanaaa,,,lakin Leo yamegeuka maumivu makali 🙆🙆🙆🙆🙅🙅💔💔💔💔💔💔🤐🤐🤐🤐🤐🤐
Huu wimbo unaweza kusuluhisha mgogoro wowote wa kisiasa daaah hapa pembeni mwangu kuna mwanachadema anacheza kimyakimya hadi ameshindwa kujizuia kasema kweli awamu hii mnavutia kila idara mmejipanga
Pumzika salama Rais Magufuli nimekumbuka Kasi yako na Mhe Majaliwa tulikuwa tunasikia Raha kuwaona piga kazi Mhe Majaliwa Mungu akufiche kwenye Damuni mwake Magufuli alikuwa ni mwanadamu sio Malaika tusimhukumu RIP JPM
ELIZABETH ULIIMBA WIMBO MZURI SANA NAUPENDA SANA NIKISIKILIZA NAHISI MAUMIVU YA ANKO JPM PUMZIKA KWA AMANI BABA TULIKUPENDA SANA ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI AMINA
Hakika wimbo mzuri kwa hisia kali hadi unahisi kutokwa na machozi..Kiongozi aliyewahi kukubalika sana mchapakazi ..Ama kweli ardhi haishibi imemeza wengi wazuri tuwapendao
Nakueleawa sanaa dadaake wap like kwamsukuma🌹🌹🌹
Nashukuru sana mama angu kuolewa usukumani na nikapata damu ya chaga and sukuma nakukubali sana dada angu japo uncle magu atupo nae ila nyimbo hii itaendelea kuishi daima mioyoni mwetu,,,kisukuma raha sana
Nakumbuka mbali enzi za baba yetu mpedwa pumzika Kwa Amani kipenzi chetu
so nice song though we lost him 💔 but forever in our hearts 💕
Wimbo umetulia sana hongera mnooo!!!!
Nimekuja hapa baada ya msiba wa Magufuli! Naamini Magufuli atadumu katika mioyo yetu!
Fikra zake zitadumu milele katika taifa hili
Sana nilikuwa nampenda sana magu
Nilikupenda Rais wangu Shujaa wa Tanzania na Afrika utaishi ktk mioyo yetu pumzika Baba..! 😭😭😭😭
Kila nisikiliza najikuta nalia R.I.P BABA ANGU😭😭😭😭😭
mimi huwa machozi yanatoka na roho inauma sana
Huu wimbo unatibu ugonjwa wa Msongo wa Mawazo 👏👏👏
Sala na Kazi
Dada Yuko vizuri kapambana sana
Hahahahaha uwiiiiiii nmecheka mpk watu wameniangalia ata mm kichwa kilikuwa kinauma hapa kimepona
😄👍
JPM alikuwa Jembe kweli Kweli ukimfikiria lazima upate msongo wa mawazo
Nimekumbuka mbali sana! Pumzika kwa Amani Baba yetu mkombozi wa Tanzania ya Magufuli. Hongera pia Elizabeth kwa kujaliwa kutunga wimbo mzuri .... Mungu akubariki sana!
Huu wimbo ni mzuri mno naupenda nampenda Rais wangu Lisu alivyokua akimtukana nilikuwa Nalia sikutaka tena kumsikiliza Lisu Moyo ulikuwa unaniuma niliumia saana mwimbo huu lugha Mama yangu usikiliza natoa chozi namkumbuka mama yangu Misuka Souz Mwana Masanja Mwenyeezimungu amrehe Mama yangu akipenda saana kuimba nyimbo za kisukuma na kinyamwezi maneno ni mamoja tofauti utamkaji.
Lissu kumtukana alikua sahihi kwa sababu maguful nae alikua na mavisas ya hovyo sana
Wimbo wa kutibu maradhi ya Moyo big up ELIZA
Hahaaaa
Kabisa 😭😭😭
baba alifia Tanganyika 1943 mimi ni mKenya mjerumanihata mimi nataka kuzikwa Tanzania, Tanzania naipnda sana
Karibu sana TANZANIA ndugu yetu
Wallàh nahuzunikaga sana mie,ila mungu yupo tunapita wote,yaani hakiyamungu namachungu sana,mungu nisamehe tu
Wimbo wangu pendwa,,,tumempata komba mwingine kutoka usukumani👏👏👏👏👏👏👏
I love this song
Waooooh wasukuma mpo vizurii
Mwimbo wangu saaana🇧🇮🇧🇮
🙏
Amen mubarikiwe kwakweli Magufuli ni Rais pekee wa Tanzania yani kila kitu handi Raha
Mimi. Cyo msukuma ila sichoki kisikiliza hii nyimbo kazi nzuri Dada lizy
Elizabeth maliganya pambeeeee wa simiyu tujuane apa
Tupo watu wa simiyu
Africa we need MAGUFULIFICATION for change and brings prosperity for citizens.
His greatest Leader of Africa.
Rest in perfect peace my late president Dr JPM.
Shunja wetu pumuzika kwa Aman 😭 😭😭😭😭
Pumzika kwa Amani baba yetu lakn mioyon mwetu utadumu milele, ahsante dada Elizabeth kwa wimbo mzur.
WIMBO MZURI SANA R.I.P BROTHER MAGUFULI.
Miaka 1000 hata tokea raisi kama huyu, alikuwa akitembea na mahaka, mungu amtunze cku moja 2takuwa pa1 ,amina
Ni mgumu sana kusahau JEMBE, Mungu alitoa na ndie aliyetwaa. Kalale pema daima Watanzania tutakukumbuka.
, mwanga wa milele umwangazie eeee bwana 😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿 Iko katka wingu ziti baada ya mungu kumchukua mja wake RIP Jpm
The man will be missed forever..It is hard to believe Magufuli has gone and will never come back. Life isn't fair.
Sister Maliganya wa moto sana unaimba mpaka sichoki kurudia kutizama nyimbo zako
Wimbo huu umeandaliwa kwa umakini wa hali ya juu sana. Hongereni sana wote mlioshiriki❤❤
Hongera Sana dada sina cha kukupa mngu akuzidishie Kwa nyimbo za kisukuma unatupa furaha wasukuma
😭😭😭kama yupo t JPM jaman ...mungu akuongeezee Eliza
WASUKUMA wenzangu naombeni like hata zenu kwa Wimbo huu Pendwa.
tupo pamoja
bro hata wale ambao sio waskuma tumpenda kama mm niko kenya lkn napnda xna huyo mzee
@@ElizabethMaliganya mm
@@ElizabethMaliganyaunifundishe kisukuma bas jmn ?
Mimi sio msukuma lakini pia napenda sana wimbo huu ❤❤❤❤❤
I miss Magufuli so terribly. This man will ever live in our thoughts.. He was the right man for Tz and never ever we will get a man like him. He was so special.
For sure!!!
Pas seulement à la Tanzanie mais à toute l'Afrique. Pour moi il est le meilleur président de toute l'histoire africaine.
@@moratwaya8923 fw
MF l
Mayu ulinmhola napenda sana nyimbo zako mungu akujalie mwanamaliganya
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mwana maliganya
Aksante sana. CCM ni bomber siku zote kidumu Chama cha Mapinduzi.ccm safi sana
Dah! Dada unapiga , nyimbo zako ziko bomba Asante sana
Likes from kenya
Karibu Tanzania
@@ElizabethMaliganya hahahhaha Tz kumenoga!!!!
Vichekrsho
Mwaka 2015 kulikuwa na wimbo unafanana na huu alikuwa anasema ccm chama kubwa ngombe mwenye pembe kubwa katikati ya wengine daaaaah nilikuwa naucheza bila kujua mwimbaji sasa hivi nimefurahi kumwona live
Ongopa ni Hatari 🚨🚨🚨🚨🚨🚨 kanyimbo kanzr mno Madam hongera san@🎉🎉🎉🎉
Huyu dada nazani aliongozwa na mungu kutunga nyimbo zinazoleta tiba ya kuondoa mastles mungu amlinde
kazi kazi njema sana@
Nakupenda Sana mtani wangu mungu akupe nguvu zamilele
Hahahaaaààaaaaaaaaaaa Yaani Elizabeth sikuwezi uko vizuri mnooo, havieleweki. Big up mummy.
Wabeja Eliza❤️
.
Itapendeza
Magufuri wangu masikini 😭😭😭😭😭 daaah ad machoz
Aisee ! Nifuraishwa sana na Wimborne wako umetuenzi wasukuma
Wasukuma motooooo
Congratulations keep it up good job ❤🎉
Elizabeth hongera sana wew ni kati yawaliojifikiria kiburudisho cha watanzania na kujitoa kwa ajil ya uchaguzi hakika umeweza
Sana kaibadilisha sura ya nchi kwa mda mcha
❤ hongela yak
Uje ufanye show haya maeneo yetu ndagalu-magu. Upo vzuri sana
Hiyo ngoma kwl iliandikwa na ikandikika n bonge la ngoma
Nilichelewa kuupata huu wimbo...hii ni passport hata nje ya nchi unasafiri kabisa ...john pombe omkaya ghedogatolele
Kila nikiutizama wimbo roho inaniuma jamani magufuri wetu
yaàn huwa nipiga picha enzi hizo ,,Magufuri,,Mama Samia ,,Majaliwa,, Mangula,,,Bashuru,,Polepole na Janeth Magufuri,,,na team yake ilinipa raha sanaaa,,,lakin Leo yamegeuka maumivu makali 🙆🙆🙆🙆🙅🙅💔💔💔💔💔💔🤐🤐🤐🤐🤐🤐
Ukabhyala igembe sanaaa Mungu akutunze huko uliko
R I P JOHN Pombe Magufuri kipenzi cha watu hakika utachukua muda mrefu kutoka mioyoni mwetu
Uko vizr sana dada
Nyangurunguru kukaya hayati magufuli lalanga mola baba😢😢😢😢😢
Namkumbuka sana simba,wajina wa babangu, we kifo turudishie magufuli wetu tunalia bila matumaini
Upo vzr sana hongela dada
Jamani nimekupenda kwa wimbo huu jamani
Nagubali mwanakwetu elizabeth p1🙏 mwimbo mzuri 💚💛
The best!
Fafanua au imba kwa Kiswahili maana hizo lugha wengine hatuzijui kabisaa
Asante Tunalifanyia Kazi
Kweli
@@ElizabethMaliganya unanyimbo mzuri sana mamy hongera nitakuita kwenye harusi yangu mwezi wa kumi na moja kalibu sana
Huu wimbo unaweza kusuluhisha mgogoro wowote wa kisiasa daaah hapa pembeni mwangu kuna mwanachadema anacheza kimyakimya hadi ameshindwa kujizuia kasema kweli awamu hii mnavutia kila idara mmejipanga
Wabeja Sana Elizabeth
Huu wimbo nlkuwa naupenda
Jamani nakupenda huu wimbo hadi basi
Ni machozi na huzuni nyingi kwa hizi kumbukizi. Mungu uikumbuke TZ
You voice for milele na milele😭😭 joni pombe unatutia kiwewe
Asante sana Dada kwa kutupatia burudani Safi kweli Ccm ya nyumbani
KABISA
Nimejikuta nalia tu na kuuludia sana huu wimbo Mungu mulehemu laisi wetu ,,😭😭😭😭
❤ pamoja Sana msukuma mwezangu
Pumzika salama Rais Magufuli nimekumbuka Kasi yako na Mhe Majaliwa tulikuwa tunasikia Raha kuwaona piga kazi Mhe Majaliwa Mungu akufiche kwenye Damuni mwake
Magufuli alikuwa ni mwanadamu sio Malaika tusimhukumu RIP JPM
Mwenyezi Mungu mlaze mahali pema peponi rais Magufuli 😭😭😭
Nabaki kuwa na huzunu tuuuuu kweli kipind cha jpm ccm ilikua inavutia jaman
Kwaker nazidikuumia ivinikwer jpm kafa jaman duuuuh badoimaniyangu haiamini 😭😭😭😭😭
Hongera sana dadangu
Magufuli, shujaa wa Afrika, dume kweli.
Nyimbo haichoshi kwakweli bado naiskliza 2021
😭😭😭 tunabaki kulia tu pumnzika jpm
Huu unaushawishi nimeupenda
Yaani jamani kazi mungu Ha
Nice song. 👍🏻👍🏻
Huu wimbo utabaki milele
Yani ❤❤❤❤
Nyimbo nzur sema lunga gongana
Tunairekebisha Kuja Kiswahili Ikiwa tayari tuta wajuza na kuipost
@@ElizabethMaliganya pamoja Sana
@@ElizabethMaliganya Good
😃😃😃Ila wakisuma mnzur sana
Kaz nzur dada
Sahviii baba amelala jamniii naumia mie tongelaga baba
ELIZABETH ULIIMBA WIMBO MZURI SANA NAUPENDA SANA NIKISIKILIZA NAHISI MAUMIVU YA ANKO JPM PUMZIKA KWA AMANI BABA TULIKUPENDA SANA ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI AMINA
PAMOJA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAA 2020/25
Tulitaman afike 2025 lakn kaondoka mapema mno
Naiman mungu amekupokea baba yetu tuna juta kukupoteza baba yetu
Daa pumzika kwa amani baba
I love it
🌹🌹🌹🌹pga kelele kwa msukuma oyeeeeee
Dada Elizabeth naomba niolewe na kaka yako kama yupo🙈jamani nakupenda bure, mie dadako kutoka kenya💃
Hello
@@josephwilliam4727 hello too
Acha kunivunja mbavu
@@gracejulius3966 🤣🤣🤣🤣💃💃💃
Yupo kazi kwako
Definitely yes!!!was the great Hero
Nakukubali Sana Eliza.unajitahidi sana
Kigogo akiona hii atasema mtunzi ana Corona🤣🤣🤣 jamaa anawivu sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Kweli aise
Nimelia Sana MAGUFURI uko wapi baba
Inapendeza Sanaa ❤️❤️❤️❤️
Nalia Sana. Kipindi hicho Tanzania ilikuwa inawaka