BODI ya MIKOPO na CRDB WARAHISISHA USAJILI WANAFUNZI VYUO VIKUU HAKUNA ATAKAYEKOSA MKOPO...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 4

  • @RomanaJames
    @RomanaJames Месяц назад

    Tunateseka sana huku chuoni mtuonee hata huruma basi wengn tunaishi kweny familia duni tumewahi tu chuon mpaka appeal tumefanya but tumekosa tunalala njaa😢😢😢

  • @ngunochugga8761
    @ngunochugga8761 3 месяца назад

    Kuna wanafunzi hawakupata kabisa mikopo....kwanini nao wasiangaliwe kwenye hili?

  • @EutropiaMbekenga
    @EutropiaMbekenga 3 месяца назад

    Kumbe kama hajapata mkopo,hamtamsaidia?