Asante kwa kuwaonyesha wengine jinsi wanavyofaa kufanya Filamu, sio kujaza wanawake wenye makalio kubwa kwa Movie, na kuikosesha ladha, mwanzo mwisho,,( Nipeni likes kama mpo nami)
Good director nlizoea kuangalia movie za kizung tu ambazo unaelewa mwishon lkn hat hii ya kibongo stry unaelewa mwishon big up wazeee km tupo pamoj gong like
Jaman napenda sana hafu nnakipaji kikubwa saana chakuigiza ila tatizo sjapata msaada kwaiyo naomba nionyeshwe njia na mm. Jaman pls mwenye moyo anisaidie
Dah mm sina cha kukosoa katia hii move kwa kweli move imekubalika ile mbaya salout ebytok na baba mjesh mungu akuzidishieni muzid kufanya mazur amin amin
Move nzurii Sana.... Bongo move wajifunze kitu kupitia hii move, imechezwa eneo moja tu lakini story inaeleweka Kabisa. Hongereni nyote mlioshiriki 🔥 🔥 🔥
Aisee, story imepangiliwa vizuri saana huwez hata kuimajin kama muvi zingne zinavyokua ni uanfishi makini na sio wa kawaida hongeren sana Timam kwa jambo hili Mungu awaongezee juhudi binafsi na maarifa naamin mtaiinua sanaa yetu tena kwa kishindo
Katika Bongo Movie's za Tanzania hii iko higher.... Siwezi sema mengi yaani nimejifaidia sana, Tulikua Bongo Movie's tuna Drop ila now day Kwa Mambo haya tuna Develop......Kumbe tukitulia tunaweza! ......Tuwache ma Movie yakimapenz kila wakati, zipo story nyengine nyingi zinazokua na mafunzo kuliko Mapenzi yakila wakati...hatahivyo mamovie haya yakihanasa yanaharibu sana Watoto wetu...ila hii iko bomba sana.....Wanangu Mmetishaaaaaaaa, Yaani hakuna Bongo Movie tangia nizaliwe niliyo iona imetulia na yenye kuleta maana na kuelimisha jamii kiujumla kama Hii....Congratulation TIMAMU TV, MUNGU awaongoze na azidishe Kipaji chenu...YOUR THE BEST AND ALLAH may help you for the Rest, Ameen.. Tanzania mambo ni Motoooooooooo, umeisha mwendo wa kitoto...Hapa Kazi tu, Big up Sana sana TIMAMU TV......Dah! niraha sanaaaaaaaa,duh! leo nime'enjoy...Asanteni sana TIMAMU TV, tunasubiria nyengine
Big up TIMAMU TV, you're now the Disney and Hollywood of East Africa. Continue with the same spirit, I believe you'll rock the whole world with films of such high creativity. I am proud of you Bwana Mjeshi and Ebitoke.
kwa Mara ya kwanza nimeona mchezo Wa kiswahili mzuri na umeleta twasira ya michezo ya kizungu ya wenzetu hongera sana mmejitahidi sana direct a hongera na waigizaji wote mmeigiza vizur sana tena sana👌👍
Mala yang ya mwisho kuangalia bongo movie ya kibongo ya kutisha na kuogopa ilikua shumileta lakin leo hii imevunja rekodi big up TIMAMU Movies tuko pamoja
Big up guyz plass timoth more creative..nawasif pia kweny kutengez giz n mwang hafifu ili kuongez hisia za kusisimua pia comedy flan humo..ila mlio w risas mngekuz saut kidg..imeisha iyoo
Tatizo letu lilikua uswahili mwingi........ Kila kitu watu kujitia wajuaji na kuharibu kwingi.... Wazungu hawana mchezo...... Timamu mkiendelea hv.... 2yrs later.... Tasnia ya movie itakua mbali kama mziki wetu ulipofika... Big up sana.... Kwa investment kubwa.
Ukweli bongo tangu amefariki kanumba hii ni film ya kwanza kwa ubora. Script nzuri . Ubunifu wa hali ya juu hakika nimekubali sana . Pia tumechoka zile habari za ofisini , nyumbani pia yumbani ( sebleni - chumbani) . Creative ya hali ya juu sana saluut to you all
Wow!!!! 😅 Now am starting to be proud of Tanzanian movies. This was hard to watch especially at 0200 am 😓. This movie is Big. Nice work to all involved in producing. Hope there is more from you guys. Excellent 🙌.
Bigap sana timamu movies kwa kutuandalia bonge la movie pia hongera kwa bwana mjeshi na ebitoke kwa kujaribu kuigiza kwa ufanisi mkubwa na wa hali ya juu
You guys are the best ! Ever since nimeangalia movie za bongo sijawahi ona you deserve an award kwa mwendo huu wa nigeria wako nyuma ,yani nilikuwa kama naangalia horror movie from hollywood! Timamu number 1
nimeona movie nyingi za kitanzania lakini hii ni movie katka level zingine tafauti kabisa kila ukitazama unataka kujua what next sio zile movieikianza unajua itaishaje big up wataarishi na wahusika
Kazi nzuri Sana ubunifu wa Hari ya juu,Ila naomba safari hii mjipange vyema kabisa mtuletee filamu ya mazombi iliyo kamilika kabisa Kwa mtazamo wangu itakuja kusumbua Sana tasnia ya Bongo movie,yote ya yote nawapongeza Sana kwa Kazi nzuri ya sema, production imejitaidi Sana,timo,bwana mjeshi,benefika,ebitoke Na wengine wote,bila kusahau timamu TV
sijapoteza muda kuangalia hii movie. kwa kifupi hakuna biashara haramu yenye mwisho mzuri, hii ni general rule ingawa kuna exceptions zake kwa baadhi ya watu. good movie aise, keep it up
duh yaan kama la kizungu kutoka hollywood.... Big up..... yaan napenda movie kama hiziii ukae utulie ndio utaelewa sio mtu unajua movie inaishajee yaaan dah ....... Hili Movie yaan naurudia hata mara 100000 kuangalia
Dha move inaitwa sema sa mbona mjeshi ajesema chochote afu yule doctor kisanga kuna kipande alikufa afu tena akaoneka hiyo vp kama ujaona hivo vipande angalia kwa umakin weka like twende sawa
Ndoto yang kuja kufanya kazi kama hii nimependa san Allah atuongoze tuwe watu wenye mafanikio na kuonyesha kitu tofauti asanteni timamu ipo siku nitakuja kufanya kama ninyi (SEMA) By Ally Mtepela
Wenye tumetoka tiki tok kuja kuiona hii move reo naombeni like ❤🎉🙌🙌🙌
Tupo hapa
Kumbeeee ni 5Yeas 😂😂😂😂😂 agoooo
😂😂😂😂
afu kumbe ina miaka mi tano
Asee 😂😂
Asante kwa kuwaonyesha wengine jinsi wanavyofaa kufanya Filamu, sio kujaza wanawake wenye makalio kubwa kwa Movie, na kuikosesha ladha, mwanzo mwisho,,( Nipeni likes kama mpo nami)
Timoth movie nzur yaan sanaaaaaaa jmn nmeenjoy utadhn cyo bongo hii
Nmejisikia furaha...tuendelee kutoa kazi nzur...na bora..si bora kazi
Good director nlizoea kuangalia movie za kizung tu ambazo unaelewa mwishon lkn hat hii ya kibongo stry unaelewa mwishon big up wazeee km tupo pamoj gong like
Ooooos k
Kama umetazama hii movie na umenielewa Kama Mimi like twende Sawa
Movie ze2 za bongo zote zingekua na viwango namna hii hakika tungekua mbali sn. Hongereni sn wazee kazi nzuri.
😂😂😂 Baba Mchungaji niombee 😆😆😆 Wallah nimecheka sanaaa Embu tulio cheka tujuane kwa Like zote
Jaman napenda sana hafu nnakipaji kikubwa saana chakuigiza ila tatizo sjapata msaada kwaiyo naomba nionyeshwe njia na mm. Jaman pls mwenye moyo anisaidie
Hatariiik baba mchungaj kapelekw msikule kidg
Aloo9ooooooooo
Dah mm sina cha kukosoa katia hii move kwa kweli move imekubalika ile mbaya salout ebytok na baba mjesh mungu akuzidishieni muzid kufanya mazur amin amin
dahhh!!!!! bonge la movie nimeikubal big up bwana mjesh na ebitoke mmefanya nienjoy haswa 😂😂😂😂😂😂 kama umeipenda movie kama mm like it
Mimi sins maneno
Nam nimependa san
Ramxo Muxa 😂😂😂🇹🇿🇹🇿
muv hatareeee
movie kali kinoma ila mlio wa risasi mmeniangusha. BIG UP KWA TEAM NZIMA
Umetisha mwanangu
Move nzurii Sana.... Bongo move wajifunze kitu kupitia hii move, imechezwa eneo moja tu lakini story inaeleweka Kabisa. Hongereni nyote mlioshiriki 🔥 🔥 🔥
Move safi sana
Nzr sanaa
Aisee, story imepangiliwa vizuri saana huwez hata kuimajin kama muvi zingne zinavyokua ni uanfishi makini na sio wa kawaida hongeren sana Timam kwa jambo hili Mungu awaongezee juhudi binafsi na maarifa naamin mtaiinua sanaa yetu tena kwa kishindo
Katika Bongo Movie's za Tanzania hii iko higher.... Siwezi sema mengi yaani nimejifaidia sana, Tulikua Bongo Movie's tuna Drop ila now day Kwa Mambo haya tuna Develop......Kumbe tukitulia tunaweza! ......Tuwache ma Movie yakimapenz kila wakati, zipo story nyengine nyingi zinazokua na mafunzo kuliko Mapenzi yakila wakati...hatahivyo mamovie haya yakihanasa yanaharibu sana Watoto wetu...ila hii iko bomba sana.....Wanangu Mmetishaaaaaaaa, Yaani hakuna Bongo Movie tangia nizaliwe niliyo iona imetulia na yenye kuleta maana na kuelimisha jamii kiujumla kama Hii....Congratulation TIMAMU TV, MUNGU awaongoze na azidishe Kipaji chenu...YOUR THE BEST AND ALLAH may help you for the Rest, Ameen.. Tanzania mambo ni Motoooooooooo, umeisha mwendo wa kitoto...Hapa Kazi tu, Big up Sana sana TIMAMU TV......Dah! niraha sanaaaaaaaa,duh! leo nime'enjoy...Asanteni sana TIMAMU TV, tunasubiria nyengine
Rasta never die Baba mchungaji bwanamjeshi bhana kwahy wachungaji wanatoka mbali sana yaani hatari fire fire
Kweli mjeshi najuaa ungesema yesu crsto nisaidie. Ungeona yesu yu hai. Ila jarbuni. Kutoa zakutufndsha kwenda mbnguni
hii movie waitangaze watanishukuru badae inatakiwa ichukue tuzo bongo nzima sijawai ona hizi effect wamejitahidi san san san by rangster hapa
😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰
This movie is more than movie.... I'm proud of bwanamjeshi
Kabra hata sijamaliza kuingalia nme salute nlikua naiona kwny matangazo naipuuzia kmbe bonge muv .. much respect kwenu .. ipo kama stash house
From🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuko pamoja nanyi kazi nzuri sana. Moza likolo bakokokate
Movie nzuri sana, watu wa Mombasa tunafatiliya sana, kazi nzuri
Big up TIMAMU TV, you're now the Disney and Hollywood of East Africa. Continue with the same spirit, I believe you'll rock the whole world with films of such high creativity. I am proud of you Bwana Mjeshi and Ebitoke.
Fantastic... safi sana
Nyamohanga Justus SQL I. .mmnkqqqqqqqqqqqqqq1q
kwa Mara ya kwanza nimeona mchezo Wa kiswahili mzuri na umeleta twasira ya michezo ya kizungu ya wenzetu hongera sana mmejitahidi sana direct a hongera na waigizaji wote mmeigiza vizur sana tena sana👌👍
wakwanzaa hiii movie kama umemwona ebitoke gonga like mr beneficial vprpooo
Bongo movie yenye viwango,, salute kwenu TIMAMU TV🔥🔥🔥
kiukwer hii move kwangu mm best action move kwangu hakika zikiendelea kama hz tano tu kwa mwaka mtaludisha ubola wa bongo move salute
Mala yang ya mwisho kuangalia bongo movie ya kibongo ya kutisha na kuogopa ilikua shumileta lakin leo hii imevunja rekodi big up TIMAMU Movies tuko pamoja
You guys are the best mapigo ya moyo movie inaanza mpaka inaisha yapo juu😃
Dah hili ni bonge la movie kwa sisi tunaojua movies kwa style hii Tanzania tutafika mbali sanaaaaaaaaa.....km umeikubali gonga like tujuane
Big up guyz plass timoth more creative..nawasif pia kweny kutengez giz n mwang hafifu ili kuongez hisia za kusisimua pia comedy flan humo..ila mlio w risas mngekuz saut kidg..imeisha iyoo
Nimetoka tiktok mbio kuitazama hii❤❤❤❤❤ mmefanya kazi kubwa hongereni nyote mlioshiriki🎉🎉🎉🎉🎉 mmetishaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Good n best film
Thanks for apploading SEMA. Congratulations 👏
Jamani iyo movie mm nimeilewa Kam na ww umeikubali gonga like ili tujuwane
Hii ni picha kali sana apa nilipo naangalia uku mwili ukisisimka nimekubali timamu TV
Nice aki ebitoke unaweza aki umetoa kitu tofauti natulivyo kuzowea
Ongereni sana mmefanya kitu kizuri
Asante sana timamu, TANZANIA TUNAWEZA...
Allah awape muongozo zaidi ktk kazi yenu ya sanaa @mr-mjeshi @abitoke @mr-chaliii
1oo%
kwakweli mmetisha sana wajuba nataman siku moja mje bukoba mfanye shoo hata elufu hamsini kiingilio mi nalipia kabsa big up sana wajombi wa chuga
Duhhh🙄Timmo we ni Motoooo..
Duuhh, hii imetumia akili kubwa Sana ya Filamu..
Tatizo letu lilikua uswahili mwingi........ Kila kitu watu kujitia wajuaji na kuharibu kwingi.... Wazungu hawana mchezo...... Timamu mkiendelea hv.... 2yrs later.... Tasnia ya movie itakua mbali kama mziki wetu ulipofika... Big up sana.... Kwa investment kubwa.
Iko makini Sana hii, nilikuwa naisubili ipande youtube tyu...!!🔥🔥💥💥💥🙌🙌
Ukweli bongo tangu amefariki kanumba hii ni film ya kwanza kwa ubora. Script nzuri . Ubunifu wa hali ya juu hakika nimekubali sana . Pia tumechoka zile habari za ofisini , nyumbani pia yumbani ( sebleni - chumbani) . Creative ya hali ya juu sana saluut to you all
now Tanzanian movies gonna take all over the world big up to you timamu movies.
Hongereni sana kwa move nzuri inahitaji tuzo kubwa zaidi ya yote kweli tanzania tunaweza mungu awe nasi sote .hongereni
Hoi movie ni moto Kama wameigiza wamalekani jamani narudia tena kuiangalia 😍
Umeina eeehh!! Duhh jamaa wamkuja kivinginee .. Wanawzaa.. tena xanaa..
Kwahy kwa7 niwabong una angalia mara1
Yaani hii move nkali nimetizama hadi raha kazi nzuri sanaa bonge ya move yana waendele ivoivo
Wow!!!! 😅 Now am starting to be proud of Tanzanian movies. This was hard to watch especially at 0200 am 😓. This movie is Big. Nice work to all involved in producing. Hope there is more from you guys. Excellent 🙌.
Wow great revolution ina de industry ov movies in bongoo....Big up timamu....Me nasema...Sema great film
industry ya bongo imekuwa sasa TIMAMU TV BIG UP SANA it is amazing jamani msisahau like katika hii movie
movie nzur adi natamani ingeendelea kidg
Makn sana nimeielewa
Aisee its a creativity imekaa vizur mno mmefanya kazi inayoitajika sio movie kama nilizowai kuziona its fantastic one
dah! big up xana bonge la movie number 1 Tanzania
sana
Kuna Movie Maneno ya kuambiwa Brow...! Sema ni Kali kiasi
@@xaviermethewxaviermethew7727 usifananishe sema na vitu vya kijinga maneno ya kuambiwa nimeicheki haifikii hii hata robo
Muvi ni nzuri mmeweza sana
Nyie mmejua kututoa kimaso maso move nzuri sana ongereni👏🏾👏🏾👏🏾
Bwana mjeshi umeua hii kitu big up 🔥🔥🔥🔥🔥🎞️movie ni konki fire
hiiio ni nyoko
Xanaaa kama vyote ebitoke mama gud
King Ndinyo kabisaa
Bigap sana timamu movies kwa kutuandalia bonge la movie pia hongera kwa bwana mjeshi na ebitoke kwa kujaribu kuigiza kwa ufanisi mkubwa na wa hali ya juu
You guys are the best ! Ever since nimeangalia movie za bongo sijawahi ona you deserve an award kwa mwendo huu wa nigeria wako nyuma ,yani nilikuwa kama naangalia horror movie from hollywood! Timamu number 1
Sijawai ona nilichoona.... ubunifu, stori na kila kitu ni perfect. 👏👏👏👏👏👏
This is the universe movies,, you can not compare with any bongo movie
Sems
Woow wat a NYC movie ebitoke uko juu keep acting utazidi kuwa juu👍
Yaan hii move inastahili tuzo kubwa siyo ndogo...MUNGU yupo pamojja nanyi
Movie nzuri sana nimeipenda hiyo
Ndio kwanza naupa ubongo chakula chake kama tupo wote sio mbaya kama utagonga like
ya tuko pamija sana
Hii movie inahitaj masters degree kuielewa.
Bonge LA 🎥 ,ninyi sio mamba ni kibokoo 🔥🔥🔥🔥🔥
Hongereni mmefanya kazi kubwa , nzuri ya kusisimua big up
nimeona movie nyingi za kitanzania lakini hii ni movie katka level zingine tafauti kabisa kila ukitazama unataka kujua what next sio zile movieikianza unajua itaishaje big up wataarishi na wahusika
Hii movie kma hujaanglia hd mwisho utaon vpcha pcha tuh
Movie nzuriii kama nawe umeikubali like hapaaaa
mmetisha Sana toka move imevyotoka tuu duuu nimekubali cn
@@salumuyahyayahya7163 pamoja sanaaa
hiv itaendelea au
@@safiyasafiya5542 ilivoisha like kama itaendeleaaa tena ngoja tusubir
Mbona iliisha hivo yani hakuna muendelezo tu nihiyo moja tu mlicheza vizuli tu sana
Kazi nzuri Sana ubunifu wa Hari ya juu,Ila naomba safari hii mjipange vyema kabisa mtuletee filamu ya mazombi iliyo kamilika kabisa Kwa mtazamo wangu itakuja kusumbua Sana tasnia ya Bongo movie,yote ya yote nawapongeza Sana kwa Kazi nzuri ya sema, production imejitaidi Sana,timo,bwana mjeshi,benefika,ebitoke Na wengine wote,bila kusahau timamu TV
Hii fulam ni amazing 😉 🙌🏼📺🔥🔥
Tangu nimeanza kuangalia Bongo movie... Hakujawahi kutokea Movie nzuri kama Hii... HONGERENI SANA.... ZIDISHENI BIDII
Aisee hii imekaa poa sana ...big up kwenu Timamu TV...,mmeuwa!!😘😘💕💕
Imeweza aiseee😮😂❤❤
I've been waiting for this for so long. Thanks team
Chimbo Live
Jaman movie imeekwa Jana
Imekuweje comment yako inasema inasiku NNE. Yaan 4 days
@@ackshuba8679 Kuna option RUclips unaweza kupost video hata 1 week before
Nimependa sana hii movie jamani. Hongera sana. From Mombasa Kenya following. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kaz mzur nimeipenda sanaaaaa
Timamu mmetisha kinoma mkiendelea hivi☝️ nitaanza kuangalia bongo movie
Heshima zote kwenu #timam TV
Hapa mmechana nyavu. Yani fire 🔥
We Mbwaaa
yani sna yani
Yani mmepasua mwamba
@@leonardbartalome265 m!
Hongerin sana filamu nimeielewa imenigusa
Daah bonge moja ya mouv kama unaikubar raik hapa
sijapoteza muda kuangalia hii movie. kwa kifupi hakuna biashara haramu yenye mwisho mzuri, hii ni general rule ingawa kuna exceptions zake kwa baadhi ya watu. good movie aise, keep it up
Bonge la movie movie tamuu.....daaa sema nataman ingeendelea....
#horowmovie
hongera tanzania imekubali sana.
mpemba wisee kapatikana,😂😂😂 movie mzuri sana.kazi mzuri mko juu juu zaidi 💯👌
Hii?
Movie nzur mm siangaliag bong movies lakn hh nmeangalia .huwaga naveuw comments tu LAkin hh nmeipenda .like kama umeiangalia na kuipenda kama mm
kama unaangalia huku unapitia comment kama mm tujuane
Yaap!
Naitwa mbwana kwakwel nmeipenda hii jamaa wako vzl
Movi nzuri sana
@@rogerboaz2344 move nzuli sana
japhar juma ok
Ni movie moja Kali toka atutoke fund wetu Steve kanumba, big up kwa wote mlioifanya hii movie xafi sanaaaa👊👊
Dhaaa nc nc movie siamin kam no tanznia mlikuaga wap jmn toka mda tungekua km wakin rambo saiv like zenu jmn love love
Duh inasikitisha saana
nimewaelewa watanzani kidogo afadhali
Iko poa sana ....sjui walichelewa wap kuleta vtu vkali km ivi
duh yaan kama la kizungu kutoka hollywood.... Big up..... yaan napenda movie kama hiziii ukae utulie ndio utaelewa sio mtu unajua movie inaishajee yaaan dah ....... Hili Movie yaan naurudia hata mara 100000 kuangalia
Kweli mungu hamtupi mjawake nimekubali kipaji mnacho sio kubatishaa
Dha move inaitwa sema sa mbona mjeshi ajesema chochote afu yule doctor kisanga kuna kipande alikufa afu tena akaoneka hiyo vp kama ujaona hivo vipande angalia kwa umakin weka like twende sawa
A very nice Tanzanian Movie. Nimeipenda
Sawah na sisi wa2 wko wanyumbn 2nakup sapot mzee by handen kwe2
Kama bado hujaelewa stori kama Mimi gonga like tujuwane
mi naona ipo ipo tu sielew chochote
Beatusi Shirima ukifatilia mpaka mwisho utajua nn maana yake
Yani Nimerudia mala 3 ata sieliwi
Ni dalili kuwa ata darasani ilikuwa shida wewe tafuta wenzio mjuane
Beatusi Shirima kama haujaelewa ni bichwa lako gum tu na hautakaa uekewe
Nadhani Timamu Movies mnaitaji tu kufanya promotion! Kazi zenu nzuri sana.
Wah nice job guys watching from qatar
hakika bongo move inaweza kufufuka tena hii ndo best movie katika histolia ya move nchin kwang
Safi sanaa...ila dah nimejuta kuangalia usiku...chooni hakuendeki 😂
😂😂😂
🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🙏
Nice movie,imebidi nifuatilie ndo nielewe maana kanichanganya mwanzoni.......much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Movie nzuri hii imenitisha mpk naogopa kuingia ndani jamani na moyo kupata presha kha
I can't understand Swahili but am enjoying the movie
sina mengi ila ipo siku Tanzania itakuwa kama ulaya😢😢😢
kwann tushindwe kufikia
walipofika wengine
Km ivi tumeanzaa...
Nimeipenda sana na naikubali naamin watanyooka2
Wwee
Ndoto yang kuja kufanya kazi kama hii nimependa san Allah atuongoze tuwe watu wenye mafanikio na kuonyesha kitu tofauti asanteni timamu ipo siku nitakuja kufanya kama ninyi (SEMA) By Ally Mtepela
Kama ume itazama muvi hii gonga lik