Safi sana mudathiri umetuheshimisha wananchi tumemsahau ugali sukari unajua sana sana MUNGU aendelee kukupa kipaji zaidi ucheze ndani na nje ya TANZANIA 🙏🙏🙏🙏
Kiiila ninapotaka kuweka uzalendo mbele niwaombee yanga mema nasikia sauti ya mkuu wa mkoa mpya chalamila akinambia nipunguze kiherehere Kama sina Cha kufanya nitafute sehem ilotulia ninywe bia🤭
Nipewe maua yangu kabisa wa kwanza kukoment
Safi sana mudathiri umetuheshimisha wananchi tumemsahau ugali sukari unajua sana sana MUNGU aendelee kukupa kipaji zaidi ucheze ndani na nje ya TANZANIA 🙏🙏🙏🙏
Umetish mwamb
Inshallah mudathiri kama kawa zipunguze ukifika pale kwenye box kimo cha mbuzi mwambie na moloko na mayele mzize 🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Mudathir Ana amani na furaha ya kutosha ndani ya yanga na anaenjoy Ila ile picha ya Muda kwangu Mimi ndio picha Bora kabisa
Inshallah Mwenyezi Mungu atatusimamia timu yetu tutapata ushindi
Mudathir anavistori vya kusisimua Sana Wanayanga Tunajivunia kuwa na Mudathir Yahya
Safi sana 💚💚💛💛🔰💪 Daima Mbele Nyuma Mwiko 💪
Mudathiri upo vzr sana picha hiyo kali sana magoli yalikuwa mazuri sana👍💚
Hongera Mudathir na kila la kheri
Sawa king of Chamanzi complex❤
Wakati anafanyiwa mahojiano azam alikua kama ana dharau fulani kumbe ni mtu humble tyuu Allah akuzidishie Mudathir💚💛💚💛💚💛
Eeeh 🤣🤣 hata me nlikua namuona hivyo hivyo
Ila angalia usije ivimbia Yanga pindi ukitaka kuondoka fuata taratibu
usiwe kama ndugu yako Fei
@@ramadhanmanyacolour5236 Mudathir anajielewa afu ni mtu mzima na ana famillia yake so kama fei toto anaelaghaika kirahisi
Kupitia hii interview naona ukomavu wa hali ya juu kwa Mudathiri. Hakika wachezaji wakubwa hucheza timu kubwa.
Nakukubali sana pia nakuamini uwanjani Raha uliyotujaza mashabiki zako hatutokusahau 💛💚💛💚💛🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🙏🙏🙏🙏
King Mudaaaaa
Viva Muda🎉🎉🎉
Badae akiona kwamba umerocodi iyo story ya 2 ututukie tunafurahi sana mola akujaalieni ushindi kesho ameen
Amen
Shukran shujaa wetu
Inshallah tutashinda kwa uwezo wa Allah tunamtegemea Allah zaid
One of the Best interview ❤
😂😂😂😂 sema MUDA ulivyochambua goli lako dah niimecheka kweli..
Hakuna Mzanzibari mbovu 🎉
Yupo Fei toto
Hapingwi
@@bahatimbuba8625 aaa wp
@@feisalmasoud-ut1zi
Hajitambui. Anajiona kuwa ni nwanaharakati
Kila la heri young Africans 🔰🇹🇿🔋
Behind the scene imekaa vizuri zaidi inafurahisha sana😅😅
Kati ya Usajili ambao Eng. Hersi hakukosea 💚💛💚💛👍🏾👍🏾👍🏾
Kweli yaani
U are my bro from another mother.. One love kk
Hongera sana Brother Muda,kwani unaweza sana.
Kwenye hichi kiti ilibidi akae Feisal na ujinga wake!....
Muda boy muda utaongea 🔰💛💚💪🏻🇹🇿
Mzanzibar makini😂😂😂🇹🇿.
The best interview in this season 🎉
ruclips.net/video/HMPnIGLwvv4/видео.html
Una kitu utafika mbali ❤
huu mseno umekaa kinamna hua nacheka saana nkiuona😂😂
eti nkamwangalia nabi amekuwa kichaa😂 na seehem ya unasema feisal anapiga me hatari
Sijawahi kuwa nashuka na mudathili
Hongera sanaa🎉
Like father like son ,voice
Lafudhi ya kwetu kabisa😂😂
Viva Zanzibar
Home sweet home viva Zanzibar
Pongezi sana Mudathir,MUNGU aendelee kukupigania 🙏
ilove you Mudathiri kiungo wa mpira
Unajua kaka
Nime enjoy kumckiliza mudathili Yahaya🤣🤣🤣🤣
Mungu,wabarki
Kumbe Ally kamwe nae anaongeaga kistarabu ivii Tena kwa utulivu n maswali mazurii😂😂😂
Muda akiwepo kwenye mechi moyo wangu unatulia Na ushindi upo
We❤ you muda wew ni akina fey 10
Nimecheka sana hiyo nikampinda beki 😂😂😂😂 all the best chama langu Yanga siku ya Leo
Hongera sana kwa goal zuri bro
Nakukubali saana mtu wangu .nipo uwanjani kesho na picha yako
interview kali sana hii 💚💚💚
Hongera sana yanga kwa ushindi
Kaongea Kikubwa Kaongea Kibingwa na Sisi Ni Mabingwa
❤❤vizuri sana
Yanga raha sana jaman daaa
Hii history nzuri sana
Wakati Mudathir anaelezea kipindi ambacho Agrey anambeba Mudathir,,,Ali Kamwe alikua anashangaa juu ya umri wa Agrey Moris😃😃😃
Eeee ally kamwe alikua haelewii aisee
😂😂😂😂
Nimeishia pale aliposema ananunua picha Kwa elfu kumi 😂😂,Dah jmaa bahili sana
Hahahahahhaha
Huyo ndio mdogo wangu muda....ziada muulize sure boy na baka
Mm wamenikera saut haipo vizur inakoromq sanaaaa alaf kuna saut zinaingia
Wate wa media mnafanya kazi nzuri.. ila tujitahidi sound iwe stereo... Sound inapiga sikio moja kwe kila mtu.. mudathir left. Kamwe right
Inasababishwa naupungufu wa vifaa vingekua viwil isingeleta ivo
Nakukubali mzee wa shurba tunakusubiri tukupe maua yako
Alwatan kwann hujamuekea mike Mudaa asee
Mudathir anachekesha 😂😂😂😂
Muda ni mali 💚💛💚💛
Akili kibwa sn ya mpira kiungo mudah⚽️💯
😂😂😂😂😂😂ukiwa yanga utaongea tu simulisema muda simuongeaji 😂😂😂
Sana kaka
Toto ya jenzii
Tunakutegemea sana pale kat
Muda hapendi camera kaabisa😂😂😂
Kesho tunaingia fainali
In Sha Allah
🎤🎤🎤🎤❤️❤️❤️🎤🎤🎤🎤
Asante
Mwamba nakukubali xan
Hiz bihend ziwe kwakila mchezaji zinakuwa kali sana😂
Mudathiri bahna
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Utafikili kstoto sijui ni last Born? Kana heshima sana, harafu kanadeka
Mcheshi sana
Mido ya ⚽ @mudathiru yahya🙌🏽
Hiyo picha iwekewe bango kariakoo.
Good interview
Zanzibar finest jamaa fei Chali manina
nipewe mau yangu 😝
BEKI WA DODOMA JIJI KUMBE AKIPINDWA NA MGUU WA MUDATHIR😂😂
😂😂😂😂😂😊
Yuko poa sana jamaaaq
Kiiila ninapotaka kuweka uzalendo mbele niwaombee yanga mema nasikia sauti ya mkuu wa mkoa mpya chalamila akinambia nipunguze kiherehere Kama sina Cha kufanya nitafute sehem ilotulia ninywe bia🤭
Picha ya msimu hiii😂😂😂😂
Kabsa😂😂😂😊
Noma saaaan 👍👍👍👍👍👍👍
Behind the scene 😂😂😂
💚💛💚💛
Daima mbele nyum mwiko
Behind the camera ali kamwe hahaha
Shangilia yako picha yako jana 16/05/2023 lautaro martinez naye kafanya ivyo baada ya kufunga goli dhidi ya ac milan
Mdaaaa😂😂😂
😂😂😂😂 Yanga utokiiiiiii jamaaaa
Mpemba wisee
Behind the scene ije yote 😂
Huyu dogo anaweza komedi
❤
Sema ayamaujino nimependa😂😂😂
Muda mwisho hapa katupiga kamba😂
😂😂😂
🙏🙏🙏🙏
Mudhadhiri we mridhi wa fei