Wa Tanzania mwampenda kuhukumu wasanii bila ushahindi wakutosha muachene mtumishi wa mungu aendelee kuhudumia nyoyo za watu wacheni watu wasikize kinacho toka kinywani mwake ila simatendo yake wala mambo ya familia maana wato wengi sana walio telekeza familia zao hasa wazazi wao, wengine hata niwa chungaji so wacheni Martha aenere ujumbe wa mungu
Wewe ulitaka Wacongo waache kumpokea ? Walibidi wafanye hivyo wasinge mpokea angevunjika moyo sana, hata kama anasimama hapo kuimba lakini ndani yake amani na ujasiri wandani sijui kama anao kwa yanayoendelea juu yak
Moyoni hana amani. Nikufunika tu macho za watu lakini hilo jambo lamkosesha amani kabsaa. Ili apate amani, ni arudi kwa mamake kwanza ndio apate neema na radhi ya Mama laa sivyo moyo ina tashwishi sana. Joan arudi kwao huyo amechafua uzuri wa Martha kabsaa
Tuna mupenda sana dada Martha, mungu ata muteteya tu
Songa mbele dada❤
Safi songa mbele Dunia inatuchosha
Mimi Sina neno kuusu Dada wetu tunampenda sana
Mimi mwenyewe nilikuwa pale chow kalisana kwetu Congo bunia
Wa Tanzania mwampenda kuhukumu wasanii bila ushahindi wakutosha muachene mtumishi wa mungu aendelee kuhudumia nyoyo za watu wacheni watu wasikize kinacho toka kinywani mwake ila simatendo yake wala mambo ya familia maana wato wengi sana walio telekeza familia zao hasa wazazi wao, wengine hata niwa chungaji so wacheni Martha aenere ujumbe wa mungu
❤❤❤❤❤
Sisi watuwa koko tunamu beda sna
Wewe ulitaka Wacongo waache kumpokea ?
Walibidi wafanye hivyo wasinge mpokea angevunjika moyo sana, hata kama anasimama hapo kuimba lakini ndani yake amani na ujasiri wandani sijui kama anao kwa yanayoendelea juu yak
Moyoni hana amani.
Nikufunika tu macho za watu lakini hilo jambo lamkosesha amani kabsaa.
Ili apate amani, ni arudi kwa mamake kwanza ndio apate neema na radhi ya Mama laa sivyo moyo ina tashwishi sana. Joan arudi kwao huyo amechafua uzuri wa Martha kabsaa
Mama mwenyewe nisumu we nyamaza Mather hajalala na mume wamutu Beatrice ogopa sana mama Pana sili kubwa Mather forward forward forward