TUNDAMAN-HARMONIZE AMENILIPIA MILIONI,80 VIDEO,YA BADMAN BILA KUMUOMBA, HADI NAOGOPA ZITARUDIJE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 153

  • @emmakifimbo6792
    @emmakifimbo6792 2 года назад +23

    Harmoniz mungu akubariki sana kaka

  • @digonzakeimbe8435
    @digonzakeimbe8435 2 года назад +13

    Salute..dogo harmo..tunda kakubali...huo ndio ushirikiano ...🙏🙏

  • @rajabulipongo4135
    @rajabulipongo4135 2 года назад +17

    Mm nimependa sana Kharidi umekuwa mkweli sana respect sana Harmonize

  • @didasstanley3769
    @didasstanley3769 2 года назад +12

    Yaani wasanii wanaojielewa huwa hawana mambo mengi na mbwbwe wala kujisifuuu saaaanaaaa much love bro unaishi sana meen

  • @andyismailbuanado6703
    @andyismailbuanado6703 2 года назад +17

    Tunda man go up 💪👏👏👏👏🙏

  • @georgebidance1399
    @georgebidance1399 2 года назад +8

    Hapo kwa Dr. Magu ❤️🔥🔥😭

  • @loreenneema
    @loreenneema 2 года назад +4

    Watching from Kenya....#TundamAn shikamoo

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 2 года назад +9

    Nakupenda Harmonize

  • @mrlonsman9706
    @mrlonsman9706 2 года назад +11

    Tundaman
    Badman
    YesSir 🐐🐐

  • @olivermhando952
    @olivermhando952 2 года назад +4

    Harmo, achananao,watakutafutatu.mungu yupo pamoja na ww.more 🔥 bro

  • @hnassa4548
    @hnassa4548 2 года назад +12

    Nimependa tundaman, Amekuwa mkweli sana, pia harmonize Amefanya kitu kikubwa sana amejitolea kiasi kikubwa sana sio jambo Dogo aisee ,, amemnyantua kapten kuludi Kwenye gem,, Mungu amuongezee @harmonize kila hatua ya mafanikio,

  • @dominicomtesigwa1547
    @dominicomtesigwa1547 2 года назад +1

    Dah..harmonize anasapoti mtu bila kumtangaza..hongera kwake anautu sana mshikaji

    • @wangash6144
      @wangash6144 2 года назад

      nahivo ndio inafa wacha uliye msaidia akusifu yeye

  • @gustavemwimbilwa330
    @gustavemwimbilwa330 2 года назад

    Napenda sana wimbo huyu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @barakarobert9516
    @barakarobert9516 2 года назад +1

    Toka uanze kuimba mzee baba unaweza hongera

  • @johnamani8204
    @johnamani8204 2 года назад +5

    Hongera kabisa, muzidi kupendana siku zote, Tundaman vs Bahresa

  • @omarikinyory5785
    @omarikinyory5785 2 года назад

    Blessings sena konde boy jesh 🐘🐘respect sana TUNDA man kuwa true one love 💯

  • @yussouphluambo959
    @yussouphluambo959 2 года назад +1

    Hapo kwa dk magu kachukua 💯% 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @azkascenes7001
    @azkascenes7001 2 года назад +1

    Support Support and Support lengo ni DREAM ....no competition ...lets hold hands ..it cost NoTHING ....imgne winning with your FREIND it BeCOMES GREAT ....

  • @danpool5816
    @danpool5816 2 года назад +8

    Mtuda kabisa 🇰🇪🔥🙏

  • @devidjapani9039
    @devidjapani9039 2 года назад

    AKILI MTU WANGU Tunda wewe Mkweli 🔥 🔥

  • @athumanjames8274
    @athumanjames8274 2 года назад

    Ngoma Kali sana sfananishi nangoma yeyote

  • @julietaantoniocosme1405
    @julietaantoniocosme1405 2 года назад +4

    Parabéns harmonize

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 2 года назад +9

    Ther's the way to go tunda man & harmonize.
    Song is great and you guys are great

  • @alexalen6799
    @alexalen6799 2 года назад +5

    Hapo kwa dr magufuri shikamoo

  • @kamiibashingwa2522
    @kamiibashingwa2522 2 года назад

    Nakubali Broo

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 2 года назад +15

    bonge la ngoma

  • @mr.vionge
    @mr.vionge 2 года назад +4

    Tunda unaongea ukweli sana, nakubali

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 2 года назад +3

    Nakupenda Tundra Man
    .

  • @mataizytembo4780
    @mataizytembo4780 2 года назад +5

    Bless xana tunda man umefanya ngoma kubwa Sana tz na itaish miaka mingi🙏🙏🙏

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 2 года назад +2

    god bless konde and tunda

  • @rustygee254
    @rustygee254 2 года назад +1

    Blessed @Harmonize

  • @martinmbesi5551
    @martinmbesi5551 2 года назад +3

    🥰🥰🥰🥰moto sana

  • @veryboyplatnumz80
    @veryboyplatnumz80 2 года назад +1

    Chawa mpya in town tunda man
    Hongera

  • @mkalitalkshow
    @mkalitalkshow 2 года назад +1

    Mangwea ameacha fizi...💪

  • @omarikinyory5785
    @omarikinyory5785 2 года назад

    Ndio mahana yake John pombe magufuli 💔 💔 💔 💔 Ameacha fizzy Co pouwa TEAM BADMAN

  • @martinmbesi5551
    @martinmbesi5551 2 года назад

    Juu sana brother wew ndie mkongwe sana

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 года назад

      Hd Msasa Oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 2 года назад +5

    Mbona anafanana na Alikiba...are they blood related? Kazi nzuri kiukweli 👏👏👏

  • @hassanimussa5776
    @hassanimussa5776 2 года назад +2

    Tunda tupo honest sana

  • @scannermbad7622
    @scannermbad7622 2 года назад +14

    Tunda man anaongea kama alikiba. Huwa nawakubal sana

    • @annacosmus6613
      @annacosmus6613 2 года назад +1

      Umeona eeh yan kigugumiz sio kigugumiz so funny 😂😂😂😂😂😂

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 года назад +1

      @@annacosmus6613 kama uyu kazid kigugumiz yan kama anamafua

    • @lillianbarongo2807
      @lillianbarongo2807 2 года назад +1

      Honestly I said the same kabla ya kusoma comments😄

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 2 года назад +3

    Mm nataka salam zimfikie kwa mtangazaji napenda jinsi alivyo jipamba uso nyusi hadi nyele

  • @masungajp1
    @masungajp1 2 года назад

    WASUKUMA BARIADI MASUNGA JOHN THE MAN.

  • @tonnymasizi3331
    @tonnymasizi3331 2 года назад +1

    🙏🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @beenize-zc1uk
    @beenize-zc1uk Год назад

    Tunda .an ameweza bana n konde namheshimu bana😅😅😅

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 2 года назад

    From Mozambique 🇲🇿. hormonze money ajakulipia muongo weweeeee

  • @annacosmus6613
    @annacosmus6613 2 года назад +1

    Yan anavoongea nimecheka mimi 😂😂😂😂😂😂

  • @geoffreysholo3434
    @geoffreysholo3434 2 года назад

    Tunda Man#bahresa, watu wabadi

  • @officialtinnyaltezza9878
    @officialtinnyaltezza9878 2 года назад +1

    Wabadnations 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @roycashchiborhinokenya
    @roycashchiborhinokenya 2 года назад

    Wamekopi nyimbo yangu tundaman

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 года назад +3

    Kwahyo akimlipia iyo pesa Diamond 💎 anahusika vipi hapo? Au bila Diamond hakuna kinachowezekana

    • @alliykhamis7490
      @alliykhamis7490 2 года назад

      hata huku Oman hio ngoma ni namba 1❤❤❤

  • @charlesmasome249
    @charlesmasome249 2 года назад

    Good

  • @bonnysure8706
    @bonnysure8706 2 года назад +2

    #Badman t-shirt Kali lkn sa wanawake watavaaje

  • @francissamson8028
    @francissamson8028 2 года назад +5

    Kabla ya nyimbo kutoka tunda man alisema harmonize alilipia video million 9 ghafra imekuwa million 80 😂😂😂😂😂

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 года назад

      Hao n utopolo tupu njaa zinawatesaa

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 года назад

      @@009biafra8 pamoja na nyie mnateseka visokorokwinyo

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 года назад

      @@mahmoodalghefeili5370 mpumbav pekee ndo anaweza kuvutiwa na ujinga wa Hamokinyesi

    • @kasimsaid7073
      @kasimsaid7073 2 года назад

      Tunda nakuku bal umelud kwakas

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 года назад

      Muwe mnasikiliza interview nzima nyinyi mnadakia tuu kisa kuona kwenye title amesema huwa anawashangaa watu wanaosema video imegharam mil 80 Mara mil 70 ndo amekanusha kua hakuna kitu Kama iko

  • @rashidkabul4158
    @rashidkabul4158 2 года назад

    Madee tip top connection ilienda wapi....

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 2 года назад

    Daaaa Harmo nizaizi ya nooooma

  • @zawadikininga5706
    @zawadikininga5706 2 года назад

    Nice

  • @tonnymasizi3331
    @tonnymasizi3331 2 года назад

    🙏🙏🏼🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @yusuphbuyobe8583
    @yusuphbuyobe8583 2 года назад +1

    🔥🔥🔥

  • @mamass7481
    @mamass7481 2 года назад

    Mm tunanakukubal una saut yakipekeyee yan yakibabe.

  • @mustalaabdala5628
    @mustalaabdala5628 2 года назад

    Mimi nawa sapoti sana wale wanaio imba muziqi nizuri quwa sababu mimi siomulevi shabiqi mimi

  • @francisedapal9167
    @francisedapal9167 2 года назад +1

    Hamonizi hanaweza

  • @eliaatumigwe9527
    @eliaatumigwe9527 2 года назад

    🤝🤝🤝💪🏿👊🏿

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 года назад

    Jaman si alisema million 9 leo tena kazdisha

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 года назад

      Msikilize mwanzo had mwisho ndo ujijibu mwenyewe

  • @shammysoulaiman7288
    @shammysoulaiman7288 2 года назад

    Ki ukweli ile nyimbo ni kubwa sana hanrminze amefanya vitu vya watu ndo mana ni mtu wabatu

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 года назад

    We mtangazaji iko kichwa Vp manake apo kwanza nncheke😁😁😉😉😂🤣🤣

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 2 года назад

    KWAKWELII PONGEZI ZA KWANZA ZIWAENDEE WAZAZI BABA NA MAMA MZAZI WA HARMONISE UKIWA NA MTI WENYE RUTUBA NJEMA OFFCOURSE NA MATUNDA YAKEE HUWA MATAM

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 2 года назад

    Nyimbo yako hamo alipe 80 kweli kk

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 года назад +2

    Et milioni 80 Dah Bongo bhna kwa Maneno ya Kuambiwa... aisee kwl tunaongoza kwa kuFake life

    • @paulorichard739
      @paulorichard739 2 года назад

      Kama huwamini basi hutaamini kwamba Kuna kufa

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 года назад

      Hd Msasa Oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

    • @maestro1902
      @maestro1902 2 года назад

      Maneno ya kwambiwa changanya na yako

    • @maestro1902
      @maestro1902 2 года назад

      Million 80 😁

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 года назад +1

      Sikiliza tena hiyo interview yote ndo utud ukomment hapa na siyo kudakia dakia vichwa vya habari kumbe ujasikiliza ndan

  • @makokoaizack2531
    @makokoaizack2531 2 года назад

    Masanii ya bongo bado Sana Yan kutaja take fedha ndio mme geuza ujumhe kwa Wana nchi. Hovyo Sana kuna watu wanna uhitaji mitaani huku achen huo utoto jmn

  • @amourmasoli4377
    @amourmasoli4377 2 года назад

    Yani kutoka million 10 mpaka million 80 duuuuuhh 😁

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 года назад

    Amonize katokea kwenye shida sana anafanya fadhila kutokana na shida zake. Anaroho nzuri kama yangu lakini hana Bahati lakini sikuzote tunaoonekana tuna roho mbaya ndio mungu anajulikana tunapata mafanikio mafanikio yake uwezi wake bdio maana kuna watu wanamchukua

  • @bonnysure8706
    @bonnysure8706 2 года назад

    Million 9 imekua million 80 Tena🤔🤔🤔👈

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 года назад

    Akulipe hela inayoingiza sasa isijekua ka h baba

  • @roycashchiborhinokenya
    @roycashchiborhinokenya 2 года назад

    Amekopi ngoma yangu kutoka RUclips in a four weeks RUclips yao ina two weeks kwenye RUclips

  • @evanswanyama800
    @evanswanyama800 2 года назад +1

    Eti million 80 za Zimbabwe labda,, kivideo kimechanika na kupauka

    • @dixminderjngao1056
      @dixminderjngao1056 2 года назад

      acha chuki na uchawi shetan wewe

    • @evanswanyama800
      @evanswanyama800 2 года назад

      @@dixminderjngao1056 Ibilisi wewe,, shughulika na comment lako,, kinacho kuwasha washa kisikulete na hicho kiherehere kwngu,, mwanzo uchawi na comment vinaingiliana kivipi,, ww ndo uliniingiza kw huo uchawi

  • @dicksonmwenyembegu2523
    @dicksonmwenyembegu2523 2 года назад

    mbona kwenye maongezi hesabu imeishia M.13 tu

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 года назад

      Wewe inaonesha umeangalia interview yote Ila hujaelewa kitu Tunda kasema ukweli kua audio pamoja na video kwa ujumla gharama yake inafika mil 13

  • @ramadhanijumakishai7783
    @ramadhanijumakishai7783 2 года назад

    Bwege ww m 80 kwa video gn imezi m 2

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 2 года назад +4

    Mtunfa mzuri unazaa matunda matamu

  • @kabebemazambi194
    @kabebemazambi194 2 года назад

    Tunda

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 года назад

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mdogo kamlipia mkubwa

  • @maestro1902
    @maestro1902 2 года назад

    Apo million 80 kamba izo ile video sio ya million 80

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 года назад

      Muhusika ashakwambia ametoa video ya mil 10 we umekazana mil 80 unashida wewe.

  • @jumakajala1807
    @jumakajala1807 2 года назад

    Konde fundi

  • @Rhymesandtunes
    @Rhymesandtunes 2 года назад

    Mbona wimbo yenyewe iko kwa youtube channel ya Harmonize na si yako? Hii ndio inaitwa kutumiwa vibaya

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 года назад

      C ni ya harmo

    • @Rhymesandtunes
      @Rhymesandtunes 2 года назад

      @@mahmoodalghefeili5370 wimbo ni ya Tundaman..harmonize alimlipia tu video

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 года назад

      Sikiliza alichokizungumza interview nzima ndo urud ukomment hapa tena

    • @Rhymesandtunes
      @Rhymesandtunes 2 года назад

      @@ezeedi871 Wimbo ni wa Tundaman na umewekwa kwa RUclips channel ya Harmonize..hauna macho?

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 года назад +1

    😂😂😂 eti milioni 80 vdeo ya m80 nd ile🤣🤣🤣

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 года назад

      Ndg yangu kabla ujacoment uwe unasikiliza interview yote Tunda anasema Kuna watu huwa wanadanganya kua ametoa video ya mil 80 kumbe ni uongo amedai hakuna msanii wa kibongo amewah toa video ya mil 80

  • @lolosaid7003
    @lolosaid7003 2 года назад

    Leo unaongea kuw umelipiw milion80 kesho n kesh kutw utakuj kuongea n kumpond kuwa ajakulipia ngoj tuon ukwer n kwamb ujakipiwa iy pesa

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 года назад

      Kwanza walisema milioni 10 .Sasa eti milioni 80 hiyo kweli. Hizo gharama zimetumika kugharamia nini wakati video haina vitu vya kukodi kama vile magari private jet hata umbali wa kufanya shooting na hana wingi wa watu. Video imepigwa hapa hapa nyumbani haina washirika wengi wa kuwalioia malazi na chakula milioni 80 zinafikaje? Quality ya kimataifa Mimi siioni.

  • @dyanamotz
    @dyanamotz 2 года назад

    😂😂 apo mwisho nimecheka et bongo yenyewe naitafuta kwa tochi

    • @BrylSam
      @BrylSam 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 года назад

      Hd Msasa Oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 года назад

      Hd Msasa Oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

  • @barakakoi5976
    @barakakoi5976 2 года назад

    Unajidharau ww ndomkubwa kulko hamoniz ndomana akakul collabo yaharaka kutembelea mgongo wako lakin ww hujitambui

  • @michaeljoachim8517
    @michaeljoachim8517 2 года назад +1

    Milioni 80 video duuuh! Mbona aionekani kama video ya garama? Naeza kuamini kuwa harmonize kakupa 80 milioni lakin kuamini kuwa video imegarimu 80 milion ningumu sana tena sana coz video nikali sana lakini kwa garama ya 80 video ni yakawaida sana tena sana!

    • @TheUraniumz
      @TheUraniumz 2 года назад +1

      Sikiliza interview vizuriiii

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 года назад

      @@TheUraniumz ukiona hivyo ujue hawasikiliza interview nzima wameishia njian au wamesoma tuu kichwa Cha habari

  • @chybuwagwantaz8054
    @chybuwagwantaz8054 2 года назад +1

    Mil 80 video imepauka vile😂😂😂

  • @wezadaprince5728
    @wezadaprince5728 2 года назад

    Video jumla million 15 afu caption etiii million 80 we mwanaa kum be manaandaziiii Yaani pigo zakingeseee Fuck

  • @azizintalla7348
    @azizintalla7348 2 года назад +1

    tunda man captain mwanza huendi kuisapot simba mnyama

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 2 года назад

    Hd Msasa Oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

  • @augustinofifi
    @augustinofifi 2 года назад +1

    Diamond ndio anawazidia hapo unaamua kuikuza account you tube ya mwenzako yako inalala. Kwann usiweke kwako ili kuipromote account yako. #poor

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu 2 года назад +1

      We msenge sana.wajua alicho sema.alitumia akili kua nyimbo iwe kwa amonize ili usukumwe na yy pia apate mauzo ma ela irud.falaww wacha wivu na akili ndogo

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 года назад

      Diamond 💎 hana takataka ya kumkaribia hata zuchu tu anawazid

    • @augustinofifi
      @augustinofifi 2 года назад

      @@mdalamgir-gu9hu sasa matusi ya nini? Inaonekana hujielewi. Hata kuandika hujui. #shemeonyou

    • @augustinofifi
      @augustinofifi 2 года назад

      @@009biafra8 anajisifia kufikisha views laki nane kwa siku. Tena video wakati wasafi audio zinagonga mpk million nne.

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 2 года назад

      Kilaaaza

  • @gabylove4602
    @gabylove4602 2 года назад

    🤭🤭😂😂😂

  • @barakakoi5976
    @barakakoi5976 2 года назад

    Kwenda huko acha umama ww nmtu mzima

  • @smfkingdom9944
    @smfkingdom9944 2 года назад

    Kamti🌴 pombe
    ruclips.net/video/EoUNzHZowFY/видео.html
    Isikupite hii kal sana

  • @CHITUS
    @CHITUS 2 года назад +1

    Salute..dogo harmo..tunda kakubali...huo ndio ushirikiano ...🙏🙏

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 2 года назад

    Tunda

    • @ismailynguhwe7528
      @ismailynguhwe7528 2 года назад

      Tundra,uko poa lakin umesema sema kweli lazima kama una akili utafute njia ya kutokeaGood 2 kaka.