Wakadinali - "McMca" (Official Music Lyrics) MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb [Verse 1: Sewersydaa Mkadinali] Screen yangu bado ni JVC Old school blood mi huona KBC Kichwa mbaya, Sewer siskii Watu wa CBC unaeza tuita Gen Z (Gen Z) Same thing she'll still never change Bado MVP tukimalizanga game Sioni haya zetu zikikaa na she Mi ndo VIP kwa show zote mna-attend (VIP) JYK ukituona jiekee Jeshi ya B imekam kuharibu South C (South C) Baricade kuna wale wanai[?] Jeshi ya D imekam kuharibu South B AV ukidai tuchome scene (Aha) 'tachoma picha ju hatunanga ID MP hajawai skia our plee (Yeah) Mara IEBC vitu hata haitusaidii (Yeah yeah) MC still MCA USA, USB na ka charger type C Charactеr yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka chargеr type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb [Verse 2: Domani Munga] Yo, ni kaa mi ndio niliwaletea corona Wanabonga very bad, loud hao ma hater mdhii snake kula corner Sababu s**t zao mi huzionyeshanga raw guns Si nikitaka peng labda Nikita Kering' Lupita haniezi labda akitaka ring Ju ni kuficha ring tuki-do ma featuring Sprite, lean na niko [?] Dry gin nayo nicotine, "Hi, honey I'm home" Nazikindanga kaa 10 ma githecha Since kindergarten nadaingi Kim Kardashian Mombasa, Naivasha, ama nikupeleke Rhodesia? Ama Dar mpaka Moro? Acha ni earn nikuwai goro [Hook: Domani Munga] MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb [Verse 3: Scar Mkadinali] Yo, this year niko fully loaded MCA mbele ya wasee sikuli gode Sichoose kazi jo uchumi ngori Usiulize nafanya nini niko shugli zote Usimess na hii shit ni deep Dem yako sikumdishi nilim-pimp Kurura windows ni tint Karao anachunguza nini hio ina-stink Brejin, how you behavin' KSM vitu tulifanya Airbnb MC wenu bado MCM That's why they can't compare me and them Juu ya chats kama VOM Juu ya cash, uone violence Niliuliza matha "Land, ama ubuy-iwe Benz" Kovu on demand, warazi wana-tense MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb
Mc still MCA,USA USB na ka - charger type C,character yangu ili develop vibaya,ADHD ndani ya AIR BnB! Sprite,lean na ni codeine,dry gin na nicotiiine,HIGH hunny am home!
DOMANI DOESN'T NEED A WATCH. HE JUST DECIDES WHAT TIME IT IS🔥🔥🔥 ONLY RAPPER THAT CAN FREESTYLE IN A SONG WITHOUT ANY PRE WRITTEN BARS. KING OF HOOKS #MADMUNGA
Mc,mcm, USB,USA,adh,air bnb,jvc,cbc, Av,mp, jyk, vip, id iebc..wakadinali si mge-title this song 'abbriviations'🤨🤨na second verse rapper ni vituko tu🤭 men ilove this crew because of their 'fun type of rap'
That chorus needs an award! Producer did Justice to the lyrics by delivering a dangerous beat. Beautiful mix of the whole work. I'm very happy! SCORE=92% 👏👏🔥
Played this banger from Meru to Nairobi on repeat 🔥🔥🔥🔥then I realized I needed more of it. Nko Voi heading to Mombasa. 😭🤣🤣 Then back to Naivasha. Then South Rhodesia
Scar's verse; This year niko fully loaded/ Mca mbele ya wasee sikuli gode/ Sichoose kazi jo uchumi ngori/ Usiulize nafanya nini?niko shughuli zote/ Usimess na hii shit ni deep/ Dem yako sikumdishi nilimpimp/ Purura windows ni tint/ Karau anachunguza "nini hio inastink?"/ Bredrin how you behaving?/ KSM vitu tulifanya AirBnB/ Mc wenu bado MCM/ That is why they can't compare me and them/ Juu charts kama VoM/ Juu ya cash uone violence/ Niliuliza matha land ama ubuyiwe Benz?/ Kovu on demand warazi wanatense/
NDANI YA COCKPIT 3 #ALLGROWNUPS THE ALBUM DROPPING THIS NOVEMBER!!!
#RongRende #ZOZANATION
*SUBSCRIBE*
Bring it through.. Salute 🥇🥇🥇
that'ts great my brothers
Mad munga 😅
Rong Render🔥🔥🔥💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
dope 🔥🔥
❤️Can’t wait to perform with y’all
Nikitaka peng labda Nikita karing .......👌👌😂😂ninja on fire 🔥
Nikita approves😂😂🔥🔥🔥✌🏾✌🏾✌🏾
Nikita we ni peng anatambulika.. both kikazi na pia kimaumbile..💯🔥🔥🔥
Lupita haniezi labda akitaka ring 😂👌👌
We are waiting.......
First to comment 😂wapi likes za wakadinali 🔥
ruclips.net/video/2H7qrULb3qk/видео.html chi Bo
Iron fist 😐
Mp hajaiskia our plee
Mara IEBC vitu hataa hazitusaidiiii
Character yangu imedevelop vibaaad😂✌💯
Airbnb starts to make sense in 2024😂
after demos
Wakadinali - "McMca" (Official Music Lyrics)
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
[Verse 1: Sewersydaa Mkadinali]
Screen yangu bado ni JVC
Old school blood mi huona KBC
Kichwa mbaya, Sewer siskii
Watu wa CBC unaeza tuita Gen Z (Gen Z)
Same thing she'll still never change
Bado MVP tukimalizanga game
Sioni haya zetu zikikaa na she
Mi ndo VIP kwa show zote mna-attend (VIP)
JYK ukituona jiekee
Jeshi ya B imekam kuharibu South C (South C)
Baricade kuna wale wanai[?]
Jeshi ya D imekam kuharibu South B
AV ukidai tuchome scene (Aha)
'tachoma picha ju hatunanga ID
MP hajawai skia our plee (Yeah)
Mara IEBC vitu hata haitusaidii (Yeah yeah)
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Charactеr yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na ka chargеr type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
[Verse 2: Domani Munga]
Yo, ni kaa mi ndio niliwaletea corona
Wanabonga very bad, loud hao ma hater mdhii snake kula corner
Sababu s**t zao mi huzionyeshanga raw guns
Si nikitaka peng labda Nikita Kering'
Lupita haniezi labda akitaka ring
Ju ni kuficha ring tuki-do ma featuring
Sprite, lean na niko [?]
Dry gin nayo nicotine, "Hi, honey I'm home"
Nazikindanga kaa 10 ma githecha
Since kindergarten nadaingi Kim Kardashian
Mombasa, Naivasha, ama nikupeleke Rhodesia?
Ama Dar mpaka Moro? Acha ni earn nikuwai goro
[Hook: Domani Munga]
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
[Verse 3: Scar Mkadinali]
Yo, this year niko fully loaded
MCA mbele ya wasee sikuli gode
Sichoose kazi jo uchumi ngori
Usiulize nafanya nini niko shugli zote
Usimess na hii shit ni deep
Dem yako sikumdishi nilim-pimp
Kurura windows ni tint
Karao anachunguza nini hio ina-stink
Brejin, how you behavin'
KSM vitu tulifanya Airbnb
MC wenu bado MCM
That's why they can't compare me and them
Juu ya chats kama VOM
Juu ya cash, uone violence
Niliuliza matha "Land, ama ubuy-iwe Benz"
Kovu on demand, warazi wana-tense
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na ka charger type C
Character yangu ime-develop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
👍
3:56
Sewersydaa is baddest mkadinali
i was scared to start listening to wakadinali. they are so addictive
any day wakadinali is dropping a video should be a public holiday🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯
Kumbe siko solo u wake up smoke weed jam to wakadinali all day
for real
ruclips.net/video/9qIfpFGodMM/видео.html
This one should be pinned
I love the recognition these guys are getting recently 💯💯 this how they are supposed to be treated 💯💯
Mc still MCA,USA USB na ka - charger type C,character yangu ili develop vibaya,ADHD ndani ya AIR BnB! Sprite,lean na ni codeine,dry gin na nicotiiine,HIGH hunny am home!
Thanks...jeshi ya south B to the top....NI MOTHIS hapa...
Kenyans don't know how much we Nigerians love them...Kenya 🇰🇪 Nigeria 🇳🇬 loves you ❤️
Kwani sikuhizi Kuna sheng Nigeria
@@cocoeric6688 manzeee
Mmejaa hapa Roysambu...tunajua😁😁😁😁
wee nakupata kila mahali si nimekuona kwa iyo ya fathermoh saii tu ukisema tu ivi🙄
@@cocoeric6688 Ninja iko jaba
Domani always the first
Mombasa,Naivasha,..ama nikupeleke Rodesha,ama Dar mpaka morow....Munga the DoN ni munyama🔥✊
mc still mca USA USB na ka charger type c
character yangu imedevelop vibaya ADHD ndani ya airbnb🙌🙌
Ati usiniulize nafanya nini,niko shughli zote# for real
ka chaja TYPE C🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥HII NI NGORI KUSHINDA IKUS YA CRUSHY WAKO
The Double entendre from Munga "Acha ni Ann nikuWaiguru" / "Acha ni Earn Nikuwai Goro" was 🔥
Brrrr
Not many will understand that 😁😂
Acha ni Earn(Ann) nikuwai goro (Waiguru)😂🙌🏿
🔥🔥🔥🔥
💯
DOMANI DOESN'T NEED A WATCH. HE JUST DECIDES WHAT TIME IT IS🔥🔥🔥
ONLY RAPPER THAT CAN FREESTYLE IN A SONG WITHOUT ANY PRE WRITTEN BARS. KING OF HOOKS #MADMUNGA
Walae
DOMANIMUNGA Respect Bro this is a prominent person yaani Kenyan principal MADMUNGA
True
😅💯
facts
now this is Kenya's heritage type leaugue
Legends say Wakadinali will be the Choir welcoming us in Heaven
Uwongo hiyo ni uwongo bana
😏😏acha uongo
We drink altar wine to this prayer
We drink altar wine to this prayer 🙏
UWONGO BANA😂😂😂😂😂😂
Watu wa CBC mnaeza tuita GenZ
Nika me ndonimewaletea korona😮😮mad munga to the world
Munga has mastered the art of doing whatever he wants on a beat. That is rare
Tangy enzi ya TEXAS alikuwa anatuangshia mad bars pale system
Alikuwa kwa daro anaturoga mbayar
Manze munga amemada
True manze
Munga ❤❤❤big up bro
"dem yako siku mdishi nili...."scar mkadinali💥
Keep it up but jaribu kutembelea Nyamira county at keroka town mwone jinsi mnapendwa
Vibe=100%
Video=100%
Mistari Mbaya=100%
Alafu Munga is like reincarnation of ODB
🔥🔥🔥🔥
Munga mambo mbaya ....
Mad Munga should be nominated
ruclips.net/video/2H7qrULb3qk/видео.html hi k o
ruclips.net/video/2H7qrULb3qk/видео.html go o
Tano hapo💪🏼💪🏼🔥🔥🔥
2nd viewer, likes hapa na si tafadhali😂🔥
Niko na ka-charger Type C; what a banger!!
''Bado MVP tukimalizanga game'' WEH!
Hawa wote ni ma MC ma MCA... wakadanali ni Assembly Rong
Manze.... This guy's are the new generation of the (Dilated people & wutangclan)
😍😍🔥🔥 venye mmeshika ma youth turkana mbaya sana. They sing along Your songs
Munga huimba the most random things 😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Nikitaka Peng Labda Nikita Kering 💯
MAUA MENGI KWA MUNGA HE'S TALENTED 🔥🔥🔥
watu wa tz manelewa kweli hii kiswahili 😂
@@jmakathi6143 iyo KISWAHILI Iko Dope sana tunaielewa kibishi wanaita sheng n noma
wametambulika design gani huko bongo?
@@philipmue6188 sio kivile sana ila Kwa tunaowafatilia tunawakubali sana sana
@@philipmue6188 kiswahili cha kenya kinabamba manzee ndio maana wabongo tupo hapa🇹🇿😂
Domani, Lucky Luciano 👑
Mad munga's biggest fan....🙌but sewer's still be the greatest💯....then scar...pshsh....the realest🔥
Mc,mcm, USB,USA,adh,air bnb,jvc,cbc, Av,mp, jyk, vip, id iebc..wakadinali si mge-title this song 'abbriviations'🤨🤨na second verse rapper ni vituko tu🤭 men ilove this crew because of their 'fun type of rap'
😂
I came for mad Munga's hooks and flows, Sewersydaa's conscious lyrics and Scar's rap.🔥🔥🔥
andy kifee has mad respect to domani ,,wakadinali muuze makaa LA😅😅
They say if wakadinali reads a book the book will gain wisdom 🇰🇪
My friend has been paralyzed all his life but today he stood up to turn the volume up
thank you wakadinali
😅😅👊💯
Wagwan
kaali sana
Acha uongoo 😂😂🤣🤣🤣
@topboy5783 😅😅😅🤘
Domani "acha nj earn nikiwa iguru (acha ni earn nikiwa juu) bado Ann Waiguru. Double entedre. Munga is a genius
Wakadinali always make Life more interesting 🔥 "watu wa CBC unezatuita Gen Z" 💯
Maaad😂🙌
Titus ngori
For real ...
#Scar... 🔥🔥🔥🔥
All wakadinali fans lets gather here .
Twende kwao
Watu Wengi!!!
Wats up bro, ndio nafika.
Ni mimi tu ama scar ako ako karibu kufanana na dababy....mad luv tho
Started saying "I would never listen to wakadinali" and now i can't get enough of them 🔥🔥🔥🔥
Mc still Mca usa na charger type C ...Domani 🔥 📛
lupita haniezi labda akitaka ring... munga joo😂😂 noma sanaaaaaaa
Manzi yako sikumdishi nilimpimp🌋😇
Scar to the world 🌏🌎
Scar the lyricist
Domani with the flow
Alafu sasa sewersydaa with the bars🙌
This verse😩😩😅😅😅😅
Nikitaka peng labda nikita kering
Mc still MCA,USA,USB na kacharger type C character yangu imedevelop vibad🔥🔥🔥
That chorus needs an award! Producer did Justice to the lyrics by delivering a dangerous beat. Beautiful mix of the whole work. I'm very happy! SCORE=92% 👏👏🔥
this song is the hottest in kenya for 2022 wallai
VictorJ on the beat!
NYC 3 Oya Scade, Munga nadai copy yangu tuma invoice🔥
Nikita-ka peng labda Nikita Kering🔥
The Fact is, You Can't Play it Once 💥💥💓
Not possible...
Ongeza volume..
Once aje tu😂💪
Lazima uicheze mara nyingine ndyo urade lyrics
Unajuaje bana 😂🤘🤘
"Mp hajawahi sikia our plea Mara IEBC vitu hata haitusaidii "sewersyda💥
I swear scars lyrics keeps my heart going. Fire!!!
Mad munga, the hook killer
1:06 waah hiii kitu
PETITION FOR THIS SONG TO BE KENYA'S NATIONAL ANTHEM 🐐🔥🇰🇪
ruclips.net/video/tS7neLXjwkc/видео.html
😂😂
Wacha Jokes
Played this banger from Meru to Nairobi on repeat 🔥🔥🔥🔥then I realized I needed more of it. Nko Voi heading to Mombasa. 😭🤣🤣 Then back to Naivasha. Then South Rhodesia
ruclips.net/video/tS7neLXjwkc/видео.html
🤣😂😂😂
NIKITAKA PENG...............
Listening to this jam 30 years explaning to my kids how wakadinali took over the industry
The visuals 🥶🌨️💎
Kujeni Mombasa tuaribu uku vitu ziwashwe high noon rong reggea
that line "acha ni ann niku waigoro" kills me everytime
Best thing I've seen and heard This year 💯💯💥💥
Munga ni mambo mbaya😈
Rong Rende nikama walipekeleka khal;igraph kaburini. FOR REAL.
Kenya's 🇰🇪 don't know how there music is very sweet 💕
Beat imeenda yni imehitimu ... greatest ov all times
Whoever produced the audio beat is siick!! Love it!
🍻🍻🍻🍻💓💓💓💕💕💋
VictorJ on the beat!
8o000😊
Zozaaaa was here bfr a million views
Acha ni earn ndio nikuwai goro... Mad munga
Am maproso twin sister to Stella mtu hawezi niita kanono nimuache ivo😅😅 who is laughing now
😅😅😂😂😂 unge comment kwa Maproso 😂😂😅
Mara Iebc vitu hata haitusaidii💯😅😅🔥🔥🔥
nikitaka peng labda nikita kering
Can't play once those watching this year gather ❤❤❤
Ako ka beat huwa kanutama niskie Ni kama Niko Kwa jungle🤷🏽♂️👌
Hii beat hatari 🔥🔥💥💯
Ati wacha ni ann ndo nikuwai goro 🤯🤯
mc mca hatari,real kenyan drills 🤙
Sewersyda killing it as usual... wakadinali team doing Good job
Dem yako sikumdishi nilimpimp💔
Acha ni earn(ann)ni kuwai goro (waiguru)
🔥🔥🔥
Fack
"Ni ka mi ndio niliwaletea corona"😂 Munga joo🔥
Si choose kazi joh uchumi ngori ,usiniulize na fanya nini, niko shughuli zote .. This is my 2024 motto
This trio 🔥🔥
Seweer is on another level,keep doing it this dope big man👊
Mafans Mpo!
Scar's verse;
This year niko fully loaded/
Mca mbele ya wasee sikuli gode/
Sichoose kazi jo uchumi ngori/
Usiulize nafanya nini?niko shughuli zote/
Usimess na hii shit ni deep/
Dem yako sikumdishi nilimpimp/
Purura windows ni tint/
Karau anachunguza "nini hio inastink?"/
Bredrin how you behaving?/
KSM vitu tulifanya AirBnB/
Mc wenu bado MCM/
That is why they can't compare me and them/
Juu charts kama VoM/
Juu ya cash uone violence/
Niliuliza matha land ama ubuyiwe Benz?/
Kovu on demand warazi wanatense/
"Acha ni earn nikuwai goro"
"Acha ni Ann niku Waiguru", double entendre kali
🔥🔥🔥 Munga
Fire💥
Had to rewind that part,after reading this comment.
@@Paul_Ngipxy Kali sana 🔥🔥🔥
Hiiiiiiiiii waaaaaaaa Hii Ngoma hadi 🇧🇪 BELGIUM…. Tumekubali wa kenya ni level ingine very talented
Wakadinali never dissapoints what a hit🔥🔥
Keeping the fire burning always a blaze🔥🔥
bana
TIMELESS MUSIC .
WAKADINALI 🔥🔥🔥🔥🔥
Kichwa mbaya sewer siskii
Munga always the first
Ni kama Mimi niliwaletea corona 😅
Hi honey am home