Wakadinali - "Sikutambui" (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 2,5 тыс.

  • @alexmartin843
    @alexmartin843 Год назад +19

    si hubonga kilami tukitaka ganji itoke, normally shembeteng , mamolly kwa heineken, monami youre my friend ,we got rich in the end 🔥🔥🔥

  • @seekersHouseComedy
    @seekersHouseComedy 11 месяцев назад +108

    Sikutambui .....🎉🎉🎉🎉🎉 Kama uko apa 2024 pita na like

  • @JamesJoseph-bm8ix
    @JamesJoseph-bm8ix 11 месяцев назад +199

    Naombeni like za jirani I appreciate from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @douglasmwoge5017
      @douglasmwoge5017 7 месяцев назад

      Bonga swa master Acha kutu confuse

    • @nafsiyake
      @nafsiyake 5 месяцев назад

      ​@@douglasmwoge5017😂Kwani anaongea nini?

    • @purplekush4951
      @purplekush4951 5 месяцев назад

      Hatukutambui

  • @princeelly254
    @princeelly254 17 дней назад +7

    niko hapa December 2024,gonga like😢Joh hazishuki zimekosq stage😂😂❤

  • @shedrackmwanzia4877
    @shedrackmwanzia4877 10 месяцев назад +64

    If you're listening *wanakadinali* 2045 ,just know they used to nail it 2024,,, 😊😊Bravo to them!

  • @andimilleh
    @andimilleh Год назад +37

    Scar Bars kama bamburi🔥🔥

  • @spinterke8805
    @spinterke8805 Год назад +2453

    First one to comment wapy likes zangu wakadinali to the world 🌎

    • @kamure4805
      @kamure4805 Год назад

      ruclips.net/video/zWKGJjlb1GA/видео.html

    • @johnkimani3186
      @johnkimani3186 Год назад +26

      To the Metaverse!!!!!!!! RongRende🔥

    • @mrblackog5721
      @mrblackog5721 Год назад

      Honesty ,we don't care just enjoy the song and stfu

    • @myleskimari
      @myleskimari Год назад +32

      😂wakenya na kuomba

    • @nixonodhiambo2396
      @nixonodhiambo2396 Год назад +6

      ​@@johnkimani3186 i

  • @NAIROBI_GOSSIP_CLUB
    @NAIROBI_GOSSIP_CLUB Год назад +2349

    Scar always comes with lyricism,Munga with the flow and Sewer with them bars🔥🔥🔥📌

  • @ScallonBay
    @ScallonBay 7 дней назад +2

    19/12/2024 till camping here

  • @stevemirie288
    @stevemirie288 Год назад +10

    Nani anaskiza this n a Sep 1st tukiwa Maworks ka mnangam.... Alafu nani akubula Domani alikuwa Kikwara akipiga hii Baroda.... Maaaaad 🤯🤯🤯😎💯

  • @upthrust._6987
    @upthrust._6987 Год назад +360

    LYRICS ❤️
    Big Beats Afriq
    For real
    Mbona ni nyinyi nawawasha
    Nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker
    Bro amejituma ako kazini anaisaka
    But anajua bibi yake anafanya nini Naivasha?
    Woi! Aki si Kenya kuna content
    Nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote
    Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope
    Si hubonga kilami tukitaka ganji itoke
    Normally shembeteng, ma molly kwa Heineken
    When am me, you′re my friend
    We got rich in the ends
    Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun
    Ka huamini tuko lose ulize aling'am
    Si ni maburglar for sure na hii si siri
    Balaclava huezi onwa kwa CCTV
    Bro nikimwambia haskii na ye′ si kiziwi
    Ka si biz utanipata nimesare sikimbizwi
    Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
    Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
    Njege masanse hawatutaki
    Ka hunitambui sikutambui
    Wazing wako na waps ka unang'am
    Na mawaps ka unang'am
    Na mawaps ka unang′am, na una-
    Wazing wako na waps ka unang′am
    Na mawaps ka unang'am
    Na mawaps ka unang′am, na una-
    Bora na waks wathara
    Ukikwara askari wa msitu giz ni kukimbiza maswara
    After masjid masti ikilost
    Easich wazing tunapiga baroda na kigwara
    Tumbo yoyoto mpoa yazil lombotost
    Hizo mangoto 6 feet deep, deep ni vile alimarwa
    Homeboyz hapana taka mchezo ati nahama
    Tomboys bomboclaat bado unazimarwa
    Baroda sarе kindipi tukishoot hizo masaa
    Minus warazi tuna-addingi ma ombre
    Sitaki news joh mheshimiwa kuliеndaje tena jamaa?
    Divide makazi zi-times-ingi to the jobless
    What about QCCBs?
    How about Gen Z how about that?
    What about QCCBs?
    How about Gen Z how about that?
    Kuna pahali nafaa kwenda na ni sahii
    Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
    Njege masanse hawatutaki
    Ka hunitambui sikutambui
    Wazing wako na waps ka unang'am
    Na mawaps ka unang′am
    Na mawaps ka unang'am, na una-
    Wazing wako na waps ka unang′am
    Na mawaps ka unang'am
    Na mawaps ka unang'am, na una-
    Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
    Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
    Njege masanse hawatutaki
    Ka hunitambui sikutambui
    Wazing wako na waps ka unang′am
    Na mawaps ka unang′am
    Na mawaks ka unang'am, na una-
    Wazing wako na waps ka unang′am
    Na mawaps ka unang'am
    Na mawaps ka unang′am, na una-
    Yo, tunadrip design tumekuwa maplumber
    Tunabeef joh, sidhani ka mtaezana
    Labda p-stock ama kofi ka ya Anan
    Pigia Skillo tuchukue maskan ka za das
    Mi ni pro kwa hii shit si ati najigas
    Kuna bro amejipinkia AP na ngiwap
    Mili yangu ya kwanza nilishikanga nikirap
    Tuko waks kushinda biz wera imetugeuza wasps
    Moshi moja ya pili ya utat na unakuf kuf
    Tuko holy masoldier, matroop na ma crew crew
    Unang'am? Unang′am?
    Uli-ulidai ati una kitu na-
    Una makali na graph yetu inaimprove
    Speed flani Kawasaki nikikam through
    Kama lightning, tukijam ni kustrike tu
    Kuthigitha warazi ndo kitu si hu-do
    Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
    Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
    Njege masanse hawatutaki
    Ka hunitambui sikutambui
    Wazing wako na waps ka unang'am
    Na mawaps ka unang'am
    Na mawaps ka unang′am, na una-
    Wazing wako na waps ka unang′am
    Na mawaps ka unang'am
    Na mawaps ka unang′am, na una-
    Wazing wako na waps ka unang'am
    Na mawaps ka unang′am
    Na mawaps ka unang'am, na una-
    Wazing wako na waps ka unang′am
    Na mawaps ka unang'am
    Na mawaps ka unang'am, na una

    • @i_verse
      @i_verse Год назад +5

      Translate this to English 😂😂

    • @denniskamau5477
      @denniskamau5477 Год назад +4

      Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope

    • @SpideyGenes
      @SpideyGenes Год назад +5

      Ni mawaps si mawaks😂

    • @Trappertrapperke12
      @Trappertrapperke12 Год назад +5

      Who is training Google to translate sheng?😮

    • @stuntmanhjuanisky
      @stuntmanhjuanisky Год назад

      @Scarmkadinali. #Scarmkadinali you Always make me Realer than I am everyday

  • @alphabeticalyoungstarrappk3889
    @alphabeticalyoungstarrappk3889 Год назад +796

    I never thought this day would come.
    Ka hunitambui sikutambuiiiiiii
    This is a masterpiece.
    Kenyans we are on another level.

    • @kamure4805
      @kamure4805 Год назад

      ruclips.net/video/zWKGJjlb1GA/видео.html

    • @YncChopper
      @YncChopper Год назад

      ruclips.net/video/jWEqmz9as3w/видео.html

    • @wi-ka-da
      @wi-ka-da Год назад +1

      💯💯💯💯💯💯💯💯

    • @angeang4795
      @angeang4795 Год назад

  • @griffinsomondi7123
    @griffinsomondi7123 Год назад +541

    Only Munga can make "kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii" sound so great🔥

  • @sharlynekaranu7109
    @sharlynekaranu7109 Год назад +16

    Tunadrip design tumekua maplumber 🔥🔥
    That bar is 🙌
    Sewer❤

  • @jamaranda2010
    @jamaranda2010 Год назад +14

    I rem when every time new gengetone group would remove one music and trend. At the time Wakadinali had 3 albums out but still underground. Look whose still there today! Big take away, quality music goes a long way than trending music. #RongRende #MafansBadoTupo

  • @bosabobaba7824
    @bosabobaba7824 Год назад +118

    Landlord amenipata nikicheza hii ngoma 2 a.m usiku akaniambia niongeze volume 😂😂 🔥🔥🖐️

  • @raymondkonga7961
    @raymondkonga7961 Год назад +97

    For us who knew wakadinali since cockpit 1 let's gather here

  • @mjosewadeportmore9040
    @mjosewadeportmore9040 Год назад +17

    Watu wawili hufanya delivery to door step Kenya
    Ni jumia and #wakadinali🔥🔥🔥📌
    Let's show love to the crew

  • @MiCompCard
    @MiCompCard 6 месяцев назад +31

    They chanted this kwa street leo kwa reject finance bill 2024

    • @yohann9870
      @yohann9870 3 месяца назад

      big up to Kenyans the day tilusema hatutaki finance bill na ika rejectiwa

  • @focusvisualstudio
    @focusvisualstudio Год назад +7

    AKI SI KENYA KUNA CONTENT

  • @NAIROBI_GOSSIP_CLUB
    @NAIROBI_GOSSIP_CLUB Год назад +496

    Munga can literally do everything hook,chorus and still spit bars on them verse🔥🔥

    • @moffatrufus6538
      @moffatrufus6538 Год назад +6

      Rong Rende is the movement 🤞

    • @iamjaph8685
      @iamjaph8685 Год назад +2

      whilst you come with the news...how do one meet you btw

    • @YncChopper
      @YncChopper Год назад

      ruclips.net/video/jWEqmz9as3w/видео.html

    • @EmbuCityYouths
      @EmbuCityYouths Год назад

      Zinanichocha By NeroRazzo ft Octopizzo
      ruclips.net/video/5V6AKFGRHOY/видео.html

    • @salimirungu9074
      @salimirungu9074 Год назад +1

      Mad munga ❤

  • @6eckham
    @6eckham Год назад +571

    Legends says Wakadinali will be the choir welcoming us to Heaven !!

    • @chrismwangi9228
      @chrismwangi9228 Год назад +4

      Like for real??

    • @Offroad.k
      @Offroad.k Год назад +4

      Welcome to heaven

    • @CocoB21
      @CocoB21 Год назад +5

      😂😂😂😂😂ngoriiii

    • @20kay88
      @20kay88 Год назад +5

      Whip yenye hupiga madoba ndio inakusubiri ikunyoroshe😂

    • @faustinekagai2928
      @faustinekagai2928 Год назад +1

      😂😂😂😂

  • @AlfiBecka
    @AlfiBecka Год назад +25

    Tanzanian love kenyan music 🇹🇿 ❤️

  • @markuscabron
    @markuscabron Год назад +12

    "Labda Peace talk ama Koffi kama yAnaan.."😂😂Noma msee!

  • @MwauraMuroki
    @MwauraMuroki Год назад +9

    Reminds me of Ukoo FLANI. Kenya is indeed Africa's hip hop capital

  • @Rasta_Keed
    @Rasta_Keed Год назад +742

    Wakadinali ain't pregnant but they always deliver🔥🔥🔥🔥

  • @delanobenjamin9853
    @delanobenjamin9853 Год назад +11

    Hizo lyrics za scar fbi wangekua kenya angekua stenje sahi😂😂

  • @vincemwenyewe4569
    @vincemwenyewe4569 Год назад +240

    Wakadinali are the new Age Kleptomaniax...Legends🔥🙌🏾

    • @chelseaHighlights-d6f
      @chelseaHighlights-d6f Год назад +1

      they just diffrent klep are legends for life this are new legnds for life

    • @mohgamby
      @mohgamby Год назад

      Chekii hii pia ruclips.net/video/pYymlvYtyik/видео.html

    • @dennisinkwa5233
      @dennisinkwa5233 Год назад

      Not a chance.

    • @paulochieng1218
      @paulochieng1218 Год назад +14

      Nop, personally they remind me of the ukoo flani Mau Mau vibes. Kshaka and crew.

    • @YncChopper
      @YncChopper Год назад

      ruclips.net/video/jWEqmz9as3w/видео.html

  • @jayzkaris6966
    @jayzkaris6966 Год назад +5

    yoh tunadrip design tumekuwa ma-plumbers,
    tunabeef joh sidhani kaa mtawezana......
    labda beefstock ama koffi kaa ya nan
    pigia skillo tuchukue maskunk kaa za das....likes za sewesydaa😛😛

    • @Youngcuffy
      @Youngcuffy 10 месяцев назад +1

      Labda peace talk ama kofi ka ya nan elewa lyrics usifurahie ngoma

  • @wakuumusic
    @wakuumusic Год назад +2

    Dosh tu de 🌎

  • @alexwaweru2457
    @alexwaweru2457 9 месяцев назад +10

    Apo sawa😊 the time is ,00:10,date sun march 2024

  • @hillamvilla5687
    @hillamvilla5687 Год назад +1608

    The hook is mad sick 😂 it's living in my head rent free 😂❤
    If you approve LIKE ❤

  • @jmugo9010
    @jmugo9010 Год назад +7

    Finally big up wakadinali hii doba ni moto

  • @nellito9
    @nellito9 Год назад +2

    Street fulani swaa 😉😉😉

  • @ochiyeng
    @ochiyeng 8 месяцев назад +26

    hao wa 2024 wako wapi👌👌✌✌

  • @eldersimonproduction
    @eldersimonproduction Год назад +133

    “We all face difficult times. It is only the grace of God that gives strength to endure.”

  • @John-cq8ti
    @John-cq8ti Год назад +3

    NYERI tunawatambua❤❤likes zikuje

    • @collokaxar8724
      @collokaxar8724 Год назад

      Library- Itara. Zozanation to the world 💪

  • @zerogravity9038
    @zerogravity9038 Год назад +188

    Sewersydaa remains to be the only lyrical genius who understands political history in philosophical way

    • @VostivBazaar
      @VostivBazaar Год назад +1

      Hyo jama alifanya history tolikuwa na yy kwa daro moja alikuwa msee wa histo na CRE

    • @andrewkinyanjui
      @andrewkinyanjui Год назад +3

      Jamaa ako masters bana anaelekea PhD

    • @EriqMaina
      @EriqMaina Год назад +7

      Finally someone anaona kile mi huona😂😂

    • @YncChopper
      @YncChopper Год назад

      ruclips.net/video/jWEqmz9as3w/видео.html

    • @oliviaayuma5220
      @oliviaayuma5220 Год назад

      I agree

  • @novochange5079
    @novochange5079 Год назад +2

    Kazini naisaka

  • @nashma820
    @nashma820 5 месяцев назад +3

    Niko apa kwa Reject finance bill 2024 Gens z ...wapi likes

  • @MildredNjeri
    @MildredNjeri Год назад +9

    Nmetafta hii song for the longest time,, imebidi niiishazam kwa bukla😂😂😂

  • @dannx0
    @dannx0 Год назад +4

    Bad 😤‼️

  • @meshackkipchumba6337
    @meshackkipchumba6337 Год назад +4

    Scar mkadinali🔥🤧

  • @brandongitonga4688
    @brandongitonga4688 Год назад +2

    Niko hapa nawashwa na firifiri

  • @mwanosu
    @mwanosu Год назад +13

    That Munga part is crazy af ' kaa hunitambui ckutambui'

  • @neemamirina9714
    @neemamirina9714 Год назад +4

    Kuna pahali nafaa kwenda na ni saa hii 😭😭😭😭😂😂😂😂this phrase lives in mind rent free fr

  • @youngbeeke
    @youngbeeke Год назад +4

    Me ni upcoming artist wapi likes wakuu

  • @thenectarkid2429
    @thenectarkid2429 Год назад +7

    But anajua dem yake anafanya nini naivasha....woii😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jimmiedehumble4175
    @jimmiedehumble4175 Год назад +2

    An year ago I lost my job kwa mhindi juu ya kumshw "Kama hunitambui sikutambui"

  • @Toxycian
    @Toxycian Год назад +20

    Hii ndo ngoma za Kenya sasa Kila mtu anifollw anipee subscription

  • @michaelomondi2519
    @michaelomondi2519 Год назад +3

    Kuna mahali nafaa kwenda na ni saiiii

  • @maxian-d4b
    @maxian-d4b Год назад +4

    KAMA HIZI NDIZO BARS WACHA TU REMAIN BEHIND 😎❤‍🔥

  • @w_apili
    @w_apili Год назад +14

    "Kuna mahali nafaa kwenda na ni saa hiii" Always doing their thing🤩

  • @petertanyasis423
    @petertanyasis423 5 месяцев назад +1

    I have been listening to kenyan music lately and am impressed we now have our own root for music. Kudos wakadinali. Kuna mahali nafaa kwenda saa hiiiiii! Lazima nichoche na hii ngoma.

  • @nyakwarshotT
    @nyakwarshotT Год назад +1

    Kaa hunitambui sikutambui..anthem ya 2023...fyah large respek!!

  • @lymahdon176
    @lymahdon176 Год назад +3

    Wakadinali Kuna mbogi inajiita steppa boyz inawadis

  • @malcom7778
    @malcom7778 11 месяцев назад +5

    Tuko works kushinda biz...wera imetugeuza wasps

  • @PaMaingi
    @PaMaingi Год назад +112

    If this band was American, this single would win every possible award this year.

  • @Per-pCullo
    @Per-pCullo Год назад +1

    Mimi ni mkadinali si ati nini...hapana tambua watiaji...❤ Watu wangu trio Marsabit wanakutambua... welcome

  • @teddymweu7030
    @teddymweu7030 Год назад +1

    ma producer mnatuangushanga saa zingine...ngoma safi sana, lyrics moto, alafu mnaenda kupirate beats za ngoma inaitwa Full 100

  • @vinconthebeat
    @vinconthebeat Год назад +12

    Normally Shembeteng🔥🔥🔥
    #BEATKILLER APPROVED

  • @StephenKatiwa-m4p
    @StephenKatiwa-m4p 3 месяца назад +5

    Hii wimbo Iko fty sana.kama mtu hakutambui pia wewe usimtambue

  • @alvinpran3168
    @alvinpran3168 Год назад +4

    nomaaaa sanaa,,,big up wakadinali

  • @stevelema6274
    @stevelema6274 Год назад +1

    Normalize listening wakadinali after waking up so that upate nguvu ya kuface thi wicked world 😢🎉

  • @kwachulo3434
    @kwachulo3434 Год назад +2

    Nikisha skia for real ..😁 najuwa tuna chuna vibad

  • @iannngeno
    @iannngeno Год назад +10

    This is what we say play Kenyan Music 🇰🇪🇰🇪If we continue releasing Songs like this we gonna beat Afro Beat... Now we gat our Anthem

  • @mobizzalennox4374
    @mobizzalennox4374 Год назад +304

    Wakadinali now deserves a grammy👑💯

  • @ventair2931
    @ventair2931 Год назад +6

    Scar na sewersyda ni wangori lakini Domani ndo MVP wa Wakadinali

  • @JonathanMGithumbi
    @JonathanMGithumbi Год назад +1

    Sewersydaa🤘Mambo ya roho huwa hatuforce

  • @rexonkamau8347
    @rexonkamau8347 Год назад +2

    Wakadinali siku zote👊👊

  • @donrodgerske
    @donrodgerske Год назад +15

    the G.O.A.T.S of the Kenyan music industry.... wakadinali on top forever

  • @johnmichaelodong463
    @johnmichaelodong463 Год назад +11

    The long awaited project 🔥🔥🔥💯🙌 Wakadinali siku zote ❤️🤟

  • @tunchybrevo9799
    @tunchybrevo9799 Год назад +30

    esto es un himno 🔥🔥🔥saludos🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shoutoutshow2023
    @shoutoutshow2023 9 месяцев назад +1

    Tanzania hawaelewi sheng hawashiki english......leta opinions vile tutasaida ndugu zetu sasa❤❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤ reporting from Mars

  • @cyrusngenoh2616
    @cyrusngenoh2616 3 месяца назад +2

    Moto sana❤

  • @desperado466
    @desperado466 Год назад +9

    Whenever wakadinali releases a new video, should be a public holiday

  • @joelmusili6299
    @joelmusili6299 Год назад +4

    Wakadinali 🔥🔥respect

  • @keissypetit-ol6fd
    @keissypetit-ol6fd Год назад +6

    💥🔥🔥the fidio is on fire....
    I like this song

  • @8720111994
    @8720111994 Год назад +1

    Skutambui. Nko nditni all the way. Ndani ya Cockpit 3🔥🔥🔥

  • @davidmwaura2639
    @davidmwaura2639 Год назад +2

    Nashindwa nidunge Chaín gani so nazidunga zote 👌
    Bar on Bar❤

  • @QeemKimani
    @QeemKimani 6 месяцев назад +3

    C hubonga kilami tukitaka ganji itoke, normally shembeteng........ni motooooo

  • @Marc-Anthony444
    @Marc-Anthony444 Год назад +3

    I dont understand everythin dem a say but I fw ittt ‼️‼️🇭🇳🫡🇰🇪

  • @tomkamikaze
    @tomkamikaze Год назад +13

    Wakadinali to the world!!🔥🔥🔥

  • @Oscar-k6v7w
    @Oscar-k6v7w 2 месяца назад +1

    Ngoja wakadinali n wanoma

  • @stainj7975
    @stainj7975 Год назад +1

    Tuna drip💦 design tumekua maplumber🙆🔥🔥🔥

  • @jackmunji4719
    @jackmunji4719 Год назад +9

    Munga never fails to ngam the flow..

  • @iannoh_official
    @iannoh_official 9 месяцев назад +3

    Wale wanasema tufikee 10M+ mnipee likesss

  • @CKMealsRecipes
    @CKMealsRecipes Год назад +10

    This song is a MASTERPIECE and a real Banger!!! I love it. I always have it on REPEAT MODE! #wakadinali

  • @jumeirahbeach9884
    @jumeirahbeach9884 Год назад +1

    Best group in 🇰🇪 Kenya after Sauti sol walitubwaga n ufala

  • @yoweezy3362
    @yoweezy3362 Год назад +1

    Njege,masanse hwatutakiiii,hatar kubwa

  • @josephmukhaye2857
    @josephmukhaye2857 Год назад +106

    These guys deserve awards .
    Mad love for them

  • @prisym_
    @prisym_ Год назад +18

    You gatt a Zim🇿🇼fan here🔥

    • @kelvinmugendi
      @kelvinmugendi 4 месяца назад

      wewe Kinuthia tumekuona 😅

    • @prisym_
      @prisym_ 4 месяца назад

      @@kelvinmugendi translate

  • @Nariko_254
    @Nariko_254 Год назад +3

    Iko best 😊

  • @Luxomontanna
    @Luxomontanna Год назад +2

    mambo mbaya kama kawa

  • @leahmwangi3680
    @leahmwangi3680 Год назад +1

    Nibmwas domani big up munga wakadinali mafala kawatutambui tuwatambui munga tunakuombea

  • @vivalakenya
    @vivalakenya Год назад +4

    Kuna pahali nafaa kuenda na ni saa hii…

  • @adembeza
    @adembeza Год назад +96

    Unrivaled Lyricism. If punch lines were babies, then these guys are the obstetricians. Unang'am??? Top of the shelf content. 🙌💪Love from Isiolo. 💯💯💯🔥🔥🔥

    • @YncChopper
      @YncChopper Год назад

      ruclips.net/video/jWEqmz9as3w/видео.html

    • @iankithinji5202
      @iankithinji5202 Год назад +3

      Hawa pia ni magynaecologists ...unagum

  • @BIIG.Steppa
    @BIIG.Steppa Год назад +51

    First time i heard Scar' s opener is when it dawned on me. Hii Itakua tune kali. For real. It turned out to be⚡
    Domani with the fire hook na lines ka always.🔥
    Sewersydaa repping with the conscious vibe. Moshi moja ya pili ya tatu una kufkuf.🤯
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Certified
    Now we wait for Huu Kijana💪🏾

  • @alexkamulu6966
    @alexkamulu6966 4 месяца назад +2

    Gen z ....kuddedi ndio the last thing unafaa kuogopa coz am here

  • @bakar2mr716
    @bakar2mr716 Год назад +1

    Si ubonga kilami tukitaka pesa zitoke ❤