EXCLUSIVE: AHMED ALLY "WACHAWI WAMEFUNGWA" | NIMEFURAHI VIBAYA MNO | ATAMBA SIMBA SASA KUFANYA YAKE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии • 40

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 10 часов назад +2

    Ubaya ubwelaaaa❤❤

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 11 часов назад +5

    Yanga hii itafungwajee oooh inafungwajee 😀😀

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 12 часов назад +1

    Wachawi FC

  • @Godfreypatson-t2r
    @Godfreypatson-t2r 6 часов назад

    Simba is back

  • @Africanvillagecookingfood
    @Africanvillagecookingfood 13 часов назад +1

    ETI SILLAH WANAMWITA KIBOKO YA WACHAWI

  • @FilimoniSilo
    @FilimoniSilo 9 часов назад

    Ambae hana uwezo huwa huwa anapenda kulalamika sana,

  • @polinatusmwemezi-pc2pl
    @polinatusmwemezi-pc2pl 7 часов назад

    Ahmed , unafurahia hatari! Kama nyani mchanga anachekelea kichaka kinaungua wakati ndiyo nyumba ya familia!!!

  • @ridhiwanikhalifa9036
    @ridhiwanikhalifa9036 13 часов назад +1

    hiyo game naona kabisa ya naenda kutokea Yale Yale ya yanga na azam

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 10 часов назад

    Subiri round ya pili mnaenda kufa kifo kibaya sana.

  • @LilianKasuva-j7o
    @LilianKasuva-j7o 14 часов назад +1

    Mmmmmmmmmmh kuwa na uwanja soshida

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 7 часов назад

    Mnhetufunga ninyi ndo ninheumia saaan saana

  • @MwaishambaKipanga
    @MwaishambaKipanga 7 часов назад

    yaan uyu ahmed 😂😂😂😂

  • @michaelpetershoo1885
    @michaelpetershoo1885 7 часов назад

    Makolo yanabaki kupiga kelele huku tulivuna point 3,siyo hivyo tu!tunataka zote 6 tuvune kwa makolo kama msimu uliopita😮

  • @abdallahsaid4139
    @abdallahsaid4139 9 часов назад

    wachawi fc

  • @MachineMichael-o5h
    @MachineMichael-o5h 11 часов назад

    utopolo wamefungw Tena huku😮😮😮

  • @razacklazaro6678
    @razacklazaro6678 13 часов назад +2

    Kwani waliowasha moto/ Moshi kule south ni timu gan/ wake wanamazingaombwe? Mkapigwa 4
    Simba waloz

    • @RahimAli-r5q
      @RahimAli-r5q 11 часов назад

      Azam 😁

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 7 часов назад

      Unajua siku zote mchawi anaona kila mtu ni mchawi...wamezoea kuloga so kilichopo kichwani kwake ni kuwanga tu zwazwa😆😆

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 7 часов назад

      @@RahimAli-r5q Yanga😂😂

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 7 часов назад

    Wame pididiwa nyumamwiko

  • @abouamazing3406
    @abouamazing3406 5 часов назад

    Inafungwaje 😅😅

  • @emanuelkailas3653
    @emanuelkailas3653 11 часов назад

    Mchawi atamjuwaje mchawi mwenzie? Wachawi nyinyi 😢

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 13 часов назад

    Kwan nawao walivyokuwa wanafrah sare na mashujaa kwani ilikuwa inawahusu

  • @rajabusese8375
    @rajabusese8375 14 часов назад

    Ni vyema ukauliza maswali yanayohusiana na mechi husika

  • @ShalifaSeleman
    @ShalifaSeleman 10 часов назад

    Athuman kiyola kitot Kaham twn Ahmad unyama nimwing

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 8 часов назад

    Kocha asimpange kibu, atokee bench. Badala yake mkwala, chasambi na Karabaka wacheze

  • @FatumaRajabu-cu3tq
    @FatumaRajabu-cu3tq 8 часов назад

    Msiba.utopolo.wamefaliki

  • @colombanipaulo8953
    @colombanipaulo8953 9 часов назад

    Kwa jirani wamekula wali nyie mnachekelea

  • @NassoroLichenjele
    @NassoroLichenjele 12 часов назад +1

    Kweli makolo hawajitambui

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 7 часов назад

    Semaji kile kitoto chenye afya mbovu kilikuwa kinadhani timu ya shangazi yake haiwezi fungwa.sasa wameka piddy

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 12 часов назад

    UBAYA UBWELA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 CHAMAZI

  • @peacockbay8071
    @peacockbay8071 13 часов назад

    Kwel nyuma mwiko wachawi

  • @NapeDkilia
    @NapeDkilia 14 часов назад +3

    Ukiona majirani wanakwambia wewe ni mchawi ujuwe mafanikio yanakuja kwa Kasi sana

  • @silvangabriel3592
    @silvangabriel3592 14 часов назад +1

    Shoga huyu

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 14 часов назад

    Watu wako msibani afu ww uko huku kuleta comedy, we jamaa kweli ni tatzo

    • @ZabibuMwenda
      @ZabibuMwenda 13 часов назад +1

      Kwani kafa mama yake mpaka ustajabu

    • @AishaAbeid-v8m
      @AishaAbeid-v8m 13 часов назад +1

      Mbona ww upo kwenye comment section hapa kunywa maji bhn😂😂😂😂😂😂

    • @mwatangachuma9069
      @mwatangachuma9069 9 часов назад +1

      Mbona ww upo mitandaoni badala ya kuombeleza

    • @epimackoscar25
      @epimackoscar25 8 часов назад

      Kwani unaongelea mcba gani mbona Kila siku kuna misiba mahali Fulani huo unauongelea una uspecial gani kwake na kwako kibinadamu