Inapaswa umuheshimu zari coz ndo mwanamke pekee aliyojitolea wa kwanza kuzaa na ww ukimzarau zari ni kama umewazarau watoto wako kilichopo diamond Fanya yako achana na misukosuko ya watu coz hapa duniani tunapita tu kilichopo tuheshimiane
Mm ni shabiki was Diamond lkn kwa hili La kumdhalilisha Zari wakati wameshaachana!ni utovu was nidhamu wataalamu wamekuwa mstari was mbelekutaja alcohol za vinywaji wanasahau za hela na hakuna ulevi mbaya Duniani ulevi was pesa
Umri so kitu,zari katika umri wake ameweza sana hata hawezi akafananishwa na huyo tanasha aliyekondeana kama kijiti.Even if she was sixty she's still prettier than that thing called dona
@@abdallahabdallahmkaona9611 wewe nawe naweza sema hujakuwa pia akili huna acha shobo za kishamba wewe ni mwanaume o mwanamke? Kwhyo wewe waona vema kabisa anachokiongea diamond kumsema zari? Kumbuka zari ni mzazi mwezie na anamsema eti anajuta kuzaa na mtu mzima ndo maana nikasema mond ni mjinga Sana kwani alikuwa wapi kuzaa na kijana mwezie? Wewe wakoment pumba hpa hbu peleka uchwele wko huko nenda kachambe mbele
@@abdallahabdallahmkaona9611 mpuuzi naona ni ww kwaiyo anafanya vizur kumtus zari na Alisha kaa nae na kuzaa nae leo Atoe matuc we umsapoti sasa nasema ivi wote watakao msapt diamond kwa kumkashfu zari kumamamae zao
Mungu alijua tabia yako.ndyo maana akakupa domo baya Zar usimfananishe na tanasha ww.zar na uzeee wake tanasha atasubir zar alifanya makosa kuzaaa na mwanaume asie Jielewa shukuru tu unapesa ungekuwa huna😂🤣
Mtihanai Wapenda karibuni sana kwenye Bidhaa zangu za asili Ujipatie utakacho Kuna mafuta ya nywele Kuna lotion Kuna sabuni Mafuta ya kupndoa michilizi Scrub ya kuondoa mabaka na uweusi mapajani Cream ya kungarisha ngozi yako Kwa mawasiliano zaidi Tumia namba+968 9779 8608 Wasap Ista garam natumia lujiana942
Acheni uongo mbona aliosema kua atapiga magoti mpaka south kumtafuta or ni nyie tuu ndio munavyosema zari she is thé best kwa sababu she is not chini ya miguu Yake but nadhania huo ni wivu
Hujui kuwa mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzioz,,zari sio tegemezi ni mtafutaji usi zani kuwa at shindwa kulea watt wekaza tu ... Ukichoka utafute kwakufia
Zari ni mama wa watu Kama Mamako Mond na unapasa kumheshimu.Kwanza alikuzalia watoto wazuri unafaa kumheshimu sana.Talanta unao sana lakini sijui tatizo uu wapi?
😂😂😂😂☝🏻️weraweraaa Diamond leo ndio wayajua hayooo kwani awali hukuona huna jipya Diamond umekosa yotee watoto nyumba south 😂😂😂😂☝🏻️inakuuumaeee utajiju huo ni ushamba kumponda mzazi mwenzako
katika mapenzi au ktk ndoa baadhi ya nyakati umri haujalishi, waweza ukaoa Mtoto MDOGO lakini hajui mapenzii na ukapata mwanamke mkubwa mambo yake ni makubwa
poleni wanaume wote munaopoteza Wife Materials too late só mujifunze vitu konk mkiwa kwa mahusiano before kufanya alamba umalaya then mwanamke akikupa kisogo serious bora ujikatae ni wavumilivu mno but ukimfanyia mavi yeye atakwalishia kama bata all women in this world wana revenge kisasi cha Damu silent killer i love what zari did alimtesa wema sepetu Then let eat pain now.
Zar anashida na visent vyakoo ivyooo yule mtu mwenye bahati yake Wala ashoboki na matajili said ya yy kufuatwa na boss so Kaka daimond ondoa tabia za kishamba izooo leo watt wakoo uyo bibi unaemaemeha ww ndo ulomuonyesha mboo yako mpk mkazaa watt wawil ukuuwona ubibi wake leo mmeachana ndoo ujishauwe nyooooooo😎😎😂😂😂😂😂😂😂
WaTanzania wote tumemjua huyo zari kupitia Diamond lkn leo tunajifanya kumjua sana na kumpenda kuliko huyo aliemleta kwetu.unyumba huisha lkn zibaki hisani baina yao kama wangekua wameoana.lkn kama walitoka kienyeji hivyo ndivyo unavyoisha unyumba usio na baraka za muumba.mwishowe yatazuka makubwa kuliko hayo.ingawa wengi wanajua Diamond alifunguka sana macho nakuishi kisuper star zaidi nakuanza kupiga pesa nyingi kupitia nyota na urembo wa zari.
Nimewaambieni masikini akipata hata kuku watachekelea. Shule nayo inasaidia nakuishina watu vizuri mfano Ali yamani siokamaunacho ndio udharau kulikoni. alikuwa hamuoni kama nimkubwa alivyokuwa ana lalanae? Huyo ni mama sikuzote ataheshimiwa wewe nibaba tuu nazani pia raana zitakuwa sinakunyemelea kuwa wewe basi kiakili sio mwili tuu hatakama kumekoseana sili yangumbani kwanini uitoe haswa kuna watoto . Kesho utawaambia nini wakikataa kujakukuona ulitukana mama yao. Ujigeshimu ujekuheshimika kwa watoto wako usiombe heshima wakati unatukana alie watoa bebamimba uone ninusuyakufa sio pesa tu mdogowangu sisi niwakupita tuu hapa duniani. Mungu akupe heshima naujiludi kwani nilikuwa najidai sana huku nje natangaza jina la mtz mwenzangu.
HATA NA ZARY PIAA ANAJUTAA KUKAA NA KUZAA NA MWANDAWAZIMU ASIE KUWA NA ELIMU MUOKOTA MAKOPO HAKUKUJUWA B FOR SO UKIJIONA UNA WENGINEE NA ZARY ANA WENGINEE NA ALIE JUTA ZAIDI NI ZARY MAANA NDIEE ALIEE KUSHEET
Uuufu kwani ulikuwa wapi all that time .zari ll remain beautiful , young n wife materials. Nothing ll change zari .wivu itamaliza wengine.strong lady zari.
Oketch hamfiki zari...zari mrembo sweet like 16
Tuongee ukweli. Katika Zari na Tanasha nani Mkali 😎 . Like for zari, comment for Tanasha.
Zari
Hana lolote diamond.zar ni mrembo kumzid hata huyo tanasha.zar mzur tena sana japo na uzeeee wake lakn ni😘😍😍
Daimond will regret later but it will be too late
Roho inamuuma ameona zari hatetelek anazidi kuwa merembo uwiiiiii
lupe makavuuuu hasa mama ty .love zari .
Inapaswa umuheshimu zari coz ndo mwanamke pekee aliyojitolea wa kwanza kuzaa na ww ukimzarau zari ni kama umewazarau watoto wako kilichopo diamond Fanya yako achana na misukosuko ya watu coz hapa duniani tunapita tu kilichopo tuheshimiane
Msenge kweli we diamond auna Adabu ww ata uyo chakonda ulie nae ipo siku utamtolea povu ivyo ivyo alafu ujue zari Kaku fanya uwe baba mpuuzi wwe ndo mana unenepi ww kwa Umalaya wako mchafu kzi yako ni kuwafunua wanawake na kuwadharirizha mpuuzi ww zari kakuacha kwa ushenzi wako uo uo umeangaika kuomba msamaha umeshindwa ndo unaona uchafue lolo👌👌
Pole sana diamond ujinga utawacha...basi kama unajuta kua na zari...rudisha watoto tumboni huna hata shukran zari kakuzalia watoto...ukaitwa Baba..
kwanza zali na tanasha nani kifaa zali katulia kwanza bonge Toto la mahana
Hauna adabu wala hujuwi bobay kama nimeze alikulazimisha au bibi kize ni sandra mbonayeye bafo yimo komama kabisa0
Safi sana zarina.kwamajibu.yako wangapi wanaishi nawatu wanaozidi umri yy ninani hadi ajute
We dom auna akiri taira Wew ♥♥
Upendo si miaka hivi Diamond ameona eti zari ni mku hivi Diamond amegeuka mtoto😏😏😏😏.
Heshimu mama watoto wako
Mshamba uyo mwanaume! Alitumwa kutembea naye !si tamaa zake
flora monda hajielew
Zari mzuri jmn tuseme tu ukweli, pia ni mchapakazi, anajituma sn. Dmond tunamsamehe ni mfa maji haachi kutapatapa
Mm ni shabiki was Diamond lkn kwa hili La kumdhalilisha Zari wakati wameshaachana!ni utovu was nidhamu wataalamu wamekuwa mstari was mbelekutaja alcohol za vinywaji wanasahau za hela na hakuna ulevi mbaya Duniani ulevi was pesa
Jamani msimshutumu mkumbuke Zari aliingia BBC.mmesahau wote wazinifu tu Hakuna wamaana hapo huwezi nyonga kuku alafu unachinja. Hakuna ndoa ya hivyo
@@msanangomwarabu301 Hata kama kutoa siri za ndani haituhusiwi kidini sio vizuri mondi anatengeneza chuki kwa watoto wake watamchukia
Stupid diamond wewe hata hustahili kumuongelea zari wewe uliachwa chukua time yako tena muheshim zari angalau alikuzalia hao saizi yako wote walikua hawataki kukuzalia pumbavu
Stupid diamond respect zari all the way alikupa jina akakuosha ukakaa kutamaniwa, Huna haya
kumbuka fadhila huyu ndiye aliyekufanya unahitwa baba take.care
Umri so kitu,zari katika umri wake ameweza sana hata hawezi akafananishwa na huyo tanasha aliyekondeana kama kijiti.Even if she was sixty she's still prettier than that thing called dona
caroline wambui hyo ndio shida yakuzaa na vitoto mbn alivyoachana na Ivan mbn akuleta drama coz alkw mtumzma
Shut up
Pole saana dona ni mzuri saana
Huyu chibu hajawahi jielewa tangu zari amuache.Reality is yet to strike him.
Hunajipya broo zari hanashobo nawewe wewe ndiye unashobo fanyaumalaya wako muache zari hanampango nawewe upo??
Nampenda sana zar
diamond we mshamba na limbukeni,tena bwege
Ache ujinga mbona vijana hawamzali
anamyaka 45.
Mm pia sjafuraiya kumdharau zari
diamond bila kusahau bro ushawah kusema kuwa wanaomsema zari kuwa n mzee wao ndio wanaonekana wazee kuliko zari wako
Amedeus Kimario Leo kasahau yote ayo mshamba wa mapenz uyooooo
Hahaha domo ushamba unamsumbua
Amedeus Kimario kumbe na weww umekumbuka Hahahahaaaa hana jipya kachemka Diamond
Wakati huo hukumuona mama
Mond mshamba Sana kwani siku zote ulikuwa wapi kuzaa na hao unaolingana nao? Mjinga wewe
Ufala, tuuu mamako analalwa na kibabu ama mtoto wa watu..senge ww Diamond. Uumbwa usiwahi tusi mwanamke uliye nzaa nayee paka ww....
Derrck Riwa bila diamond kutoka na zari hunge mfaamu Huyo zari acha upumbavu
Yuko mjinga sana.hatawi pata mwanamke kama Zari.kaa kimya hauna cha kuambia watu na hakuna mwanamke hutaja kukaa naye na hiyo tabia yako mbovu sana.
@@abdallahabdallahmkaona9611 wewe nawe naweza sema hujakuwa pia akili huna acha shobo za kishamba wewe ni mwanaume o mwanamke? Kwhyo wewe waona vema kabisa anachokiongea diamond kumsema zari? Kumbuka zari ni mzazi mwezie na anamsema eti anajuta kuzaa na mtu mzima ndo maana nikasema mond ni mjinga Sana kwani alikuwa wapi kuzaa na kijana mwezie? Wewe wakoment pumba hpa hbu peleka uchwele wko huko nenda kachambe mbele
@@abdallahabdallahmkaona9611 mpuuzi naona ni ww kwaiyo anafanya vizur kumtus zari na Alisha kaa nae na kuzaa nae leo Atoe matuc we umsapoti sasa nasema ivi wote watakao msapt diamond kwa kumkashfu zari kumamamae zao
Ciyo kila mtu ana nyota ya kung'aa tanasha ana giza tena kali sana
Flora Meza funny
Hahahaaaaaas duuu
😀😀😀😀😀😀
Hi mada mbona mnailudia kila siku?
Diamond kwel acha kuongea mama watoto wako hivo ulikusalia
Mungu alijua tabia yako.ndyo maana akakupa domo baya Zar usimfananishe na tanasha ww.zar na uzeee wake tanasha atasubir zar alifanya makosa kuzaaa na mwanaume asie Jielewa shukuru tu unapesa ungekuwa huna😂🤣
Alipigwa matukio nsikia zari ndo alimtomgoxa chibu akamuba angalau wapige nae picha zari ndo almtungoza huyu mtoto
Daimond kiburi chako ni kwakua una pesa ila na kila kitu kina mwisho na mwisho wako ni ukimwi tuu!
40 ila anamshinda uyo mapepe wako tanashaaa mikono imekoma km mtwanga majiweee . migu yaupande kifuwa kikubwa km kibambazi cha nyumba
Nshimirimana Asta ujafa ujaumbika mpenzi
Nshimirimana Asta
Waachane Kiroho safii Maneno Sio ishuu.
umeshakataliwa hovyooo mapenziii na wivu kwa zari vinakusumbuwa kanda maumivu kaliye na mito kitandani
Nshimirimana Asta 😂😂😂😂😂😂☝🏻️
Dee you are a big fool how can you say that about Zari? She made you a father respect her
When the other women he was with aborted his children most probably because of his look and irresponsibility 😏😏
Mondi jifala kweli zari mzuri sana huyo tanasha mh
Hapa alikua anamsifuuuuu amisa na kumu umiza zari, sasa tena yalitoekeya nini? Eti amisa ni mchawi sijui nini, anatwambia, domo kama balaaaaa
Mambo Yao nimakubwa sana 🤷🏿♂️🤷🏿♂️
Diamond acha ujinga
ana jelous, alifikiri hawezi kumkosa
Daimond ana ona ajabu ukubwa wa zari na Mamake Dangoti hana haya wala adabu ujifanya Mtoto mdogo saana Amfundishe Mamake kwanza
Diamond ni fala wala hajielewi kwan diamond ni mwanaume?
Shoga huyooo
Mond achana na mitandao itakushusha, Zari ana wake na WEWE una wako, tabu gani TENA?
What ever Zari nimurembo stop ur nonsense we diamond mbona na mamayako bisandra ali wowa kijana mudogo😁🤣🤣
Umesema kweli Sarah Mbabazi
Mtihanai
Wapenda karibuni sana kwenye
Bidhaa zangu za asili
Ujipatie utakacho
Kuna mafuta ya nywele
Kuna lotion
Kuna sabuni
Mafuta ya kupndoa michilizi
Scrub ya kuondoa mabaka na uweusi mapajani
Cream ya kungarisha ngozi yako
Kwa mawasiliano zaidi
Tumia namba+968 9779 8608
Wasap
Ista garam natumia lujiana942
Acheni uongo mbona aliosema kua atapiga magoti mpaka south kumtafuta or ni nyie tuu ndio munavyosema zari she is thé best kwa sababu she is not chini ya miguu Yake but nadhania huo ni wivu
Sometime ako n'a wazimu huyu diamond
Mbona huyo wa 25 hukumweza wacha diamond unalewa sana hâta wakati mwengine hujui Nini unasema wîvu utakuuwa
Zari ndo alkuwa mke bora kwako coz alkuwa tyari kuzaa na ww na cyo hyo asiyeeleweka
Mbona nakuona umechapa sana kumshinda zr umezeshwa na wanawake 😁
😁😁😁😁
Duuuh
Hujui kuwa mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzioz,,zari sio tegemezi ni mtafutaji usi zani kuwa at shindwa kulea watt wekaza tu ... Ukichoka utafute kwakufia
Kwa Nini hao unao waona sio wazee wasikuzalie?
tulia bwana na mzazi mwenzako
Unakiona akifai wezio kinafaa
Maneno ya mkosaji hayo kuachwa ni stres unaropoka tu domo bogus kabisa elimu nayo inasaidia
Kutokujielewa
Wewe daimondi huoni uboya kumsema mzazi mwenzio
Ulimpotesa mwanamke
Mwisho wa siku
Wewe na zari nani anakaa Mzee? Ungejua miaka yake mwanzo, wacha kujuta nenda kachukue watoto wako uwaregeshe kwa magoti, matakoyo
Ajui kulea huyo watoto watajifunza ujinga wa bibi yao na baba yao
Kiubwa hakina heshima kama mamayake,,,
Anita Anne kabugi hapati mtt hata mmoja azae na huyo bwege wake Tanasha
Anita Anne nikweli
Zari ni mama wa watu Kama Mamako Mond na unapasa kumheshimu.Kwanza alikuzalia watoto wazuri unafaa kumheshimu sana.Talanta unao sana lakini sijui tatizo uu wapi?
Tengeneza pesa kupitia smart phone yako bofya link hii
ruclips.net/video/lqHa1eEblTY/видео.html
ruclips.net/video/lqHa1eEblTY/видео.html
Wanaume bhana..mkishapata vipya?
Kwani mwanzo hakumuona?
Hapo ame ongea ukweli wake, alitaka kumtua afike kwenye yuko sasa,Zari ndiyo alimjenga. Zari uko sawa urembo ka zidi,you look like 20 yrs
a
hakuna uze kisha za nae kama hawaelewani waacane usalama kila mtu ajuwe maisha yake
Yo choice diamond
Zari kaza but achana na huyoo mshamba pesa za ukubwani zinamsumbua
Diamond n mshamba wa kwaida
ajielewi huyo kitombi tu
napambane na hali yke amuache zari na maisha yke
dainess George tena za freemasonry huhuuuu atajamba cheche
Acheni uchonganganishi bana wale ni wazazi,mwishoni watakutana tu so ni bora tu mkae mbali nao coz haina maana yyt.
Ulimi unaponza😂😂
Naamini Zari ndo anajuta zaidi ,,yaani kweli dada alibugi sana....
Iko wapi hiyo taarifa mi niko kenya na sija sikia?
Huyu ni muisalamu wawapi huyu mmmm devel agent mkubwa huyu mwanaume ovyoo
sio sahihi kwasababu zali na diamond wanawatoto sasa wanavofanya hivo wanazalilisha watoto wao
😂😂😂😂☝🏻️weraweraaa Diamond leo ndio wayajua hayooo kwani awali hukuona huna jipya Diamond umekosa yotee watoto nyumba south 😂😂😂😂☝🏻️inakuuumaeee utajiju huo ni ushamba kumponda mzazi mwenzako
huyu mtu ni malaya tu
Huo ni usungo wa kiume kwa kuoa na kuacha halafu ukatoa maneno ya kashifa ni aibu sana sana
Siyo pow kumwagiana mapungufu ya x wako wa zamani
pia nawashauri wanaume wenzangu. ,usimuache mkeo WAKATI bado wampenda itakuathiri ktk maisha ya ndoa hata kama utaoa Mke mwingine labda pale inapobidi
katika mapenzi au ktk ndoa baadhi ya nyakati umri haujalishi, waweza ukaoa Mtoto MDOGO lakini hajui mapenzii na ukapata mwanamke mkubwa mambo yake ni makubwa
Huyo mind anamacho, lakini haoni. Kaaza kumuzalau zari. Kwa sababu, kapata kimeo
Wote aliotoka NAO before walimzidi umri.....
kwli hapo awali akuwa anajuwa mmmm
poleni wanaume wote munaopoteza Wife Materials too late só mujifunze vitu konk mkiwa kwa mahusiano before kufanya alamba umalaya then mwanamke akikupa kisogo serious bora ujikatae ni wavumilivu mno but ukimfanyia mavi yeye atakwalishia kama bata all women in this world wana revenge kisasi cha Damu silent killer i love what zari did alimtesa wema sepetu Then let eat pain now.
mapenz sio umuri mshezi mkubwa ww
Zar anashida na visent vyakoo ivyooo yule mtu mwenye bahati yake Wala ashoboki na matajili said ya yy kufuatwa na boss so Kaka daimond ondoa tabia za kishamba izooo leo watt wakoo uyo bibi unaemaemeha ww ndo ulomuonyesha mboo yako mpk mkazaa watt wawil ukuuwona ubibi wake leo mmeachana ndoo ujishauwe nyooooooo😎😎😂😂😂😂😂😂😂
Ukiwachwa achika diamond pwaaaaah
Duuuh unajizaririsha chibu acha kuwapa watu faida piga kimya tuu.
Sasa kuna tofauti gani ya miaka 40 -38 nyinyi mnakosa ustarabu kweli
Eunice Kenga Jaha age is just a number kinachomata maridhiano hakuna love sepaaa
Jamani.pesa.ndo.kila.kitu.ingaawa.mkumbwa.lakin.kama.msichana
Mmmmm Kiki mzee lkn mrembo kushinda hao warembo
Anajifariji kwa maneno ila still moyo unamuuma kwani mpaka dakika ya mwisho akimbembeleza zari na kikubwa kinachomuumaiza no king bae
Hahaha domo anajuwa hajapata mwanamke wakumtuliza so amemmiss zari... Akweende zake huko atazidi kumkumbuka zari
It's true diamond ana wivu
Wivu Sasa wa nn wakati yeye ana mke mdg ?
yan wew hun hata aibu duh
mama mzee hazai mbona kakuzalia ,,acha utoto ata kama umepata muache zarii,kana kwamba hao wenye uko nao hawatazeeka!!!muache zari pliz kaka.
Chefuuu
Leo namtetea Zari, si vijana wenzie walimkataa? bi kizee kafanya mambo nn mbaya!
WaTanzania wote tumemjua huyo zari kupitia Diamond lkn leo tunajifanya kumjua sana na kumpenda kuliko huyo aliemleta kwetu.unyumba huisha lkn zibaki hisani baina yao kama wangekua wameoana.lkn kama walitoka kienyeji hivyo ndivyo unavyoisha unyumba usio na baraka za muumba.mwishowe yatazuka makubwa kuliko hayo.ingawa wengi wanajua Diamond alifunguka sana macho nakuishi kisuper star zaidi nakuanza kupiga pesa nyingi kupitia nyota na urembo wa zari.
Wangap wamegoma kuzaa na ww mshukuru Sana Tena umuheshimu
Unaulembo gani wakumshinda zari
what Diamond says in public siyo poa kwa kusema ukweli,kwani ZARI ALIMFUNIKA MACHO wakianza mahusiano?this is bad.
Nimewaambieni masikini akipata hata kuku watachekelea. Shule nayo inasaidia nakuishina watu vizuri mfano Ali yamani siokamaunacho ndio udharau kulikoni. alikuwa hamuoni kama nimkubwa alivyokuwa ana lalanae? Huyo ni mama sikuzote ataheshimiwa wewe nibaba tuu nazani pia raana zitakuwa sinakunyemelea kuwa wewe basi kiakili sio mwili tuu hatakama kumekoseana sili yangumbani kwanini uitoe haswa kuna watoto . Kesho utawaambia nini wakikataa kujakukuona ulitukana mama yao. Ujigeshimu ujekuheshimika kwa watoto wako usiombe heshima wakati unatukana alie watoa bebamimba uone ninusuyakufa sio pesa tu mdogowangu sisi niwakupita tuu hapa duniani. Mungu akupe heshima naujiludi kwani nilikuwa najidai sana huku nje natangaza jina la mtz mwenzangu.
HATA NA ZARY PIAA ANAJUTAA KUKAA NA KUZAA NA MWANDAWAZIMU ASIE KUWA NA ELIMU MUOKOTA MAKOPO HAKUKUJUWA B FOR SO UKIJIONA UNA WENGINEE NA ZARY ANA WENGINEE NA ALIE JUTA ZAIDI NI ZARY MAANA NDIEE ALIEE KUSHEET
diamond acha kumchafua mzazi mwenzako, tens kakutoa mbali. UMEKOSEA..TENA KIKUBWA. kuwa mpole.
Uuufu kwani ulikuwa wapi all that time .zari ll remain beautiful , young n wife materials. Nothing ll change zari .wivu itamaliza wengine.strong lady zari.
bahati 😜
Uyo haawzi tulia na mwanamke hata akichoka natanasha atambadikia mabwa akisoga kwa wake wengine...
Sarah Munyiva na maisha yake ataishia kuhangaika tuu hajifunzi kwa kina kiba wako kwenye ndoa Hahahahaaaa pole yake
@@cellyjoseph9478 ako na pepo ya uzinigu ukahaba umalaya...alipewa mashetani ya uzinifu...kuaribu watoto wa wawatu
Kwani miaka 40 ni mzee mama yake kaoa baba yake qa kambo ana umri gani?kuachwa kubaya
Diamond ni mjinga sana haoni mamake
Mapenz hayana umri
Mwacheni jaman aongee anavyojisikia
Atapata tabu sanaa hayo ni maneno ya mkosaji