NDARO NA STEVE MWEUSI WALIVO MKATAA MKE UTACHEKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 218

  • @thesabbath2904
    @thesabbath2904 9 часов назад +47

    Mungu akubariki wewe unayesoma hii meseji❤❤

  • @FatmaSaid-w2h
    @FatmaSaid-w2h 3 часа назад +7

    Jamani Steve kaanza vizur kajakuaribu mwisho😂😂😂

  • @JamlickKiogora
    @JamlickKiogora 2 часа назад +2

    Kazi sana 😅😅😅😅 napenda kazi yenu nyinyi wawili ,nafuatilia kutoka Kenya

  • @TausRaj
    @TausRaj 3 часа назад +4

    😂😂😂😂😂😂salama ila ndaro.... puuuuuuuu 🙌

  • @Yesunijibuu
    @Yesunijibuu 4 часа назад +4

    et sitaki mwanamke ambae hajatoka kwa bwana, bwana mwenyewe wa mtaani sio bwana Yesu😂😂😂

  • @OBARIOSCAR
    @OBARIOSCAR 9 часов назад +6

    Kucheka tuu..kuwa na huruma aaaa!! Stevu...Kenyan Boychald following 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @espoirkipanza
    @espoirkipanza 9 часов назад +8

    Kazi nzuri kwa kweli Steve ndaro

  • @Rogers-v1e
    @Rogers-v1e 3 часа назад +1

    Kumlisha mpaka kifo chake...😂😂😂

  • @Kelvinmlokole
    @Kelvinmlokole 8 часов назад +7

    Ndaro stive tumpeleke milembe😅😅😅ametisha saana

  • @Essau390
    @Essau390 4 часа назад +2

    steve wew utengenezewe nchi yako😂😂😂😂😂

  • @RamadhanJohn-q8t
    @RamadhanJohn-q8t 3 часа назад +4

    Kwaiyo wanaopaka bleach wanakaa tabata😂😂😂

  • @bilid4128
    @bilid4128 6 часов назад +2

    "Huo mzigo tukakae nao sisimi" 😂😂😂

  • @FredrickOsundwa-c3v
    @FredrickOsundwa-c3v 3 часа назад +4

    My people mweusi

  • @TausRaj
    @TausRaj 3 часа назад +1

    😂😂😂😂😂 Steve ndiooo kaja kuharibuuu kabisaaa

  • @Dasilvadems
    @Dasilvadems 6 часов назад +4

    ❤❤❤❤❤❤❤furaha kwenda mbele 🇧🇮🇧🇮

  • @NGALAMUTISYA
    @NGALAMUTISYA 9 часов назад +7

    Kama sio hawa siku yangu haiwezi kuwa siku😅

  • @AdamKavindi
    @AdamKavindi 4 часа назад +2

    Nakubali sana hawa jamaaaa

  • @DanielMgani
    @DanielMgani 8 часов назад +8

    Kaz Safi like hata moja jaman

  • @joseckmaina2122
    @joseckmaina2122 6 часов назад +3

    Steve wewe aki wapiga mjomba kofi😂😂😂

  • @willynyambok1568
    @willynyambok1568 8 часов назад +2

    Hawa ni twins in acting God bless you guys.

  • @Kingboyjuniorderrick
    @Kingboyjuniorderrick 9 часов назад +4

    Mnifollow msanii wenu tokea mombasa pwani Kenya country....we love you ndaro ......basi hata mnipe2 subscribe 🎉🎉🎉

  • @HusnaMohammedramadhan
    @HusnaMohammedramadhan 6 часов назад +4

    Nilijua t lazm Stev ampige😂😂

  • @Janvier-y4r
    @Janvier-y4r 3 часа назад +2

    From Uganda 🇺🇬 ♥️ ❤️

  • @Worldineoloo
    @Worldineoloo 5 часов назад +1

    Kali😂😂😂 am watchin live from Jamaica via Kenya in tanzania towards Uganda opposite Rwanda 😂😂😂 but in real life watching from Nairobi kenya

  • @kuparcephas
    @kuparcephas 6 часов назад +1

    Nice one brother ndaro
    I'm watching from kenya interesting kaka

  • @Erickerickboniphace
    @Erickerickboniphace 8 часов назад +4

    Daah nimecheka mpa nimekufa

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 9 часов назад +11

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team ndaro au basi

  • @BillyMAhunoMEshack
    @BillyMAhunoMEshack 23 минуты назад +1

    Ila hawa viumbe jaman

  • @AdamJack-m5d
    @AdamJack-m5d 7 часов назад +2

    Kazi nzuri kwa kweri ndaro 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JASSBOY-i6u
    @JASSBOY-i6u 6 часов назад +2

    iro kofi uliro mpiga ata una uruma😂😂😂😂

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y 2 часа назад

    Machizi Steve na ndaro mbavu zangu nyie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉

  • @Yangabingwaofficial
    @Yangabingwaofficial 4 часа назад +1

    Steve umeniua ulivyompiga Kofi mjomba😂😂😂

  • @eliachimkabura
    @eliachimkabura 4 часа назад +1

    Safi sana WA kubwawetu

  • @nhandandatulu714
    @nhandandatulu714 6 часов назад +1

    Kuna shida kwanini nisakisiwe😂😂😂

  • @jamessamwel9456
    @jamessamwel9456 6 часов назад +1

    kitengo cha akili😂

  • @NasiburamaMikina
    @NasiburamaMikina 8 часов назад +1

    Jamaaaan BOLT na ADA uwiiiiiiiiii kudadeki zeni

  • @ibrahimayoubdhahabu984
    @ibrahimayoubdhahabu984 3 часа назад +1

    Stive unaweza kufikiri kua ni Mzima.

  • @StanslausPilla
    @StanslausPilla 7 часов назад +2

    Dahhh ety kumlisha mpaka kifo chake

  • @stevenalpheis7448
    @stevenalpheis7448 6 часов назад +1

    Wachekelea 😂😂😂

  • @hadijakwiru-vy1ls
    @hadijakwiru-vy1ls 8 часов назад +1

    Nyii majamaa ni nomaa sana

  • @VenanceAnyigulile-y3c
    @VenanceAnyigulile-y3c 6 часов назад +2

    Ambao tunairudia mara mbilimbili gonga hapa

  • @officialdinnah_457
    @officialdinnah_457 6 часов назад +1

    😂😂😂😂😂ila ndaro

  • @EmmanuelSima-x2n
    @EmmanuelSima-x2n 9 часов назад +4

    Ndaro mjnga et kumlisha mpk kifo chake😂😂😂

  • @benjiquintero1886
    @benjiquintero1886 7 часов назад +2

    Like from Bujumbura ❤🇧🇮

  • @FatmaSaid-w2h
    @FatmaSaid-w2h 3 часа назад

    Nawapenda ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @kassimkundi8963
    @kassimkundi8963 10 часов назад +6

    Wa kwanza naombeni likes zangu

  • @AbubakarRajab-u1h
    @AbubakarRajab-u1h 5 часов назад +1

    I ♥️♥️♥️ this guy

  • @fanueleva3492
    @fanueleva3492 3 часа назад +2

    Well done steve

    • @fanueleva3492
      @fanueleva3492 3 часа назад +1

      😊❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @CLEVERBOY004-cr5cc
    @CLEVERBOY004-cr5cc 4 часа назад +1

    Endelea kusoma nyengine izo

  • @nizoplatinumztz8025
    @nizoplatinumztz8025 4 часа назад +1

    Husna kaushona balaa

  • @LabanMwangi-c5g
    @LabanMwangi-c5g 5 часов назад +1

    Jokopae Steve mweusi uko fiti😂

  • @Donrugi
    @Donrugi 8 часов назад +1

    Watu wanahusika na mambo ya kucheka 😂😂

  • @jairatu688
    @jairatu688 8 часов назад +4

    😂😂😂😂😂😂ila ndaro mbona pacome lakini

  • @VenanceAnyigulile-y3c
    @VenanceAnyigulile-y3c 6 часов назад +1

    😅😅😅😅 mtoto yuko choni

  • @Charles_thoyah_promoter
    @Charles_thoyah_promoter 3 часа назад +2

    Oyaah Steve kuwa serious hata mara moja😂😂😂Hamadi kijicho ni yupi😂😂

  • @JoshuabebaNiyogusenga-h9w
    @JoshuabebaNiyogusenga-h9w 46 минут назад

    Kwani hamadi kijicho ninani mbona steven meusi anapenda kumuzumuza sana kweny movie zake

  • @TheresiaGeorge-y9o
    @TheresiaGeorge-y9o 4 часа назад +1

    Ila nyinyi😅😅😅

  • @MrRamaFrederick
    @MrRamaFrederick 9 часов назад +2

    Mr Rama ❤❤❤

  • @damawangoni
    @damawangoni 8 часов назад +11

    Kazi nzuri braza ndaro na Steve ila chekelea kama wakubali hivi vichwa like

  • @lilinalamri7643
    @lilinalamri7643 2 часа назад

    😂😂😂😂 ndaro anataka bibi ametoka Kwa bwana 😂

  • @DonatienHAKIZIMANA-d1x
    @DonatienHAKIZIMANA-d1x 10 часов назад +6

    Wakwanza hapa. Nipeni like zangu

  • @estermoses7682
    @estermoses7682 3 часа назад

    Kumlisha mpaka kifo chake😂😂😂😂😂

  • @Mickidad-c9b
    @Mickidad-c9b 2 часа назад

    Tatu. Mbili wachekelea maovu😂😂

  • @Keyjop
    @Keyjop 8 часов назад +1

    Ila nyie viumbe 🤣🤣♥️

  • @Tomford1234-k3j
    @Tomford1234-k3j 8 часов назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂avue shirt tumkague

  • @thirdvisionstudiosKE
    @thirdvisionstudiosKE 9 часов назад +1

    from kenya watching my favourite duo...

  • @GirlOfTheAfricanSoil_001
    @GirlOfTheAfricanSoil_001 3 часа назад

    Motoni uhakika😂😂😂. Ila Steve😂😂

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 2 часа назад +1

    Ila Steve bhn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂

  • @fubufilmskaliua
    @fubufilmskaliua 3 часа назад +1

    ❤ndaro❤❤❤❤

  • @ManuelImanyChimangande
    @ManuelImanyChimangande 9 часов назад +2

    Stivo ndaro kazi jema

  • @josephmlazier1391
    @josephmlazier1391 2 часа назад

    Etii kwa nini wenzangu hawakuoni jamani hii atah kwangu ingekaa kigugumizi kabisa na sio eti ni mtoto 😂😂😂

  • @JumaMohammed-i9n
    @JumaMohammed-i9n 6 часов назад +3

    Alio ona manati gonga like hapa😂

  • @daclastarLion
    @daclastarLion 6 часов назад +1

    Hapana ndaro Umenishinda tabia😅 et wanakusakizia

  • @brightonisaack1722
    @brightonisaack1722 2 часа назад

    😂😂😂😂😂 Steve mwehu sana dah

  • @TausRaj
    @TausRaj 3 часа назад

    Nimejileta nimeitwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gabrielmnangala7822
    @gabrielmnangala7822 6 часов назад +1

    Ila Ndaro mshnz kwel

  • @lukakerika
    @lukakerika 8 часов назад +1

    Unamjua pacome 😂😂

  • @marryofficial9143
    @marryofficial9143 9 часов назад +2

    Husnaa kanenepa mashaallah 🎉

  • @TinahLamajo-xb9xe
    @TinahLamajo-xb9xe 5 часов назад +1

    😂😂😂 duuu

  • @OmaryOudax-d4b
    @OmaryOudax-d4b 9 часов назад +1

    Wa kwanza Leo from mwanza

  • @ChristianSimwinga-j7g
    @ChristianSimwinga-j7g 3 часа назад +1

    Wewe ni chuma kula chuma chenzio ila nyie jamaa hatari sana

  • @SamweliStephen
    @SamweliStephen 4 часа назад +3

    Kama unawakubali hawa machizi like ziwe za kutosha

  • @CLEVERBOY004-cr5cc
    @CLEVERBOY004-cr5cc 4 часа назад

    Huyu Dem kitambo mumemuacha angalau Leo tumemuona tena

  • @eliasytano5954
    @eliasytano5954 8 часов назад +1

    hakika nimecheka kwa sauti hadi aibu aisee hapa ofisn lile kofi mwishoni

  • @MusaKechi
    @MusaKechi 5 часов назад +1

    Wewe ndiyo unataka kaolewa kwetu

  • @michaelmayunga8327
    @michaelmayunga8327 7 часов назад +1

    😂😂😂😂 ila steve 🙌

  • @Barakammanda
    @Barakammanda 10 часов назад +1

    Wakwanza mm leo.🎉

  • @kimanijohn6843
    @kimanijohn6843 5 часов назад +1

    Huyu madam amekuwa mkubwa sana

  • @FrolensifidelisiMbumi
    @FrolensifidelisiMbumi 3 часа назад

    Hahaha hatariiii🤣🤣🔥🔥🔥👍👍

  • @PCBOYchibuOfficial
    @PCBOYchibuOfficial 4 часа назад +1

    😅😅😅

  • @Eagle-n2t
    @Eagle-n2t 5 часов назад +1

    So funny 🤣🤣🤣

  • @KidogeDolie
    @KidogeDolie 4 часа назад +3

    Kamapia na ww unakubaligi kazi yawo weka like 🎉🎉🇨🇩

  • @Fei-l4x
    @Fei-l4x 9 часов назад +1

    😂😂😂nimecheka bn😂😂😂

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa 10 часов назад +1

    Kazi mzuri ❤❤🎉🎉

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 5 часов назад

    Hivi uyu mr kipara ndo menager wa steve na ndaro kwa maana nikitambo sana walianza na steve pamoja na huyo dada.

  • @johnkamau2069
    @johnkamau2069 9 часов назад +2

    wakwaza Leo kutokaa Kenya 🇰🇪

  • @ZephaniaManyata
    @ZephaniaManyata 9 часов назад +1

    Hawaaah majaaa wanajua😂😂

  • @lamran-i6x
    @lamran-i6x 9 часов назад +36

    Kama umelitazama la leo angusha like yako hapa

  • @lilinalamri7643
    @lilinalamri7643 2 часа назад

    😂😂😂😂😂aki huyu stive

  • @joshuaeliakimumadehwa8593
    @joshuaeliakimumadehwa8593 5 часов назад +1

    Nice