A Boy From Tandale - Diamond Album Launch (Full live performance)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 мар 2018
  • The King of East African Pop Music finally released his major label debut album which he features various African and American Artists.
    The Album was launched in Nairobi Kenya on 14th March 2018 with 18 songs
    TANDALE is one of the slam places in Tanzania and thats where “Diamond Platnumz"was raised, suffered and hustled to show the World his talent. The event was sponsored by #SongabySafaricom

Комментарии • 447

  • @JamesKeru
    @JamesKeru 6 лет назад +126

    Bonyeza like kama unamkubali Diamond!

  • @jamesmilimo5110
    @jamesmilimo5110 6 лет назад +2

    Broo unanii inspire sana, ulipotoka nami ndo nko uko
    Nnaamini namii nitkuja kuwa msaada kwa mother as you
    Mungu akubarikiii

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 6 лет назад +2

    Duh diamond ameimprove kwa 200% live performance hii ni balaa

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 6 лет назад +1

    Monde Msenga sana mamaeee hilo jukwaaa tu manina zako kali kinyamaaaaa nyimbo mbwa simba hakuna tena
    Its perfect buana

  • @johannessamambo6749
    @johannessamambo6749 6 лет назад +2

    DIAMOND SIMBA MWENYEWE this the only artist naeza lipa mara kumi na,, kwa gate just to see him perform, thats what i call live performance apana ile unawekewa ngoma yako na bado unaweka mic kwa mafans waimbe.. WASAFI NI SAFI KWELI

  • @bakaribakari_
    @bakaribakari_ 6 лет назад +38

    If there's someone in Tanzania or even in the large East Africa who in his wildest dream thinks he can compete with this guy, he should stop dreaming. This guy is incomparable... He is the Undisputed KING

    • @abdulmudy4595
      @abdulmudy4595 6 лет назад +1

      Makaveli Reborn Fact

    • @lukasochola576
      @lukasochola576 6 лет назад

      Ringtone Apoko

    • @STOMODYTV
      @STOMODYTV 6 лет назад +1

      We just need the right sponsor like he landed himself

  • @jumambarale699
    @jumambarale699 6 лет назад +1

    Wanaomponda plantnamz waangalia Sula zao mpaka Zina Aibu🙌🙈🙈 #aboyfromtandale 🔥🔥🔥 usikate tamaa kazaaa

  • @samsonmusa7626
    @samsonmusa7626 6 лет назад +2

    Huo wimbo after waka waka kuna ka ubunifu hapo big up

  • @brendachokera8307
    @brendachokera8307 6 лет назад +2

    Hiyo nyimbo ya pili is🔥 I love when he sings in swahili

  • @isackfelix6974
    @isackfelix6974 6 лет назад +2

    heshima kwako simbaaaa chibu dangotee hunguuruuuuumaaaaaaaaa mbaba tisha sana ur ma only choice ur ma de best brooo nakukbali mbaka dakika ya 90 ucje balidika endlea kuwa buruuuuuuuza we ni mnyama king wa africa naweza sema bcz akuna anonikosha like wewe tisha sana broo

  • @antonmlewa5565
    @antonmlewa5565 6 лет назад +1

    haija wah tokea waonyesh kua inawezekana kiukwel mm kama mm najvunia sana kua shabk wa smba au WCB kiujumla naipendasana wasaf

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 6 лет назад +28

    Ubunifu wa Diamond ndo unafanya azid kupiga hatua

  • @ezekieledson502
    @ezekieledson502 6 лет назад +34

    nmekubali ule usemi kua,,,,** shujaa hakubaliki kwao**

  • @celestinendinda2918
    @celestinendinda2918 6 лет назад +2

    My African king... my best artist... my best performer...🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @florenceholmen8304
    @florenceholmen8304 6 лет назад +2

    Our very own East African Diamond. He knows his voice is not perfect, he compensates it with his creativity and writing good verses. No one in Tanzania can compete with his creativity in the industry.

  • @jacobgoodluck8761
    @jacobgoodluck8761 6 лет назад

    Ile na angaika usiku kucha naambulia patupu nilikuwa naumiaAA..."
    KIDOGO nakula na mama yangu, siwezi wasahau na ndugu zanguuu....."
    #binadamu One of my favorite/inspiration song @Diamondplatnumz

  • @beautyqueen8069
    @beautyqueen8069 6 лет назад +9

    Wow😍 the amazing stage work just lit👌2547..just missing 😭 home😢

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 6 лет назад +8

    Ipo siku utasahau yote nabhao wanafiki ma mahasid wanapenda kuharibu penzi lako yataisha Inshaallah utadumu na kuishi na mama latefar japokua hatujui matatizo yenu lakini wengine wote waongo hawakupendi wanapenda chako rudi lea wanao usiwapotezee kwa dini yeko.please diamond rejea roho yako kwa mama watoto wenu husda kubwa imewapata.

  • @alicemulilo6113
    @alicemulilo6113 6 лет назад +1

    hahaha diamond platnumz we we mkali💪💪💪 hahaha nakwamini

  • @CyprianOngori
    @CyprianOngori 6 лет назад +5

    Kenyan commenting... Diamond is on another level from most EA artists

  • @sonimurigi
    @sonimurigi 6 лет назад +2

    Hio stage iko 🔥🔥🔥diamond twakupenda

  • @princesspauline783
    @princesspauline783 6 лет назад +66

    That stage is fireee wakenya oiyeeeeee!!! 👏👏👏👏👏👏

  • @KaKa-if5nz
    @KaKa-if5nz 6 лет назад +62

    Kitu napenda na wakenya ni creativity! Buda hizo stage management mko yuuuuuu. Design nayo

    • @bonasofficial9116
      @bonasofficial9116 6 лет назад

      Ka Ka HARMORAPA AIPONDA ALBUM YA DIAMOND click hapa ruclips.net/video/vcuwI1f-7jk/видео.html

  • @magorimasahi5613
    @magorimasahi5613 6 лет назад

    Vizuri sana Mola azid kukupa uwezo wa kuitangaza nchi yetu kupitia mzki wako

  • @samsonmusa7626
    @samsonmusa7626 6 лет назад +1

    Diamond ni kipaji naturally ,tizama hata anaposhirikishwa anaweka vionjo fulani ,wimbo unakuwa mzuriiiiiii

  • @samsonmusa7626
    @samsonmusa7626 6 лет назад +1

    Diamond has I.Q of genius in the case of music very creative , he is among the African artists geniuses

  • @babuusarubare9485
    @babuusarubare9485 6 лет назад +1

    Ali kiba atoi nyimbo kazi yake kudislike mziki mzuri wa simba

  • @kiptumman
    @kiptumman 6 лет назад

    Likes kwa Diamond Platinumz. My favorite artist. Show imewaka kuwaka

  • @elvisfaudhia9725
    @elvisfaudhia9725 6 лет назад +17

    Si ckuiz atuna maneno zaidi ya kukutakia kheri uzidi kukimbiza..simbaaa

    • @bonasofficial9116
      @bonasofficial9116 6 лет назад

      Elvis Faudhia HARMORAPA AIPONDA ALBUM YA DIAMOND click hapa ruclips.net/video/vcuwI1f-7jk/видео.html

  • @mdakumbetvmikindani5303
    @mdakumbetvmikindani5303 6 лет назад +1

    Nimeipenda sana hii steji Tanzania bado aise Hakuna zaidi ya kufungia wasanii

  • @9094321
    @9094321 6 лет назад +1

    Diamond, you have proved it can be done. Good job

  • @sheilanafula768
    @sheilanafula768 6 лет назад +2

    😍😍😍😍love the songs

  • @stanydizzy480
    @stanydizzy480 6 лет назад

    Show kali saana meipenda ubunifu ,sound yaaan ni nzury saana

  • @merrymboya1784
    @merrymboya1784 6 лет назад +2

    Hongera Sana Simbaa mungu akusimamie uendelee kuwakimbiza lakini mrudishe mama tee

  • @missfahimakenya4583
    @missfahimakenya4583 6 лет назад

    Amazing 😍😍😍😍😍

  • @mzafaruabubakari9116
    @mzafaruabubakari9116 6 лет назад

    my bro you will be they best all they time goooooood baba tiifaa nimezidisha ushabiki kaka pigs kazi watajalibu ila awatawezaaaa

  • @saidkambi6792
    @saidkambi6792 6 лет назад +12

    Utamuweza vp Diamondi pambana jembe

  • @swahiliupdates3051
    @swahiliupdates3051 6 лет назад +4

    Watu wengine humu wandhani labda waTanzania wameshindwa kuandaa hiyo stage
    Labda unaeza ukakuta design zote wamefanya watanzania
    Wabongo watu creative saaaana kama hamjui

    • @mwandiadam5490
      @mwandiadam5490 6 лет назад

      shabani msuta ni kweli ila nadhan hatujawahi fanya kitu ya namna hii tokea zimeandaliw za ukumbini

    • @blacktulip4386
      @blacktulip4386 6 лет назад

      POLe sana hater we on top 254

  • @angellybaga3604
    @angellybaga3604 6 лет назад

    Nakupenda had naumwa....mungu akulinde

  • @nicholausjohn9057
    @nicholausjohn9057 6 лет назад

    Nakukubali xana diamond yaan kwa xaxa nilevo za kinda jeyz

  • @shamsaadow1149
    @shamsaadow1149 6 лет назад

    simba diamond!i love this guy,his music.....incomparable is the word

  • @patricianduta3478
    @patricianduta3478 6 лет назад +1

    woooiii unbelievable good work simba ,iyo stage jamani yanimaliza ,,congrats

  • @simonndegwah8967
    @simonndegwah8967 6 лет назад

    am loving it......

  • @divadiva684
    @divadiva684 6 лет назад

    Great work walking us through your life journey!

  • @filexgallas3562
    @filexgallas3562 6 лет назад

    U kill it brother... Ujawai tuangusha

  • @anasiaminja5785
    @anasiaminja5785 6 лет назад +1

    Congrats nice job bro 🔥👏👏

  • @jacquelinendambuki2759
    @jacquelinendambuki2759 6 лет назад

    Amazing

  • @yahyangurwe3913
    @yahyangurwe3913 6 лет назад +1

    tuache unafki jamani uyu jamaa anajua mpaka anakeraa!!!!!!!!

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 6 лет назад +1

    Le mots m mank
    U as reussit vrmnt
    Wcb pour la vie✌

  • @ItsNimmoh1
    @ItsNimmoh1 6 лет назад +5

    The creativity is on 101%😍😍👌🔥

  • @lucymwega784
    @lucymwega784 6 лет назад +5

    Wow I like waat am watching

  • @jobnyondo
    @jobnyondo 6 лет назад

    Wow! this was cool!

  • @rukiawins4057
    @rukiawins4057 6 лет назад

    Always on top👏👏👏👏

  • @sophyann4443
    @sophyann4443 6 лет назад

    Awesome performance

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 6 лет назад +1

    Diamond u are performer men nakubali 👏👏👏👏

  • @rehemamsuya8518
    @rehemamsuya8518 6 лет назад

    go boy gooooooo...you are unbeatable!!!!

  • @justpikei6658
    @justpikei6658 6 лет назад +1

    this was fire ..... thanks a million for posting i couldn't have watched it from anywhere else asante sana.

  • @esthersannygithua9962
    @esthersannygithua9962 6 лет назад +4

    Love you mondi for free mungu akujalie mema ndugu

  • @youngsunasunabadmaharifa4582
    @youngsunasunabadmaharifa4582 6 лет назад +1

    simbaaaaaa young cyo zee pull up ur sokx hawakuwez

  • @kemeistudios
    @kemeistudios 6 лет назад

    woow u realy inspire me diamond...chibudi...woow.....someone give this boy like auuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @realrealadventurestz3348
    @realrealadventurestz3348 6 лет назад

    Unexplainable!!! Good

  • @benardhassan922
    @benardhassan922 6 лет назад

    Diamond umetisha aaaaaaah good album A boy of tandale

  • @silvancejuma5638
    @silvancejuma5638 6 лет назад

    So cool

  • @elysantenassar4146
    @elysantenassar4146 6 лет назад

    Hujawahi kosea kwa music simbaaaa,you're a simbaaa plus plus+++++++++

  • @ehiskhaleradio
    @ehiskhaleradio 6 лет назад

    I like the performance. Proud of you bruh

  • @enockmgizi1088
    @enockmgizi1088 6 лет назад

    Safi sana simbaaaaaaaaaaaa......... uko vzr sana na utaendelea kuwa vizr kimusic,,,,, Mungu azidi kuongoza kazi yako ya music ili uzidi kulitangaza taifa zaid,,,,,,,,,,

  • @noelmichael3630
    @noelmichael3630 6 лет назад

    Much respect homie,,,Simba.

  • @josephineconslater2198
    @josephineconslater2198 6 лет назад

    Bigup broo diamond

  • @hometvonline5378
    @hometvonline5378 6 лет назад

    NOUMA SANA, KWA HABARI NA MASTORY YA TOWN GONGA LIKE HAPA

  • @thomaswanjala3730
    @thomaswanjala3730 6 лет назад

    Kweli ww n simbaaa from tandale 2 the world

  • @tomkwoba1577
    @tomkwoba1577 6 лет назад

    Nakubali Sana ....live music...... Best sana keep up bro...

  • @Vachi231
    @Vachi231 6 лет назад

    Follow excellence and success will come running.More to come from Diamond.Congratulations bro!

  • @jahpetmadenge1817
    @jahpetmadenge1817 6 лет назад

    Classic show big up broo

  • @eddyvondez8513
    @eddyvondez8513 6 лет назад

    Simbaaaaa,,,we ni mwambaaa wenye figisu wakafie mbalii mamae umetish mzee bab

  • @philipkinyanjui4792
    @philipkinyanjui4792 6 лет назад

    Diomond platnumz ,you kill it man😜😍🤩

  • @aslanmohamad7618
    @aslanmohamad7618 6 лет назад +5

    Imss you diamond we ndo jembe letu piga kazi fukuza aoooo

  • @anujthafutureking9638
    @anujthafutureking9638 6 лет назад

    It was lit

  • @nickchanzu5068
    @nickchanzu5068 6 лет назад +3

    chenye nimependa.... nivile wakenya wakobusy kurecord than kujibamba

    • @briansakwapodcast101
      @briansakwapodcast101 6 лет назад

      Nickson Chamwada Hey check out my RUclips channel I'm a life vlogger and enjoy my dope vlogs💯💯🔥 subscribe

  • @jaber2theworld182
    @jaber2theworld182 6 лет назад +1

    Mm huingia online kuona tu diamond haha mad love a boy from tandale

    • @briansakwapodcast101
      @briansakwapodcast101 6 лет назад

      Sheddy Eunice Hey check out my RUclips channel I'm a life vlogger and enjoy my dope vlogs💯💯🔥 subscribe

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 6 лет назад

    Nice song realy

  • @sueray9400
    @sueray9400 6 лет назад

    Wow, I salute.simbaaa

  • @actualbangoza2905
    @actualbangoza2905 6 лет назад

    Dangote go go go papaa

  • @linuslindu9519
    @linuslindu9519 6 лет назад

    mondi huu saa ni ubabe gud,creative performance lyk BET hyo stage

  • @lindamweche7362
    @lindamweche7362 6 лет назад

    Nimesema huyu diamond ni mkenya .. nice show brathe...

  • @edmundsilayo2736
    @edmundsilayo2736 6 лет назад

    daaaaah..... king, SIMBAAAAA...... WASIOKUPENDA SIJUI TIMU NANI WALEEEEE,,,,,, wafe tuu

  • @peterdaniel9481
    @peterdaniel9481 6 лет назад

    Congratulation mr

  • @bashbuttar4493
    @bashbuttar4493 6 лет назад

    daaaah Kenya nihatar stage km 2po mambleeeee bna daaah big up chibu

  • @paulobard1647
    @paulobard1647 6 лет назад

    Nakukubali sana.

  • @damarispassiany4081
    @damarispassiany4081 6 лет назад

    🔥🔥🔥🔥lit AF!

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 лет назад +2

    Wasiokupenda wakanye boga upo juu simba go go go tupo nyuma yako👏👏👌👌

  • @mikemissedcall9606
    @mikemissedcall9606 6 лет назад

    Kazi yako nimeikubali Simba. Big up bro n zidi kupepea kijana wa Tandale..

  • @chiefsam8606
    @chiefsam8606 6 лет назад

    GOOD WORK

  • @ireneoduya1401
    @ireneoduya1401 6 лет назад

    Kazi nzuri Mondiz twakupenda sana

  • @Onekombe
    @Onekombe 6 лет назад

    The stage was lit.... Big up 254

  • @jumbeybrowney7310
    @jumbeybrowney7310 6 лет назад

    Homie noma what a marvelous performance woooooow exquisite our pal from KWA MTOGOLE....

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 6 лет назад

    Congratulations sanààaaaàa brother mkumbuk Muñgu keep going high kaka na kuinuw vjana kama ww

  • @mercygavalajanahi8787
    @mercygavalajanahi8787 6 лет назад

    wow nice

  • @KelvinNganganjoki
    @KelvinNganganjoki 6 лет назад

    Nice stuff

  • @chiefsam8606
    @chiefsam8606 6 лет назад +1

    WHEN ARE THEY BEING UPLOADED

  • @mtootowayesukwayesukunauzi7007
    @mtootowayesukwayesukunauzi7007 6 лет назад

    Hio stage ni kali.. nasi zari yuko huku pia.. roho ya diamond yaumia kweli.. is not easy aki