Shida kenya ni moja na atuwezi tukaimaliza..watu wanao tegemewa ni wale wale uhuru,ruto na raila akuna changes zozote..twataka watu wapya tume choka na nyinyi..
Joho is not for the people of Mombasa. After his term is worried. Port imepelekwa Naivasha, refinery Nairobi, Eabl Nairobi. Coast people suffering with un employment. What have you done to your people. We don't need BBI and your leadership. Mavi ya kuku.
@Ibrahim mimi ni mkaazi wa Nyali. Poster zake zilikuwa na picha ya Raila na Joho alimleta mtu hiyo ndio ilimfanya Moha kupita kwa hivyo usidhani ana wafwasi wengi sana bro.
Jamani wa Mombasa acheni Domo bila Joho Mombasa sio Mombasa jicho pevu acha Domo hupendezi hapo rudi kwa jicho pevu ndio klpwa chako jamani ukweli usemwe wenzangu matusi ya nini?
What's Mohamed Ali's score card? Politicians are the same,started making noise during school days and now they've graduated to podium. Mwananchi gutuka, they're reuniting for 2022.
Unakuja mbele ya vyombo vya habari kumsifu yule ulie mwita mwizi muuaji sahii usha msafisha na kumfitia madhambi yake wewe sio kiongozi wa kwaminika asipokutekelezea unacho taka utarudi hapa kusema ni mwizi na muuaji kama awali sasa watwambia ni msafi wanasiasa wote ni wezi hakuna msafi Wakati wakufata wanasiasa kipofu pofu uliisha hata wewe na kutilia shaka sasa
I don't care who to be the president or who to be what all leaders in kenya will be answerable during judgement and my the Lord whom we serve to save the poor those who cannot even afford what to put on the table just because of bad leadership in this country , ali I know you're a very sober minded person do not be like this people we know will never bring change in kenya even if they get that opportunity the people like Raila , William ruto , kenyatta family , and the last one is moi family this people are killing kenya.
They are busy trying to distract the government but no one is going to respond to pettiness. 8 years of jubilee in power has been disastrous until recently when Mr President joined hands to work with Mr Odinga to unite Kenyans. Kickbacks will not elevate the lives of Kenyans
Which Kenya is united funguka macho there is a big gap between matajiri (nasio wa kufanya kazi Bali niwakuiba)na maskini (waliofanywa maskini kwa kufanya kazi kwa bidii kisha wakaporwa.)Handshake niyakuungana wapore.
victor amboko @ handshake is few months old. Isn’t it? Kenya was already divided even before the President and Mr Odinga joined hands. As citizens, we stand to gain absolutely nothing when this beautiful country plunges to the drain. All those individuals who are politicking 24/7 are arrogantly beating the drums🥁 of tribal war which is a poor recipe for distraction.
@@vincentoyoo7533 and that new thing the worst person to put there is Raila.more worst that is the period Kenya will be doomed completely and become Like a Zimbabwe
victor amboko @ I have a different opinion and I would suggest that we give Mr Odinga a chance to lead this country. This man has dedicated his entire life advocating for the little freedom that we have now. Mr Odinga has also never been in charge of this country and we cannot held him responsible for the sluggish growth since the independence.
A. A @ I said, he has never been in charge of this country as the president but when he was working as prime minister under Mr Kibaki they achieved a couple of things and the borrowing rate was low compared to Jubilee regime.
Wewe tafta mbeteka ufanye pararira hapa kule kila kukicha joho joho. Juzi juzi ulikuwa ukidai ruto ni mkora mara muuaji,Leo wamsafisha. Kuwa na msimamo nanii
Jengeeni nyumba wananchi na pesa za umma, makao mazuri, maji safi na maisha mazuri; itafikia wakati maskini watadai haki na haitakuwa rahisi kwa viongozi kuwazuia maskini kudai haki
Mohd Ali pls pls too much of everything is poison.hilo ndilo lilomfanya Lisu mpka ss tanzania hapendekezi kwa kuendeleza matusi kwa Magufuli kwa Tanzania.siasa mbali na chuki binafsi mbali."Shame on u".
Bro. Mohammed wewe ni muislamu mwenzangu ningelipenda ukumbuke Hadith ya Mtume wetu S. A. W. ambayo inasungumzia kuhusu alama za mtu munafiq. Fata mafundisho nawazee watakusaidia na hikma
Remember you are the husler and you not stronger in politics than Joho that you are talking about like that you should even worship him he will rule you forever thanks to joho for standing farm with baba
Jicho pevo mbona unakosa muelekeo Sasa? Huyo ruto wako ndio mwivi nambari one, halafu wewe Kisha ndio hao wengine. domo lote unalopiga umefanya maendeleo gani hapo nyali isipo kua ni kumshambulia joho? Kumbuka Mimi simfuasi wa kiongo yeyoto maana nyote Ni wevi.
@@awadhsalim3178 Jicho pevu kichuzi wa ruto wewe kichuzi wa jicho pevu rudia kusoma tena hapo juu nilisema Mimi simfuasi wa kiongozi yeyote maana wote sawa.
The oversight role at the county level is a role designated for senate not MPs young man, you are a charlatan 'jicho pevu' who has just pope into politics with no context, try to be charismatic 'omera' or go back to journalism, there is where you belong. The content of your speech is not lucid neither is it meant for an MP, were it was for Mombasa Senator, I could have given him a benefit of doubt.
Muhammad Ali wacha nikuambia my friend.joho anaongoza vibaya km anaongoza wanawake kwalazima watu wakitaka wasitake itakuwa hivo.hivyo ndio imetushtuwa Sisi wananchi wa Mombasa imetupa hofu.uogozi wao ni wamabavu hata huyu muarabu mwenzetu shahbal anatushtuwa sana
Kumbe ali unakuaga njaa hv ulikua unajifanya unatetea wanachi kumbe nitumbo tu inakusumbua kwani ilisahau ruto alituambia nn 2013 na 2017 sasa hv nini imeendelea miaka kumi imepotea yote unaropoka upewe kitu lkn ukweli g'oooooooo
Mohamed Ali 👍
Moha ...... you are doing great... continue brother good job you are doing..... don't fear any man , God is your protector
Fact👌
Good leadership go go ahead next governor 001 2022
Hon.jicho pevu well said waambie ukweli usemwe
Hustle Nation 💪💪 bro 💯💯
Shida kenya ni moja na atuwezi tukaimaliza..watu wanao tegemewa ni wale wale uhuru,ruto na raila akuna changes zozote..twataka watu wapya tume choka na nyinyi..
Jamaa oooh joho oooh joho njama yako ni Ugavana but kama ni ukora wako u will never be on that seat😀😀😀
Very true Mr 💯 muha unaiba kwa mfuko yako
Well said.
Top
watching from Nyali;Msa
The young talented man mohaa I appreciate you brother 🙏
Am from garissa County who is ruto 😂😂😂only a thief 😂😂joho is the boss of mombasa County siarika yako 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Wewe enda ukachunge ngamia, achana na mambo hujui
Angalia tu ya kwenu Garissa, ya huku kwetu tuachie wenyewe, sisi ndio tunajua who will be the Boss 2022. Nenda uimbe katelina na joho
@@bashkawario9756 so wewe hauna ngamia borona jinga😂😂😂😂
@@tmb51 jinga wewe 😂😂😂
Mohammed Ali kila mahali ukipiga mdomo usipochunga ulivyoambiwa na watu nyali usipochunga utarudishwa Isiolo ulikozaliwa
Moha keep it going
All leaders should respect each other. William samoei Ruto is unstoppable 2022 💪
Sema yote babaaaaa!!!🤗🤗
Tell them the truth
Joho is not for the people of Mombasa. After his term is worried. Port imepelekwa Naivasha, refinery Nairobi, Eabl Nairobi. Coast people suffering with un employment. What have you done to your people. We don't need BBI and your leadership. Mavi ya kuku.
Sgr campaign yake ilifanywa na Uhuruto wache kumsafisha Ruto hapa tumuone ni msafi clp ziko za mikutano
Ruto hawezi kua mafi hata mungu anamuona taking everything from coast pple.
Vincert Micah umesahau Joho alipokua akisema port yaondolewa yapelekwa Naivasha na hao wakubwa walinyama hawakumuunga mkono na leo wasemaje
From Wisconsin u.s.a
Acha porojo,ww simutetezi wa mombosa ulishindwa kutetea mombosa port clip zako ziko kwa mitandao huna lolote
Kweli
Mohamed Ali huna Sera kama ni Ruto amekuaVp 8yrs alifanyia wapwani nn Tuambie laptop na Elimu ya bure walosema iko wapi mwanzo
Abdulswamad must go!!!! Let's file the petition. Abdulswamad must go
@Totally90 surely na kama ni ukweli yuwaliwa kama mwanamke namuombea Mungu amwangamize
@Totally90 ukweli kabisa inshallah dua zetu Mungu azitakabalie. Surely Allah yuwaona everything.
Never
@@fredrickomollo7791 wewe nenda kwenu kisumu ukachaguwe mbuge wako mombasa tuache tujichagulie. Odm ya baba itakuwa mama
Moha run for president already. Unangoja naniiiiii?
Hahaha round hii ata mca hapati ngoja utaona.
@@rankinbazu7054 kumbuka alwania kiti cha ubunge kwa hisani ya jamii... hakuwa kwa Chama chochote kikubwa nchini
@Ibrahim mimi ni mkaazi wa Nyali. Poster zake zilikuwa na picha ya Raila na Joho alimleta mtu hiyo ndio ilimfanya Moha kupita kwa hivyo usidhani ana wafwasi wengi sana bro.
Sema yote kijana Allah akulinde bro
Jamani wa Mombasa acheni Domo bila Joho Mombasa sio Mombasa jicho pevu acha Domo hupendezi hapo rudi kwa jicho pevu ndio klpwa chako jamani ukweli usemwe wenzangu matusi ya nini?
What's Mohamed Ali's score card? Politicians are the same,started making noise during school days and now they've graduated to podium. Mwananchi gutuka, they're reuniting for 2022.
Its time for work.....lets do it......politics was there and shall always be.........Let's join hands
Hustler all the way....
This are the leader we want in Kenya
Unakuja mbele ya vyombo vya habari kumsifu yule ulie mwita mwizi muuaji sahii usha msafisha na kumfitia madhambi yake wewe sio kiongozi wa kwaminika asipokutekelezea unacho taka utarudi hapa kusema ni mwizi na muuaji kama awali sasa watwambia ni msafi wanasiasa wote ni wezi hakuna msafi
Wakati wakufata wanasiasa kipofu pofu uliisha hata wewe na kutilia shaka sasa
Nakupongeza sana yani huyu sie kabisa kila mtu aangalia tumbo lake
Mohammed uko sawa
Sawa wapi
Hustler tosha
Moha yote ni siasa I regret voting for you round hiii tuone inakuhusu
kupinga joho kutakuwezesha ukuwe governor? Respect leaders mishi mboko na Ali mbogo wa kisauni atakuacha tu hapo
I don't care who to be the president or who to be what all leaders in kenya will be answerable during judgement and my the Lord whom we serve to save the poor those who cannot even afford what to put on the table just because of bad leadership in this country , ali I know you're a very sober minded person do not be like this people we know will never bring change in kenya even if they get that opportunity the people like Raila , William ruto , kenyatta family , and the last one is moi family this people are killing kenya.
Team hustlers
We. N. Fala
Moha for governor mombasa 2022
Viusasaa maneno
huyu moha hana msimamo ulikua ukimuita ruto mwizi muuaji leo hii unatwambia ruto ni mzuri kweli pesa yaweza vunja mlima haki
You can say that again,huyu moha ni kinyonga haswaaaa
Hana msimamo hamaki zako kwa Joho biashara haitazaa chochote
They are busy trying to distract the government but no one is going to respond to pettiness. 8 years of jubilee in power has been disastrous until recently when Mr President joined hands to work with Mr Odinga to unite Kenyans. Kickbacks will not elevate the lives of Kenyans
Which Kenya is united funguka macho there is a big gap between matajiri (nasio wa kufanya kazi Bali niwakuiba)na maskini (waliofanywa maskini kwa kufanya kazi kwa bidii kisha wakaporwa.)Handshake niyakuungana wapore.
victor amboko @ handshake is few months old. Isn’t it? Kenya was already divided even before the President and Mr Odinga joined hands. As citizens, we stand to gain absolutely nothing when this beautiful country plunges to the drain. All those individuals who are politicking 24/7 are arrogantly beating the drums🥁 of tribal war which is a poor recipe for distraction.
@@vincentoyoo7533 and that new thing the worst person to put there is Raila.more worst that is the period Kenya will be doomed completely and become Like a Zimbabwe
victor amboko @ I have a different opinion and I would suggest that we give Mr Odinga a chance to lead this country. This man has dedicated his entire life advocating for the little freedom that we have now. Mr Odinga has also never been in charge of this country and we cannot held him responsible for the sluggish growth since the independence.
A. A @ I said, he has never been in charge of this country as the president but when he was working as prime minister under Mr Kibaki they achieved a couple of things and the borrowing rate was low compared to Jubilee regime.
Wewe tafta mbeteka ufanye pararira hapa kule kila kukicha joho joho.
Juzi juzi ulikuwa ukidai ruto ni mkora mara muuaji,Leo wamsafisha.
Kuwa na msimamo nanii
Lool
Jicho pevu ndani ya Hustler nation
What! Moha hushambulia direct
Mungu yuko
Alii kuja polepole nanii... siasa sio jicho pevu... bado mchanga sana tulia ukuzwe mheshimiwa....
Moha tunakutaka jicho pevu umekuwa jicho pesa si upeleke court
Napenda sana ma anti BBI
Moha is right.whr was Joho on sgr & port issues.we coastal ppl need Job employments,BBI is jst fr few selfish individual
Bila kutaja Joho you Cnt make sense
Hahahhahh...kweli kabisa anabowaa
Very hana points
Moha is very right... I'm a resident of Buxton and i feel for myself, the mortgage plan is a scam
You can say that again Moha
Muhammad ali governor ushapata
Khadija na VOK iliokolewa na joho..
Hustler dani
Kweli yako moha
You hate Rutto u will hate this guy....... I love this guy for free..... So inakuuma kwa sababu alambi matako dynasty.....
Jengeeni nyumba wananchi na pesa za umma, makao mazuri, maji safi na maisha mazuri; itafikia wakati maskini watadai haki na haitakuwa rahisi kwa viongozi kuwazuia maskini kudai haki
pesa sabuni ya roho moha are you the one years back call ruto is killer revealing some documentary and u said ur life is in danger today uko na ruto
Moha jicho pevu sgr ni serikali ya ruto ilitengeneza wacha kublame joho uliza arap mashamba na pia wewe naona nikama umekua beneficiary
Jicho. Ww unaboesha na hio kumkililia joho
Kaka unavimba sana na si freshy! Jadili sera sio wenzako wapinzani
Huyo raila anatusi Ruto for the last 30yrs amefanya nini
Umeongea point
Check records apana uuliza ssi
I wish ungebaki jicho pevu..at least there you used to make sense
Joho amekula mpaka kutoka za maiti hadi watoto wasiozaliwa.
Basi na yy awachie tu ili tupate kiongozi mwaminifu
Sasa mwizi ni nani Kati ya ruto na joho...mpira mkali huu Wacha tuone kipenga cha mwisho
Wewe Ali hata huna aibu. Joho is not your equal. Tulidhani uko na akili ya kuongoza tukakupa kiti kumbe kazi yako ni kuongea tu kw watu. Wait and see.
My friend riziki hutoka kwa Mungu na sio wewe au Yule wangapi wanatafuta kiti lakini hawapati? Usitishe tishe watu wewe nani?
Buree kabisa moho
Sawasawa jicho pevu mpe ukweli huyo ni jizi tu anatubabaisha ss watu wa msa jinga sana hilo kudanganywa na ruto kiongozi bandia
Mohd Ali pls pls too much of everything is poison.hilo ndilo lilomfanya Lisu mpka ss tanzania hapendekezi kwa kuendeleza matusi kwa Magufuli kwa Tanzania.siasa mbali na chuki binafsi mbali."Shame on u".
Bro. Mohammed wewe ni muislamu mwenzangu ningelipenda ukumbuke Hadith ya Mtume wetu S. A. W. ambayo inasungumzia kuhusu alama za mtu munafiq. Fata mafundisho nawazee watakusaidia na hikma
Yeye mwenyewe mnafik na kigeugeu
Hauna lile wala Hili wew ndio fisi silly
Qwenda huna lolote wewe ushapotea kwa pesa, I vote for you at shimo la tewa high school piling station but sasa najutia kukuvotia
Acha wivu bro
Kichwa maji moha
Moha wwe pia unayo chance yakuiba buda wacha kupiga debe pesa haina dini
Joho get it umezidi
Huyu moha katika jicho pevu c alisema Ruto aliiba billion za pesa kupitia sign yake
Pesa imempoteza Huyu jamaa,juzi juzi alikuwa akimuanika huyo ruto kwa ile murder Jacob Juma. Saizi Msikie mnafik mkubwa amemezwa na ruto
Amachovya asali kwa Ruto sasa yua chaza ngoma kwa Ruto.
Joho must resign. Joho must leave office before he is accountable , corona ikiisha tutawangoja icc
For once i have known the work of MP as representative of the constituency. Good job Moha.
Job description of an Mp 1.representation 2.Legislation 3Oversight and 4 Scrutiny
Remember you are the husler and you not stronger in politics than Joho that you are talking about like that you should even worship him he will rule you forever thanks to joho for standing farm with baba
What??????worship him??? Do u worship joho as your God...my friend before you comment anything call yourself a meeting...okay
Jicho hizo zako imekupereka kwa joho. Wachana joho . akuna kura Uta score Mombasa .wewe ni bure kabisa
Jicho pevo mbona unakosa muelekeo Sasa? Huyo ruto wako ndio mwivi nambari one, halafu wewe Kisha ndio hao wengine. domo lote unalopiga umefanya maendeleo gani hapo nyali isipo kua ni kumshambulia joho? Kumbuka Mimi simfuasi wa kiongo yeyoto maana nyote Ni wevi.
Naam Kakangu umenena kunena
Ruto ikiwa Ameiba si apelekwe kotini kila saa Ruto ni mwizi Ameiba nini yako
Wewe ni wa nyali????? Ama ni kichuzi wa joho??? Bro this Time vichozi wa Joho mutajuwa hamujuwi
@@awadhsalim3178 Jicho pevu kichuzi wa ruto wewe kichuzi wa jicho pevu rudia kusoma tena hapo juu nilisema Mimi simfuasi wa kiongozi yeyote maana wote sawa.
@@martinochillo6465 mbona wajaribu kumpiga jicho pevu na anaongelea ukweli even though he is blocking Joho
Ambia Ruto kwanza arudishe.
I thought you were wise until I knew you were in politics.Mdomo mingi akili hakuna
Ali ana kaa Kama panya mstuni ana bweka Kama ubwa mwitu, usi cheze Na joho kuja ucheze na Mm, mdomo Kama matako ya punda .pesa ya ODM ndiyo unakula.
Jicho Pevu this time round umetupa mbao.
Hustlers Nation tosha...uhuru retire
BBI Isha fujika ..
The oversight role at the county level is a role designated for senate not MPs young man, you are a charlatan 'jicho pevu' who has just pope into politics with no context, try to be charismatic 'omera' or go back to journalism, there is where you belong. The content of your speech is not lucid neither is it meant for an MP, were it was for Mombasa Senator, I could have given him a benefit of doubt.
Mudavadi 2022
Uyo ni wakenya kweli
ulifukuzwa Bunge hukuskia, kula unone
You're still young and green in politics just first elect term, please follow footsteps slowly slowly.
Ati green politics this is just but the beginning of desert politics
True
Ruto alijarinu lakini wale wako chini yake ndiye wabaya wake
Muhamsd twakusubiri kwa debe hsutaamini
Nyumbani express.
Cha kushangaza anasoma sio maoni take in kama umelipwa kuongea upuuzi cartoon....
Hehe acha tuone huko mbele itakuaje,si kwa 🔥🔥🔥 huu
Huyu jamaa anaropokwa tu kwani ni jicho pesa.
This kid is just fit for the press
Uda ni matusi tu.Huyu ni maneno tu hana habari na atakuwa ine term mo
Hata ruto aliiba
*man enough Moha*
This guy thinks that Kenya belongs to him never my friend

Waambie....