FORMULA YA KUANDAA CHAKULA CHA NGURUWE/PIGS FEEDING FORMULA AT HOME

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 24

  • @BarakaErnest-q4g
    @BarakaErnest-q4g 4 месяца назад +2

    Hongereni sana agluse huwa na waelewa sana endeleeni kutupa elimu ya ufugaji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 месяца назад +1

      Tupo pamoja ndugu

  • @MalackNdiwene
    @MalackNdiwene 3 месяца назад

    Mimi Sina mzani na Nina ngurue mbili naweza tumia uwiano gan?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 месяца назад

      Angalia vizur vipimo kwa sado na debe kupitia video hii.japo Fanya mpango upate mzani ruclips.net/video/2igVSmessus/видео.html

  • @filbertmacha
    @filbertmacha 4 месяца назад +2

    Naomba unielekeze debe 6 za pumbaya mahindi nachanganyaje kwenye ratio? Na je nawexa kuchanganganya pia na na pumba laini za mpunga? Na ni kiasi gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 месяца назад

      Apo swali akija kaa Sawa yaani debe sita za Pumba za mahindi unataka kujua kiasi cha kitu gani kingine? Ndio unachanganya na za mpunga laini ila kwa debe 6 basi za mpunga ziwe mara 2 yaani debe 12 za mpunga

    • @filbertmacha
      @filbertmacha 4 месяца назад

      Mfano inafaa kuchanganya pumba ya mahindi na pumba laini ya mpunga? Ndio uchanganye na hivyo vingine? Mashudu nk.

    • @filbertmacha
      @filbertmacha 4 месяца назад +1

      @@AGALUSTV kwa hyo pumba za mahindi zikiwa debe 6 nachanganya na pumba laini la mpunga debe 12 eee. Na mashudu kiasi gani, dagaa, nk

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 месяца назад

      Mashudu utegemea ya Aina gani yapo ya Alizeti, na mawese sijui Aina ipi apo

    • @filbertmacha
      @filbertmacha 4 месяца назад

      @@AGALUSTV ni.mashudu gani mazuri mkuu. Maana yanapatikana yote. Alizeti, soya, dengu

  • @SeverinaCheka
    @SeverinaCheka 4 месяца назад +1

    Asnt,naomba kupima kwa kutumia ndoo ya Lita 10

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 месяца назад

      Ok ndugu ngoja kwa kua uhitaji ni mkubwa wa watu yaonekana wengi hawana mizani ngoja tuandae video yake kwa kutumia ndoo na visado

    • @EvaristKatibula
      @EvaristKatibula 2 месяца назад +2

      ​@@AGALUSTVmashudu njo nini yanatengenezwa nanini?alizeti nini plz usinicheke

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 месяца назад +1

      @user-px2iu4mc5y Wala USijari ndugu . Mashudu ni sunflower 🌻 oil cakes, alizeti ni Sunflower 🌻 seeds. Utumika kutengenezea mafuta

    • @EvaristKatibula
      @EvaristKatibula 2 месяца назад +1

      @@AGALUSTV asante sana tena. Ivo umeonge kwakizungu nimekuelewa sana.

    • @EvaristKatibula
      @EvaristKatibula 2 месяца назад +1

      Ndugu yangu uku kwetu siwezi yapata. Ila mimi natumiya mapumba ya muchele na yamihindi pekeyake pamoja na naile uchafu waparuwaka kwenye mihogo. Ila sio maganda yamihogo. Nguruwe ziko vizuri tatizo nambiliwa nawatu yakwamba hazitapata maziwa yakutosha.