Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Allah Mrehem Sami Haji Dau. Muimbaji halisi Wa nyimbo hiyo. Mwishoni mwa miaka ya 70.
Zazamani zina mafundisho ni ujumbe huo Masha Allah
Mashaa Allah ...mafunzo makubwa...
Sadik tafuta nyimbo zakoUnakula jasho la watu
Napenda sana kusikiliza nyimbo za sadiq kwasababu ya sauti yake iko sawa na imetuli sana tu
Asante
Ahsante sana kaka mtanzania heko kwa makauli
Kweli mpita njia amekuhadaa
Sadiq ww ulihitaji tunzo ya muimbaji bora wataarabu hauna mpizani
Umehilibika na mpita njia sasa kaondoka amekumbia hukuyakumbuka mambo ya dunia kurrjea tena unaona haya mpita njiani
Mashallah
Old is gold ...ilove this song .
Mpita njiani amekuhadaa kakutoa ndani kwenye manufaa
Heko maneno ni kibao umearidhika n'a mpita njia hukuyakumbuka mambo y'a dunia wako wa zamani umemkataa sasa humuoni alokuhadaa huyo ibilissi alokuhadaa kakutoa ndani kwenye manufaa
mpita njia njia amekuhadaaa👌👌
Dah mita njiani akuhadaa 😅😅
Love it
impressive it!!! this song &voice kill me softly 👌👌👌
mpita njia kakuhaadaa kakutoa ndani kwenye manufaa
wako wazaman ukamkataa ss humuon alokuhadaa
NAPENDA TAARAB YA SADIQ KWAKUA HUIMBA NYIMBO ZA ZAMANI ZILIZO PENDWA NA KUZI NOGESHA
SADIQ ANAJUA
Umewacha chako chéma si kibaya kwa mpita n'a njia sasa humuoni alokuhadaa saddaqta
sisemi kitu mimi.. mashaaAllah.
Mpita njiani amekuhadaa
kaacha dafu kwa embe ya msimu
Nitamaa zako zakuharibia mpita njiani amekuhadaa maneno kuntu penda sana hii mimi
Sasa humuoni alokuhadaa👌👌👌
Good
huyu jamaa katulia
Nitamaa zako zakuharibia ulikuwa ndani
😊
Wapataka ulipopaacha kurejea tena waona haya... mpita njia amekuhadaaaa 🤪
daah.nzur.sana
Haitham Juma kasema kweli
Muhammed Saalim umeona.eeenh
Sa..Hashim..Yemen.. AdenAna.nikumbushaeziZajumabalo.namaulid
beautify island Zanzibar
maneno kuntuy Haya
Hao wako wengi kila mkataa pema pabaya panamwita
Moira njian
Mashallah very nice song
Allah Mrehem Sami Haji Dau. Muimbaji halisi Wa nyimbo hiyo. Mwishoni mwa miaka ya 70.
Zazamani zina mafundisho ni ujumbe huo Masha Allah
Mashaa Allah ...mafunzo makubwa...
Sadik tafuta nyimbo zako
Unakula jasho la watu
Napenda sana kusikiliza nyimbo za sadiq kwasababu ya sauti yake iko sawa na imetuli sana tu
Asante
Asante
Ahsante sana kaka mtanzania heko kwa makauli
Kweli mpita njia amekuhadaa
Sadiq ww ulihitaji tunzo ya muimbaji bora wataarabu hauna mpizani
Umehilibika na mpita njia sasa kaondoka amekumbia hukuyakumbuka mambo ya dunia kurrjea tena unaona haya mpita njiani
Mashallah
Old is gold ...ilove this song .
Mpita njiani amekuhadaa kakutoa ndani kwenye manufaa
Heko maneno ni kibao umearidhika n'a mpita njia hukuyakumbuka mambo y'a dunia wako wa zamani umemkataa sasa humuoni alokuhadaa huyo ibilissi alokuhadaa kakutoa ndani kwenye manufaa
mpita njia njia amekuhadaaa👌👌
Dah mita njiani akuhadaa 😅😅
Love it
impressive it!!! this song &voice kill me softly 👌👌👌
mpita njia kakuhaadaa kakutoa ndani kwenye manufaa
wako wazaman ukamkataa ss humuon alokuhadaa
NAPENDA TAARAB YA SADIQ KWAKUA HUIMBA NYIMBO ZA ZAMANI ZILIZO PENDWA NA KUZI NOGESHA
SADIQ ANAJUA
Umewacha chako chéma si kibaya kwa mpita n'a njia sasa humuoni alokuhadaa saddaqta
sisemi kitu mimi.. mashaaAllah.
Mpita njiani amekuhadaa
kaacha dafu kwa embe ya msimu
Nitamaa zako zakuharibia mpita njiani amekuhadaa maneno kuntu penda sana hii mimi
Sasa humuoni alokuhadaa👌👌👌
Good
huyu jamaa katulia
Nitamaa zako zakuharibia ulikuwa ndani
😊
Wapataka ulipopaacha kurejea tena waona haya... mpita njia amekuhadaaaa 🤪
daah.nzur.sana
Haitham Juma kasema kweli
Muhammed Saalim umeona.eeenh
Sa..Hashim..Yemen.. Aden
Ana.nikumbushaezi
Zajumabalo.namaulid