NILIMPENDA SANA MLELA / AKIONGEA TU NALEGEA - EBITOKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 авг 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 110

  • @airinsumeno2490
    @airinsumeno2490 2 года назад +14

    Lugha n moja tu kiswanglish🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 года назад +7

    Mara zoteeeeeeee, mtu akitaka kujifunza lugha ataitumia kwa kuikosea, LAKINI mwisho wa siku ataiweza na kuongea kwa usahihi. Ebi hana uoga, ebi ana nia ya kujua KUONGEA hii lugha ya English. Nawaomba challenge zenu ziwe na mantiki. PENGINE wapo wengine hawezi hata tu kujaribu. Hongera sana Ebi Paul.

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 года назад +33

    Leo Ebitoke amevaa kama mke wa Lukamba

  • @yonalema7442
    @yonalema7442 2 года назад +31

    Sema Haka kadada kanampenda sana Yusuph. 😎😃

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 2 года назад +7

      Ndio ni Kwl kbs ana Mapenzi ya dhati kwa Mlela

  • @alisterlexter1115
    @alisterlexter1115 2 года назад +6

    Aseeee ongea kiswahili bwana me spendi kiswanglish kwanz selew

  • @ndugumwananchi5644
    @ndugumwananchi5644 2 года назад +17

    Anaeweza kuongea kiswanglish ni WEMA SEPETU TUUU,,

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 2 года назад +9

    Pole sn Ebitoke kwa Misukosuko yote ya Mahusiano yaliyokupata...ila hakika Ww Unampenda kwl Yusuph Mlela... Ubarikiwe sn 🙏🙏🙏🙏

  • @abuadobakaly2394
    @abuadobakaly2394 2 года назад +17

    Huyu ebitoke Mm simuelewag kabisa aendani na anachokifanya

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 2 года назад

    aki INTERNET inanichosha...baada ya yote aliofanyiwa bado anamchekea uyo mlela🙌🙌🙌🙌aki

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 2 года назад

    Ifike Mahali ebitoke na kingereza msuluhishe ugomvi wenu😃😃😃

  • @judymukami5075
    @judymukami5075 2 года назад +20

    Rip kingereza

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 2 года назад

      Hàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 года назад

      Rip kiswahili pia, kiko hai nacho? Na hizo nywele mhhh !!! kuigaiga tu hata wakitisha hawajioni . Ati ndio maendeleo. 😂🙃🙄😜😭😇 Balaa tupu.

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 года назад

      🤣🤣

    • @mwanaishazain7985
      @mwanaishazain7985 2 года назад +1

      Si kofia, si miwani wala nywele havijakupendeza. Ebi tafuta watu wanaojua wakushauri jinsi ya kuvaa. Mavazi yanaendana na time, location na jinsi ulivyo. Tafutacnanaojua kuvaa wakushauri. Utapendeza tu. Kupendekeza sio sura wala shape ni jinsi ya kujieleza uvae nini

    • @linahcharles3981
      @linahcharles3981 2 года назад

      😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 WaTz jamani tuacheni

  • @LoukizZy55
    @LoukizZy55 2 года назад +13

    Ebitoke ni nzuri sana, mnataka nikuwowe ebi

    • @victoriajoachim7271
      @victoriajoachim7271 2 года назад +1

      😂😂😂😂 unaniowa mbavu zangu jamani. Unataka umuwowe😳😳😳

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 года назад +5

    Ivi yule dada aliemtapeli kakaako pesa yuko wapi sikuizi

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    Si uongeee tu kiswahili, sisi tunao kusikiliza ni watanzani.

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 года назад +7

    Kapendeza ebitoke

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 2 года назад +2

    Ebitoke dishi km limecheza hiv

  • @sittnahallie7709
    @sittnahallie7709 2 года назад +8

    Dishi limeyumba 😂😂😂
    Ila mpnz nyie😂💔

    • @sistermery4581
      @sistermery4581 2 года назад

      Hahahahahah wewe umenikumbusha mbali mbali

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 2 года назад

    Hujui kizungu chefuu

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 2 года назад +1

    Uyu njoo lofa sana 😂😂😂 ila leo diva umetumaliza pa moja na Ebitoke

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 года назад +1

    Bola uongee kiswahili tu kwann mnafosi kizungu 🤔

  • @mikemediatz1585
    @mikemediatz1585 2 года назад +4

    NAMPENDA SANA EBITOKE 🍎🍎

  • @husinamussa9328
    @husinamussa9328 2 года назад +1

    Umependa

  • @warawaratv691
    @warawaratv691 2 года назад +5

    Ebitoke unacheka vibayaaa

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 2 года назад +8

    😂😂😂huyu dada sijui kma mzim kweli..........hicho kingereza kweli ni r.i.p😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 года назад

    Vizuli au vizuri

  • @ayoanite4011
    @ayoanite4011 2 года назад

    Kingereza jmn 🤔🤔🤗

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 года назад

    Yani ww ebitoke unanichekesha sana uuuiii mie mbavu zangu

  • @annynjoroge2425
    @annynjoroge2425 2 года назад +6

    R.I.P Egilizi

    • @golder3410
      @golder3410 2 года назад

      Waarabu wetu Hao,,hahaaaaaaa,Ila tunaishi nao

    • @annynjoroge2425
      @annynjoroge2425 2 года назад

      Exactly my dear

  • @davidmsigwa6438
    @davidmsigwa6438 2 года назад +1

    Iyo sauti 😃

  • @agnesagnes5082
    @agnesagnes5082 2 года назад

    Hahaa ww ebithoke ww na umepotea bt una bore sometimes mbna wahanya na tu boys

  • @dianasago9214
    @dianasago9214 2 года назад

    Miwani ya ebi 😄😄😄

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 года назад +2

    Wacha arudi akule hixo pesa zako kabisa

  • @marthahaule9112
    @marthahaule9112 2 года назад

    Sijawah kukuelewa nisamehe

  • @mandagojoseph796
    @mandagojoseph796 2 года назад +4

    Nilikua nasoma comments tu 🤣🤣🤣🤣😳🙄

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 2 года назад

    Hiki Kiswanglish hiki 😁😁😁

  • @miriam7186
    @miriam7186 2 года назад

    Kapendeza

  • @mohamedmuhajiri4690
    @mohamedmuhajiri4690 2 года назад

    Mshamba wa mapenzi

  • @suleyhaji5313
    @suleyhaji5313 2 года назад +3

    Mlela mnyamwez hawez kutulia na demu kama ebitoke ebitoke mwenyewe kapagawa kwa mchizi m chiz kafanya yake kasepa

  • @newganerationdancers
    @newganerationdancers 2 года назад +6

    Tembea boya ww👅😂😂😂😂

  • @ashamwalabu2998
    @ashamwalabu2998 2 года назад

    Ebi WWE siulisema bkila ulimtuziaga benpo au uyo wnyuma ilikuajetena

  • @khadijakiba3587
    @khadijakiba3587 2 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nakufa nikiwa hai uwiii

  • @rosejordan5391
    @rosejordan5391 2 года назад +7

    Ivi ukiwa Star lugha inachange 😂😂😂😂

  • @mariellerashidi4649
    @mariellerashidi4649 2 года назад

    Umekomea kweli

  • @newganerationdancers
    @newganerationdancers 2 года назад +3

    Toka apaaaaaaaa

  • @selemanabdalla342
    @selemanabdalla342 2 года назад

    Mimi mkazi wa mwananyamala namkumbuka sana mzee manjunju namkumbuka pia miaka 70 mwisho I kipindi hiko walikuwa wanapiga mwananyamala kisiwani pale shule ya msingi ilikuwa kipindi cha eid wanafunga magunia na wachezaji wanakaa ndani

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 2 года назад

    Kumzalia ao unazaaa wewe mwenyewe mana mtu asiekupa chochote ukizaa inakuwa wako utalea mwenyewe

  • @benedictmhina6741
    @benedictmhina6741 2 года назад +2

    Itakua unapepo la ngono kuongea tu unalegea

  • @mariellerashidi4649
    @mariellerashidi4649 2 года назад +3

    English sasa Mungu wangu

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 2 года назад

    Yani mi nampenda lakini hicho kingereza na sauti yenyewe ni yanpls coll me

  • @user-gg3sd3oy5l
    @user-gg3sd3oy5l 8 месяцев назад

  • @elizaboster9479
    @elizaboster9479 2 года назад

    Hajui kiingereza, hajui kuvaa hajui kuongea hacop mazingira

  • @sharifamose8121
    @sharifamose8121 2 года назад +2

    musimulaumu Ebi sikuzote mtu akiwa na doo lazima ataongea lugha yoyote maana anajiona ako juu hataki kujua itakua vp hebu eleweni

  • @mwajumakweli6774
    @mwajumakweli6774 2 года назад

    Mmmh

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 года назад +2

    Alijui kujieleza cjui anaongea lafudhi gani uyu

  • @ladykimnan902
    @ladykimnan902 2 года назад +2

    😂😂😂😂😂 huyu ebi nisaaa mbovu mishale inaenda na kurudi

    • @edithalagwen8465
      @edithalagwen8465 2 года назад +2

      Umeona 😂😂😂

    • @edithakomba6921
      @edithakomba6921 2 года назад +2

      Nimecheka kwanguvu daaaah dunia tamu

    • @ladykimnan902
      @ladykimnan902 2 года назад

      @@edithalagwen8465 😂😂😂😂😂😂dishi lina yumba channel no serves

    • @ladykimnan902
      @ladykimnan902 2 года назад

      @@edithakomba6921 😂😂😂😂😂

  • @fimbodaddy3249
    @fimbodaddy3249 2 года назад

    Kiswaglish

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 года назад

    Nauliza hivi kwani ukiongea kiswahili utaonekana mshamba

    • @berhalibee8479
      @berhalibee8479 2 года назад

      Jamaniii n kwn lazima mtu kingereza????🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 2 года назад

    Nawewe dada umezidi ubayaa ndoo maana murera kakuachaa kuongea hujuwii

  • @HasamBwoy
    @HasamBwoy 2 года назад

    TAZAMA JAZA AKISHOBOKEWA UTACHEKA, 😂😂🤣👇👇
    ruclips.net/video/BAhO1BiasgE/видео.html

  • @peacemdava3984
    @peacemdava3984 2 года назад +2

    Aibu,aibu
    R I P english

  • @salmasaid7058
    @salmasaid7058 2 года назад +1

    Mmmmmmmm hahaha 🤣😅😂😀 TZ ppl well kell me condolences to English

  • @sweetmama6885
    @sweetmama6885 2 года назад

    Mala nyingi. Ni MARA nyingi. Alafu uwache tuu kujichoresha na hicho kingereza😏. Huki wezi lol...! Wahaya wengine bwana. 🙊

  • @Lil_mbavu
    @Lil_mbavu 2 года назад

    Ebitoke na english

  • @mishibabu8946
    @mishibabu8946 2 года назад

    Ebi bondia🤣🤣🤣weeee unafanya comedy kwenye interview

    • @fatumaabdallah6720
      @fatumaabdallah6720 2 года назад

      Mishi shogayangu kila mahalo hupo tumekutana Tena huku hahaaaaa

  • @rajabkhamic8057
    @rajabkhamic8057 2 года назад

    Nyie nnaokiona kingereza ni dili Sana ebu badilikeni yani akichanganya wema sawa ila akichanganya ebitoke anakosea uwo ni upumbavu kingereza ni lugha tu wajinga nyie