🇨🇩Najuwa sikuwa wakwanza, Ila naona nivema nije nikawapeperushiye Wana DONTA bendera ya inchi yangu pendwa DR Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😅😂huyu askari kunambi kanichekesha et majambazi wamemuua mtoto na kwenda kumla na watoto wao... mpaka baba kastuka et eeh' kumbe mwanangu wameenda kumla😅
Wakwanza kutoka Geneva of Africa # tulitoka mtoto wa boss na dada wa kazi like hapaa😂🎉❤
Jaman nimecherewa Ila siyosan Ila wanaokuj nyum yang naomb iz lik❤❤🇧🇮
Mbona jina la movie na cd tofaut cjamuona loveness akiwa doctor Wala kelvn
🇨🇩Najuwa sikuwa wakwanza, Ila naona nivema nije nikawapeperushiye Wana DONTA bendera ya inchi yangu pendwa DR Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Am from Nairobi kenya wapi like zangu
Porew rumburia ndelo isanga 😢
Wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪 nikiwa Saudi 😂😂wapi like za team strong 💪
Team strong hoyeee
Ila wangapi tumeona jina la movie halijaendana na movie yenyewe,,ila ongeren nyte wauska
Pokea maua kunambi 🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤ congratulation
🤣🤣🤣 ooh mrungu eeh haaah mpare og nimeipenda hyooo ❤❤❤❤
Nikweli kabisa bila lav Na kel hazina utamu
Uchungu wa mwana wajua mama😢😢😢
Duh kwahyo hvo ndvo watoto wetu wanatekwa jaman, Mungu tulindie watoto wetu waepushe tamaa ya pipi, anyway kevi nawapenda wana DONTA wote
Dio kufika jameni Leo sijachelewa
Harika mbwanyeee nimependa hiyo kazi nzuri sana ❤❤❤❤
Kumbe n mpare😂
Nlijua nimeskia mwenyew tu
Wa 100 kutoka Mozambique like zangu
❤safi sana hku tukisubiria dada wa kazi
Takmu sna hongereni mashabiki wa donta ,wakenya tujuane hapa
Kazi nzuri,, ila tunaomba mtuletee next episode ya Kijana tajiri alijifanya masikini ili apate mke bora please tunaomba
Mbona iliisha
@@victoriangasaokay
Mutupatie penzi la mutoto wa boss ndo mutie mambo yengine
Wa tatu kutoka Kenya, likes tukisonga jameni
Kenya Oye
Tuko genz
🎉🎉🎉🎉🎉
Kwa mpigo tukisonga
Leo nko top 20 😂😂 hya nipeni n mm like 🎉🎉 🇰🇪🌺🌹
Wakwanza mm 🎉🎉❤
Ww nimpar wawp nasikia harika mbwange wangu
Amin MBNA umepoa Sana mbembeleze mwenzio vzur bc
Wa tano kutoka uganda jmn naomben like hata 10 tuu
Kazi Zuri sana kenya
Kazi ya nzur xna ❤
Kenya Watching
Mapema sanaa like ata 10 jamn
Jaman nikiona mpare mwenzangu huwa nafrai mnoo hasa akiongea kipare nyie adi raha
Kazi nzuri sana lakini mmempotezea Nelly wapi tunammiss sana Nelly wetu
I liké your jobs
Mapema 2
Ndio wasaidie watoto🎉😅😅😅😅😢
Vwewe
Kunambi si umalizie ile story ya kijana tajiri
Wa kwanza leo kutoka Kenya wapi like
Big up 😢
Wa kwanza kutoka kenya naombeni likes zenu
Kenyans never disappoint
I liké job
Natokea kitale kenya
Mbona amina amevaa kijora Cha lovenes
yani amna kukaa kinyonge tunasubili mtoto wa boss huku tunabuludika tu safi sana
😂😂😅😂huyu askari kunambi kanichekesha et majambazi wamemuua mtoto na kwenda kumla na watoto wao... mpaka baba kastuka et eeh' kumbe mwanangu wameenda kumla😅
Nmekumic Shanaizer jaman❤😢
Kweli nmechelew lakin nipeni like bas from Rotana hotel 🏩
Natokea kenya wapi like zangu 😢
Kazi nzuri
Wa sita jamani hebu mnipe like zenu na comment zenu basi hata kama ni tano
Sa jmn ndo mmgeuze mtu kuwa meza nimelia san😢
Hivi mkiweka movie bilà kuweka sura ya kevi au love haziendi mjini au??? Mnaboa kava nje mnaweka wahusika tofauti na waliopo ndani
Kabsaa wanaboa
Bora umeliona ilo
Jmn nelly mbon hatumuon🎉🎉🎉
Kunambi kwenye hii sciene bado😢
Muvi nzur san nipeni lank atakumi
Mataka uko wapi afande😢😢 Wangu ww Ndio una weza Huko
Hii nayo kali mtu ndio meza😂😂😂
Naona cc wakenya🇰🇪🇰🇪 ndio twaongoza naino inahusu uku kenya maana hali ya hewa imechafuk nawatekaji😢😂😂😂😂
😂😂kunambi ananikeraaga akiongea lazima atingishe mwili hiko kichwa km nyoka
Mna kazi ya kuomba like tuu hamtow hata maoni
Jamn penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi ndo imeishia wapi jamn tupeni Ile ndo muanze nyingine jamn😅😅😅😅😂😂😂
Sio iyo ty at kijan tajir alojifanya maskin ili apat mke mwem haij ishia wal hawaj toa ten
@@AmenaMm-r5tIle imeisha ndugu😂😂
Good job 😂😂😊🎉🎉
Yani siamini mwapendeza mukifunga utaji kina kendy
Kunambo una lala na nguo
Good❤❤❤❤
Harika mbwange bwanyeee ,iki ni kimbare ?
Mapema sanaa like ata 10
Muvi mzuli
Muvimzuli
Wengine mnaomba likes hata ku subscribe hamuwezi
Nzuli
Jmn amina amevaa kijora cha levnes 😂😂😂😂😂
Kunambi hawezagi kuongea bila kuchezesha kichwa
Kama tailaa 😂😂
@@FurahaEsther-q3b .....yaani
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤𝑤𝑜𝑜𝑜𝑤 𝑛𝑖𝑐𝑒 𝑚𝑜𝑣𝑖𝑒🎉
❤❤❤❤❤❤❤😢
Tafadhali naomba Mnisubscribe hapa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Love
Kaz zul
😢😢mungu asaidie wtt tu make mh
I liké your jobs
❤❤❤❤
Kaz zul
❤❤
Kaz zul
Kaz zul
Kaz zul