PENZI LA BINTI MAPACHA 💔 |New Bongo Movie | Swahili Movie | Sad Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 276

  • @Makavelithedon2086
    @Makavelithedon2086 Год назад +30

    *Mapacha wanaweza kufanana kila kitu lakini sio Sauti, sauti lazima ziwe tofauti*
    *umejifunza kitu kipya gonga like 👇*

  • @KulwaStephen
    @KulwaStephen Год назад +6

    Pacha wa chuo anatamaaaa hafai kuigwa ktk jamiii

  • @davidoj6689
    @davidoj6689 Год назад +9

    Kevin me nakuita we ni master plans noma sana kaka

  • @danielmbugua422
    @danielmbugua422 Год назад +3

    Woe ongera kelvin kwa kweli umeweza

  • @irakoze932
    @irakoze932 Год назад +8

    Kevin kanumba mwenyew love from Burundi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @eminadanieli5473
    @eminadanieli5473 Год назад +3

    Leo nimejua 2 kazi nzuri mungu awabariki❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @BENGWENGADO
    @BENGWENGADO Год назад +4

    Naipenda kazi yenu mm ni mashabiki wenu naomba mzidi kupambana zaidi

  • @LovenessDavid-i1d
    @LovenessDavid-i1d Год назад +6

    Jaman keven nakpenda sana unavo cheza nilikua na . Mm naomba nijiunge kwenye kikundi cha kuigiza❤❤❤❤❤

  • @GladysWandera-j7v
    @GladysWandera-j7v 10 месяцев назад +4

    Very nice movie for twin sisters.Kelvin kaa rada usije ukarudia kosa tena.nawapenda Bure from Kenya watching you guys

  • @AzizaTindwa-k1c
    @AzizaTindwa-k1c Год назад +3

    kusema ukweli jamani kelvin mzuri sana uko vizuri yaan🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍😄😍😍🤩

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 Год назад +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ naomba mungu azidi kuwafikisha mbali zaidi

  • @MarthaMwakarobo
    @MarthaMwakarobo Год назад +3

    Nawapenda san na najifunza mambo mengi xan kutoka kwenu❤❤❤

  • @mwanasitijuma-gg9rf
    @mwanasitijuma-gg9rf Год назад +26

    Leo nimekua wa kwanza kazi nzuri sn nawapenda 🥰mungu abarik kipaji chenu 🙏

  • @NdayishimiyeEstella-u8j
    @NdayishimiyeEstella-u8j Год назад +7

    KeVin nakupena sana❤❤❤ kwagisi unavyo cheza

  • @clementhamis425
    @clementhamis425 Год назад +3

    Nimeikubali kinoma🍎🍎❤️🌹

  • @LoiceMwaringa
    @LoiceMwaringa Год назад +20

    mimi nikiangalia movie yenye kelvin hayuko huwa siimalizi haki huyu kijana haboeshi kabisa nampenda tena sana

  • @nudydastan8722
    @nudydastan8722 Год назад +17

    Daah yani hadi mm huwa sielewag kuwatofautisha kwa mlivyofanana 😪😜😂😂 daah mnaendana sana

  • @AvelinaMahundi
    @AvelinaMahundi Месяц назад

    Na wapenda sana mnatoa mafundisho ya hali ya juu Mungu awabariki na awatangulie katika kazi yenuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Fridah-n3b
    @Fridah-n3b 2 месяца назад

    Nawapenda xna ❤❤nimejifunza mambow mengi sna hogera Kelvin kazi nxuri

  • @FaridaAdinani
    @FaridaAdinani Год назад +3

    Utafika mbaali sana ila dumu sana na mungu

  • @yusuphlulex3174
    @yusuphlulex3174 Год назад +3

    Daa Kevin ume tisha bba hhha mmi niko na dota tv milele mna wana weza asante kwa cinema zenye eleimu na busara mola azidi kuwa bariki na yake mema ameen..naku tazama sna kk God bless you and your friends

  • @MIRACLESTEVEN-lp2iu
    @MIRACLESTEVEN-lp2iu 5 месяцев назад +1

    Hongela broo huna baya👍👍👍👍💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @Jane-b3b
    @Jane-b3b 11 месяцев назад +3

    Wow nice movies good work keep it up ❤❤❤

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 Год назад +5

    Nakuaminia movie zako kelvin huboeshi❤ Yan Raha kazi nzuri kipenzi ❤❤❤❤

    • @SilasAkita
      @SilasAkita 4 месяца назад

      😅x 😅 2:59 3:00

    • @SilasAkita
      @SilasAkita 4 месяца назад

      😂
      L😮 3:50 😮😢

  • @saidshatta827
    @saidshatta827 Год назад +4

    Nawapenda sanaa tz ndugu yenu kutoka kenya bongo za nibamba sanaa jmaa mzid kwa kipaji hichi kazi yenu smart sanaa❤

  • @OmanNeww-et5ly
    @OmanNeww-et5ly 2 месяца назад

    Mashaallah DONTA upo vizurii sana mungu awazidishie ❤

  • @sharonemsungu2156
    @sharonemsungu2156 Год назад +5

    Walai hii ingekwa na part two.tamu sana nawapenda❤

  • @LenoRasta
    @LenoRasta 3 месяца назад

    Napenda San move zinazomuhus Kelvin Khan daktar apew maua yak 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu 3 месяца назад

    Tulimpata kanumba wapili sahii kilvin nkuombea mungu aendeleze kipaji chako daima ....uko vizuri sana nafatilia movie zako nkiwa saudia 💞

  • @omarihamadi2414
    @omarihamadi2414 Год назад +9

    Napenda sana party ya maula na kevin..i really love that couple

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt Год назад +6

    Napenda sana movie zinazomhusu kelvin love you so much

  • @MwaniaWilson-my1nk
    @MwaniaWilson-my1nk Год назад +3

    Kevin ,brown .
    ,loveness kendy nawapendaaa

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza Месяц назад

    Nakupenda saaaaana Kelvin wewe ni kijana mziri sana unandizaine zote za wanaume kwa kweli

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 Год назад +8

    Woooow movie zenu nzuri much love from Kenya ❤❤❤

  • @PrincessMoh-ck4zl
    @PrincessMoh-ck4zl 4 месяца назад +1

    Napenda kinoma yaani hizi moviee😊

  • @DairusKagoma-j5e
    @DairusKagoma-j5e 4 месяца назад +1

    Napenda San mumvi zako kaka nafulahi San nikiangaria 💪

  • @RispaJuma
    @RispaJuma 11 месяцев назад +2

    Jaman move zenu Zina fundisha sana hongera sana

  • @shukraking-i8n
    @shukraking-i8n 2 месяца назад

    Munacheza vizuri c'est vraiment super j'apprécie kelvin unacheza movie bizuri minashindaka naniko Nagata movie zako tu es un beau acteur courage en nommément

  • @NasimiyuEverline
    @NasimiyuEverline 2 месяца назад

    Kelvin uko noma bwana🎉🎉🎉🎉

  • @Ramjaytzram-u3t
    @Ramjaytzram-u3t Месяц назад

    baridi jomba nachek movies zako broo❤❤

  • @agneskemmy4935
    @agneskemmy4935 Год назад +1

    😂😂😂😂 navile nimesubiria harusi Kelvin hauko seriously ❤❤❤ Kaz nzuri jamen

  • @LuckyNdumba-e9z
    @LuckyNdumba-e9z 2 месяца назад

    Mimi nikiangalia movie yenye kelvin hayuko siezi maliza nampenda tena sana

  • @AshaMalekela-o7t
    @AshaMalekela-o7t 11 месяцев назад +1

    ❤❤🎉🎉 maua yak chukua

  • @StellahJohn-d3f
    @StellahJohn-d3f 4 месяца назад

    Nime kupend xana💖💖💐💐🈚🈚🈺🈷️movie nzur

  • @johansabimana1902
    @johansabimana1902 Год назад +3

    Nzuri sana nafurai kutoka burundi❤

  • @DieudonneAisha
    @DieudonneAisha Год назад +4

    Kelvin napenda sana movie zako

  • @AdventinaKikungwe
    @AdventinaKikungwe 2 месяца назад

    Nimempenda Bure kelvin Mungu akujalie uzma

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 3 месяца назад

    Muvimzako mzuli sana kelivini yanikkama muvi zakanumba🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @davidoj6689
    @davidoj6689 Год назад +3

    Naenjoy

  • @MulhatKhatib-l9p
    @MulhatKhatib-l9p 2 месяца назад

    ❤❤❤na mm namkubali kelvin

  • @niyongaboalphredy
    @niyongaboalphredy 11 месяцев назад +2

    Good kbx mzee baba najifunza mengi saana

  • @fabricemjanja
    @fabricemjanja Год назад +11

    You are the best actors I've ever seen and I can't wait watching your performances❤

  • @HappyHappy-uo8hj
    @HappyHappy-uo8hj Год назад +1

    Oh my gosh 😂😂😂 kelvin Sasa hapo utajua nani ndio nani jamani😂😂 kelvin kimekuramba 🤣🤣🤣 nawapenda Sana 🌹🌹🌹🌹♥️♥️♥️♥️ from 🇰🇪 kelvin 🤝🤝😂😂😂

  • @mercylinemongeri5729
    @mercylinemongeri5729 Год назад +4

    Good job...hongera sana kaka

  • @AntonnyMwendwa-l3kg
    @AntonnyMwendwa-l3kg 4 месяца назад

    Napenda kuwatch sana juu zinababanga sawa maali kuna love......

  • @YoungBadi
    @YoungBadi Год назад +1

    Twangoja baba kijacho sehemu ya 7 yaani mmetukata steam baba kelvin somoo baba twaisubiri Sana iyo

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 2 месяца назад

    Picha zenu haziboeshi nimezipenda❤

  • @RistidIddifonce
    @RistidIddifonce 3 месяца назад

    Hongera endelea kupambana Dr kelvin Khan

  • @vanerhobi3882
    @vanerhobi3882 Год назад +2

    Nilipomwona katokea chuo nljua hamna ndoa tena 😢😢😢😢😢😢

  • @AmosyMgahe-bz7vo
    @AmosyMgahe-bz7vo Год назад

    Much appreciate kaz zenu ni nzr sana movie zenu zinaelimisha mungu azid kupanua vipaj vyenu

  • @maryd1538
    @maryd1538 Год назад +1

    Kaz nzur san nawapenda saw mung awabariki kipaji cheny amen❤

  • @FathimaOman-j5g
    @FathimaOman-j5g Год назад

    Kwel kelvin dactor

  • @joshuamzungu-qb5oi
    @joshuamzungu-qb5oi Год назад +2

    Safi Sana nmeipenda ,,, congrats ❤️

  • @HajiboAli
    @HajiboAli 2 месяца назад

    Hongera kelvin❤❤❤

  • @AnnaAndrew-c3r
    @AnnaAndrew-c3r Год назад

    Daaah Kelvin kakaaa upo vzr jmn mnatishaa jmn

  • @EmmanuerWerema-or4zs
    @EmmanuerWerema-or4zs 5 месяцев назад

    Gudy movie chukua maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Kelvin plz tofautisha mpezi wako doren huvaa nguo ndefu Ila pacha wak anavaa ngou fup Uwe ukijua la cvyo utawakula wte

  • @harosicharo2736
    @harosicharo2736 Год назад +3

    ❤ naipenda tu sana hii mvi

  • @mr____s.m.o.c.k
    @mr____s.m.o.c.k 3 месяца назад

    Kelvin akiwa ndani y'a movie y'a I naifwataga kwa hamu sana

  • @JanethPaulo-w6p
    @JanethPaulo-w6p 4 месяца назад

    Loveness kelvin from donta tv nawapenda sana

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr Год назад

    Good job nmefrahi pale Kelvin kasamehewa maana hakujua

  • @MaurineKusuna
    @MaurineKusuna 2 месяца назад

    Kelvin I really love you your acting mmmm love it

  • @nudydastan8722
    @nudydastan8722 Год назад +2

    Kazi nzuri ❤ one day yes

  • @ZuhuraAthumani-s4i
    @ZuhuraAthumani-s4i Год назад

    Mmh kevin hatali unakipaji san daa hongera

  • @hamisihamso1882
    @hamisihamso1882 Год назад +1

    Much love maura kipaji unacho dada

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Год назад

    Mpira unaubonda mwanangu kevi na unanikumbusha mbali kichiz mwanangu 😂😂😂😂😂😂

  • @ramarama-y5y
    @ramarama-y5y 4 месяца назад

    ❤❤❤❤ please episode ya Saba penzi la mtoto wa boss

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Kelvin umeangukia patupu Hao demu n pacha naribu kuwatofautisha Hao ma dada

  • @sidemjapan-1941
    @sidemjapan-1941 Год назад

    Kiukwl vijana mpo sw ongezen bidii bt glad

  • @Onino-ew4gi
    @Onino-ew4gi 10 месяцев назад +1

    Kelvin u are the best actor may I join u plz nakuomba tu

  • @KulwaStephen
    @KulwaStephen Год назад +1

    Mabinti wakisoma wajikuta dunia Ni yao

  • @salomeadam1932
    @salomeadam1932 Год назад

    Mwenyez mungu akufkishe mbali zaid

  • @sharifahemed6328
    @sharifahemed6328 Год назад +2

    Mnajitahid sana ndugu zangu mungu awafikishe malengo yenu

  • @dollar105
    @dollar105 Год назад

    ❤daaah iI kali🎉mashallah

  • @irene-pw4dw
    @irene-pw4dw Год назад

    Lov U Kelvin Kaz zako nazielewa Sana

  • @davidoj6689
    @davidoj6689 Год назад +2

    Nyie wapumbavu kwel😂😂😂😂😂😂😂😂😂 et nyumba ikiwaka moto......

  • @mtanganyika-films
    @mtanganyika-films Год назад +1

    💯🙏 kiukwel tunaburudika na kuelimika heko sana Khan

  • @abraralsabugh
    @abraralsabugh Год назад +2

    Much love from kwenya

  • @EbMhozya
    @EbMhozya 26 дней назад +1

    KELVIIIIIIIIIIN UMETISHA

  • @jairosyaugustine1610
    @jairosyaugustine1610 Год назад

    😄😄😄😄😄Pacha kaliwaaa Kelvin kala vifaranga vyote

  • @SuzaniNzyela
    @SuzaniNzyela 3 месяца назад

    ❤❤❤ good job

  • @immanueljahazi2627
    @immanueljahazi2627 Год назад

    Ujue Kelvin unajua sana kijana mwenzangu nataka namba ya lavnes

  • @malikahiribae
    @malikahiribae 2 месяца назад

    Kelvin hapo umechemsha umeshindwa kabsa kutofautisha mwenendo wa mpenzi wake na mavazi yake kutofautisha

  • @Faithmtati-gl6sp
    @Faithmtati-gl6sp Год назад

    Doreen unabusar sana ep nyingine bas

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 Год назад +2

    Nzuri zaidi❤❤

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri Год назад

    Nice Movie ❤❤❤🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦

  • @adammasanja27
    @adammasanja27 Год назад +9

    More love ❤ from U.S.A

  • @halimamohammedsuleiman5159
    @halimamohammedsuleiman5159 Год назад +1

    ❤❤❤kazi nzuri

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 Год назад +1

    shida yetu wafrika hatujiamini kimaadil kwani hatuezi igiza filamu mpka mabinti wakae uchii kumbuka kuna wazazi na jamii kwa jumla tusiwe wapumbavu wafikra heshima kitu cha bure i say

  • @Jeff-rl8rf
    @Jeff-rl8rf Год назад

    Mungu 🎉awazidishie alili anamarifa