Salum Mwalimu: Hatutoacha Kumkosoa Magufuli, Ila Nguvu Kubwa Inajaribu Kutunyamazisha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 31

  • @freduallughano2301
    @freduallughano2301 7 лет назад

    Straight full,hongera salum mwalim!

  • @genius8524
    @genius8524 6 лет назад

    upo vizuri sana nakupongeza kwa mapambano yako ya kuitetea demokrasia ya Tanzania ikue.

  • @ismailmohamedy3119
    @ismailmohamedy3119 6 лет назад

    salumu mwalimu upo vzur aminia una hoja .

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 7 лет назад +1

    Good presentation... Shalom Times FM

  • @azizaally7063
    @azizaally7063 7 лет назад +3

    Uko sawa mh Salim Mwalim huo ndo ukweli asiye kuelewa achana nae!!!

  • @davidobedgangai1654
    @davidobedgangai1654 6 лет назад

    CHADEMA kazi yao ni kulalamika kila wakati. Wanapenda kukosoa lakini wao hawapendi kukosolewa.

  • @michaelngaliga1802
    @michaelngaliga1802 4 года назад

    Jamaa huwa anajua kujielezea sanaaa

  • @emilianpasians357
    @emilianpasians357 6 лет назад

    muuliza maswali anashindwa kuuficha ukada wake,,pole Mwalimu amewatosha

  • @ibrahimndimbo767
    @ibrahimndimbo767 7 лет назад

    good Mwl.

  • @emanuelmlenge5044
    @emanuelmlenge5044 7 лет назад +2

    mwalimu unaakili sana

  • @komanyamwandu3355
    @komanyamwandu3355 7 лет назад +1

    salt kwako mwalim pamoja

  • @joachimmtei6920
    @joachimmtei6920 7 лет назад

    Mhhh jamani kumbe CCM wameweka mawakala adikwenye redio

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 7 лет назад +1

    #UKAWA daima

  • @stevenmahanu4376
    @stevenmahanu4376 7 лет назад +3

    We mtangazaji ni ccm

    • @getrudermustaph4558
      @getrudermustaph4558 6 лет назад

      Steven Mahanu unataka awe chadema

    • @daudipiusi4307
      @daudipiusi4307 6 лет назад

      Hao mtangazaji wana jitoa ufaham chadema ndiyo iliyo tufungua masikio bila chadema tusinge jua habali ya esclo wala rais tulie nae kwa sasa asingekuwepo madalakani bila chad.tusinge jua kuwa ndege zetu zimekabwa sababu ya deni hivyo bas chadema ndiyo mkombozi wetu peepozzz

  • @abdulsalamibinkhalid9195
    @abdulsalamibinkhalid9195 7 лет назад +1

    Hiki kijamaa cheus vepe unalazimisha kujibiwa ujuavo

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 7 лет назад

    Mtangazaji ovyoo kama watu wasiojulikana

  • @habibamhina9075
    @habibamhina9075 4 года назад

    We mwalimu ndugu yangu kavue samaki, utapata faida, chadema ndio mafisadi wa kubwa, wasiotaka maendeleo ya watanzania, magu piga kazi wanyooshe ,tuwapeleke chadema Kwa ng,anzi akawavishe vijora 😂😂😂

  • @rickyaruzi1983
    @rickyaruzi1983 7 лет назад +1

    Muuliza maswali ubongo wake unamajipu anapewa maelezo lakini hashikanishi!

  • @getrudermustaph4558
    @getrudermustaph4558 6 лет назад

    PESA za lowasa ndio zimewanyamazisha

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 лет назад

    WEWE ENDELEA KUMKOSOA JPM LAKINI HUNA JIPYA CHAMA CHENU KWISHNE

  • @jastinesamboto4674
    @jastinesamboto4674 6 лет назад

    Muuliza maswali, hata ukiamshwa usingizini ukamsikia utamjua tu yuko upande gani! Au anaogopa kuulizwa akitoka baadae!

  • @habibamhina9075
    @habibamhina9075 4 года назад

    Subirini muone,hiyo hospital ni ipi na hiyo barabara ni ipi? Ama kweli mfamaji haishi kuyapata ccn miaka 800 mtasubiri sanaaaa,si ndio nimemwambia majuha? Hayajitambui,

  • @nyanda427
    @nyanda427 7 лет назад

    CHADOMO ni kikundi cha wahuni

  • @getrudermustaph4558
    @getrudermustaph4558 6 лет назад

    Acha uongo hakuna agenda mliyowahi kumpa zitto asema acha uongo shoga ww