Hakika mumeugusa moyo wangu toka utunzi mpangilio wa sauti aliyewarekord msoroji utulivu wenu na namna mlivyo uvaa wimbo nimebarikiwa sana cjui mnapatikana kanisa ganiiiii
Konda mbona ajavaa uniform atakamatwa na traffic @amani choir Mungu awabariki sana hapa kweli ni kutunza ticket @Mwl Mobe nyabihore secondary school Serengeti-Mara
Wimbo mzuri kwa hakika
❤❤Mungu awe nanyi mnapoendelea ktubariki Kwa nyimbo zuri
Amen 🙏
Smart
🙏
Insightful msg,be blessed people of God
🙏
Nice song
🙏
Nyimbo nzuri sana mkuje ata huku machakos county mlolongo
Asante sana tutakuja
Kwa kweli na mbarikiwe sana na Wimbo
Chunga shetani asije kukunyang'anya Tiketi yako ya ushindi wa Imani ukaikosa mbingu.
How it sounds to always listening to this song 🎵....the message is sent to us all..praise be!💥
Amen
Great song.
Amen 🙏
Hakika mumeugusa moyo wangu toka utunzi mpangilio wa sauti aliyewarekord msoroji utulivu wenu na namna mlivyo uvaa wimbo nimebarikiwa sana cjui mnapatikana kanisa ganiiiii
Amen Barikiwa sana kwaya ya Amani tunapatikana kanisa la Waadventista Wasabato Nyangoto lililopo Nyamongo wilaya ya Tarime
Wimbo mzuri saaaaaana
Thank u
Remix from Msaniii Records KE- the Kenya tune
Sijapoteza ticketi yangu.....❤
Hallelujah
Good😊
I love this music
Congrats kazi nzul nyimbo nzul mbarikiwe sana🥰🥰🥰
Amen ubarikiwe pia
What a song,,yuapendeza... lovely voices to praise
Linda tiketi yako ndugu
Wimbo mzuri Sana barikiwa mnapoendelea kufanya Kazi ya Mungu.. 🙏🏼
Amen mr kondakta
Tiketi ni ,yesu kristo🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Amen
Wimbo mtam sana
Barikiwa sana 🙏
Naendelea kubarikiwa na wimbo huu aisee 🙏
Jamoon nimejikuta nakarir huu wimbo kwa dk1 hakika mmenibark
TIKET TIKET YA MATENDO
UMEPOTEZA TIKET YA USHINDI?? ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Amen endelea kubarikiwa kumbuka kushare na marafiki zako wabarikiwe pia 🙏
Amen
Great songs
🙏
Amina
❤❤❤
Tiketii ya ushindiii mlitubariki sanaa BUTIMBA 2023 WE WILL NEVER FORGET 💥💥💥💥💥
Amen nasi turibarikiwa sana na kwaya yenu na Kambi zima hatutawasahau urafiki wetu udumu hadi kristo arejeapo 🙏
Mbarikiwe sana kwa kazi hii njema ya utume kwa njia ya uimbaji.
Amen
Please i love the song , meaning of the song
Konda mbona ajavaa uniform atakamatwa na traffic @amani choir Mungu awabariki sana hapa kweli ni kutunza ticket @Mwl Mobe nyabihore secondary school Serengeti-Mara
Amen
So amazing
🙏
Penda sanaa🎉🎉
🙏
Nice song nawapenda sana kbsa niko DRC
Asante barikiwa mtumishi
My all-time favorite choir,,❤❤❤
Amen ubarikiwe sana
Nice song, be blessed
Amen
Mbarikiwe
Amen ubarikiwe pia 🙏
Muunde mbali zaidi@amanichoir❤
Amen ubarikiwe sana
Amen
Mbarikiwe wajori wa Bwana
Ameni
Amen
Congratulations aman kwaya
Amen 🙏
Blessings 🙏🙏
🙏
Best video
Amen
Classic choir
Amen
Wow 🥰
🙏
🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
De professor pokea maua yako mwalimu 💐
Translate in English
English subtitles available on video
Wimbo mzuri kwa hakika
Thanks 😊