Mungu wangu wajua ni kiasi gani nimeguswa na wimbo huu 😭 Baba naomba uendelee kumpaka mafuta mja kazi wako asije akaanguka maana shetani yupo kazini kuwarudisha nyuma walio wako
God bless you, that's true peoples doesn't want to hear about repentance. Nice message. Only Jesus Christ can save us. No Jesus Christ,no peace and no repentance no Jesus Christ.
Today I came across this song I must say, you're a talented brother, your songs are full of spiritual teachings.Keep going brother,God bless you, bless others through your songs❤❤❤
God bless you brother 🙏 but pokea magari siyo lugha yetu ila ni ya Dunia ya leo, also adui wa mkristo siyo mkristo ila ni wapagani. Msamahani kurebisha hapo kidogo🙏🙏
Mungu wangu wajua ni kiasi gani nimeguswa na wimbo huu 😭 Baba naomba uendelee kumpaka mafuta mja kazi wako asije akaanguka maana shetani yupo kazini kuwarudisha nyuma walio wako
@@lifeofvicky91 amen amen
Nakumbali brother follow w.m gospel music ❤❤❤❤🎉🎉
Kweli hii Dunia nishinda tu mungu atusaidie kabisa
God bless you, that's true peoples doesn't want to hear about repentance. Nice message. Only Jesus Christ can save us. No Jesus Christ,no peace and no repentance no Jesus Christ.
Amen amen ❤❤ Mungu akubariki sana ndio ni kweli ❤❤
Tume barikiwa kwa wimbo Kaka angu 🙏😢
Mungu Anakupenda Sana Zidi Kutaka akuongoze KATIKA kuimba na Mungu Akubariki sana Kwa Ujumbe nzuri
Kaka omba Sana una kitu ndani yako usiache kuomba 😭🙏🙏
Daa ubarikiwe sana brother nyimbo zako uwa Zina fundisha sana, mungu aku bariki sana🙏... uwa napenda sana kusikiliza nyimbo zako🙏
Amen
Huu wimbo umegusa ubalikiwe kaka Amen nyingi mtu angekua anafanya like mala nyingi ningefanya
Unaimba nyimbo zuri sana na zakuelemisha watu🎉🎉😢
Skiliza wimbo uhu kwaumakini utajifunza kitu ❤
Huruma Sana kwa walimwengu. Wimbo umeongea reality tunayo ishi kabisa. Ubarikiwe.
Amen my best gospel song 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤ be blessed 💕🙏🏾
Love it
Ubarikiwe sana 😢brother ahise mwenyezi MUNGU azidi kukuinuwa kwa kazi yako Dunia ya sasa 😢🤲🙏
Amina Amina barikiwa sana
Bwana akubariki sana kwa wimbo huu.Dunia ndivyo ilivyo leo.ningetamani wimbo huu kuwa na dakika zaidi ya 10
Wow 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 barikiwa
Amen 🙏🏽 brother wimbo umenigusa kweli
Napenda nyimbo zako sana kaka natamani sikumoja nikuone laivu,uyo mwengin dasa wako mrefu ananikoshag mungu awape Maisha marefu❤🙏
Amina kubwa mtumishi. Ujumbe mkubwa sana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Nimejifunza kitu kwenye maisha yangu mungu akubariki
Wimbohuhu naupenda kuliko nyimbo note hapa RUclips.
Kaka mungu akuzidixhe kipawa chakoo akika iii nyimboo imenibarikii
Mungu anajuwa jisi nime guswa na wimbo huu amen
Amène sana kaka Ubarikiwe 🎉❤
Bro huu wimbo uwa unanitoa machozi siku mzima unarikiwe sana
Be blessed mtumishi 🙏👏🥰
Amena mke wangu❤️
Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana
Brother God bless you. Kwa kazi
Nzri sana sana aice kweli dunia sio lafiki kabisa
Keep it my kaka . Mufanyiye Mungu kazi . Utuimize sisi wa Christu
Powerful song addressing realities of people. May you continue to be blessed 🙌🏾
😭😭😭😭😭😭Mungu niokoe pamoja na jamii yangu kwa hii dunia ya unafiki
Ubarikiwe sana kwa nyimbo zako kuwa furaha kwangu
Adui WA mkiristo ni mkisto tunaenda wapi mungu wangu tuokoe watu wako tunaangamia,bro mungu akupe kila njia uzidi kututoa gizani ❤
😢😢😢😢 Acha niseme tu Mungu akubariki kaka
Asante sana mwanangu nimejifunza mengi kupitia nyimbozako kwa iyo naitaji niongee na wewe iyo ndio Adress raisi ili tupatane kwa Imani.
Blessing song to me surely,
Good message brother, Dunia haina wema!
Kipaji kizuli Mbinvguni tutaimba Mungu Akujaze utukufu wake
Amen amen ubarikiwe sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Barikiwa sana mtumishi 🙌
What a message God bless you bruh 🙏🙏🙏 big up
Nakupenda uwimbo sana nakumbuka sana
Song been here for a year and just heard it today what a powerful words ❤❤❤
Today I came across this song I must say, you're a talented brother, your songs are full of spiritual teachings.Keep going brother,God bless you, bless others through your songs❤❤❤
Amen amen amen I’m humbled
uki skiya mtu ana kipaji cha kuimba iki ndo kipaji na siyo mauzo kaka ubarikiwe
Noma kabisa 😭😭😭dunia ya leo hatariiii
😢😢😢 busara tupu wimbo mzuri , barikiwa
God bless you brother 🙏🏾❤️
Amen amen I received 🙏🏾🙏🏾
From congo🇨🇩🇨🇩 nakukubali sana
God bless you brother 🙏 but pokea magari siyo lugha yetu ila ni ya Dunia ya leo, also adui wa mkristo siyo mkristo ila ni wapagani.
Msamahani kurebisha hapo kidogo🙏🙏
AMINA kijana wangu hakika unaweza
Ameen, wanadamu hatueleweki kabisaa....Mungu akubariki brother Godfrey
Touching my heart😢be blessed ❤❤❤
Yesu Kristo akuimarishe Kaka
Amina
Other hit songs in city.stay bless brother G
God be with you my brother I love your song I just see it today and I really like it
Bro, you’re just amazing.. God bless you!!
This song is great ❤❤❤❤❤
God bless y ma brother ❤️
Amen
Lovely song
Dunia ndivyo ilivyo😢😢😢
Amena ibarikiwe 🎉🎉
Ubarikiwe sana 🙏
Inabariki sana ❤🎉
Ubarikiwe kaka ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
amen sana kiongozi 👏👏👏
Amen brother may God bless you
Ubarikiwe sana! Hii ni kweli kabisa.! Mungu amejuwa kukupa maono juu ya wimbo huu
Yani huyo mwimbo umetoka kwa mungu
Nakupenda bure
God bless you, brother 🔥🔥🔥
🙏🏾❤️
🎉🎉
Thank you for the strong message God bless you keep up
Amen brother be blessed so much
Thank you
Thank you for this song brother be blessed
Ubari kiwesana kaka 🙏🙏
God bless you 👏👏👏🤝🤝🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen God bless you my brother
God bless you 🙏 ❤️
Thanks a lot be blessed as well 🙏🏾
Blessing brother
God bless you🔥🙌
Another one,be blesd son
God bless you brother ❤
Big up br
Amen 🙏
❤❤❤amen brother good song
Ubarikiwe sana
Amen brother 🙏 ❤
Nice song God bless you
Amen GOD bless you bless so much.
Amina mtumishi
Amen 🎉🎉❤❤❤❤
Hit from heaven 👌
Indeed 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen God blessing ❤
Iyo ndio dunia kweli 😢.
Nice song ❤❤❤❤❤❤
Real gospel
Amen 🎉🎉❤💯💯
Big love❤
Amen
Amen brother
Amen truthful
mbona waimba ukweli mtupu 😭😭😭😭😭😭😭😭