Oooe team bhailam mbn mko harka sana tena 30 sec mko ndani tyr si leo mfnye ile kitu ambyo watu husema nipeni likes watu wangu nko liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiive ndni ya mombasa kenya
Team Bhailam Kwanini mnapenda kufanya movies za ndogo. Nimepeleleza movies zenu nyingi zinalenga na kuchochea sana ndono, ni ngumu sana kuangalia na mtu mnaehishimiana. Kwa kweli sisi wengine kushindwa kiziangalia. Zingatieni hilo. Ahsante
Oooe team bhailam mbn mko harka sana tena 30 sec mko ndani tyr si leo mfnye ile kitu ambyo watu husema nipeni likes watu wangu nko liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiive ndni ya mombasa kenya
Wale wanae kubali kazi za BAHILAM acha like hili mwenyewe azione 🔥🔥🔥🔥
Nyie mnamkubali bailam msibanibanie like from Oman 🇴🇲 like mbona simpo mnakwama wapi😂
Hii tamu sana msikaweie basi nawapenda kinoma
Wakwanza from kenya 🇰🇪 much love ❤️
Team Bhailam
Kwanini mnapenda kufanya movies za ndogo.
Nimepeleleza movies zenu nyingi zinalenga na kuchochea sana ndono, ni ngumu sana kuangalia na mtu mnaehishimiana.
Kwa kweli sisi wengine kushindwa kiziangalia.
Zingatieni hilo.
Ahsante
Wakwanza mm nahitaji like nipo Kenya🇰🇪🇰🇪
Ududu nimwingi nakubali sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
,🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰kwa mara ingine tena tumeanza nayo n tutamaliza nayo nmpenda ududu n mwngi kweli😂
Wewe ni noma sana brow. Ufally ipupa 🤣🤣🤣
Kwa kweli mmeleta ki2 kizuri MY LOVE ilkua Cha mtoto hii noma 🤣🤣🤣🤣🤣 bhailam ududu like kwake
Aki mariam hiyo skirt 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nipe nirudi shule
😅😅😅😅Bhailam kazi zako ziko moto,, ila hii naona kabisa on fire😊,, your the only sabaya mwamposa wanakwita papinyooo😅 ududu ni mwingi saaana😅😅
U Fally Ipupa qui me retient ici esk les warrior sont la 🤣🤣
Hii moto🔥🔥🔥 inaweza🇰🇪 tumekubali
Hongera san Bhailam kw kaz zko nzuri tuna enjoy san aki acha nkupe maua yko🌼💐🌹🌺 🇰🇪🇸🇦
,😂😂😂😂bhailamu ww ni wazimu dah!chukua maua hayo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤nisalimie naomy mwambie Quen kakwambia your'e Soo beautiful ❤❤big up sana 2
Bhailam muheshimu hata mzee si kwa ududu huu😂😂😂
Kwani Rachel yuko wapi,namu taka Rachel jamani,from congo
BHAILAM YOUR ARE NEXT LEVEL alf nacho kupenda aukawizi kutupa utamu .....upewe ulinzi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💞💥
Bhailam ni moto
Anaweza aisee anaweza 🔥🔥🔥🦁
Bailam ❤️te desejo mais força e fé em Deus,eu te adimiro from mozambique -Mocimboa da praia 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 amo seu trabalho
Dudu nimwingi kama umesikia coment hapo❤❤❤❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲
Bhailam❤❤❤🔥🔥🔥
Wa kwanza Léo nipeni ata tano from 🇲🇿🇲🇿
U Killed it Man Dahh 👏👏👏👏👏
Bingwa uzito wa chini wanamuita saidiiii aiiiiii😂😂😂😂😂😂 Kaz nzuri BHAILAM🙏👏❤️
MashaAllah Bhailam ww ni moto na team yako yote ❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰
Bismillah, pamoja bhailam na team yako...mwanzo mwsho in shaa Allah
Kitu kizima kbx 🔥🔥🔥🔥 ongela xana kwa kazi nzuri 🤗🤗
Kenya Watching, kazi nzuri
Jojo karembuka balaa 🔥
Nazipenda kazi zako 🇨🇩🇨🇩
Hapa bailam umejizima sana data
Baba Mariam n'a mupenda sana.
Ududu mwingi😂😂 ngoma nzito hii
Kazi nzur 🔥 mwendelezo 🙏
Kitambi kipowapi Brother 😂😂😂 naona unaupga mwingi unamchezea mzee simba😂
😂😂😂😂😂😂nimeipenda hiyo bhailam kajikuta ako na vitu vizito kula chuma hicho
Bhailam nakukumbali sana kutoka Congo Kinshasa kwenye Niko ❤
Bhailam ududu ni mwingi ufalipupa agah🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤🇰🇪+🇹🇿 🇸🇦team Riyadh twendeni nalo
Mdogo wangu naomy kumbee mashallah mxuri 😂😂😂😂ila kaingia mkengee akule.jeurii yakeee bhailam
Nimependa sana apo et baba mkwe dah navile alivyomtizama bairam mmetisha sana
Mzee Simba umetisha😂😂😂
Bahilam jamani😂😂😂😂❤❤❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣Mzee Simba 🌹
😂😂😂😂ududu huo can't wait part 2
Nimeipenda ududu mwingii😂
Ududu ni mwingi😂🙌
❤ bhaikam again let’s go guys UNA unyama mwingi sana
Ufigisu 😂figisu😅🎉😢🤣 yaani jojo unatishaga hatari🎉🎉🎉
Nimecheka apo mwisho🤣😂😂
Samwelii hunaaaa sumuuu wewwe kazii hotate naneee
😂😂😂😂😂😂😂 Nimependa❤ududu ni mwingi ufally ipupa duuh chapa ilale😋
Baillam ananichekesha sana 😂😂, Mzee simba naye nilijuwa atakaa pesa 😂😂
Bhailam bhana 😂😂😂 sema tunakukubali sana ❤❤❤
Nakubali kazi yako bhailam na team yako yote ❤❤❤❤
Ududu ni mwingi ufaliipupa😂😂
Nacheka kama mazuri😂😂😂😂😂😂😂😂
Good job ❤❤❤
Hayo mauno bac ya kimakonde hahahaha
Nakubali comedy zako❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Leo nimekuwa wa kwanza🤗
Bailam umeupoza 😂😂
😂😂😂kumbe unaweza kujichetua ee
Sikuhizi umekuwa na utundu mwingi kijana😂
Dah ududu kweli ni mwing 😂👍
Wa kwanza 🎉
Weeeeeee nzuri🎉🎉🎉🎉
😂😂😂hiii imeenda
Kazi nzuri bro bhailam
Ududu Leo umemwishaaa bhailam
Great work team Bailam mnafanya kazi nzuri kwa muda mzuri
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
Wotate nane waume sungu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤
ududu mwiii umwampooosa ufally pupa ✌🏾✌🏾🔥
Ubalenciaga😂😂😂
N'a masudi. N'a Mupenda kbx
Miuno Balenciaga ❤🇸🇦🇸🇦🇸🇦 Pambeeee... 😅😅😅
Sijawah cheka kwenye movi za bailam ila hiii Dah 😂😂😂
Good job brother
Bien sana ❤🇨🇩❤❤
💚 🔥 nice like me
Ududu, pwebyeto, mende, mwaposa 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 kazi nzuri sana 👍🔥🔥
😂😂😂😂ududu mwingi au Sio
Bhailam 💯💯🔥🔥
Yani mimi nawapenda team yote 🎉🎉🎉
Hii inaendelea lin❤❤❤❤
Mnajua Sana mkiwa Wote,sema mmetishaaaa😂😂😂😂😂
Wow ❤❤❤moto
Style za hemedi Suleiman pronyeto, bansiaga
😂😂😂wale tuko tunazisaka dollar nchiiii za watu tuseme TZ tumebalikiwa vipaji🇮🇶🇮🇶🇮🇶🇮🇶
Bhailamu kiboko😂😂😂😂😂upewe mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii 🎉🎉nayo Bhaila umetisha❤❤
Oyaa bhailam tumalizie shetani and Pete maajabu sio kuazisha film nyengine unaboa bhana
Nipeni like zangu jamani mana hata mara moja sijawahi pewa tangu nimfuatilie huyu jamaa 😂😂😂
Nimekuwa Wa kwanza from Dr congo nipe like zangu ❤❤
Nataman mwendelez😊
🤣🤣 kabisa mgahawa👌👌
Jamani mm nalia na bagharashia kila move ipo ebu badilisheni mnaboa
ududu duh