Kagera Sugar wanazitaka alama tatu kutoka kwa Yanga
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- “Siku ya mchezo nitakuja nimependeza” maneno ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Kagera Sugar, Thabit Kandoro akizungumza namna atavyoingia katika dimba la KMC Complex, kwenye mechi dhidi ya Yanga SC.
Yanga kesho Februari 1, 2025 itashuka katika dimba la KMC Complex, kucheza dhidi ya Kagera Sugar.
Mechi itapigwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates